#PART

  Рет қаралды 16,171

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@maryamhussein1868
@maryamhussein1868 Жыл бұрын
Oppo P
@blessingmapazia9545
@blessingmapazia9545 Жыл бұрын
Yaani hata maneno ya kusema yameniishia.pole sana kaka Mungu afute vidonda vyako
@colethamkota5745
@colethamkota5745 Жыл бұрын
Pole sana Mungu aendelee kukupa Nguvu hakuna lililokupata Mungu akajua auliwez Haya n mapito Mungu ahimidiwe daima
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani pole kaka mungu atakulipiya kwani anaye muharibiya maisha ya mtu makusudibasi ajuwe huo ni mkopo utakuja kurudi na riba
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Hakika
@dinesschamanga
@dinesschamanga Жыл бұрын
Kabisa
@janebandihai1961
@janebandihai1961 Жыл бұрын
Ila uyo kaka jamani ndo mana ata akasingiziwa mbona mpole sana yani ata kujielezea kwake kwa shida sana kha!!!! Maskini😢😢😢😢
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Жыл бұрын
😭😭😭pole sana Brother..ila mungu ni mwema sana
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana Mungu anakusudi na wewe🙏🙏
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Pole sana mtoto wangu, mungu atakulipia tu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Amen 😭
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Amina
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Asant
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@FrankMfinanga-jj1fd Pole sana ni uchungu mkubwa sana
@witnessmakoi6616
@witnessmakoi6616 Жыл бұрын
Pole sana Mungu akufanyie wapes
@salemmwakibinga8107
@salemmwakibinga8107 Жыл бұрын
Pole mwanangu,Mungu atakulipia
@mcbalozi2519
@mcbalozi2519 Жыл бұрын
Maisha ni fumbo kubwa sana naamini kupitia mtihani uliopitia utafanikiwa na kufika mbali zaidi bora mwanzo mgumu wenye wisho mzuri
@geofreymtweve9048
@geofreymtweve9048 Жыл бұрын
Pole sana
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Pole sana kijana wangu
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 Жыл бұрын
Daa Leo wa 1
@zainabamran8230
@zainabamran8230 Жыл бұрын
Pole sana, sikufaam ila nilikuwa naomba uwe huru ni mitihani tu ya ulimwengu
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukuru kwa maombi
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukur
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Wanasheria si mumsaidie huyu kijana apate haki yake kuanzia kwa huyo mpelelezi mpaka hiyo famila ya kina maria,inasikitisha sana.
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Wengn wanasamehe tu ili waendleee kuteseka mioyo yao
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kwa nchi yetu hii ,mtu akidai haki atapotezwa au atatafutiwa jingine la kusingiziwa. Nchi mbaya sana hii
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Жыл бұрын
Mungu mwema 😢
@EvonithaBeshobeza
@EvonithaBeshobeza Жыл бұрын
Pole kaka, pole sana
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
God is Good all the time❤Pole sana mkuu
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
Daaah
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Dah😢 hii ndio dunia
@saitawilson7307
@saitawilson7307 Жыл бұрын
Duuuuuu😢😢
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Kijana mzuri hatari, but kila kitu kimetokea kwasababu mungu hakutangulie
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nashukur
@joycehashim2040
@joycehashim2040 Жыл бұрын
@@FrankMfinanga-jj1fd pole sana ndugu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
😭😭😭
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Duuuh
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Hivyo ndo vyombo vyetu vya sheria yaan unamhukumu mtoto wa mwenzio miaka 60 kwa ajili ya rushwaa hakika hii ni laana kwa vizazi vyenu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ndio maana Mahakimu hujiua au hupata mateso hapa Duniani
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Yaani hizi rushwa hawajui ipo siku watazilipia hawajui Kuna MUNGU anayewaona hasinzii wala halali
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 10 ай бұрын
Watuwengi munaongeaga hakuna hivi haki yamtu kufungwa alafu anakuja kuambia hanahatia hakiyake ikowapi
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj Жыл бұрын
Part 3iko wap naitakaa jmni
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Serekali jitahidini muwajali wafungwa afya zao,kwenye kusafisha choo kwa mkono?msitese watu kiasi hicho 😢
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Kwanini Akahe miaka yote mtoto Alipozaliwa kwanini hasipimwe DNA???
@RukiaHussein-bi8ov
@RukiaHussein-bi8ov Жыл бұрын
Mungu mkubwa na wailipia hi wote
@azizahassan6803
@azizahassan6803 Жыл бұрын
Mungu mkubwa hakika haki ya mtu haipotei
@edwardsadala4851
@edwardsadala4851 Жыл бұрын
Zingine zinapotea ndugu
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Nimelijua hilo
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Hyo Mpelelezi,Alitakiwa kufukuzwa kazi,Pia awe Gerezani.
@sashaswalehe7313
@sashaswalehe7313 Жыл бұрын
Echeka
@sashaswalehe7313
@sashaswalehe7313 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka na kulia
@eliamanifrank
@eliamanifrank Жыл бұрын
Hakika hilinalo limeisha kaka yangu ukohuru
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Ndy
@kitwanabuggatti8480
@kitwanabuggatti8480 Жыл бұрын
uyu maria mtomb… kweli xaxa mwanang
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
Mpka Bata zinashangaa jamani
@annagipson6528
@annagipson6528 Жыл бұрын
Uyo askari popote ulipo utapitia magumu kuliko ya huyu kijana 🥹🥹💔
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w Жыл бұрын
Dah yani machozi yannitoka uku nacheka
@JeniferKiwelu
@JeniferKiwelu Жыл бұрын
Huyo kaka aliyevaa nguo nyeupe sura yake sio geni namkumbuka kumbe huyo ni ndugu yake jomon
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Jomon ni nan tn
@JeniferKiwelu
@JeniferKiwelu Жыл бұрын
Nilikua namuona Sanya juu kipindi nasoma Sanya juu sekondary
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Yan roho inaniuma san had nimelia ila waliofanya ivyo mung atajua atawaukumu vp
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Kwl
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 Жыл бұрын
Maskin babaake
@مريمحمد-و5م
@مريمحمد-و5م Жыл бұрын
Pole sana
@mkombozsanga
@mkombozsanga Жыл бұрын
Pole sana
@FrankMfinanga-jj1fd
@FrankMfinanga-jj1fd Жыл бұрын
Asant
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Pole sana
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'
37:06
BBC News Swahili
Рет қаралды 24 М.
ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..!
24:37
Global TV Online
Рет қаралды 548 М.
Malaysia's Minister Says Growth Set to Surpass 5% in 2025
28:42
Bloomberg Television
Рет қаралды 31 М.