PART9:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

  Рет қаралды 13,589

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
kama movie yaani ! 😅la mungu n mkubwaa tunaendelea kuifahamu Dunia ina siri kubwa sanaaaa! 😊
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Kama muvi
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Dunia inamengi
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Dunia ina mengi
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mzee somanda itakuwa ndiyo yule jini aliyefungiwa Zanzibar 😂😂
@bearthamassawe
@bearthamassawe Жыл бұрын
Wakwanza leo💃💃🤸‍♂️🤸‍♂️
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
Shetani yuko live asee na Mungu yuko live zaidi
@HassanKatemaJr
@HassanKatemaJr Жыл бұрын
Habari kaka davista, na mimi nina changamoto za namna hiyo,nipe namba yako kaka.... nahitaji msaada wenu
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 Жыл бұрын
Davistar usiwe unarudisha watu marambili maana huyu jama nikama vile ni Rwanda Magere mzee wa bakora
@mauahussein9833
@mauahussein9833 Жыл бұрын
Sio yeye bichwa lake Tu sio na saut tofaut kidogo
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Hongera kwa msimlizi. Hiipia yaitaji ujasiri
@zainabjuma4628
@zainabjuma4628 Жыл бұрын
Davista nakuomba umuulize atutajie walau jina la mtaa anapopatkna huyo mzee yasini
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Жыл бұрын
Kwani wataka kuenda
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Nyie mnao sema ni uongo si muache kusikiliza? tuachieni sie tunao danganywa tumependa wenyewe nyie mnao kataa tusimulieni ukweli mnao ujua inawezekana ninyi ndio mlikua mnamtesa huyu dogo
@AbelGeorge-cg8io
@AbelGeorge-cg8io Жыл бұрын
Allah abarik kaz yak brother
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Hìii stori ya uongo zanziba hakuna mitende na mzee yassin gani uku maarufu mhh waongo
@africandarling6925
@africandarling6925 Жыл бұрын
Daaa AISSEH Stor pambeeeee hali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani pambe kwl
@kotadapotar5094
@kotadapotar5094 Жыл бұрын
Devistar ungekaa mbele yake huyo jamaa upo pembeni sula yake hinaonekana Akikutizama wewe myuma tunaiona sula 😄🇹🇿🇬🇷⚓
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
Kweli aisee
@ummusulaish5586
@ummusulaish5586 Жыл бұрын
Pamoja sana mr facts
@abdulmuhammad8549
@abdulmuhammad8549 Жыл бұрын
Uyu jamaaa ujeuri wake na ujinga wake ndio unaomponza na kumpa shida....
@allymohamed8027
@allymohamed8027 Жыл бұрын
Naomba Nna ya huyu kaka atueleksze Kwa huyu mzee, Nina ndugu yangu Nae anasumbuliwa Na jini
@Teacher_01
@Teacher_01 Жыл бұрын
Peleka kwe makombii
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Mm mwenyewe ninae tena sitaman mwanaume
@joivon3038
@joivon3038 Жыл бұрын
Tafuta maombi hakuna Jin mbaya km uyo n mwisho kutoka inatakiwa ukaze sana
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Mbona sura inaonekana😅anageuka tunamuona😅
@bintimrope
@bintimrope Жыл бұрын
Hapo sasa huyu awe jirani yangu ndio nitashindwa kumjua kweli huyu ni nani😂😂😂😂
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Wazanzibari tangulini na mikukiii ???
@omaniph1235
@omaniph1235 Жыл бұрын
Dunia inamambo mengi sana
@aihansalum8098
@aihansalum8098 Жыл бұрын
Itakuwa bado ulipo fika umefika katika mazingira ya kijini sio Zanzibar uwongo
@mvfff7224
@mvfff7224 Жыл бұрын
Kaka Davistar pls uyo kaka atoe no ya Mzee wa Zanzibar 😢 pls,,,watu tuna shida
@FatemaHajl
@FatemaHajl Жыл бұрын
Hee
@laoiyadi1176
@laoiyadi1176 Жыл бұрын
Wa 3 leo🎉🎉🎉🎉
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 Жыл бұрын
Good job
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
leo umechelwa ila cio ishu ,. Natumaini part 10 ucku huu
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
Jamaa anajua kujueleza
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
Mzee ni mganga mchawi na anamsikiti hiii dunia watu wasipo amka mkija kumka ..mkiwa kuzimu mtajilaumu sana
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
Hajaasema ana msikiti bhana 🤣🤣amesema msikiti umepewa jina la uyo mzee sabab ya umaarufu wa uyo mzee kwaio watu wanaita uo msikiti kwa yassin kutambulika kiraisi
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
​@@jasiri25 halisikilizagi story hili linaishiaga kuropoka tu
@yussufomar2168
@yussufomar2168 Жыл бұрын
yussuf omar 0 seconds ago jamaa muongo zanzibar hakuna waganga hao
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
@@yussufomar2168 we unachekesha naweewe sasa kwa taarifa ako akuna mahali kuna watu hatari kiuganga kamq zanzibar na usukumani
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Hakusema anamsikiti msikiti umepewa jinalake
@tututz100
@tututz100 Жыл бұрын
J.boys 1999
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Kama vip! Huyo mzee Yasini ndo konk kuliko wote! Zanzibari na mwanza Sekunde tu ulishaingia! Sasa nauli zote na muda tunatumia za nini? Tupeni hayo maujanja mzee yasini!
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Mmh dunia hii
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Kuna watu wataenda kwa mzee yasni
@doysheillah365
@doysheillah365 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@yussufomar2168
@yussufomar2168 Жыл бұрын
zanzibar ndogo tunajuana
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Жыл бұрын
Huyo mzee wamjua??
@khadijakhadija6158
@khadijakhadija6158 Жыл бұрын
Watu mnalala umu au
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Yaani Mganga akakupa hela tena ya mtaji
@rizj6471
@rizj6471 Жыл бұрын
Tunaomba no ya huyo mzee
@aihansalum8098
@aihansalum8098 Жыл бұрын
Uwongo Zanzibar hakuna waganga hao na Zanzibar hakuna mtende
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Жыл бұрын
Wewe wajua zanzibar yote...we wacha uwongo tunaishi kwenye dunia mambo inachrmka kila siku ni wewe tu ndio hujui
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Wa 7
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Jini haba nihatr sana yanasumbua
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Usiombe yakakukuta
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr Жыл бұрын
Yani Mzee Yasin kakusaidia Jini wa mbuzi kaondoka, Jini Mahaba kamuondoa ila wewe sasa unatafuta jini wa kukupa senti. Kweli Kijana ulikuwa umeamua kuwa rafiki wa majini. Alafu yakianza kukuchapa vikoto unaanza kushangaa. Tatizo lengine hujawahi kumtaja Mungu Hata Sehemu yoyote. Mgeukie Mungu bro. Hakuna kubwa lisilo wezakana kwake, uwe mkiristo au muislamu.
@bryanlimbi326
@bryanlimbi326 Жыл бұрын
Punguza ushauri , watu Wana mipango yao
@AK-rd5zr
@AK-rd5zr Жыл бұрын
@@bryanlimbi326 😂😂 haya bwana.
@mgalulamatongo4079
@mgalulamatongo4079 Жыл бұрын
Mzee wa kuchukua maji na kwenda kuoga
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 Жыл бұрын
Mbona hii sauti ni kama sauti ya mwamba wa Bakora za Mkakati?
@FatemaHajl
@FatemaHajl Жыл бұрын
Ndiyo Ila siyo yy angalia sura
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Жыл бұрын
Kuna namna hapo sio jambo rahisi akwite mwana kharamu kama hajakusoma.., rabda Kuna ukwel ndani yake
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Wewe mwenye umekuwa ujielewi
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Tatizo sio yy nitatizo alilonalo
@omaniph1235
@omaniph1235 Жыл бұрын
Jamani aliona tumbiri kwambele yao tujuane
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 Жыл бұрын
Story tramuu
@juliusndiku8949
@juliusndiku8949 Жыл бұрын
Mie no gapi?
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Mundelezo plz
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊🙏✌.
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Жыл бұрын
Umepitia magum
@themagnificient1026
@themagnificient1026 Жыл бұрын
Nice
@Markwanam
@Markwanam Жыл бұрын
Duuh kumbe mwanza wanahalam ni weng duuh
@mauahussein9833
@mauahussein9833 Жыл бұрын
Mamayo mwanahalam wewe wa kwanza na ukoo wako wote na unakotokea paka mweusi wewe tena tushushe ashuo tu
@Deedee88110
@Deedee88110 Жыл бұрын
1st
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Жыл бұрын
Mguyupo
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Nilikuwa Nachungilia kila Muda
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Hata mimi tuko naye hadi jini wamuuwe juu alikaidi amri sana,mbishi sana mjuba
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
​@@stanastana3199 wangemuuwa nani angetoa mkasa😂
@MedenMuthama-yb9gf
@MedenMuthama-yb9gf Жыл бұрын
Mie nina majini yananisumbua naomba munielekeze kwa mzee yasini au ni jina la stori ama anaejua mganga anayetoa majini aniunganishe nae maana nateseka mno
@joivon3038
@joivon3038 Жыл бұрын
Hakuna mganga anaetoa majin maana wanafanya kazi ya shetani na majini n wakala wakubwa wa shetani so mganga anakuongezea zaidi mtafute yesu tu sikiliza Adonai fondashen ministry KZbin au Safina radio ministry KZbin watumishi wa izo channel wanatoka Arusha karibu sana
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Yanakusumbuaje hayo majini? Kama yanakupa pesa ishi nae tu
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 Жыл бұрын
Una bahati kutibiwa kwa bure
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Жыл бұрын
Kwanini ulisahau kuomba dawa ya kupata kazi haraka.
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Mimi #4
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen Жыл бұрын
Nimekua wa mwisho tena 😢😅
@officialjackm.n9717
@officialjackm.n9717 Жыл бұрын
Pole 😂😂
@yussufomar2168
@yussufomar2168 Жыл бұрын
jamaa muongo zanzibar hakuna waganga hao
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Ndio zenu ikisemwa kweli ni kama hampendi Zanzibar Tanga ndio kunasifika kwa waganga na Mashekhe wanatibu Majini sasa uongo uko wapi?sema wewe ukweli n upi maana stori sio yako
@EzekielTv49
@EzekielTv49 Жыл бұрын
Hahahahaha waislamu mna shida ya akili nyie sio bure,,,,,waganga(wachawi) wengi ni mashekhe
@EzekielTv49
@EzekielTv49 Жыл бұрын
Me hata vibao vya waganga wengi nimeviona ni vya mashekhe waislamu
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Calm Wind: Listen To This Music When You Miss The Forest
3:08:19
Soothing Relaxation
Рет қаралды 13 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
1:54:07
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН