Davistar baba,,,kazi Yako ni njema! YESU KRISTO aukumbuke utumishi wako na ukafanyike sadaka ya kuugusa moyo wa BWANA,,,siku moja tukutane na wewe mbinguni tutafurahi na YESU KRISTO 🙏
@personalitiesan980610 күн бұрын
Jamaa anasimulia kwa vibe kubwaa.... pasua baba pasua baba pasua baba pasua baba 💥💥💥👏👍
@EdwardRweyendera11 күн бұрын
Shuhuda ya maana sana nawaombea waislam wote wafunguliwe macho ya rohoni wajue ukweli waje kwa Yesu
@damarisnjeri782011 күн бұрын
Mungu atukuzwe milele.
@FurahaCiza10 күн бұрын
Mungu wetu nimkuhu. Sana
@kellysmith409511 күн бұрын
Ndugu davister, shugran sana kwa makala Yako,ni kwa mda,sana,mwenzio natoka 254,kwa kweli huu ushuhuda umenibariki sana fauka na hayo, ndio sababu huwanakueleza,Kila mara,dini ya uislam,kwa njia Moja ama nyingine Ina mahusiano ya Moja kwa Moja na ushurikina,na ibilisi mwenyewe,haya yanabainika kwa kina,kwa mwenzetu huyu,Yani thibitisho kamili, barikiwa
@ElizabethMuia-ro9yh9 күн бұрын
Ata mimi am from 254, hii ni kweli si ati nikama ni kweli ,mimi niliaza kusikisa hizi testimonies za devister from 2022,ezi za Akina mzee wa bakora,mzee kanyerere etc
@parismk746011 күн бұрын
Davista unatuchelesha uhondo piga tatu kwaa siku
@vitaasumani461311 күн бұрын
Mungu asifiwe, je utajuwaje sauti ya majini na sauti ya Mungu ?
@minjanavigator855211 күн бұрын
❤❤❤❤
@mwakilamwaki730811 күн бұрын
Posti nyungine leo uwe unaweka 2
@Amani-l7d11 күн бұрын
Simu zake haziendi
@kelvinpeter566611 күн бұрын
I will buy blade
@florencerose85911 күн бұрын
Mr facts jaribu kutafuta Meshack
@geofreymulei569511 күн бұрын
Big up Mr everything ushuuda uko sawa
@amishambar341811 күн бұрын
Mwanangu dev shuhuda zako zinafungua wengi BWANA akutangulie kwakazi zako zote na damu yake ikuatamie✝️