PART4:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 20,147

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Huyu jamaa nimewahi kutega nae butuja na mwalo wa machimbo ibanda na kigoto, jamaa ni jasiri sana huyo pia anakula chakula kingi sana, Davistar muulize jina Carlos atanifahamu maana hilo ndo lilikuwa jina langu la ziwani maana kule huwa hatutumii majina halisi, tumewahi kukoswa kugongwa na ngama na kilagala, muulize atakuambia
@derickbudodi
@derickbudodi Жыл бұрын
Ndio ww mwenye bunduki??
@8pistons194
@8pistons194 Жыл бұрын
@@derickbudodi 🤣🤣🤣
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Nyie asikari ndio tulikuwa tunawatafuta mpaka sasa mliokuwa mnamiliki risasi
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
We ni shujaaa Wamayo.... Yesu anakupenda sana brooo rudi kwake... 🤲⛪😥😢
@kijaTv
@kijaTv Жыл бұрын
Mungu kafanuie wepesi
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Shukran kwa usimlizi
@hamiduhamidu9778
@hamiduhamidu9778 Жыл бұрын
Huyu bro napenda anavyo zungumza❤
@anjelomsafi7133
@anjelomsafi7133 Жыл бұрын
Watu w mwanz rafuzi zao tamu kwa story Ila kibongo nhuzuni
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
tuache masikhara mwanza, shinyanga, geita, kigoma kuna mastory konkii sana
@carolynejackson4877
@carolynejackson4877 Жыл бұрын
From 🇰🇪 Wamayo is a good narrator.
@emanueljosephchacha6103
@emanueljosephchacha6103 Жыл бұрын
Nikweli
@donalddonald45
@donalddonald45 Жыл бұрын
Et eeeeh😂😂😂😂 hajaninyima Tena hela
@maryamomar1216
@maryamomar1216 Жыл бұрын
Mmh Kuna watu wamepitia magumu😢
@gabrielwangach9885
@gabrielwangach9885 Жыл бұрын
Very impressive story,Kenya
@georgemchele8719
@georgemchele8719 Жыл бұрын
Naomba interview na wewe
@thegreat.9869
@thegreat.9869 Жыл бұрын
Kumuota nakuona km upo naye aliyekufa tena na misukosuko ya hivyo inatokeaga ikiwa na maana nyingi... ila kitaalamu tunaita PTSD Yaan Post traumatic stress disorder... unatakiwa kupata matibabu flani hv ili ukae sawa...
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Kazi mzuri kaka NAKUBALI SANA 💪💪💪
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Etyi sisi tumeuwawa 😂😂 nacheka Kama mazuri mungu ni mwema na aziraze roho za marehemu mahali pema
@djjopaahbeats7292
@djjopaahbeats7292 Жыл бұрын
😁😁
@josephkelvin3376
@josephkelvin3376 Жыл бұрын
Kaz Kaz brother 💪🏿
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 Жыл бұрын
Kazi nzurii
@queenhenagu3496
@queenhenagu3496 Жыл бұрын
Aliesema msimliaji kapoaa naniii 🤣🤣🤣🤣🤣
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Wa3 leo😊
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 Жыл бұрын
Jamaa anamizaha et ndo pole sasa
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Usingizi wa ziwani huwa ni mzito na mtam kuliko singizi zote duniani
@yusterlucass
@yusterlucass Жыл бұрын
Singzi🤣🤣🤣
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Hao wenzako nivile walikua hawapendi kukusikiza lakini wewe ulikua unaona sana
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Jamaa pengine alichukuliwa misukule
@ashurasharif-ln4nl
@ashurasharif-ln4nl Жыл бұрын
Nipeni number pla
@angelmlay4173
@angelmlay4173 Жыл бұрын
Akarudimo,akaendako.akarudiko🤣🤣
@rahimomary7663
@rahimomary7663 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 viswahii vya mwanzaa hivyo 🤣🤣🤣
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
😂😂😂
@Ashrafbillaltkn
@Ashrafbillaltkn Жыл бұрын
waluyha wa Tanzania vipi!
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hayo ni malipizi ya wewe kupiga watu, chochote ulichowatendea watu kinakurudiaa. Wewe nawe si ulipiga watu
@magdalinekenneth7238
@magdalinekenneth7238 Жыл бұрын
Jamaa alikua anakukujia anakumbuka misemo yako angekubali kulala nchi kavu hangekufa
@hidayarajabu-vb7oq
@hidayarajabu-vb7oq Жыл бұрын
🙏
@essyesther
@essyesther Жыл бұрын
😂😂😂😂😂nacheka nini kweli
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Ss km mnajua kuna matukio ya ujambazi mkiwa ziwani kwa nn msieke taratibu za kujilinda ikiwemo kukaa na silaha za kutosha km wanazotumia wao
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Akili hio hawana
@tutaman5634
@tutaman5634 Жыл бұрын
Mulize anapajua kibuyi jamaa namjua
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Malipo
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth Жыл бұрын
Moona
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
😂😂😂
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Davista vichwa vyako vya hbr Ndo tajiri huyu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@harunmnaro1690
@harunmnaro1690 Жыл бұрын
😂😂😂
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Katupiga na kitu kizito tuvumilie tu mradi stori ni nzuri akijaharibika kitu
@gracemkanta738
@gracemkanta738 Жыл бұрын
Atatajirika baadae, tuwe wapole😂😂
@kazunguu49
@kazunguu49 Жыл бұрын
Kaandika tajiri aliyefilisika