PART7:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 16,116

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Davister mbona unaongopa hapo ....😊 Zambi zote kristo anasamehee ispokuwa zambi ya kumtukana ROHO MTAKATIFU haisameheki kaka jaribu kurudi kwenye biblia kidogo na maneno hayo aliyasema KRISTO mwenyewe MUNGU Mwenye NGUVU.....Aminaa
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Lete stori wamayo mwananguuu...🤗😆😆😆😊
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Pamoja davister King Solomon from South Africa.....🇿🇦🇹🇿💯
@LadislausOdilo
@LadislausOdilo Жыл бұрын
Wa mayo nimekupenda unavyomsikiliza Davister kiukweli Bwana Yesu akurehemu uwe kiumbe kipya unapendwa sana na Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo endelea kumwamini Yesu
@Teacher_01
@Teacher_01 Жыл бұрын
Daa wamayo mungu akusamehe....
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 Жыл бұрын
Story ya huyu kaka mimi naogopa kusikiliza yaani mnauwa wenzenu kama mnaua mbu kwel
@happychuwa-ph7gm
@happychuwa-ph7gm Жыл бұрын
Mimi kuna sehemu nasogeza mbele ,mpaka ninaota usiku lakini siachi kufuatilia
@tecladainty
@tecladainty Жыл бұрын
Nashindwa nitalala vipi. Kilichonituma hapa. Bado kukesha tu.
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 Жыл бұрын
🤦 huyu ni jambazi kamili.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Halafu na yeye atakufa na kuacha vyote
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Sanaa
@cyantess8423
@cyantess8423 Жыл бұрын
God will not remember our sins isaiah43;25
@Anastadhi
@Anastadhi Жыл бұрын
Yesuuu Anguu mimi ni mtakatifu kwakweli sijawahi fanya hayo
@FrankMengo-lv9ob
@FrankMengo-lv9ob Жыл бұрын
Dah!
@mikeraphael957
@mikeraphael957 Жыл бұрын
Keep it up Davistar!! Tupo pamoja toka States
@JaneNdunge-x5d
@JaneNdunge-x5d Жыл бұрын
He feel guilty of what he did si yeye alikuwa anafanya ni uchawi😢
@margaretwangoi6814
@margaretwangoi6814 Жыл бұрын
Wewe watisha kweli unasema ujasiri na ni unyama huo
@richardjoseph3347
@richardjoseph3347 Жыл бұрын
Dah Pole sana kaka lkn mm ninahofia je bdae hawo watu uliyowafanyia hayo matukio je wakina hichi kipndi hawatokuletea shda wanaweza kulipza kisasi
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Unyama of the highest level
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Damu za watu zimekusumbua mpaka umejiweka hadharani mimi naona hungesimulia kabisa
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ili watu waone watu walivyo
@dennisbarongo2411
@dennisbarongo2411 5 ай бұрын
hizo damu za watu zitakuandama maisha yako yote,
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Wa kwanza Mimi hapa
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 Жыл бұрын
6:10 binadamu kweli ni mnyama
@kassianwilliam8257
@kassianwilliam8257 Жыл бұрын
Kiukweli unahitaji kutubu kwa haki Sana mbele za MUNGU ingawa hakuna mwanadamu mkamilifu. Lakini ktk kitabu cha isaya amesema "Njooni tusemezane asema Bwana dhambi zenu zijapokuwa nyekundu km damu nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama theruji" kila atubuyw kwa haki MUNGU humsamehe haijalishi umepitia pito gani. MUNGU akuimarisha sana ndugu yetu na usimwache huyu MUNGU kwa maana ni yeye ndiye aliyeamua kukutoa huko endelea kumtumikia sana MUNGU.
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Kupitia hii story najiona kama mm mtakatifu umekatisha maisha ya watu jamn duuh Mungu atusamehe
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Sio mtakavifu
@nassorhamed1795
@nassorhamed1795 Жыл бұрын
DAAAH JAMAAA AMEFANYAA MAUAJI MENGIIII
@davydmlay3264
@davydmlay3264 Жыл бұрын
He is real namkubali sana jamaa ana jua kusimulia sana
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Mmh inatisha sana
@florencerose859
@florencerose859 Жыл бұрын
Sad sad simlizi 😢 tafuta mungu uombe msamaha you did was things
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Huyu hata MUNGU hawezi msamehee
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Davista uyu jamaa ungemficha uhusika mzee
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
Good point, angeficha sura angalau
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
Hamtakii mazuri na pia yeye atatafutwa after kumaliza hii story
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
Badili amfiche amejificha yeye bt itamcost
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
@@twaine40 Kajificha yeye?😝😂😂😂😂
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Жыл бұрын
Mmh, hapa sheria inasemaje kuhusu hili. Nadhan khna umuhim Davistar ufanye kitu kulinda maslah na usiri wa wasimuliaji. Hata wewe huenda itakucost pia.
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Sheria ipi? Wanasheria tupo tunashikiliza pia au unataka nini?
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍.
@butoyisonga900
@butoyisonga900 Жыл бұрын
tatizo umaskini africa ingekua hawo watu wote km wangekua na caméra leo usingesema hivo
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Ukisikia majambazi sugu ndio hawa
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 Жыл бұрын
20:40🙆🙆🙆🙆🙆
@wilbroadndunguru6825
@wilbroadndunguru6825 Жыл бұрын
Davistar umekosea sana, huyu jamaa anaweza kuwa safe kisheria lakini kijamii umemuweka hatarini kuliko unavyifikiria... Unadhani huyo jamaa aliyekatwa masikio hawezi kumkumbuka huyu mwamba? Ninaamini utajutia hii interview.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hata Mimi simuachi kama alidhulumu damu yetu
@bobboris4859
@bobboris4859 Жыл бұрын
Fact bro hawa wandishi wantka content tu hwjuhi usalama wa watu
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr Жыл бұрын
Huyu ni lazima Serikali ichukue hatua. Swala la kusema Mungu alisamehe hii ni uongo. Wakati wa Corona sio zamani matukio yake huyu ameyafanya juzi tu.
@Lileaglebillionboy
@Lileaglebillionboy Жыл бұрын
Ww huna dhambi nn au unaona za wenzio ndo kubwaa sana
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr Жыл бұрын
@@Lileaglebillionboy acha kuwianisha makosa ya jinai na dhambi. Huko nikukosa uelewa . Jela inamuhusu sana huyu na already ameshakamatwa hata tunavyoongea. Wewe endelea kuulizia kuhusu dhambi.
@norbertmafioso3213
@norbertmafioso3213 Жыл бұрын
😂
@Lileaglebillionboy
@Lileaglebillionboy Жыл бұрын
Nani kamkamataa acha uongo
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kwa sheria ipi itamfanya akamatwe au unataka tuanze kuchambua madesa ya sheria hapa
@norbertmafioso3213
@norbertmafioso3213 Жыл бұрын
Eti na ulimi😂
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Wa kulaumiwa ni waganga wa kienyeji ndio utuletea shida zote hizi, waganga ndio uwapa nguvu majambazi
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 Жыл бұрын
22:15 ulijua aje albino alivyozungumza ilhali mulikuwa mmepotelea porini?
@samirbinjohn3188
@samirbinjohn3188 Жыл бұрын
Davistar umeanza kuongea Sana Tena katikati yakipindi acha watu wa flow na story maswali yako mulize mwisho wa story uwe na andika sehem kama una swali lako
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Eti Mungu ameshakusame sasa wewe umejuaje au unamtia moyo 🤣
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Жыл бұрын
Daaa jamaa bhn angeficha sura tu maana matukio haya n mabaya Sana aloyafanya
@rastamabuki1768
@rastamabuki1768 Жыл бұрын
Umonee
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mtoa hukumu ni Mungu zaidi ya hapo ilibidi upate mateso makubwa kabla hujafumba macho.
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Waganga na Wachawi na washirikina wanaopenda uganga yaani kwa Mungu hata hawatajuaga ni wapi, huyu jamaa yote alofanya hakuwa yeye sema Mwili na Sura yake ndio vilikua vinatumika kufanya matukio hayo. Huwezi fanya kazi ya milioni 20 alafu ukapewa lakimoja na ukawa na furaha na bado unapewa kazi nyingine ya hatari na bado unakwenda, huyu hakuwa yeye pepo lilimvaa hapo wakulaumiwa ni Bosi wake ndio kila kitu
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Msamaha ni kutoa siri zote na kuisaidia police kuutaja mtandao wote ulioshirikiana nao
@angelasamwel94
@angelasamwel94 Жыл бұрын
Kwakwel stir zingine za hivyo sana
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Yani utende zambi kwa kukusudia utegemee kutubu
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Wamayoooooooo
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Davista Huyu jamaa hii story haitomletea shida??
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kwa sheria gani?
@plastaog1150
@plastaog1150 Жыл бұрын
itakuja kufungwa We kuma, Umefanya Watu Kua welemavu halafu unaelezea kirahisi tu kuma la mamako Ww
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Doh mpaka kwa mjane hii nikali
@hamisinyetikamagwega3570
@hamisinyetikamagwega3570 Жыл бұрын
Hivi kwa mfano kwa stor kama hii serikali haiwezi kumtafuta huyu bwana mkubwa wamayo???
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ukitoa siri ni kama unatubu serikali haiwezi kukufatilia. Sema huyu ni muhimu Ili kuwapata kina carlos na wenzake
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Walikutumia vibaya sana hao watu
@binamukato9700
@binamukato9700 Жыл бұрын
It's educational but the victims will they not come for him davy....
@LadislausOdilo
@LadislausOdilo Жыл бұрын
Kumbe kuna na miskule hata kwenye secta ya ujambazi
@nargisfazal7841
@nargisfazal7841 Жыл бұрын
Wamayo wew ni atari
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Anaoneka mpole🤣🤣🤣🤣
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Hatari sana
@tututz100
@tututz100 Жыл бұрын
NDUGU
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Ukiwa jambazi unaongozwa na shetani kila ufanyalo
@ibrahdimpoz5820
@ibrahdimpoz5820 Жыл бұрын
Serikali inamuhusu uyu jama ninasikiliza story Ila napata picha kwamba jama lazma alipizwe, sawa kaelezea tumemskia Acha Familia za wafiwa zianze mashtaka Sasa
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Hakuna mashitaka jomba!!! Sheria sio rahisi kama unavyodhani
@mahamudaideed6922
@mahamudaideed6922 Жыл бұрын
Anavozidi kusimulia ndio anavyozidi kutisha
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Mmmh!🤔
@yonamwashiuya8859
@yonamwashiuya8859 Жыл бұрын
mh yaa nilianza nayo mwanzo niliifurahia kweli hadisi lakini saizi naogopa baraa
@rosenjeri768
@rosenjeri768 Жыл бұрын
Mtoto ...ungemgusa laana ingekuhusu...una roho chafu....
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
SASA HUYU JAMAA ALIJUAJE KAMA ALBINO ALIONGEA WAKATI YEYE ALIKIMBIA 😅😅😅
@hannapraise6885
@hannapraise6885 Жыл бұрын
Story ni ya kweli ila anaongezea tuuongo😂😂😂😂
@hamisinyetikamagwega3570
@hamisinyetikamagwega3570 Жыл бұрын
Wamayo na kachnga ungeua ww jamaaa ulikuwa shetani hakika
@benjamimmyaya5907
@benjamimmyaya5907 Жыл бұрын
Huyu Mungu akimsamehe niite mbwa. Bado anaoenkana jambazi kabisa kaka Davi.
@innocentpius8083
@innocentpius8083 Жыл бұрын
MUNGU sio wew hata wew unadhambi bro
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
​@@innocentpius8083 kweli hakuna duniani mtakatifu pia yeye mwenyewe amejitukana ako na dhambi😢
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Sawa Mungu
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
@@innocentpius8083 lakini kuuwa ndio dhambi ngumu kusameheka ndugu Bora mtu umuibie utamrudishia mali zake kuliko kuuwa roho haiwezi Rudi soma vzr kumbukumbu la torati utaelewa
@innocentpius8083
@innocentpius8083 Жыл бұрын
@@madetetv6576 MUNGU YUPO NA ANASEMEHE SOMA MAANDIKO VIZUR..
@leahlucas479
@leahlucas479 Жыл бұрын
Ss huyu siatakamatwa na polisi?
@princetshiyuka7523
@princetshiyuka7523 Жыл бұрын
C'est un sorcier ce Mr 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kwann
@maxwellssemakula1565
@maxwellssemakula1565 Жыл бұрын
Davista acha kuongea katikati ya kipindi,na hata Biblia pia hujui.
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
Sheitaaani wivu itakuuwa
@nassorhamed1795
@nassorhamed1795 Жыл бұрын
Ilaaa serekali haimfanyii kitu watu km hawaaa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Sijui kwakweli
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Жыл бұрын
Liongo hili,yaani ushakimbia unajua watu wanajaa mtoto anaongea kwamba wamenikata???
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
😝😂😂😂😆😆
@rajabhamis7595
@rajabhamis7595 Жыл бұрын
Halafu jamaa anacheka
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 Жыл бұрын
Monnee
@PriscaTenkey
@PriscaTenkey Жыл бұрын
Hahaaaa
@florencerose859
@florencerose859 Жыл бұрын
Hingawa bible inatufunza tusilipe panga kwa panga lakini huyu anafa mateso makali kuliko mateso yote duniani
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
Weee unaonaa tu huyuuu ,,,,watu n wanyamaaa madam ACHa huyu kaka hakirii
@yonamwashiuya8859
@yonamwashiuya8859 Жыл бұрын
wewe wasema ila tumwachie yeye ndo mwenye kuhukum
@NyansikaWaitara-hg4px
@NyansikaWaitara-hg4px Жыл бұрын
Huyu jamaa anachoongea ni uhalisia au?? Na yuko wapi??? Hakika angekuwa hapa karibu ningekuua na familia yako yote. Uokoke usiokoke unafaa kuuawa tena na familia yako yote
@martoo539
@martoo539 Жыл бұрын
Muislaam tu ,,,, mukristo hawezi ongea hii ufalaaa ,,,nyinyi n wanyamaaa sana
@twaine40
@twaine40 Жыл бұрын
​@@martoo539 huyu ni mkristo wewe
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Sasa familia yake imeingiaje hapo? Muhusika c yupo?
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Wamayo, kumbe ulikuwa mtu hatari kiasi hicho, kumbe nyie ndo mlimuua masasi wa ibanda ziwani? Duuh! nilikuwa nikikuona binadamu kumbe ulikuwa na maisha mengine nyuma ya pazia? Asee upo wapi kwa sasa? Kudadadek nimechanganyikiwa kabisa pia natamani kukuona live. Tumeingia njiba sana na ww, ulikuwa mchabanyaji mzuri, mchoji haswaa, tumelega sana pamoja, tumekwasa, na mm nilikuwa mgohaji, kumbe ulikuwa muuaji, ndo maana ulikuwa hupendi kula degere unataka ngamingami tu, hata wakina kalukalange na ima kenge uliwaua ww kutokana na story yako, asee siku nikipata nafasi ya kwenda ibanda nitawasimuliwa watu kwa huu ushahidi maana umenishtua sana, Carlos alikuwa balaa sana na majambazi wenzake walikuwa ni hamisi kabogobogo na dionizi na waliwahi kuweka kambi kwenye kisiwa cha gabalema wakawa wanateka watu ziwani na kuwapora kisha kuwatosa majini na kuwakata kaushi na pensi na kuwachekesha, duuhh! Nimesisimuka, kuumia na kusikitika sana maana ulimuua rafiki yangu kalukalange. Aseeeeeee
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Maybe ameacha ametubu
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
@@madetetv6576 kibaya zaidi namfaham vizuri maana kipindi matukio hayo yakitokea mm nilikuwa nikifanya nae kazi mwalo m1 hivyo kuna watu aliowaua walikuwa wa palepale mwaloni kwetu, huyu jamaa kanisisimua sana na kanishangaza sana, hafai kabisa na hawezi kuacha hiyo tabia, wakimboreshea maslahi anarudi kuua ila ndani ya siku 30 kuanzia leo ntaenda ibanda na miama kuwaonyesha muuaji wao.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
@@Irenes_Kitchen huyu hawezi kuacha asee, yaani unavyomwona hapo alivyo mpole alikuwa mpole zaidi ya hapo halafu alikuwa akijifanya mshamba au fala fulani kumbe alikuwa mchinjaji mzuri, huyu akipata dili zuri anaua, mpaka sasa bado namshangaa na kurudiarudia interview yake
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
@@madetetv6576maandiko gani mkuu
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Ao wakina carloss na wengine bado wapo hai
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 Жыл бұрын
Police wafatilie hii channels huyu jamaaa akamatwe hii channels ifungiwe nayo
@MtumishiNgowi-wt9ph
@MtumishiNgowi-wt9ph Жыл бұрын
Itafungiwa kwa kosa gan chanel sasa?
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Sahau hilo, chanel inasaidia kurekebisha jamii
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 Жыл бұрын
Labda inawasaidia nyie
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Wala hawezi kufungiwa
@hono1232
@hono1232 Жыл бұрын
Masimulizi tunayopata yana faida kwa jamii na serikari kujipanga
Russia withdrawing troops? / Navy leaving bases in Syria
12:49
NEXTA Live
Рет қаралды 541 М.
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 13 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 12 МЛН
How to Fight a Gross Man 😡
00:19
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 20 МЛН