UJUMBE MZITO JUU YA UNABII WA MAAFA YATAKAYOTOKEA TANZANIA NA AFRIKA

  Рет қаралды 1,374

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 21 күн бұрын
Msimu huu tutaona mengi na kuyasikiya Mengi kikubwa tunapata story kwa wakati 🤝
@knight6757
@knight6757 21 күн бұрын
Amani ya Tanzania inaondolewa na akina nani !!!!!!????
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 21 күн бұрын
Kweli mtumishii mfanoo ukiingiia TikTok utakuta Kila siku wanapost vifoo vya vijana
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 21 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 21 күн бұрын
Hivi nyie ma nabii huwa hamuonyeshwi na mungu mambo mazuri yatskayo tokea nchini lla mambo mbaya Tu nadhani mungu wetu huwa anatufunulia mwema pia
@princepaschal9963
@princepaschal9963 21 күн бұрын
Ujapa kusoma katika Neno la Mungu kuwa linasema, kila Neno lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho. Kuwanya watu makosa yao na kuwaadabisha watu ili waache njia zao mbaya? Unataka ufarijiwe unataka uwambiwe maneno ya faraja katikati ya uovu ili uangamie? Si bora uwambiwe ukweli ili utengeneze upone?
@nabihelias821
@nabihelias821 21 күн бұрын
Story ya baba lonado vp mwendelezo wake?
@Teacher_01
@Teacher_01 21 күн бұрын
Umechelewa mchungaji
@princepaschal9963
@princepaschal9963 21 күн бұрын
Mungu apangiwi wakati wa kusema.
@florencerose859
@florencerose859 21 күн бұрын
Pendera ya Africa inarangi ngaii??
@GodNessy-o1c
@GodNessy-o1c 21 күн бұрын
wewe unajua kiswahiri fasahaa kwel
@knight6757
@knight6757 21 күн бұрын
Africa haina bendera ! Ila nchi za Africa z8na bendera
@princepaschal9963
@princepaschal9963 21 күн бұрын
​@@knight6757Imeandikwa mambo ya Roho utambulikana na watu wa rohoni. Uyawezi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu. Haya ni mambo ya Rohoni na siyo ya mwilini, ivyo kama ujui mafumbo ya Roho na kuyafumbua lazima uchanganyikiwe na kuoji hoji kama ivi unavyooji.
UNABII WA MWAKA 2025 | PROPHET EDMOUND MYSTIC
1:53:08
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 55 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 231 М.