PART6:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 17,014

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 103
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Utakutana na mtumishi wa Mungu tu atakufunza jinsi ya kutubu na kumrudia Mungu Mungu ni wahuruma kweli atakusamehe😭😭😭
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ishu sio kuua maumivu ya yatima na wajane unayabeba maisha YAKO yote
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Kuna mambo mengi sala ya kujifunza kupitia story ya WAMAYO, Daaaaaaaaahhhhhh aisssseeee dunia ina Mambo mengi sana KAKA DAVISTA MATA kazi mzuri sana kaka 🤲🤲 🙏🙏 MUNGU akubaliki sana akupe hitaji la moyo wako INSHAALLAH.
@rosemarymwandu6426
@rosemarymwandu6426 Жыл бұрын
Mlifanya kazi ya uvuvi iwe ngum sana. Mlikua na roho mbaya sana
@neemaNehemiah
@neemaNehemiah Жыл бұрын
Wamayo unasurah ya upole Sana kweli moyo wa mtu kichaka😢
@AnthoniaMaji-zm9tf
@AnthoniaMaji-zm9tf Жыл бұрын
Anahitaji msaada wakiroho, wamahali labasamu lale linaonyesha hayuko sawa.
@a.e.k6806
@a.e.k6806 Жыл бұрын
Jaman huyu msimuliaji atakuwa salama kweli....?
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Hivi davista hizi story hazitaleta shida za kuuana
@christinarussambi2161
@christinarussambi2161 Жыл бұрын
Nimewahi kidogo 😊😮
@GodfreyMaganga
@GodfreyMaganga 10 ай бұрын
Mungu wangu duniani kweli watu wanapitia
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
😂😂😂 HUYU JAMAA NIKAMA ANATANIA
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Mmm ! Mbona naanza kukuogopa wamayo mbona ukatiri hatar sana kwa binadamu mwenzio
@nyotawaciba9751
@nyotawaciba9751 Жыл бұрын
Kweli bro bro
@obbymark8556
@obbymark8556 Жыл бұрын
Kanda ya ziwa Kuna ukatili usiomithilika
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth Жыл бұрын
Mr fact bless up 😎 sad story
@josephmwalasub9001
@josephmwalasub9001 Жыл бұрын
😆😆😆daaah uyu jamaa anasimulia vzr mno ila anachekeshaa japo anavoongea vinasisimua mno ila to jmn ulimbukeni na tamaa sio vzr ni kulizika to na ulichobalikiwa na mungu ilaaa Kuna cha kujifunzaa kupitia story hii 😭😭😭
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
Ulikuwa unatumika bila faida yoyote
@habibumbawala1173
@habibumbawala1173 Жыл бұрын
Tuliokuwa tunasubiri muendelezo tujuane kwa like
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 Жыл бұрын
Acha ushamba wewe,,,,,,,
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Huyu jamaa aende jela tu Kafanya unyama wa kutisha sana Kwani mbona jela kuna watu wamesingiziwa kesi Sasa huyu alitenda tena kwa mkono wake Hatutaki kujua ametubu au ameacha Aende jela tu hakuna jinsi
@beirut9750
@beirut9750 Жыл бұрын
Nilishindwa kuendelea kusikiza hii story is worse than a horror movie nikijua wenye kuwawa ni watoto wa watu waliokuwa wakitafuta mkate wa kila siku
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Mmh jamani mungu akusamehe😢😢😢
@rosenjeri768
@rosenjeri768 Жыл бұрын
Ujeuri si ujeuri...unavyoelezea na kusimulia... Dah uko razini kweli..😢
@tinarmanka1550
@tinarmanka1550 Жыл бұрын
Nimeskza story nyingi lakn hii story ya huyu jamaa imejaa jeuri kweli kweli 😟😳😳🤔 daa kwakwel imenihuzunisha kwel Kwa hayo mauaji yote
@florencerose859
@florencerose859 Жыл бұрын
Rudia mungu hakurumie😢
@fatmangaya7108
@fatmangaya7108 Жыл бұрын
Duuu!!!! Aiseeee😭😭😭😭😭
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Kwa mtu alie okoka hii story ni ngumu kusikixa kweli hata inauzunisha kweli Mungu tu akurehemu
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
Dunia kweli haifai kuishi
@kephamaganda881
@kephamaganda881 Жыл бұрын
hakutakiwa kuelezea yote mbele ya camera nadhan anaemuhoji hakumuelewesha vizuri
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
Huyo mwenye kumuhoji ndiye fala coz wamayo amekatishakatisha bt yeye amemrudisha nyuma aeleze kilakitu aeke wazi hajui yuamtongea mwenzie coz watu wanafuatilia mark my words akimaliza kumuhoji atatafutwa na police yeye na wamayo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍.
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
We jamaa unamlipa shilingi ngap mshkaji 🤔🤔🤔
@sagaboymsouth
@sagaboymsouth Жыл бұрын
Wa kwanza leo 😊
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
Watu wapole wabaya anaku ua iviivi duhhh🙌
@greyson67
@greyson67 Жыл бұрын
Hutu jamaa anajuta na kuweweseka hawezi ishi kwa amani kamwe hapo siakili zake
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 Жыл бұрын
Huyu kwanin asikamatwe kufidia hao alio wajeruwi??!
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Kwaiyo mnauza dagaa alafu wenyewe mnawaua ngoja niendelee kusikiliza
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Ndungu msimlizi mimi nafwatilia Toka Kenya. Lakini inafaa utubu na kuomba msamaha. Kwasababu hikinikifungo. Si chakufurahia.
@zaudolutambi9895
@zaudolutambi9895 Жыл бұрын
Nan kaona kanyani kakipita hp nyuma
@manumbujohn7330
@manumbujohn7330 Жыл бұрын
Wa kwanza
@blessingblessing9641
@blessingblessing9641 Жыл бұрын
Ila watu wa kanda ya ziwa waja roho mbaya sana
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Unyama aki waa Hadi nimeogopa
@biniarb7211
@biniarb7211 Жыл бұрын
Ila Jama anashidwa kuelewa ndugu wa wahanga wapo na story Kama izi za kujinadi kuuwa ata serekali ikitaka kufuatilia ushaidi upo wazi kabisa😢
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Watammaliza ndugu wa marehemu hata Ingekuwa Mimi ningewalipizia kisasi ndugu
@hono1232
@hono1232 Жыл бұрын
Ugumu wa upelelezi, ni kujua majina, ushahidi na vyanzo vinatskiwa visiwe na shaka yoyote.pia inatakiwa eneo halisia kwa sababu kupata DNA itakuwa ni ngumu sana.DNA ina mchango mkubwa kwenye kutoa ushahidi.ikitokea vielelezo havijakamilika hakutakuwa na kesi .sababu sheria inahitaji haki isyo na shaka. Bahati mbaya technologia yetu ni ndogo.hawatumii Gps, hakuna camera na jeshi la polisi bado halijajipanga viziuri.
@danielmaeda5074
@danielmaeda5074 Жыл бұрын
Kwa ushahidi huu huyu Jamaa anafanyeje uraiani
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Mimi that's why sipendi vitu vya wizi
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Жыл бұрын
Nimekuchukia asee,ila naamini dam yamtu haiendi bure,nimeumia sana unavyoongea kama vile unachinja bata
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
ukatili uliokithiri
@georgekessy5071
@georgekessy5071 Жыл бұрын
🥺
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Wa Mayo
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Anae uwa kwa upanga atakufa kwa upanga
@ahmedsamir9814
@ahmedsamir9814 Жыл бұрын
😂😂 we jamaa n hatar sana dadek
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Yan hanavyoadisia sas hanancekesha 😂😂😂😂
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
You gotta be possessed to do all this. Ain't no way this guy wasn't/isn't hosting blood thirsty legions while doing all this 😵
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Yea true
@MozaDevi-pg1tj
@MozaDevi-pg1tj Жыл бұрын
Jmn ss msimuliaj atabak salama ..maana anavyosimulia
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 Жыл бұрын
Story inahuzunisha
@sarahlazaro4796
@sarahlazaro4796 Жыл бұрын
Wamayo mmh umenitisha
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Hivi hao wanaosimulia mambo ya kuua watu huwa hawakatwi maana jamaa anajiachia anavyosimulia
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Ukitenda ubaya lazima ukurudie kama si leo kesho
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Bora nijitupe ziwani
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ziwani pana mashetani wanywa damu uwatumia majambazi kama hawa
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
Huyu ana laana na Wala hajitambui we unaongeaje maneno hayo mbele ya kamera huyu anatakiwa kukamatwa Ili akajibu au na yenye auawe haijalishi ametubu au ameacha
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Samehe saba mara sabin,biblia takatifu imeshaliweka hilo swala wazi
@ellywilliam6313
@ellywilliam6313 Жыл бұрын
Kweli alikosea maana hakuwa na Mungu wakati huo.Yanin akamatwe wakati anajutia na pia anaelimisha watu na pia anajaribu kutoa ukweli wa Mambo ya ziwani.
@jordanminja3074
@jordanminja3074 Жыл бұрын
Uko sahihi huyu anatakiwa akamatwe aeleze wenzie wako wap huez kuua watu alaf unakuja kutapa hapa kwenye camera
@fredrickmichael2317
@fredrickmichael2317 Жыл бұрын
Jifunzeni
@chameleoncorpesprit2986
@chameleoncorpesprit2986 Жыл бұрын
Yote hayo kisa samaki za laki nane au milioni moja , mki gawa una Baki na laki nne ……..
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Huyu asameheki
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Shetani akishakuvaa uelewi kitu
@antonychristopher199
@antonychristopher199 Жыл бұрын
huu uwongo kummq tunapngwa pakubwa asee
@osmankisibo5184
@osmankisibo5184 Жыл бұрын
Huyu mwamba ndo alimuua mjaruo
@AnthoniaMaji-zm9tf
@AnthoniaMaji-zm9tf Жыл бұрын
Tumesikia ya blood diamond sasa hii ni blood fish...
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Blood diamond ni ipi?
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Mganga na jambazi ni kitu kimoja mganga anampa dawa jambazi akaue apate damu
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 Жыл бұрын
Huyu akamatwe amekili mwenyewe kufidia haki za wengine yeye anaona sifa tu
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Жыл бұрын
Shida hata akikamatwa haisaidii, kwakwel kwa roho zawatu alizopoteza,aachwe tu naamini damu zitajitetea maana walikua na familia zao wanawategemez hivyo damu zitainuka zenyewe nimeumia sana asee
@nuruchaula1772
@nuruchaula1772 Жыл бұрын
Story nimeshindwa kuendelea kusikilizs
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Umegifika had hapa 😂umejitaid
@margaretwangoi6814
@margaretwangoi6814 Жыл бұрын
Jamani ulikua mnyama wewe nadhani queen sheba uliemuona usiku alikurushia mapepo wewe
@ibrahmoha2081
@ibrahmoha2081 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mwongo atunga stori za uwongo
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Umejuaje ni muongo?
@simkotec3091
@simkotec3091 Жыл бұрын
Huyu amekiri mbele ya camera,anastahili kuhojiwa vizuri na dci
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Dah yaan 😥
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Жыл бұрын
Kapinda wamayo
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
@@sophsoph4740 balaa
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 Жыл бұрын
Toa umbea wako hapa..wewe ulijua utakutana na story za sungura!kama hauwezi kusikiliza achana na hii chanel
@simkotec3091
@simkotec3091 Жыл бұрын
@@ramadhanishabani1738 labda ziwe za kutunga lkn Kama kweli,.. kaongea zaidi ya anavyotakiwa,maana kataja mpaka majina na maeneo Sasa unafikiri kwanini asitafutwe kutoa ushirikiano.Sio lazima achukuliwe hatua japo maelezo ya kina yanatosha.
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Жыл бұрын
T.U.N.A.S.O.N.G.A 🫰
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
Hu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Sio mfungwa uliipenda Kazi hio ulishindwa vipi kuwaua hao mabosi zako
@denniswaiyaki2497
@denniswaiyaki2497 Жыл бұрын
Kenya vijana wamekufa sana wakinyaganywa piki piki na Huwa yaelekea tz kube hio ndio kazi
@ray45king84
@ray45king84 Жыл бұрын
He is also a victim who was being used by his gang, but there's no statute of limitation on murders. This is incriminating,self snitching, super crazy dumb shit ila Serikali yetu imelala. You already got a confession, just open an indictment he will snitch on his gang..show you the evidence,location,murder weapons and its a sealed solved case.Ila Seikali ndio imelala while innocent hard working citizens dying.No Justice,just us.
@FrereImran
@FrereImran Жыл бұрын
this guy needs to be locked down for life. once a murderer always a murderer.he could have run away from the gang and go back to his village, he chose to stay with them, he enjoyed the killings...
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Hivi hao wanaosimulia mambo ya kuua watu huwa hawakatwi maana jamaa anajiachia anavyosimulia
@jacksonkitta7219
@jacksonkitta7219 Жыл бұрын
Yaan cjui kama atakuwa salama bora angefunika sura
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Жыл бұрын
T.U.N.A.S.O.N.G.A 🫰
@tommymsomalishaina
@tommymsomalishaina Жыл бұрын
T.U.N.A.S.O.N.G.A 🫰
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 29 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,9 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 172 МЛН