Part3_USHUHUDA WA ANGEL SHUBI|DALILI ZA KURUDI KWA YESU NA MWISHO WA DUNIA(A)

  Рет қаралды 4,853

PROMOVER TV

PROMOVER TV

9 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 20
@user-rd2pd8rz1q
@user-rd2pd8rz1q 9 ай бұрын
Hakika neno la Mungu ni kweli na Amina Mungu utusaidie tukuishie ww
@norahabuyeka9617
@norahabuyeka9617 9 ай бұрын
Hakika Nabii anafàfanua vizuri kweli kweli,Kuna mtu alisema Yesu asitajwe Israel,tujifunze kwa Hilo,Niko Kenya nikija tz nitamtembelea nabii Angel
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 9 ай бұрын
Wajina hongeravmdg wangu hongera kwa kumpenda sana Yesu, hslafu weww ni mrembo kbs hata ktk gauni la gunia, ohh utukufu kwa Yesu jamani
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 8 ай бұрын
Aise nakupenda kwelikweli mtumishi wa Mungu Angle. Ubarikiwe sana. Nimejifunza vitu vingi kwelikweli hapa.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 9 ай бұрын
Amen
@salamadzinyau5162
@salamadzinyau5162 9 ай бұрын
Amina mungu azidi kukufunulia zaidi ubarikiwe dadangu
@tumainijoshua5090
@tumainijoshua5090 9 ай бұрын
Kizazi hiki hakitapita hata yote,yatatimizwa Amini nawambieni
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 9 ай бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki.Hakika watu tumemwacha Mungu hatuna nafasi naye kabisa.wenye ufahamu tuombe rehema na kutubu.
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 9 ай бұрын
Nampenda huyu mtumishi
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 9 ай бұрын
Amen barikiweni sana promover tv kupitia nyinyi tunajifunza haya mtumishi wa Mungu Shubi Bwana azidi kufulia mengi
@Ufalme_
@Ufalme_ 9 ай бұрын
Amen, ni kweli dalili za kurudi Bwana Yesu kristo zipo wazi kabisa kila asomae na yeye asikae na ajitathmin ili ajapo Bwana Yesu Kristo kulichukua kanisa awe na haki kumwendea Bwana wa uzima.
@tamarali8325
@tamarali8325 9 ай бұрын
Amen dadangu ninakupenda bure Barikiwa. Pastor Audax I see you. Barikiweni sana Watumishi wa Mungu Promover tv ❤
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 9 ай бұрын
Wanang'ang'ania,kujaza watu kwakuwabatiza maji,ubatizo wa roho wameukataa,tena wanabatiza kwa viapo vyakidini,kitu kibaya sana, eee Mungu uturehemu,hawaongozi sala ya toba,
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 9 ай бұрын
Nikweli kabisa NENO la MUNGU ni maji,hatakasa,huuisha nafsi zenye kiu,,barikiwa sana
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 9 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi ,tujiandae YESU yuaja
@maryandason1815
@maryandason1815 9 ай бұрын
Amen blessed promover tv..n madam mtumishi
@user-ko7cv7mp1z
@user-ko7cv7mp1z 9 ай бұрын
Amen mtumishi kwa mafundisho mazuri. Mungu wetu azidi kukuongoza kukulinda katika huduma hii, ili uzidi kutufundisha na kutuombea ili tubadiilike kwa msaada wa Yesu Kristo
@user-ko7cv7mp1z
@user-ko7cv7mp1z 9 ай бұрын
Amen
@ProgramyandoatakatifuTan-sx5fc
@ProgramyandoatakatifuTan-sx5fc 9 ай бұрын
Asante ANGEL
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 9 ай бұрын
Amina Amina Sana ,nataka kujuwa vita yatatu itakuja kabla ya unyakuo ao
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
VIJANA WAFUMWA NDANI WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA LINDI
9:05
Mashujaa TV
Рет қаралды 287 М.
USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI
23:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 43 М.
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН