PART3:BILIONEA COSMAS ALIEKATAZWA KUBEBA MTU SITI YA MBELE KWENYE MAGARI YAKE KAMA SHARTI LA UTAJIRI

  Рет қаралды 8,668

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@imhotepheru436
@imhotepheru436 10 ай бұрын
Asante sana DM & family. Please usimuarakishe mtumishi ila tu mkumbushe anapo sahau. Kwa Kweli tunajifundisha mambo mapya mengi sana kwake 🙏🏿
@markmwaghogho9226
@markmwaghogho9226 10 ай бұрын
Dahh nzuri sana ila mda....
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 10 ай бұрын
Mchungaji siku hizi tuishizo sasa iwe hakuna kuhariri maneno hubiri kama ilivyo Yesu yu karibu sana
@sukisa1234
@sukisa1234 10 ай бұрын
Dah hatari..Mungu aturehemu tuzidi kuyajua yasiyoonekana😮
@CosmasHamis-e4i
@CosmasHamis-e4i 10 ай бұрын
Kabisa Mungu atusaidie katika hii dunia
@mbwanaomary4504
@mbwanaomary4504 10 ай бұрын
Nimewahimo sana leo
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 10 ай бұрын
Nice story
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 ай бұрын
Hii story ni nzur lkn huyu msimuliaj anaikatisha katisha mpk inakosa rahaaa simulia kwanza hzo nasaha utatoa mwisho wa story
@osmansalum2717
@osmansalum2717 10 ай бұрын
Kweli kabisa,anazingua
@osmansalum2717
@osmansalum2717 10 ай бұрын
Miyeyusho kichz HADITHIA STORY, baadae utafanya Conclusion ya Story yako.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 10 ай бұрын
Yan story anakatisha kwa maelezo mengii mpk muda unaisha
@CosmasHamis-e4i
@CosmasHamis-e4i 10 ай бұрын
Kweli mtumishi
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 10 ай бұрын
Part 4 iwahi, ikibidi tuwekewe namna ya kuwa tunalipia story zinawahi
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 10 ай бұрын
Ok kaka D
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 10 ай бұрын
Safi👍👍👍
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 10 ай бұрын
Kwel kabsa tusiwe na mdhaha kwenye hii dunia yamungu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 ай бұрын
ni Mzaha Siyo Mdhaha ndugu
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ 10 ай бұрын
@@trophywilson7211 ndoulicho ona 🤣 tafuta pesa
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk 10 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 9 ай бұрын
Achana na ndangu ishawaliza wengj
@kakajoss2464
@kakajoss2464 10 ай бұрын
Sababu ya kuhamishwa ilikuwa nini?
@arifosman3500
@arifosman3500 10 ай бұрын
muongo uyu mzee anasema alifikia level ya hazha madrasatul jamia... yani hatahaelewi anachoongea anachanganya mada. kitu alicho kitaja kinaitwa azhar ni chuo kiko misri. yeye anasema eti ndio elimu.. ivi uyu mzee anajielewa kweli... uwongo mwingi.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 10 ай бұрын
We punda tuliza tako
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 10 ай бұрын
Masiah jedal😂😂😂hamkosekani
@W.j_nfm
@W.j_nfm 10 ай бұрын
😅​@@avitusmichael5
@User92.invisible
@User92.invisible 10 ай бұрын
We Al muhajir tulia
@kakajoss2464
@kakajoss2464 10 ай бұрын
Na wewe katika uganga wako ulikuwa unapeana utajiri?
@CosmasHamis-e4i
@CosmasHamis-e4i 10 ай бұрын
Hapana sikuwa nawapa watu utajiri
@johnsmwakalonge816
@johnsmwakalonge816 10 ай бұрын
Jhm2000
@tututz100
@tututz100 10 ай бұрын
J.B.B.1999
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 8 ай бұрын
Nice story
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Россия атаковала Украину более 100 дронами
1:11
Euronews по-русски
Рет қаралды 50 М.
Молдавия готовится жить без российского газа
1:13
UJUMBE MZITO JUU YA UNABII WA MAAFA YATAKAYOTOKEA TANZANIA NA AFRIKA
27:51
Davistar Mata Media
Рет қаралды 1,2 М.
LNS - Khinh thường bạn nghèo khổ || Despise the poor friend #shorts
0:55
Kidnapped Boy Found In Fridge | #Shorts | PD TV
0:59
PD TV
Рет қаралды 9 МЛН