Hii dunia ina mambo mengi sana jamanii hyu baba aliyo yapitiya nimengi sana na yaajabu wengi tunayaonaga ty kwenye muvie davista Mungu aendelee kuku tunza maana mimi nilikuwaga najuwa nimambo ya kufikirika tu kumbe nikweli kuna watu wameyaishi tangu nimeanza kukufwatilya nimejifunza vitu vingi sana kaka Mungu akutunze mnooo ❤❤ 4:53 4:55
@kulthumsaif2856 Жыл бұрын
😂😂 wa mayo Unanifurahisha saaana unavo simulia Nakuamkia Shkamoo🙋♀️
@othmanmulendelwa9622 Жыл бұрын
Wamayo bg up una adixia vizuri sana kuliko watu wengine wanao pita apa kwa davistar
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Wamayu anafurahisha sana kwenye kutoka nduki nacheka kama mazuri🤣
@lydianyangau8142 Жыл бұрын
Am Lydia from Kenya nafatia huu mukaza hunasangaza muno
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
😂😂😂Sawa
@carolinemusimbi725 Жыл бұрын
Siku izi naota OTA ndoto za ajabu watu wangu hii story inataka ujasiri monee 😂😂😂😂
@veronicaatieno6160 Жыл бұрын
True ata me tangu nifuatilie yote nina ndoto za ajabu kwa jana nilikimbizwa sana usiku kw ndoto
Haya maisha bora tuishie kusikia story tu ila shetani hana huruma akiamua kukutumia hanashukrani wala huruma ,Siku za mwisho hiz shika sana ulicho nacho, Mateso yote hayo na bado mtu unakufa masikini
@rab792 Жыл бұрын
Msalimie sana Wamoyo Rahim from Copenhagen
@saidabdalla8996 Жыл бұрын
Ulikuwa unakula nyama za watu bila kujielewa ndugu
@Patience.67 Жыл бұрын
Pole wamayo shetani ni mbaya kweli
@maryfonga2200 Жыл бұрын
Aiseee! Kama ndoto vile yaani
@rebeccajames4412 Жыл бұрын
Wamayoooo❤❤❤❤❤
@winniemuchai280 Жыл бұрын
This keeps me going umepitia
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Wa kwanza na msibishe😅
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌️🙏.
@Patience.67 Жыл бұрын
Hawa wajoka wa kichawi wale uelewa vita vya kiroho mara mingi sana tunapo omba sisi ubambana nazo
@puolmlimi7722 Жыл бұрын
Mungu mkubwa atakuokoa
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
😂😂😂😂 ukamkimbia mama na watoto😂😂
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mimi #3
@imagepower3641 Жыл бұрын
Wamayo 🔥
@Teacher_01 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️🔋
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Wamayo simba akavuta mguu namkojo ukakutoka😅😅
@Babawatotoofficial Жыл бұрын
Kuna mdogo wangu hataki kabisa kumuangalia wamayo sabab ya srory yake inatisha😂😂😂😂😂
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Inatisha hata me jana usiku nimejikuta naogopa
@ConsolathaNyanzobe Жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 mee ikifika usiku sijasikiliza sisikilizii mpka kesho yakee 😂😂
@kazinzangonda230 Жыл бұрын
Hatariiiiii
@paschalmayunga749 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kiehbhzh7044 Жыл бұрын
Wamayo uyu apa☝😊
@hellenmuhando3860 Жыл бұрын
Wa 5😂😂😂😂😂 Wamayo oyeeee💪🏽💪🏽💪🏽
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
Wamayo anavyoangalia kama analiona boksi vile😅
@VitusSamwelMatongo Жыл бұрын
Wakwanza
@catherinejames6714 Жыл бұрын
Part 56 please
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Sio nyoka jini huyo ulipewa
@LukasyChacha-mj2sj Жыл бұрын
Nimepend adisia. Huyo jamaa saiv anapatikan. Wap
@justinemushi1790 Жыл бұрын
1
@salukisendi9333 Жыл бұрын
Kqzi yq shetani hayo maisha ni ya kuzima kabisa
@jumakisomi5421 Жыл бұрын
Davi hii story iishe sasa tufatilie na nyingine... Huku unapost ya mchungaji huku unaendeleza hii
@mwitamalwa2773 Жыл бұрын
Wamayo
@yvettekyalika907 Жыл бұрын
🤔 all this cartoon of Walt Disney ina angaliaka watoto zetu ni uchawi mutupu😢Parents ,wazazi TUAMUKE ! And REPENT !
@munaahkiogakioga7330 Жыл бұрын
Wamayoo
@MustafaErnest-gt1tt Жыл бұрын
Wakwanza hapo
@othmanmulendelwa9622 Жыл бұрын
Wamayo funguwa kanisa uta wa pata wa umini wengi ambao awajui bibilia
@rerisamba Жыл бұрын
Mmmm huu ulimwengu wa.roho mbona una vituko kweli
@sikukuusaid-ki1yn Жыл бұрын
😂😂😂 wamayo ww uliona mambo mengi San hao watu wafupi Huwa watu hawaonekani ukiwaona km upo njiyani lazima upotea
@martoo539 Жыл бұрын
Wamayo makosaa stori banaa😂😂
@allymadenge4603 Жыл бұрын
KAZI. KWELI. KWELI. UMEPEWA. NYOKA. TENA KUISHI. NAE. DU. KWELI. JEHANAM. NI. HAPA. HAPA. DUNIANI
@catherinejames6714 Жыл бұрын
Part 56 tunaomba
@Patience.67 Жыл бұрын
4
@othmanmulendelwa9622 Жыл бұрын
Wamayo towa namba tukuunge mkono
@jacobjackson6792 Жыл бұрын
Kilete chuma cha wamayo
@zulekhasaud483 Жыл бұрын
Acha kufuta comment za watu wache wa comment wanacho jua