Waooo hakika MUNGU ni mwema awa ni majemedari wa yesu MUNGU anirehemu auamushe uamusho ndani yangu nikamtumikie
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Makamanda wa Bwana,nafurahi kuungana Mtumishi Amiel,na Tengwa,Umoja Ni nguvu ktk kristo
@scholasticakariuki6775 Жыл бұрын
Bwana Yesu awabariki sana magwiji wa injili ya Yesu . Asante kwa kazi nzuri Ulinzi wamajeshi ya farasi ya moto juu yenu.
@moureenkionga3745 Жыл бұрын
Fireee eeee... Majemedari wa Bwana... Huu mshkamano lazma kuzimu ijute.. Thank you Jesus
@theresialaizer8597 Жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu kwa huduma hii,na sasa wameungana hakika Mungu ni mkuu sana,Mungu awabariki sana na awatumie kwa utukufu wa jina lake
@dokasa9176 Жыл бұрын
Amina sana...kwa kuungana pamoja na Mch Katekellah
@janetmsofe3789 Жыл бұрын
Hakika Mungu ana makusudi mazuri na kanisa lake .... pamoja na juhudi ya shenanigans ya kulivuruga kanisa Bwana Yesu anainua watumishi wake kama hawa na wengine kulitengeneza kwa upya kanisa lake .. haleluya hallelujah
@johnmgaya2280 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa mahubili yanayo tujenga na tujue kuomba sio kuombewa kila siku tuu
@luciasteven3314 Жыл бұрын
Baada y kuhangaika miaka Mingi Mungu kanionyesha sehemu sahh y kuabudu❤❤❤❤ Nineema tu
@catherineangaufoo2530 Жыл бұрын
Kanisa liko wapi!
@aaronswai3092 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu, Mwl. Tengwa na Mch. Katekella!
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
🙏 asantee Bwana Yesu kwa umoja huu
@tumainimkane2710 Жыл бұрын
hii ndo injili tunatakiwa kuipata barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Amen mungu ni mkuu ainuliwe mungu Kwa kuungana naamini mtafika mbali sana hongera much katekella
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Hakika mnahubiri kweli ya Mungu Mungu alinifulia Yu karibu kurudi kuchukua kanisa lake akaniambia wachungaji wameachakuwaambia watu wangu ukweli wa neno langu mungu wa Israeli ahimidiwe
@doricemrema2177 Жыл бұрын
AMEN Amen alelujah, nivema kuungana, kazi ya BWANA YESU KRISTO isongembele
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Haleluya, mungu azidi kutukumbuka Tanzania
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Wokovu uingie serekalini Amen
@farajamaliga4799 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kutuletea huduma hii wakati. Amina watumishi
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
God have mercy on Africa Amen
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Kuzimu ulipelekwa chuoni Ili ukirudi uwe baraka na msaada Kwa wengine
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Amina amina 🙏 MUNGU awabariki watumishi maana safari ya mbinguni ni ndefu
@adasospeter4158 Жыл бұрын
halleluya Yesu atukuzwe sana,nimebarikiwa sana.
@elibarikilukasimakala5534 Жыл бұрын
Oooh hallelujah Messiah 👆🙏🙏🙏
@selismshindi328 Жыл бұрын
Aminaa watumishi
@RachelMethod-rt1qx Жыл бұрын
Mungu ni mwema, nafurahi kuwaona wote pamaoja maana wote nawapenda,🙏
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Hongera shujaa Katekela pigeni kazi na shujaa huyo
@mubezirugarabamutibangayuk9456 Жыл бұрын
Wabarikiwe watumishi hawa
@marypeter2312 Жыл бұрын
Yaani jina la BWANA libarikiwe mnoo nasikia furaha sana kuona uhodari wenu Kwa MUNGU wetu
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory be 2 God Hallelujah yesu ni bwana
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
Amen Ameen Mbarikiwe Mno Mno
@louisendunguru7106 Жыл бұрын
Aaah wamekwisha! 🔥🔥🔥
@sarahkishaluli6087 Жыл бұрын
Wow jina la Bwana Yesu kristo libarikiwe sana
@maryhokororo Жыл бұрын
Nina furaha sanaaaa Kwa muunganiko huu wa Ki-Mungu. Mungu awatie nguvu.
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Haleluya shujaa wa Bwana
@janetmsofe3789 Жыл бұрын
Glory to God
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Woo Kama siyo wa kwake wanatupeleka wapi ninaogopa kuikosa mbingu Mungu nisaidie
@joelking3692 Жыл бұрын
Utukufu ni kwa Yesu
@AgnesKalinga-if3uf Жыл бұрын
Mbarikiwe saana
@lovemajogolafia5839 Жыл бұрын
One life..One God ✌.
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Tutaomboleza Mungu atusaidie
@suedahmadi9091 Жыл бұрын
Amina
@blandinamwai3032 Жыл бұрын
Mch.Katekela umesema kweli,mambo haya wamefichwa wenye hekima na akili wamefunuliwa watoto wachanga
@nicolesafi3808 Жыл бұрын
Amen Mungu aķubariki sana
@nicolesafi3808 Жыл бұрын
Hallelujah --
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Kumjua Yesu nimuujiza mkubws
@dayemukalai3427 Жыл бұрын
Ameeen Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏 tupamoja
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Hakika kuilaumu serikali yetu Mungu aipe amani tuu jamsni wtz tuombe tuu Mungu atuepushe na fujo na machafuko ona jenya wameshaanza hekaheka
@Neemakilimba Жыл бұрын
Hakika wito wako umenigusa Sana Nasikia kulia halafu Majibu Sina ,Mara nyingi Mungu amekuwa anasema nami kuhusu kumtumikia mpaka amewatuma na watu wengine waniambie ,Ila sijui pakuanzia
@bngstar8100 Жыл бұрын
Ukiwa tayar Mungu atakuwa pamoja nawe popote alipokuita .
@Neemakilimba Жыл бұрын
@ELIZABETH MTAITA Ameen nimekuelewa
@Neemakilimba Жыл бұрын
Asante nimekuelewa
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Unapoitwa Mungu unapaswa kuitika "mimi hapa" kisha kubali kutumwa Roho Mtakatifu atakuonyesha cha kufanya
@angelakalalu2755 Жыл бұрын
HALLELUYA🙌🙌
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Oh Mungu tusaidie
@jannefidelis1364 Жыл бұрын
Mungu wambinguni awabariki
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Kanisa hili liko wapi mtumishi
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu alinioneshea nilikuwa naomba gafla nikaona jiwe kubwa inashuka kutoka mbinguni akaangukia baharini gafla nikaona maji ya bahari ni kama tsunami gafla yakaenda katika makazi ya watu Mungu atusaidie
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Sauti ikaniambia ufunuo sura ya saba
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Ameeeeen
@marthasngowi2738 Жыл бұрын
Ameen
@Brasolebasoto Жыл бұрын
Katekela na tengwa madhabahu moja patashika nguo kuchanikaaa
@Gladness-m9e Жыл бұрын
Ni kweli
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Ni kweli nabii hapaswi kuwa na kanisa
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Haleluya
@ommylax7231 Жыл бұрын
Utukufu kwa Mungu
@sylvesterkibamba Жыл бұрын
Ameni pigeni kazi
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeeen
@salvinahassan8778 Жыл бұрын
Hila tu, sijawahi kupenda mapambo meusi
@gaudiankiwia7631 Жыл бұрын
Amen
@mariumngusa571 Жыл бұрын
Hawa watumishi ni marungu yavita ya BWANA YESU, kuzimu lazima ijute.
@princessprecious6995 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwatunza
@EriudJohn10 ай бұрын
❤
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Fanya Kama ulivyotumwa mtumishi
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Baba ulie mbinguni nakushukuru Kwa kutufundisha shuhuda zinazotoka kwako Kwa maana ni za kweli, ni za haki na za ajabu sana na kushangaza sana hakika wewe ni mungu mwenye nguvu muumba mbingu na nchi usiyeshindwa na jambo lolote.
Kila jambo Lina wakati wake, angekubali mapema inawezekana hasingekuwa na hizo shuuda, na wewe usingeenda kuzimu, inawezekana usingekuwa na mvuto kama sasa
@stephanomakoye6936 Жыл бұрын
Mwili wa kristo unajengwa,, mwl kwa ajiri ya kusema siri za mbinguni,, pastor katekela kwa ajiri ya kuzisema siri za kuzimu,,I advise mr katekela preach more about the secret of the devil (Sheol secret) for that we have no more information about it,, maana MUNGU alimwambia aseme alichokiona huko na kujifunza,,ko kila akisimama kwenye madhabahu lazima aziseme zile Siri za kuzimu
@CherieDeDieu Жыл бұрын
Yeye huzisema sana. Sema hujafuatilia huduma yake. Kwa kweli Mchungaji Katekela amekuwa mwaminifu kwa hilo. Hajanyamaza bali ameshuhudia yote. Mwenyewe nimejifunza mengi kwake; Mungu ambariki sana.
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Ulikuwa unakimbia Mungu mtumishi haaaa
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Bwana. nipe kushuka niombe ktk roho na kweli
@eliyakiza9327 Жыл бұрын
MNGU AWABALIKI KWA KAZI YAMNGU NAYO FANYA,
@hortenseornella-po8zw Жыл бұрын
Uko mungu mwenye nguvu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤
@ROBERTMWANJABALA Жыл бұрын
Huyu mtumishi tengwa anapinga habari za fungu la kumi na mch katekela unachunga chini ya TAG Sasa nashindwa kuelewa Na biblia inasema msifungiwe nira na wasioamini isivyo Sawa Sawa Bado sielewi.
Haya ni mojawapo ya machukizo yanayomchukiza sana MUNGU.
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Hakika
@odettebarengeke2469 Жыл бұрын
Mtumishi katekela , sijue ata fanya nini jamanii , iyi mapambo ya kanisa
@annachachage4931 Жыл бұрын
Ndugu hofu ni dhambi,shetani alipokua akimjaribu YESU kule mlimani aliposema amsujudie atampa mali yote na fahari yote ya dunia, unafikiri ni kweli vya kwake?
@DaviValavala-dw9wm Жыл бұрын
Wanawake, wanawake, wanawake bado mnamapambo tu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@annachachage4931 Жыл бұрын
@@DaviValavala-dw9wm Halafu me sina mambo hayo nipo natural kabisa,nilishaachaga na nina amani,ila kwa hizo rangi za Capet hiyo isiyupe shida baadae tutaanza kuvaa ngozi zama kale,