Kweli duniani sote wasafiri,🙆♀️🙆♀️ Mungu wangu nakupenda na nitazidi kukupenda🙏
@gilbertwanje3 жыл бұрын
Mungu apewe sifa!!! Ubarikiwe sana mchungaj kwa ushuhuda, ushaur, na pia maelekezo ya kujinasua kutoka kwa hao jamaa, Mombasa Kenya tunakupata vizuri sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yusterlucass Жыл бұрын
Yesu naomba uniongoze ww nikufikie maana nakupenda sana
@emmanuelmnyoro3560 Жыл бұрын
Mchungaji amemfwata shetani mpaka nyumbn kwake big up huyo mchungaji MUNGU amsaidie zaidi amen
@dokasa91762 жыл бұрын
Amen Amen ushuhuda mkubwa kweli sana,lakini zaidi ya yote tulipewa jina linaloshinda majina yote “kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kwamba KRISTO ni BWANA “
@joycekaphevemba72152 жыл бұрын
Asante mtumishi maana umenifungua macho, ya kiroho, sitamuacha Mungu wangu maana jameni kwa Yesu kuna amani mpaka raha, nakiri kwa kinywa changu kuwa Yesu ndie njia ya kweli na uzima milele na milele aaamin
@norbertlilungulu50182 жыл бұрын
Mwalimu unaupiga mwingi sana! Ubarikiwe kwakutoa siri za awa jamaa! Mungu wetu akatulinde
@alimachitechi21073 жыл бұрын
Wewe hukitoka huko lazima hivio vitu zinaruti huko amen mungu akubariki sana taja yesu sana ukienda chooni tacha yesu kila takika tacha yesu sanaaa
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Mungu Akubariki Kwa Kuyujulisha Mambo Ambayo Tilikuwa Hatukuyajuai Mungu Atusaidie.
@eddytheophil76262 жыл бұрын
Amina kwa Damu ya Yesu washindwe Amen
@lilianngushi15313 жыл бұрын
Amen Amen, Asante Sana mchungaji kwa ushuhuda huu mkuu,kwa kweli nimeelimika Sana.
@fedhajoseph76873 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen baba yangu Mungu akutie nguvu endelea kumtumikia.
@rehemamlowe51043 жыл бұрын
Wambie wenye tamaa,wangine wakitumiwa tu msj wanajiunga,
@saraphinaSamweli-rv7bv3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mungu akutie nguvu, bwana angaria wanao tunakimbilia kupata msaada kwa vitu visivyo sahii
@joannembaja6053 Жыл бұрын
Mungu wetu ainuliwe milele..atatulinda walio wake
@jophreysound65373 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi, Mungu ni mwema
@aishakilimba59382 жыл бұрын
God bless you so much, I believe the God who protected Daniel in the lion's same God will protect in you and your family.🙏🙏
@Mbenja123 жыл бұрын
Nafurahi Sana naposikia haya yanakuja wazi sasa.. wakati nilipokuwa nawaambia watu miaka 8 iliyopita nilionekana chizi na nikaonekana sipendi maendeleo ya watu.. lakini Namshukuru MUNGU aliniepusha na hiyo Brotherhood Occult, sababu ya uwezo MKUBWA wa vipaji niliyopewa na MUNGU. shetani akataka kuitumia nafasi hiyo nipeleke watu kuzimu, maana Nia ya Freemason sio tu watu kujiunga, nia kubwa ni watu kwenda kuzimu.. na Shetani anaitaka Dunia nzima waingie kuzimu, maana ni aibu kwake Roho ya Mwanadamu inapoingia Mbinguni, anaumia Sana, maana mahali pake hapapo tena Mbinguni. Mahali pale ni Jehanamu.
@tamaraseff.97073 жыл бұрын
Shetan n muogo yy na familia yake.ashidweeee milele.atazd kupoteza in Jesus nme.Amen
@lilianlil59493 жыл бұрын
Njoo kenya utufumbue macho manabii wa uongo ni wengi kenya
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Mumgu Akubariki Sana
@peninahkariuki46793 жыл бұрын
Amen and Amen Barikiwa zaidi kwa Ushuhuda huu,kweli Damu na Jina la Yesu inaweza yote🙏🙏
@credo78373 жыл бұрын
Mmmh
@saraphinaSamweli-rv7bv3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mungu akutie nguvu
@fortunataangelo55752 жыл бұрын
Yesu ni mzuri
@christabelathiambo30383 жыл бұрын
Amen amen Mungu wangu nishandia sana sitaki mali ya Dunia Mimi yesu wangu 🙏🙏🙏
@sarahjacobs88143 жыл бұрын
May God cover yr life with the blood of Jesus .may JESUS cover all areas of yr life
@Berchmansngendakumana7 ай бұрын
❤ Burundi tunawasikiliza kila siku
@sandrahchelaa71042 жыл бұрын
mungu apewe sifa na utukufu
@racheldickson32365 ай бұрын
Amen Mungu atudaidie
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu nmekuelewa xana
@marthamaligo4583 жыл бұрын
Barikiwe mtumishi ujumbe mzuri sana unatufungua wengi
@SkillsProvider9 ай бұрын
Asante sana.Unasema ukweli .Jesus Christ akulinde Sana Nilikuwa na rafiki yangu alikuwa analangua hayo mafuta ,20ml only ,he told me 500,000.00 TSH
@berthamghanga10933 жыл бұрын
Duhh mtumishi umenifungua mengi sana,barikiwa sana.
@ounda24822 жыл бұрын
God bless you.
@fatumanaliaka22103 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie atupikanie atushindie na atuweseshe vyema Kwa yote hakika asande kwa ushuhuda na kufungua macho kweli Mungu akubariki sana tena sana aendelee kukupikania na kukunua Saidi akufunike na akusingire na akuongose vyema ili uendelee kudangasa neno lake na watu waendelee kuchua ukweli wakamrudi Mungu kwa Roho na kweli na aaibike aangamie na ateketee kuzimu kwenye ziwa la moto wa milele na watoto wajukuu zake mapepo majini majeshi yake hila zako na ngome zake sote katika Jina La YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ameeeeen Hallelujah 🙌 ameeeeen in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@happykajeli54533 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi umetuweka wazi mwenye masikio na asikie
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Njoo Kenya ueneze ujumbe huu mhimu
@agneskamano9363 жыл бұрын
Yesu ni mshindi
@jonathankatana11733 жыл бұрын
God may be with you, for the victory that Jesus Christ was with you, after for the hard period that the Freemason had tried to kill you, May Lord God be with you for the whole life, Amen
@VeronicaVero-wo2vb Жыл бұрын
AaaaaaaaaaAaaa😊
@h-pizoodacrazyboy2842 жыл бұрын
Waaah😮 nimekufatilia inter zako zote, aki kwanza pole brother, pili shukuru Mungu🙏 kwakua ww ni wake, tatu wala sifikirii kujiunga nne, ningekua na uwezo ningekua wakwanza kumaliza huo mtandao Patrick from Kenya 🇰🇪
@rehemamlowe51043 жыл бұрын
Ubarikiwe wambie shetani hakupi pesa bule,mungu tusaidie tuokoe amina
@kasakimba35473 жыл бұрын
Kwa kweli ushuhuda huu ni mzito ila unajenga sana imani
@marychristiansen2990 Жыл бұрын
Sanaa
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Amen asante kwa ushuhuda wako ni ushuhuda mzuri sana umenijenga barikiwa sana Mtumishi
@AnneOballaj9 ай бұрын
Amen
@fatmag89833 жыл бұрын
Daaaaa asant kwakutufua mchungaji
@fedhajoseph76873 жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki sana kwa ushuuda mzuri
@lovenesswalter66503 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana
@adelehakizimana18943 жыл бұрын
Mungu.akubariki.mungu.nimwaminifu
@levismike163 жыл бұрын
JESUS CHRIST IS THE WAY ,THE TRUTH AND THE LIFE.THANK YOU MR JACKTAN YOU ARE REALLY OPENNING MY OUR EYES THROUGH THESE TESTIMONIES.AMEN
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@nkugi3 жыл бұрын
@@PromovertvTz ushuhuda huu umeniongezea maarifa mengi kwa niliyoyapata kwenye ushuhuda wa miaka 990 kwenye ufalme wa giza. Niombee nipate nguvu ya kuomba sawasawa na elimu anayoniletea wakati huu. Nawapenda sana promover simameni imara muipokee tuzo siku ile
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Watakula nyama zao wenyewe na kunywa damu zao wenyewe.
@tantinemwemendi87903 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@jennjaja15863 жыл бұрын
Asanti sana sana. May God bless you and keep you. And for this media may God be with you spread the word amen.
@kidukomoshi96572 жыл бұрын
Asante Sana mkali
@esthetbabu74813 жыл бұрын
Amen amen palikiwa sana
@penninahngau73993 жыл бұрын
Poa tuko pamoja from kenya
@kithia1003 жыл бұрын
Mimi huyooo🚵🇰🇪
@yasintaraphael83343 жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana ubalikiwe mtumishi wa MUNGU waokoke wengi kupitia ushuhuda huu
@evangeliststanleykibwobi64413 жыл бұрын
Nashukuru Imani kubwa ya huyo mchungaji
@annemuunda3 жыл бұрын
Wah,the Lord is all powerful ,asante sana kaka Mungu akuinue kabisa ,kweli ndani ya Yesu tuwashindi.@Ann muunda from kenya kitui.
@fei36683 жыл бұрын
Amen amen amen
@lilyrose79833 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda.Ubarikiwe sana.
@milley71852 жыл бұрын
Watu wanaingia au wanaingizwa bila kujitambua,,kwenye hayo makanisa
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Ongera sana kaka yangu
@drmaryjohnmponda3484 Жыл бұрын
AMEN
@graceshayo57639 ай бұрын
Wanadam tamaa jmn Mungu atuhurumie sas update pesa uwauwe wenzio utakula kwa Raha han Mungu nisaidie nisiwah fikia upumbavu huuu jmn
@marrykimaro97922 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Jekazi yako ya ualimu unaendelea nayo?
@nadiaaruberi41943 жыл бұрын
Yesu 😭😭wee nimwema 🤲🤲😥
@trophywilson72112 жыл бұрын
Siwezi kuiona sehemu ya kupakua
@Mbenja123 жыл бұрын
MUNGU amenipa Macho ya utambuzi na Maono, asilimia ya movie yeyote ya Hollywood, kuanza maneno yao ya mafumbo nayasikia, alama zao naziona na vingine vingi Sana.. Almost 98% ya Movie za Hollywood starring ni Shetani(Devil) Lucifer", akitukia mfano wa SuperHero kama Superman, Batman, na wengine wote. Katika movie Moja anaweza akachukua nafasi ya waigizaji wawili lakini ni yeye, na unatambua kea maneno yake na matendo yake na mfano wake wataotumia
@esthermwaigwisya17752 жыл бұрын
Nikupe namba unicheki Nina Jambo zuri tu jema la kukwambia.
@soeurbetty76672 жыл бұрын
mimi mara nyingi nikitazama izo filamu za duniya, usiku ninapo lala napata vita sana sana za hollywood
@yohanasanga3371 Жыл бұрын
@@esthermwaigwisya1775 Esther una mdogo Ako anaitwa suma
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Erica belinda anawataja sana...kwaa mistari za nyimbo zao.
@xiwuyan4573 жыл бұрын
Hata kabla ya UTAJIRI,MUNGU anatupenda hatupaswi kumwacha....Kumbuka tuna Maisha ya milele rafiki wa kweli ni YESU sasa utajiri na madaraka ya duniani Miaka michache haimake sense......na kama unapitia magumu kwamba umekaa fedha na Maisha bora basi tambua YESU NI WA MILELE na anatupenda tuachane na mambo ya mda mfupi....TUCHAPE KAZI utajiri huja.....weka long term goal...no one will liv forever here sa kwanini ujitoe hivyo....people took GOD not serious
@christabelathiambo30383 жыл бұрын
Amen
@IANA20303 жыл бұрын
Eti pikipiki yangu je🤣🤣😂huyo alikua tu shetani anajaribu kukuconfuse
@aisharajimbo67843 жыл бұрын
Hahahaha
@gwizalandkingaru67322 жыл бұрын
hao maboss wa huo mtandao no watu au ni mashetani na makazi yao yapo wapi humu town tulimo au huwa sehemu zao wakaazo?
@alimachitechi21073 жыл бұрын
AMENI AMENI KUA STRONG
@frankinspired64863 жыл бұрын
Kwanini wengi waliotoka huwa hawataki kuwasema walioko? Kama ni kutoboa siri ni vema kutoboa yote..
@omarbillyomar304222 күн бұрын
Shalom je,mbona wachungaji wengi huambia mshirika aje na maji Kisha anayaombea je hayo naombi huwa yanawekwa ushirikina?
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Lkn nyie wasukuma mna tamaa sana
@aisharajimbo67843 жыл бұрын
Kumbe msukuma huyu jamaa
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
@@aisharajimbo6784 kumbeje
@sophiajonas86183 жыл бұрын
Jamani watumiaji wa maji ya baraka mpooooo
@myself41283 жыл бұрын
Binaadamu kweli Tunatamaa, Pamoja na kuokolewa uhai wako bado unawaza pikipiki tu??umenusurika kufa lakini moyo wako unawaza mali tu?Tamaa mbaya sana halafu pia inaonekana Imani yako ilikuwa ya wasiwasi sana sababu hukuitambua nguvu ya Mungu bali ulitegemea sana akili za kibinadaamu kupambana na nguvu za Giza,
@ephuraziabweye41942 жыл бұрын
Naomba namba ya cm pls
@isaiahstadius23833 жыл бұрын
Tukimtumaini MUNGU hatutakiwi kuogopa kitu chochote.
@sallysalamakenga63293 жыл бұрын
Mkataeni shetani naye atawakimbia
@neemakingdom48163 жыл бұрын
Vutu vyao uliludusha? na vitu livyo nunua na hizo PESA zao ilikuwaje viripotea
@happinessmwenda27733 жыл бұрын
MUNGU MWENYE NGUVU MKONO WAKE WA KULIA UNAOKOA UTUGUSE NA KUTUEPUSHA HILA ZA MWOVU SHETANI.
@lispamagu58103 жыл бұрын
MUNGU akukuze zaid kiroho
@kedricksiame61673 жыл бұрын
Unalikiwe
@aisharajimbo67843 жыл бұрын
Sasa kumbe kanumba alikua freemeson mbona mamake amshtumu LuLu.
@selinalukwembe73633 жыл бұрын
Mbona kanumba ana utajili mama yake anateseka tu
@lilyrose79833 жыл бұрын
Hajaacha utajiri wowote mamake ana maisha magumu tu kwahilo amedanganya
@christinangongi18992 жыл бұрын
A9
@alimachitechi21073 жыл бұрын
MUTUMISHI HAWO SASA HAWAWEZE KUTOKAA
@lydiamichael55093 жыл бұрын
DUU ULIMWENGU HUU TUNAOKAA UNAMANENO ZAIDI NIKUMUEKA MUNGU MBELE KWA KILA JAMBO TUNALOLIFANYA
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
NI ROHO ZA WATU... ZINAZOTAKWA.. NA ROHO ZA WATU AMBAO HAWAJATUBU.. ILI TU KUIJAZA jehaNAM SIO MBINGUNI.. TUOKOKE JAMANIIIIIII 🔥🔥🔥😭😭😭😭😭😭😭😭😪😭🛐😪😪😭🚮
@mwanahamiskhalifa15233 жыл бұрын
Bado unatuchezea akili ilopazia apo nyuma linarangi yakifreemason pamoja na alama ya piramidi
@jessicanchimbi94192 жыл бұрын
We unavituko😂😂😂sasa unafuata nn hapa
@Mbenja123 жыл бұрын
Na ni vyema siku nikae na wewe Kaka Jacktani niseme vitu na wewe. Nitakutafuta kaka.. nafwatilia KILA video YAKO. Na ninaomba nikupe moyo usikate tamaa, ufahali wako utaupata MBINGUNI, maana tunazidi kuelekea Unyakuo, very soon, very soon. Kaka, tumeishi hapa duniani katika Kipindi Cha siku za Mwisho kWa miaka 2020 mpaka Sasa, na bado watu wanaona bado.. Maana New World Order soon itaanza, soon, ndio maana hata shujaa wetu wa Taifa ameondoka. Na tusishangae mtu akapata Maono na akamuona Shujaa wetu Mbinguni, itatia Sana moyo kea Africa nzima na Dunia nzima.
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Naomba kujua mafuta ya mzaituni ni mafutagani?
@xjxjxnxn26733 жыл бұрын
Olive oil
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Inamaana hata yale yaliomo kwenye maduka ya supermarket,niyahuko? kama hapa kwetu kenya inawezekana yapo?
@xjxjxnxn26733 жыл бұрын
@@maryamayitsa6181 walaai hilo ndilo swali nimejiuliza usiku wote,mimi niko saudia na hawa warabu utumia hayo mafuta kwa wingi mno,Bt yana haru isiyo nzuri,dada nikuomba mungu tu
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
@@xjxjxnxn2673 mungu nimwaminifu hawezi kutuacha tuangamie,nina amini kutenda thambi maksudi.hautasamehewa ila kwakutojua uta samehewa.na ninaamini kwa damu iliyo mwagika kalvari tutashinda 💪
@DRIPPINGPAIN3 жыл бұрын
@@maryamayitsa6181 OBVIOUS
@rmaryp62693 жыл бұрын
Wasukuma wa Bariadi ni hawana tofauti na wachaga🤣
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
Duuuuuuh 😳😳😳😳🤐🤐🤐🤐
@myself41283 жыл бұрын
Wanaua watu sababu serikali zetu Hazithamini maisha ya watu,mbona ulaya hawagongi watu ovyo? Sababu sheria ni kali na inazingatiwa na Nimegundua Shetani ananguvu sana Katika nchi Maskini na zilizoshamiri kwa Rushwa sababu nchi za Ulaya na Marekani ni vigumu sana Ata hbari za kurogana kila mtu na maisha yake,kuna ushirkina wa aina tofauti kabisaa!
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Huo ni mtazamo wako wa kisiasa na ndicho kilichoujaza moyo wako. Imeandikwa aonavyo mtu ndivyo alivyo.
@shenjamamzingi79503 жыл бұрын
"👀👂👂👂👀"
@lilyrose79833 жыл бұрын
Kwahilo la Kanumba kuacha mali sio kweli.Mama yake alikosa pesa ya kumuuguza Sethi mpaka umauti unamfika na ana maisha magumu mno huyo mama.Sasa ni mali gani anazo ziendeleza?Sio kweli.
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Kwani mali ukizitapanya zitaendelea kubaki hata kama ni za halali?
@lilyrose79833 жыл бұрын
@@ngwanafabian9668 Ni kweli ukizitapanya haziwezi kubaki.Lakini hakuna utajiri wowote alioacha Kanumba.Tunamuona mama yake akiomba misaada kwenye media kila cku.
@adamfundikira10293 жыл бұрын
@@lilyrose7983 Ipo hivi kanumba alikiuka masharti ndiyo maana alipokufa na mali zikaondoka nae alikuwa na magar kama matatu na nyumba ipo sinza kwa kipindi cha miaka ya 2012 vitu alivyokuwa navyo Ni utajiri muelewe hivyo
@Mbenja123 жыл бұрын
Na ni vyema siku nikae na wewe Kaka Jackani niseme vitu na wewe. Nitakutafuta
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen, karibu sana
@Emmanuela_pius3 жыл бұрын
Sio wote wanaotumia maji na mafuta ni frimasoni,wee Sema tuu watu wasiende kwa waganga wakienyeji maana ulijiunganisha huko nasio kanisani na sio kwanjia ya mafuta wala maji.Toa ushuhuda yaliyokukumba,achaachana nayasio kuhusu. Pole zako kijana ..tamaa mbaya
@lilianluhasi50533 жыл бұрын
Mbona amesema mwanzo kwamba siyo wote wanaotumia mafuta na maji ni Freemason, umeelewa? Kweli wengine wa mafuta na maji wamo huko na wengine hawako huko, Tumwombe Roho mtakatifu atuongoze katika jina la Yesu Kristo
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
@@lilianluhasi5053 achana nae huyo labda na yeye ni freemason ndo maana anajipanikisha.
@Emmanuela_pius3 жыл бұрын
@@tatuhongeranurushaus485 you're nothing but a witch that flying in the daylight , ur name looks like a mad person. It goes like this Tatumadnes.Big fool
@peterdaniel90503 жыл бұрын
Makanisa mengi ya sasa ni ya kishetani,cha msingi kumuomba roho mtakatifu akufunulie
@omaryshafii11743 жыл бұрын
Huyo brother kaeleza yote hayo ya lwamba sio makanisa yote yanayotumia mafuta na maji ya baraka ni Freemarson, sasa mbona wewe unapaniki kama umembiwa wewe ni freemason hahaha pole yako na wewe hahaha dunia ina mambo hahaaa
@mabulamasunga73783 жыл бұрын
Ulikuwa kahama kama sehemu ya ushiriki wako. Hayo mengine ya ushiriki wa washiriki nje ya kahama u'iyajuaje ikiwa psmoja na kutengeneza mafuta?
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Jamani si alikuwa ndani ya ufalme wa giza sasa atashindwaje kufahamu mengine yanayoendelea humo?