Huyu Dada mungu ampe maisha marefu ameniinspire hata mm mtoto wa kiume more life to you
@samysamy29214 жыл бұрын
Niko na mshangao kwenye part one ya hi video watu wametoa hate coments part two naona love coments congrats girl wangap wanadanga tu na kwao pesa ipo it takes a strong soul to get it on ur own
@abdulrahmanhassan92544 жыл бұрын
Mbali na nia aliyokuwa nayo ila connection alikuwa nayo ya kuanzia ndio mana yupo hapo alipo. Mashaallaa mwenyezi mungu amuongezee
@trishtrish23494 жыл бұрын
This girl is really focused , I wish many more young girls would borrow a leaf from her book instead of depending on sponsors for money.
@latifahjanja66794 жыл бұрын
Nafurahi sana nikiona wasichana wenzetu wanajitambua kama hv wanamaendeleo am so proud of u mungu akusimamie ufike mbali zaidi
@miss_kay77034 жыл бұрын
She's my new inspiration God protect her
@therealbriannoel73894 жыл бұрын
One can see how one is intelligent from juss how one speaks and make conversation..this lady is truly intelligent! Mungu aendelee kukusimamia🙏🏻
@Goals5923 жыл бұрын
May Allah fulfill your dreams...am so excited to hear you looking after the orphans...always more and more blessing keep it up😎😎😎✌️
@happiewilly84254 жыл бұрын
Wapo watoto wengi tu wa matajiri lakni hawana akili hizi..yan wazembe tena ndo wanafuja mali za wazazi..lkn huyu kaenda extra mile kuweza kujiamjni na kutumia mali za wazazi wake vizuri..hongera saana
@barakaulomi30524 жыл бұрын
cyo za wazazi wake,za kwake hakuna hata senti ya babaake hapo,kama umemsikiliza vzuri.
@mamunote35074 жыл бұрын
Mashallah Mashallah M.mungu Azidi kukubariki ziada nimependa sana huyu Bint ni MCHAPAKAZI
@khadijaoman40854 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu endelea kupambana maisha hayatabiriki kuna leo na kesho yetu hatuijui
@sultanabdullah19944 жыл бұрын
,9¥
@SunnahSaid2 ай бұрын
Hongera kipenzi nimejifunza vingi kutoka kwako hongera sana .wapenzi tujifunze unapotaka kufanya kitu angalia mwisho wake na pia usipuuze mawazo ya mtu na lait anachozungumza huyu dada tungekua watanzania tunajiamini na pia kuwa na watu wanaotusikiliza ña kutusapoti basi tungekuwa mbali wengi sana
Dada hongera sana kwa interview yako umeimsha nilikuwa nimell.Akieamshwa kama mm like hapa chini kama mm👇
@sakhiyamohammed82044 жыл бұрын
MAY GOD BLESS U 💖🥰💕 keep it up...👍👍
@idarusimohammed6294 жыл бұрын
Mashaa allah ila jitahidi kujifunga vizuri mtandio ili nywele zisionekane dada yetu
@feiz31804 жыл бұрын
Na muomba Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia milango ya kheri na mafanikio zaidi.
@sarahaminiel19552 жыл бұрын
Hayo ndio matumizi sahihi ya akili timamuu, ,ee mwenyenzi Mungu tufungue na kututakasia fahamu zetu, ,imagine hiyo ni akili ya mtu wa fomu 2, ,degree holders mnaotembea na vyeti mikono juu mpate Toba
@aisha-ro5fr4 жыл бұрын
Watu msijifananishe n uyu muamala uliisha soma ndomaana akaacha shule kwao Ella ilikuepo n utajir akaona shule inampotezea muda
@aminahassanmashaallah89834 жыл бұрын
Haswaaaa
@ERIMINATSHINE4 жыл бұрын
@@aminahassanmashaallah8983 kweli kabisa
@jokharymasoud73964 жыл бұрын
Kweliii
@sharonezekiel72344 жыл бұрын
Kwelii
@agnespeter64214 жыл бұрын
Kabisa
@dianaanyova40264 жыл бұрын
Congratulations girl and blessings
@awatifalghanim11064 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi ndugu yangu. Amin. Sasa jamaa... mjuwe hupati mafanikiyo bure bure lazima upambane kwenye maisha. Msione watu wana PESA wametoka mbali.
@fadhilahassan50554 жыл бұрын
Hongera sana Allah akuongoze ufike mbali zaid
@glorykimambo334 жыл бұрын
Mungu akusimamie dada nimekupenda nimependa mdimamo wako
@jacksonmathayo65104 жыл бұрын
Safi sana binti,kiukweli huu ndiyo ujuzi sasa 💯👏👍🙏
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Acha shule wewe mtoto wa mkulima uone kama hutaishia kuokota chupa tupu. Huyu kwao hela alizaliwa nayo maendeleo yakurithishwa haya. Tusio na kitu tusome tu mpaka kieleweke.
@hassanmohammed91533 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie inshallah
@veredianamagesa29534 жыл бұрын
Mungu akisaindi dada uendelea kuwasaidia watu
@saidahamisi64043 жыл бұрын
MashaAllah jazzakallahu kher dada
@mariamomar82443 жыл бұрын
Mashaa Allah amazing hardworking lady mabrook
@jeremiahmsemwa83234 жыл бұрын
Very smart girl!
@timothysixten1764 ай бұрын
MIMI NAMPONGEZA MAASHAALLAAH NA NATAMANI KUPATA MKE KAMA YEYE..
@hijrafarid1593 Жыл бұрын
Jitahd kujistir kichwa chako dada Mengine yanafuata tuuu Na ukizingatia zaid kila anoona nywele yko unapata jukumu
@mamydeislamiqprincess4 ай бұрын
MashaAllah Allah to you dear
@monamonaa1414 жыл бұрын
Love you sister sooo much kwa ukakamavu wako n kujiamini
@rukiaabdallah-e9m4 жыл бұрын
Mashaa Allah mashaa Allah
@smilemediatz4 жыл бұрын
Sikuzite ukiwa na akiri timamu lazima utoboe sio kusubir miujiza ya raisi kama ambavyo weng wanazani na hii serikali,Serikali iko safi na inamipango mizuri juu yetu kikubwa niwewe kujituma katika mind yako
@sweetberthacharles69604 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu imeni inspire sana nitapambana bila kukata tamaa
@zainathcuwimigishazchelsea21133 жыл бұрын
MashaAllah
@oumswaferswaleh73674 жыл бұрын
Mshlh keep it up sis Allah ibarik fik
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
Mashallah honger she bless 🙏 ❤
@zuweinaalhabsya87734 жыл бұрын
Mashaallah hakusoma kihivyo lakini anaakili Sana Sana
@charsevannu71254 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujalie kheri Zena natamani nikuone maybe unisaidie mawazo
@carolineotara94824 жыл бұрын
Do you have any of Royal cards in Kenya or similar to that.
@rizikibakari35984 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuzidishia
@barakajulius71474 жыл бұрын
Tungekuwa tunapta klip nying za namnahii huenda vijna tungefokas ktk mambow ya msng kuliko hzo klip za kina Wema sepetu,,hta suara la kutaka kuajiliwa tusingezskia jama ilivo sasa
@tztanzania22624 жыл бұрын
Very confident yaan AF ni wakishua ....na ugali hajui kupika
@mwajomaessa75134 жыл бұрын
Mashaallah hongera san
@allysaid264 жыл бұрын
Huyu binti anaonesha atakua na future nzuri sana ikifanikiwa kufungua chuo cha bekary.
@khdijahalmudhairb21474 жыл бұрын
MashaaAllah
@mamuhamad29594 жыл бұрын
yes nimependa ya kwamba hana rafiki wala shoga.nimepensa sana
@ezekieljacob57953 жыл бұрын
Sikulaumu na maugali yao
@ezekieljacob57953 жыл бұрын
Huyu dada acha kabisa ..mbunge msukuma atasubili sana ....huyu dada kichwa sana, huyu haolewi na kanyaboya kanyaboya tu..mwenye kutaka kumuoa huyu heee ajichunguze sana kwanza .huyu ataoa siyo kuolewa
@MbullerMabuga-gz3bw Жыл бұрын
eeh mungu nisaidie na mm🙏🏿🙏🏿
@mamuhamad29594 жыл бұрын
congrats mamy allah atuongoze sote tunaotaka kufanikiwa kwa kheri
@genovevalaurent63934 жыл бұрын
Dada ww n mzuri sawa lkn heshimu maana ya hilo vazi hapo ni sawa n upo uchiii ukiamua kujistir jistir ipasavyo n siyobkutumia hijab kama fasion
@fariyaosmanali92204 жыл бұрын
Maashaallaah 👏👏👏
@aureliamuro87564 жыл бұрын
Ongera sana mdogo wangu mungu azidi kukuongezea
@brighthassan46994 жыл бұрын
Hongera mungu akuzidishie
@khadijahali48374 жыл бұрын
Hongera sana kwa kupambana
@aminamuhamad20334 жыл бұрын
Mashallah
@aureliamuro87564 жыл бұрын
Nikifikia malengo yangu nitakutafuta kwa msisitizo mdogo wangu nimependa sana unavyojituma
Sasa ndugu mtangazaji mmesema huyu Dada ni Tajiri mbona hujatuambia unamiliki utajiri wa Milioni ngapi au bilioni????. Embu nisaidie kumuuliza.
@faudhiyahimidi21293 жыл бұрын
Tajiri awe yy huyo hajapty changamoto yyt ahh some time wanaujingahh
@RajeshChauhan-wb9pm3 жыл бұрын
Looking nice
@faridkhalfan31194 жыл бұрын
Anamjua mungu lakini nywele wazii ili ni kosa kwa mungu na munajua uchi wa mwanamke unaanza wapi jamani?!...abadilike mungu amzdishiee lakini nywele asiaje wazi
@asinathasinath50904 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@fadyaalmansoor64284 жыл бұрын
Umenipa moyo wakujituma🌹
@rodrickgwassa57934 жыл бұрын
Mmmhh
@halimamohamed21464 жыл бұрын
Big up zena sharif 😍
@saveraedward12744 жыл бұрын
Nahitaj ushaur wako dadaa ntakupataje
@ayoubsuleiman36754 жыл бұрын
Huyu nimwalim wa masomo ya biashara nanimbunifu kinoma alitakiwa apate kipindi chuo kikuu
@fawziaalmaamry13124 жыл бұрын
Nimembenda sana huyu bint bahati mbaya hapendi rafiki
@kindi49264 жыл бұрын
Nadhani hapendi hana na hapendani na bf
@husnamohamed92454 жыл бұрын
Nimependa mawazo yako. Hata na mimi napenda kujituma safi sana
@kherimkose36694 жыл бұрын
Mtoto wa Skabah huyo, pesa hipo kwao
@noahlamecklameck11684 жыл бұрын
Kwanzia mtangazaji Hadi huyu Dada wote wamejielezea vzr na wanaongea vzr mno
@mohamedkhamis87454 жыл бұрын
Big up keep it
@latifahissa85814 жыл бұрын
Sijui akili kapata wapi huyu mtoto😍😍😍
@raziqeramadan78973 жыл бұрын
hata mm bado nawaza"maana mdogo kweli.Maa shaa ALLAH lkn tuseme tu hivoo ndo kubwa inavo takiwa
@ashaabdallah92544 жыл бұрын
Huyu ndo akija kuwa millionaire atajiita self made wakati kila kitu kapewa na baba
@clevermngao75654 жыл бұрын
Mmbongo amfanyie mdada Interview bila kumuuliza umeolewa, upo kwenye mahusiano! Kama swali hilo halijaulizwa ujue sio mbongo!
@samsonkivuyo95484 жыл бұрын
Wanapenda kuuliza vitu visivyojenga
@azzasalti61244 жыл бұрын
@@samsonkivuyo9548 sababu ikili zao ni wanawake tuu
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Safi mke wangu, uliacha shule mi nikaendelea kama tulivyokubaliana ili ikitiki upande mmoja tubebane. Sasa imetiki kwako mimi nitakuwa msimamizi katika biashara yako, Amen 😬😬😬😬😬😬😬🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@gracetweve84854 жыл бұрын
Hongereni
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
@@gracetweve8485 asante sana 😬😬😬😬😬😬🙏🙏🙏🙏
@ayoubsuleiman36754 жыл бұрын
Jmn mm wabongo huwa nawashangaa uelewa wao hivi Mafanikio yanahusiana nn na masomo jmn maisha hayana mwenyewe kusoma nikutoa ujinga tu lkn kuhusu maisha niakili yako na juhudi zako mwenyewe hivi hatuoni mfano kwa Diamond nk au Laizar yule mmasai jmn kusoma na fedhwa nivitu viwili tofauti ukisoma utapata fedhwa yakula tu nasio ya kutajirika habari ndo hiyoooo
@rashadmohamed43574 жыл бұрын
Nimependa huo msemo "Panga na Kiwembe Vyote ni Vikali...................."
@maryamm77654 жыл бұрын
👏👏👏 kila la kher
@elizabethmelema69754 жыл бұрын
Uko vizur sana dadaangu komaa
@mayaalshukairi94854 жыл бұрын
Dada naomba namba yako
@hawamojous22154 жыл бұрын
Naomba naomba utushauri kibiashara
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Ndivyo inavyo takiwa sababu mambo ya kum tegemea mzazi no kitu kibaya bora kuji tegemea