Part5_YESU ALINIONYA KUHUSU UZAZI WA MPANGO NA CHAKULA "Muwe na kiasi"_USHUHUDA WA ESTA MASANJA

  Рет қаралды 61,799

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 248
@flourishing_wilderness6072
@flourishing_wilderness6072 10 ай бұрын
Hayo mafuta corn oil yapo hata Tanzania, mamangu aliyatumia sana na alikufa kwa cancer ya koo 2016. Baada ya kifo chake ilibidi nibadili mfumo wote wa maisha( kufunga , detox kila siku, naturalism, kutumia mitishamba). Ni kweli ukiliharibu hekalu la Mungu alilokupa na yeye Mungu atakuharibu
@JohnKamau-p1q
@JohnKamau-p1q 3 ай бұрын
Jehovah,nisamehe dhambi zangu zote zenye najua nazenye sijui,nitoe kwenye kitambu cha hukumu uniandike kwenye kitambu cha uzima wa milele.Yesu naomba huruma zako nisiangamie mimi na familia yangu.kwanzia sahizi yesu nitakutii pamoja na baba.
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Nimekusikiliza Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bilalikisembe5012
@bilalikisembe5012 2 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe mama yangu nashukuru sana kuona huu ushuuda kweli nimejifunza kitu
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Yesu Kristo tusamehe sisi tumetenda dhambi nyingi, tunaomba Toba na Rehema kwako, roho mtakatifu utuongoze kwenye matendo yetu
@gmdalalimchamungu_tz1170
@gmdalalimchamungu_tz1170 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu hii Dada Esta mtumishi wa Mungu.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Huku ulaya hayo mafuta yapo aseh uzur sijawahi tumia nlijarbu yakawa na hrf nkaacha sikupenda... Asante Yesu kwa mafunuo haya
@bedykedy3428
@bedykedy3428 2 жыл бұрын
Dah we dada Mungu akubaliki nakuonaga kwa magembe you tube live za ibada tena huku unamungu
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
@@bedykedy3428 amen, utukufu kwa Yesu..
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Uko ulaya ya wapi??mie niko America Kasikazini nchi ya Canada tumeyatumia saana
@suzanmndasha8315
@suzanmndasha8315 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa maneno ya thamani mno yameletwa kwangu ili siku moja niingie mbinguni Asanteni promover tv kwa kazi hi na huduma hii kubwa Mungu asimpungukie hata mmoja wenu katika maombi yenu Amen
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asante dada Ester huku ughaibuni tunayatumia hayo mafuta mara ya kwanza nilishangaa kumbe mahindi Yana mafuta eee Yesu unirehemu na kizazi changu bwana sitoyatumia tena
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Yesu kwa huruma yako tunaomba msamaha kwani dhambi tumetenda sana sana
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 10 ай бұрын
Uturehemu YESU Kristo😭😭
@helmashimba7761
@helmashimba7761 2 жыл бұрын
Mh true true✍️✍️
@tumainigeofrey9702
@tumainigeofrey9702 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu Kristo kwa ajili ya ujumbe huu. MUNGU aendelee kusema nasi.
@tusekilembughi8937
@tusekilembughi8937 2 жыл бұрын
Mungu unirehemu mimi mwenye Dhambi. ubarikiwe san mama kwa ujumbe mzuri
@josephriwa6478
@josephriwa6478 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mwinjilisti Esta. Pia mbarikiwe Promover TV, hakika wengi wanafikiwa na neno la Mungu kwa uwepo wa chombo hiki
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
God help us to forsake wickedness n strive to do what is right before your eyes thanks ESTA n Promover Tv Eric n Jactan nimewasalimu sana Kwa jina la Yesu
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 2 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya ushuhuda hey promover kazi yenu si bure, maisha yote Mungu awabariki nimepona kupitia shuhuda na kila siku najiona bado sijafika natamani ongezeko la rohoni, kifupi (mathayo 5;3 ) mm ni masikini wa roho mwenye uhitaji
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama hushuuda unanijega kiroho , unisamee yesu uzaziwampango nilitumia. wewe mwenyewe unipangie kisiupedavyo uzazi wangu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Andika Yesu vizuri
@RebecaKayasama
@RebecaKayasama Ай бұрын
Naomba namba yako
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 2 жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwa pendo lako kuu
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
Asante sana Promover team kwa shuhuda hizi, zinatubadilisha sana. Bwana tuwezeshe kutengeneza njia zetu.
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@stanndossy9371
@stanndossy9371 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana
@elizabethmuthike9623
@elizabethmuthike9623 2 жыл бұрын
Weeeee apa niatari jamani maneno aya yote niyakweli kabsa woooi mungu utusaindie kwakweli
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu 🙏 Kwa kutupenda na kutufunulia ukweli juu ya haya 🙏😔😔
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Amina 🙏🇰🇪
@JustoOluoch
@JustoOluoch 6 ай бұрын
Amen
@vivianadiang2501
@vivianadiang2501 2 жыл бұрын
Amina nashukuru Mungu kwa ujumbe mzuri sana
@elizajeremiah774
@elizajeremiah774 2 жыл бұрын
Jactani Na timu yako Mungu awabariki Kwa kazi mnayoifanya
@loynkelelwa1286
@loynkelelwa1286 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu Kwa mafudisho
@asnathmakililo8697
@asnathmakililo8697 2 жыл бұрын
Amina mama, umekubari kutumiwa, MUNGU anisamehe pia namshukuru kwakuwa najiona ni mwenyeneema kuzijua Siri izi zote Ili nisizidi kupoteaa, Asante sana watu wote mnaosikia shuhuda na kuzitendea kazi, pia apo studio mkazidishwe ata mitambo yenu isiaribike kabisa vizuizi visiinuke Kwa jina la Yesu kristo,.
@canopyofglory1067
@canopyofglory1067 Жыл бұрын
God bless you our dear sister for the revelation our Himself gave us through you. keep the good work.
@mputaostin3077
@mputaostin3077 2 жыл бұрын
Thanx for this message be blessed
@lilacjoseph9509
@lilacjoseph9509 2 жыл бұрын
GOD thanks for this
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
YESU turehemu wanawake
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
Yah sababu wengi wako kuzimu sababu hata wale wameokoka Bado hutumia family planning ama kusuka
@emmylema5911
@emmylema5911 2 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri Bwana Yesu asifiwe amina
@brendakerora1707
@brendakerora1707 2 жыл бұрын
She is speaking the truth I had many sexual partners na nlipoenda screening I was found with cervical cancer at the age of 26 😟 help me God
@evelynetitus974
@evelynetitus974 2 жыл бұрын
Ee Mungu nirehemu
@rechomethod8288
@rechomethod8288 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ushuhuda, yesu atusamehe tumetenda dhambi nyingi kwake
@vumiliachengula6021
@vumiliachengula6021 Жыл бұрын
Mama Pole na kazi ya MUNGU
@christinenelima2641
@christinenelima2641 2 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana na ushuda wako
@divine6145
@divine6145 2 жыл бұрын
Yesu tusaidie mambo haya duniani bado hayajulikani ....Yesu tufungulie fahamu zetu
@rosenandako777
@rosenandako777 2 жыл бұрын
Amen in Jesus Name. Thanks sister God bless you and prom tv.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Amina kubwaaa
@Blessedpeace
@Blessedpeace Жыл бұрын
who then can be saved... Mungu nipe NEEMA
@prudencesumbane2886
@prudencesumbane2886 2 жыл бұрын
dada Mungu akubariki sana, nimetumiya izo dawa kwa myaka3 nilipo enda kwenye scan ,wamekuta niko na kidonda kikubwa ,mukizazi , naapo nilikuwa na maumivu kilasiku, ndani ya tumbo😂
@Lighthopetv1
@Lighthopetv1 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana
@hurumakibona3687
@hurumakibona3687 2 жыл бұрын
Dada mafuta ya mahindi yapo kweli kuna machine zinachuja. YESU TUSAIDIE.
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Amen mwinjilisti Esta na team yote ya promover tv Mungu awabariki kwa kazi njema
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada Esta nimepokea
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 2 жыл бұрын
Amen.
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Tumesikia ubarikiwe sana
@ayubuemanuel5152
@ayubuemanuel5152 Жыл бұрын
Amen Tuponye Wanao Baba Wa Mbinguni 🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Haleluya AAA na MUNGU ATUSAIDIE MAANA DUNIANI tunapita
@jasminemahindu3423
@jasminemahindu3423 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@elinajamson4186
@elinajamson4186 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie.wengine wana mioyo migumu
@musakasingo594
@musakasingo594 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Ester Masanja
@gracelucas2501
@gracelucas2501 2 жыл бұрын
Amen barikiwa
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mama
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 2 жыл бұрын
Mungu akutunze naaendelee kuku tumia.
@deogratiousfaustina375
@deogratiousfaustina375 2 жыл бұрын
Mtumishi,,,tusaidie kumwandaa aje aseme juu ya anga Saba aligusia part1
@linetmusee6500
@linetmusee6500 2 жыл бұрын
Amina! ni kweli kabisa!
@rebeccamuigai6693
@rebeccamuigai6693 2 жыл бұрын
Amen, thanks to God for the love he has for humanity,
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Amen 🙏 amen yesu ni ongoze kwakila jambo nataka nikitumikie yesu kristo mwana wa Mungu alie hai🎚🙏
@mourineauma7323
@mourineauma7323 2 жыл бұрын
Mungu Anisamehe ,,,nione utukufu wake Amen
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Amina Amina Amina
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Jamani jamaniiiii! Sasa sisi tukiambiwa haya ni mafuta ya mahindi c ndo tungefurahi kabisa! Asante na ubarikiwe sana Mtu wa MUNGU Esther
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Aseh kuitunza miili yao. Aseh inabid kumuuliza Mungu kila kitu aseh
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
AMEN
@lucykarebe1567
@lucykarebe1567 2 жыл бұрын
Corn oil, yapo na bei yake ni ya juu sana
@shukurumwinami4958
@shukurumwinami4958 2 жыл бұрын
Turudi sauti inabembeleza jamani. Yesu Kristo yu malangoni
@catenzoka2003
@catenzoka2003 2 жыл бұрын
Wamama Tutubu jameni tumemchukiza yesu Kwa wingi fa Mily planing na marembo.licha. Ya kuwa wanaume Mnausika Kwa njia tofautitofauti.kwa mfano,mnatupa Hela .
@paulokiwango21
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Napenda haya mambo sana
@emmanuelmwailenge8887
@emmanuelmwailenge8887 2 жыл бұрын
Nashukuru MUNGU Kwa jinsi alivyokutumia Kwa ajili yeti, akubariki
@rosemarygerald3745
@rosemarygerald3745 2 жыл бұрын
Mafuta ya Elianto Kenya yapo,nimekutumia Sana kamwe Mungu nisamehe.
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mtu wa Mungu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mmm alitaja neno hili yule dada kutoka Kenya nawe pia umelirudia Mungu tuhurumie
@NinaMbonimpa
@NinaMbonimpa Жыл бұрын
Asante Mama ila twaomba Mutusaidiye ni gisi gani tunapanga uzazi wa Mupango uliyo sahihi mbele za Mungu
@VIRGINIAKAMAU-c5s
@VIRGINIAKAMAU-c5s 3 ай бұрын
Muachie Mungu kazi yake
@christianfradius3704
@christianfradius3704 2 жыл бұрын
Mechanism of actions of oral contraceptive pills,hahah hataree Sana , jueni Sasa Mambo yako wazi Apo , uamue kutumia uzazi wa mpango au uache! ,
@agnesmuthara3481
@agnesmuthara3481 2 жыл бұрын
Tunawacha kabisa kaka
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana PROMOVER TV
@neemamarko176
@neemamarko176 2 жыл бұрын
Amen 🙏 Asante
@evangelistdanielsenyagwa4018
@evangelistdanielsenyagwa4018 2 жыл бұрын
YESU tusaidie YESU
@innocentmido7016
@innocentmido7016 2 жыл бұрын
Kiukwer Mimi nimeokoka huyu mama nimempigia amenierewesha ualikiwe mama
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Bwana uturehemu
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Bwana atulinde kabisa
@Lameckalbano
@Lameckalbano Жыл бұрын
Balikiwa sana promover tv
@jesusreignsrestorationministry
@jesusreignsrestorationministry 2 жыл бұрын
Mama mafuta ya Corn oil: YAPO yanauzwa madukani nchi za Ulaya. Ndio maana Roho wa Mungu na wanaoelewa wanatumia Organic Olive oil na mengine ya kiasilia tu. Japo yanauzwa ghali kidogo! Ni heri kuliko kuharibu hekalu la Roho Mtakatifu.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kuzuia ni kuzuia yote ni dhambi tu zaeni
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
kuzaa au pia kufuata karenda
@winnyrocha190
@winnyrocha190 2 жыл бұрын
Nakushukuru yesu kwaajili ya maono.. Amen
@aderna2093
@aderna2093 2 жыл бұрын
Ubalikiwe.mama
@frolasospeter6000
@frolasospeter6000 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mama kutufunuria sili hii.
@juniorrichard4520
@juniorrichard4520 2 жыл бұрын
PROMOVER TV MWANZO1:29-30 , MARKO 7:18-19 Mungu ametupa ruhusa kula vyote hata kama ukitaka kula mbwa , mjusi , ngamia , tembo , konokono , nyoka , paka. Mungu anasema ndiyo chakula chenu haijalishi ukiumwa sababu ya kula chakula hicho hiyo ni juu yako . MARKO7:18-19 Yesu Kristo wa Nazareth amevitakasa vyakula vyote . Hata kama ukila chakula ukaumwa hiyo ni juu yako , sababu chakula hakimwingii mtu moyoni ila tumboni kisha hutoka chooni
@juniorrichard4520
@juniorrichard4520 2 жыл бұрын
1TIMOTHEO 4:3-5 Basi Roho anena waziwazi kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zifanganyazo na mafundisho ya mashetani . kwa unafiki wa watu wasemao uongo(ESTA MASANJA) wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; wakiwaamuru wajiepushe na vyakula ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli
@japhetstephano5517
@japhetstephano5517 Жыл бұрын
Kilichonishangaza ni eti kutumia mafuta ya mahindi ni dhambi!!
@saidatisentereko1115
@saidatisentereko1115 2 жыл бұрын
Naamini nimewekwa huru leo. Natamani kukua kiroho, nanimeona mambo ya Romania ni makubwa lakini naamini Mungu Hana upendeleo na ndio maana aliruhusu mama yetu Esta kuona hayo ndio tupate kupona na kumrudia yeye. Nilidhani nimeokoka lakini leo nimeokoka tena na ninaomba neema ya Mungu ili niishi katika utakatifu. Lakini pia tunahitaji Akina mama wa kiroho kama mama yetu Esta ambaye anaweza kutembea na sisi ili tuweze kuukulia woke up na kujifunza mengi zaidi. Mungu awabariki sana prom over kwa kukubali kuwa madhabahu ya kupitishia vitu vyema.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@josephinakabada1544
@josephinakabada1544 2 жыл бұрын
​@@PromovertvTz
@harerimanagaudence2926
@harerimanagaudence2926 2 жыл бұрын
Mafuta hao kwetu hapa America ni mengi sana
@juliomgimwa8448
@juliomgimwa8448 Жыл бұрын
Kwa Kweli yesu atusaidie Sana wanadamu
@mmma6210
@mmma6210 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭....amen
@saidatisentereko1115
@saidatisentereko1115 2 жыл бұрын
Yaani Mungu aturehemu acha niseme Mungu anirehemu. Kwa muda mrefu nimetumia hayo mafuta ya mahindi lakini kwa Sasa natumia olive oil pia nilifunga uzazi sijui kama hiyo ni dhambi ama la! Nimeomba toba naamsihi Mungu anirehemu. Nami pia nilijifungua kwa upasuaji Mara Tatu ndii maana tukaona tufunge uzazi.
@mercycharlesmsiagi1756
@mercycharlesmsiagi1756 2 жыл бұрын
Kufunga uzazi ni zambi omba toba2
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Huna dhambi kufunga kizazi kwa vile ulikuwa hatarini,Madakitari wamewekwa na Mungu watuokoe Kimwili
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@mercycharlesmsiagi1756 angalia shuhuda zake amepasuliwa mara 3 ulitaka afe??mmm hiyo si dhambi ndugu,Uangalie Mazingira hiyo dhambi yake Madakitari wataulizwa na si yeye,Acha kumtia hofu,Funga bila shida ndo dhambi
@mercycharlesmsiagi1756
@mercycharlesmsiagi1756 2 жыл бұрын
Ah tun rudi pale pale tendo alija wekwa kama starehe lim wekwa kama uzalishaji nd maan un ambiwa tuwe n kiasi ndugu ata kama ume zaa kwa uperesheni ukifany siku salama ut kuwa ume pungukiwa nini madaktari awawezi beba zambi y mtu daktari at ukumiwa kwa kukufunga n wewe uta hukumiwa kwa kufunga kuzaa kwa upereshen aita kuwa sababu ya kujitetea ety ufunge kizazi ata mi nimefanyiwa uwo upasuaji mara2 na nim amuwa niwe na kiasi ina tosha kbsa
@mercycharlesmsiagi1756
@mercycharlesmsiagi1756 2 жыл бұрын
Ach kudanganya mwenzako kumfariji kufunga uko kizazi akun tofauti n kutumia uzazi wa mpngo maan n ut kuwa um funga ili ufanye ilo tendo usipte mimba lkn km uko un fata siku salam mbn n nzr2 tatizo w2 wam uwendekeza mwili n kufany tendo km nd kil kitu lkn km uko bize n kutfta MUNGU ata ay mambo aya wez kukupelekesha
@ayubu_podcast
@ayubu_podcast 2 жыл бұрын
Dhambi mbaya jamani dah!! Mungu atusamehe 🙏🙏
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 2 жыл бұрын
Amen, BWANA YESU KRISTO aturehemu sana
@HelloThere-tv7xf
@HelloThere-tv7xf 2 жыл бұрын
🙆‍♀️ deep!
@millicentywauii2307
@millicentywauii2307 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 жыл бұрын
Mafuta ya mahindi yapo huku Omani huwa tunayatumia jamani Mungu tusaidie 😢
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Yapo na Marekani na yapo na hapa Canada Mengi tuu
@apoloniaalex2825
@apoloniaalex2825 2 жыл бұрын
Ndo mafuta ya kufanyeje?
@winnyrocha190
@winnyrocha190 2 жыл бұрын
Kuhusu uzazi nikweli hta mm niko na sindano ya family plan lakini bwana alinipa maono ili niitoe
@elizathomas7442
@elizathomas7442 Жыл бұрын
Acha dear twende mbinguni
@joramndirangu2263
@joramndirangu2263 Жыл бұрын
0
@GraceNyanda-v2q
@GraceNyanda-v2q 22 күн бұрын
kwahiyo unatumia nini
Part6_IJUE SIRI YA MBINGUNI| USHUHUDA WA ESTA MASANJA
31:12
PROMOVER TV
Рет қаралды 26 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 75 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Nyisake Chaula_Historia
47:51
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 9 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 11 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 75 МЛН