Ma shaa Allah sheikh Ramadhan ila kweli wenzetu ni Washindani sana wanasoma bibilia but at the same time wanabadilisha ,kweli Allah alisema wana macho but hawaoni wana masikio na hawatasikia ,wenzetu watake msaada wa mwenyezi Mungu ili waweze kufaumu maandiko .
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Wana wa straight path hongereni sna Kwa jitihada zenu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@bentybenty23432 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah sheikh Ramadhan. Jazakallahu khair.
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@mutomubaya2 жыл бұрын
Lakini huyu Sheikh Ramadhani ni Mwalimu kweli kweli kwa sababu anasomesha somo hili la kuelewa mafundisho ya Allah ( Mwenyezi Mungu) kwa kutumia Biblia na Qur'an, somo ambalo watu wengi wamepotoshwa, hata wenye PhD... Kazi ya Daawa inaleta faida nyingi katika Jamii. Kila mmoja ana sehemu yake ya kuweza kufaidika, ikiwa ana imaan. Anayetoa Sadaqah ya mali yake anapata, faida yenye kuendelea bila kikomo akiwa hai na hata akiwa kaburini. Na mwenye kutoa ilimu yake kwa kufundisha Haki anapata faida isiyokoma kwa kuwa elimu ile inamfaidi mwanadamu aliyefundishwa na yule anayefundisha. Kwa hivyo, kazi hii tukiifanya watu wote wanaoelewa mafundisho ya Qur'an na Sunnah, Watu wengi wataelewa in sha Alkah na kheri itaenea. Allah atujaalie kuwekeza mali yetu katika A/c hii ya Sadaqatu Jaariyah na Katika kufundisha ilmu ya kumjua Allah ile iliyofundishwa na Mitume wote wa Allah. Tuacheni uzembe kama ule wa vijana Waislamu kukaa wanatafuna Miraa nk.
@AliIbrahim-lv5cq2 жыл бұрын
Alhamdhulillah
@nooor1120 Жыл бұрын
Maa shaa Allah Mmungu amhifadhi.
@nooroman25352 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani na mashelhk yote Mungu hawape maisha marefu na afya njema mzidi kumtangaza Allah lnshaallah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan Allah akulinde na wabaya akupe afya njema ili uzidi kuwaita watu kwenye dini ya haki
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Wanahitaji dawaah kwa mara nyingi mpka hidaya ya ( Allah s.w.t) iwashukie na kuisilimu wote, shukran sheikh ramadhan kazi yako iko Sawa yakufikisha ujumbe Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo lako na Akhera uwe nambari moja peponi inshallah
@guenterernst54812 жыл бұрын
Wote hawana majibu hata mapastor pia , i sheikh Allah awabariki ameen
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Ma asha ALLAH kwa kazi nzuri , ALLAH akulipe kheir kwa kila hatua unayoipiga , na MUNGU akubariki na ajalie wepesi kwa kila palipo na uzito na akulipe jannatu fridausi amiin
@saidhassanahmed4 Жыл бұрын
Da mashallah shekhe akuongoze mm nimependa sana kipindi chako inshaalah Allah akulipe firdaus
@hamdishide31372 жыл бұрын
Mansha Allah, immediately after I got notification
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
MashaAllah
@abdulbasitsalim61332 жыл бұрын
Me too
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@maherzain6152 жыл бұрын
Masha Allah not mansha
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Tusijifanye atuelewi, ukweli uko wazi, الله anamuongoza amtakae, الله awafanyie weepesi na awaongoze. Na atupe mwisho mwema.
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@SalmanMughal-lq5lt3 ай бұрын
Aamina
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Hongera sana zeivi unatambulisha watu wasabuscribu Ramadan kuria mungu akulinde na mahasid wabaya na tumeanza kuwa ona humu humu kwenye hii chanali. Ila mungu akuhifadhi nao Amin
@khadijahhemed8910 Жыл бұрын
Mashaallah Shekhe Ramadhani mola atakufunguwa peponi unajuwa vyakuwasomesha wasiomjuwa mola wetu kwa kiyakini kabisa mola akuzidishie akupe uzima wa afya na untitled mrefu I idi kuwaelimisha wa pats kuzidi waislamu lipate kukuwa za idi dola la kiislamukiislamu tuingie peponi
@mishijuma55582 жыл бұрын
Masha allah sheik wetu ALLAH akuhifadhi
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Amiin
@najaasalim89422 жыл бұрын
اللهم امين يااارب 🤲
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@mrimh77982 жыл бұрын
MashaAllah nawapata vizur nikiwa 🇴🇲hongeren Sana 🤝
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
MashaAllah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@professerayyub48252 жыл бұрын
Kijana hapo kando he's enjoying the truth MashaAllah Mungu awaongoze Yaa rabbi
@gazaomar677 Жыл бұрын
ASalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh Ramazan ninge pendeleya katika kufundisha Dawa uwe unatumiya vitabo peke kwamana wa kristo wanapenda kugeuza maneno
@amidoalide34612 жыл бұрын
Asalam alaukom Direita mente de Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 gosto do seu canal todos os dias fico atento dos seus vídeos novos 🤲🤲
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@nooor1120 Жыл бұрын
Barakallahu fiik
@huseintanganyika3849 Жыл бұрын
A
@zawiyahamisi4340 Жыл бұрын
Mshaalah allah akulipe kheri nyingi hapa duniani nakesho akhera amina
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉😂 pongezi kwangu na leo
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Watching this from green and spice island Zanzibar wanazidi kuelewa
@shurlaally16862 жыл бұрын
Abubakari Asomugha sana apate kuwatoa kwenye giza
@ramazecha88622 жыл бұрын
Mashallah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@sosajamal8770 Жыл бұрын
Good job asalam alaykum Rahmadan Mashallah
@allyussene2 жыл бұрын
Masha Allah Kazi mzuri sana
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@najaasalim89422 жыл бұрын
Mashaallah mungu atazidi kuwasaidia kila namna kihali na mali muzidi kua mbele kumpekesha Allah kwa kilmatu tauhid اشهد ان لا اله الا الله واشهد ان محمد رسول اللّه ☝️
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@HajiSinaihaji-us5sr Жыл бұрын
Takbiir. Allahuakbar
@rashidwalwanda19912 жыл бұрын
Allahu Akbar
@mariamkamau73012 жыл бұрын
Allah akuhifadhi uzidi kuelimisha watu wajue uislamu Naomba wakati mwingine utembee wangige / kabete ili nao uwaelimishe wajue maana ya uislamu ishaa Allah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@nuriatihdjasumin15482 жыл бұрын
Mashaallah tabarakalah 😍😍😍😍
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@aishaally66022 жыл бұрын
ALLAHUMA BARIK ALLAH AKUZIDISHIE UJASIRI HUO HUKU NI KUTHUBUTU
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@omaryissagumbi5242 Жыл бұрын
Kwanini wakiristo wanapotosha hao laana yao watajuta kwaaallah wallah naapa
Hamjatueleza hapo mlipo ni sehemu gani ya Ukambani.
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Imeandikwa mwanzo pale Sheikh. Ni Kiteng'ei
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
All in all barakallahu fiiqum
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
Wamwanzo na Leo 😂👋👋
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
MashaAllah tabarak Allah
@naimaabuualii5782 жыл бұрын
😂asnt
@maherzain6152 жыл бұрын
@@naimaabuualii578 naima hujambo
@mhjgkgjfjzuzu95452 жыл бұрын
Asalam waleikm waramatullah wabarakatuh MashaaAllah shekh Ramadhani Allah akupe afya njema InshaaAllah..siku nyingi sijamuona shekh yusufu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@abuuzuberi8886 Жыл бұрын
Aslam alykum kaka Mimi nilikuwa nakushaur tafuta mtu ambaye anaweza kukuwekea donate kwenye account yako ya KZbin ili mtu akitaka ana donate sisi wengine tungependa kuweka chochote pia kama sadaka yetu Asante
@AliIbrahim-lv5cq2 жыл бұрын
mashaAllah ndugu zetu wakamba watulivu sanaa
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@omaryissagumbi5242 Жыл бұрын
Kumbe yesu nimwisilaam,,?
@kimsi682 Жыл бұрын
Tafadhali wacha kueneza upotofu. Wewe ulikuwa unaenda mbele na Yesu. Ukaangalia nyuma kwa uislamu. Mke wa Loto alipoangali nyuma alikufa. Waana wa waesraeli walipoangalia nyuma ama kando walikufa. Wewe hauendi mbinguni bila Yesu. Haujui Mohamad ako wapi saa hii! Hauingii mbinguni na unazoea watu kuingia mbinguni.
@maherzain6152 жыл бұрын
Dah huyu pastor hodari na ako makini sana kugeuza maana ya maandiko.
@suleimanali49702 жыл бұрын
Asalam aleikum..sheikh video haina sauti
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Tafadhali jaribu kubadilisha chombo unachotumia
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
Wallahi imenibidi ty ni 🤣🤣🤣
@mariamshamim71962 жыл бұрын
Maashallah
@fauzenkassim84242 жыл бұрын
😂🤣 mashaallah
@salmasalim60552 жыл бұрын
Mashallah mashallah
@user-rk1cp5qs9d5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🥀
@yussufmasoud801 Жыл бұрын
Please, translate in English.
@aburaasmedia36822 жыл бұрын
Masha ALLAH
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@bahatikenia392 жыл бұрын
Mashaalah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATAKA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> @
@maherzain6152 жыл бұрын
Kakojoe ulale
@amidoalide34612 жыл бұрын
Como posso te conhecer meu irmão ramadan??
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Please call me through the numbers on your screen
@ndetim70432 жыл бұрын
Quran 4: 143, Wavering between them, [belonging] neither to these [i.e., the believers] nor to those [i.e., the disbelievers]. And whoever Allāh sends astray - never will you find for him a way. - Those people Allah has send them astray , does Allah says that they will never find their way to the right path, you being smarter than Allah, lol
@faridsaid91802 жыл бұрын
haina video. Ni audio tu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Una uhakika?
@abdur-rahmanmuhammad69002 жыл бұрын
Labda simu yako iko na shida
@faridsaid91802 жыл бұрын
@@StraightPathDawah sai inaonesha
@hythamhashiem44582 жыл бұрын
Video safi kabisa
@khamistv61382 жыл бұрын
Mutulilu
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
🤣😂
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
Kafir ni mtu.asiamini mungu lakin waislamu wa Enzi izi wanawaita wakristu kafiri waislamu wa Enzi zile wacha ni Waite mababu zetu wa kiislamu walikuwa na upendo sana
@leiladagane Жыл бұрын
Ati Christianity....mjuaji eeh
@jacksonkilonzo14392 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eoLQla2igtFkrq8 UWONGO MTUPU ANGALIENI HII VIDEO
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATAKA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> kzbin.info/www/bejne/aoHNpnWmnqt8p7c
@Fm-MornStar20142 жыл бұрын
If I get an ignorant Muslim I take him/her in the same root. It entertains me when he convinces them through the Bible which they think they know. It's just a matter of finding someone ignorant. But it makes me feel pity for this Christians who don't know how to correctly interpret the Bible with exegesis.
@ndetim70432 жыл бұрын
S 34:14, Then, when We decreed (Solomon's) death, nothing showed them his death except a little worm of the earth, which kept (slowly) gnawing away at his staff: so when he fell down, the Jinns saw plainly that if they had known the unseen, they would not have tarried in the humiliating Penalty (of their Task). How do you know who to interpret the Quran correctly and yet you can not comprehend how one can die holding a stick, let alone a king and no one knows of his death until the worms ate his staff then he fell down, oh Allah is all knowing
@kennleviwayne1087 Жыл бұрын
But he has tried to answer more questions... remember he's one of us....
@leiladagane Жыл бұрын
U will never ever get Muslim ignorant bcoz we begin to learn qoran at a young age....so u can't fool us in the name of nitapoteza
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
Synagogue ni mahali ya jews sio waislamu na yesu alikuwa jew sio muislamu
@maherzain6152 жыл бұрын
Kwahio hakuwa mkristo?
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
@@maherzain615 jew ni kabila sio dini na kama alikuwa muislamu nani kampa shahada
@maherzain6152 жыл бұрын
@@kingsdaughter2040 hakuna mskiti wakabila.mskiti ni ya waislamu hana ukiwa China huwa niwa waislamu. Alompa shahada ni mungu alomtuma
@kingsdaughter20402 жыл бұрын
@@maherzain615 mungu hana dini kazi ya wanadamu kuleta division kwa watoto wake
@maherzain6152 жыл бұрын
@@kingsdaughter2040 utaona ukitiwa kwa sanduku kma mungu hana dini
@jestymoresimon75762 жыл бұрын
Watu wote wawe makini... Biblia inasema siku hizo roho wa uongo atainuka , kote shetani ameingia . Lakini tambua mbinguni hatuingii juu ya dini na wala hakuna dini mbinguni, ni falsafa ya mwanadamu. Utahubiri dini hadi kuzimu maana mwisho wake ni humu duniani. Biblia na quran haziendani hata ki historia , Yesu alikuja kabla ya Muhammad na nyi mnasema ati biblia ilibadilishwa Tambua waongo hawataingia paradiso na msipomkiri Yesu ndio njia na uzima basi imani yenu ni bure . Aliye na ubishi anitafute
@@muksinsaidi4892 hatuna dini aje ,,usiukumu usije ukaukumiwa Sasa juu wewe unajuwa sana juu ya wakristo ebu tuambie tuskie ,,na kwa habari yako sisi tunalinda Imani Wala sio dini kwa sababu mbinguni akuna dini sisi wote ni Wana wa Mungu na ikifika siku ya hukumu akuna eti juu ulikuwa muislam Sasa unaweza kusamehewa ukaingia mbinguni ,,ni mtu uangalie matendo yako na juwa kwamba Yesu alikuwa wa kwanza ndio Muhammad akaja nyuma Sasa musiwe wepesi wa kuhukumu watu wengine kwa kujiona kwamba mko wakamilifu sana ,,,,Mimi na Yesu hadi mwisho na Kila goti litabikwa na ulimi ukirii kuwa yeye ndie Bwana hallelujah 🙏
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Labda uNithibitishie basi kwa aandiko ndan ya biblia kwa kuna dini dunian iliwai au ipo inaitwa ukristo, na usilete blabla, toa andiko
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Ata yesu aujui ukristo wala biblia, labda muguambie uyo roho mtakatifu ni jini gani ambae anawatuma kuzusha ayo munayoyaamini
@jestymoresimon75762 жыл бұрын
@@muksinsaidi4892 dini ni mikusanyiko ya watu walio ungana Ki imani Wayahudi, wagiriki na wengine.... lakini fahamu dini haipeleki mtu uzimani maana ni mapokeo na mafunzo ya wanadamu Kinachopeleka mtu uzimani ni kuamini injili ya yesu kristo na imani iliyo safi Sasa dini itajwe kwa biblia isitajwe bado haipeleki mtu mbinguni
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
RAMADHAN BIN KURIA UKIPATA WAKRISTO MAUMA UTAWADANGANYA SANA...KWANZA HIYO YUDA 1:4 UNAWACHA AISOME NUSU ALAFU UNAMKATA.....UJANJA WA WALIMU WOTE WAISLAMU YUDA 1:4 Maana watu wasiomcha Mungu wamepata kujiingiza kwa siri miongoni mwetu, watu ambao, kwa faida ya maisha yao mabaya, wanaupotosha ujumbe wa neema ya Mungu wetu NA KUMKANA YESU KRISTO ALIYE PEKEE YAKE KIONGOZI NA BWANA WETU. Lakini, Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao. SI WAISLAMU NDO HUMKANA YESU SIO BWANA? KAFIRI NI WEWE ....Maandiko Matakatifu yalikwisha bashiri tangu zamani hukumu inayowangojea watu hao.
@newbwejuu43022 жыл бұрын
Yesu kwenye biblia yenu anasema hakutumwa ila kwa wa Israel 🇮🇱 , ww na point zako tuambie yesu alikua mkristo, alikua mungu, au na ww ni wa Israel 🇮🇱 unaemfata
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@newbwejuu4302 NI MFUNZO YA KIISLAMU YESU ALITUMWA KWA ISRAELI. YOHANA 3;16 IKO WAZI ALITUMWA ULIMWENGUNI. UKRISTO SIO DINI KAMA UISLAMU...NI TABIA....KWA HIVYO SWALI LAKO NI KAMA KUULIZA KAMA YESU KRISTO ALIKUWA NA UKRISTO!! YESU HAKUWA MUNGU BALI MWANA WA MUNGU ...AU WW NI WA UARABUNI UNAYE MFWATA MUHAMMAD MWAARABU??
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Wewe ni kafiri tuu
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@muksinsaidi4892 Kafiri ni anayemkana Yesu sio Bwana!! Yuda 1:4
@maherzain6152 жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 bwana harusi ama
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
RAMADHAN BIN KURIA - KWA TAARIFA YAKO ISA NI COPY CAT WA MUHAMMAD....ISA SIO YESU KRISTO ALIYE HAI....TOFAUTI NI KAMA USIKU NA MCHANA.... ENDELEA KUWADANGANYA WAKRISTO WASIO JUA NENO LA MUNGU... CHUMA CHAKO KIMO MOTONI SIKU YA KIAMA!!
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Wewe nenda ufundishe unachokijua
@mrimh77982 жыл бұрын
Issa juma mwinyi _ acha husda zako kama hujui jambo ni vizur kujifunza 🤫
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@mrimh7798 NI JUFUNZE UONGO???
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
@@StraightPathDawah HAPO SAWA KAKA.....LAKINI FUNZA UKWELI...SIO KUBADILISHA AMA KU-EDIT BIBLE VERSES KUDANFANYA WASIO LIJUA NENO.........USIWE WAKALA WA SHAITANI. SHUKRAN!!
@abdur-rahmanmuhammad69002 жыл бұрын
@@issajumamwinyi6191 Ni wapi ame edit Bible verses?
@myoutubecom-gg7sb2 жыл бұрын
MashaAllah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@mifunga34142 жыл бұрын
Mashallah
@mwanamtotosaid7022 жыл бұрын
Masha Allah
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iWrEi5RqgqeMhLM
@issajumamwinyi61912 жыл бұрын
RAMADHAN BIN KURIA .....KAMA UNATA KUENEZA UISLAMU EAST AFRICA...USITUMIE UJANJA NA UONGO......HII NDIO NJIA SAHIHI >>>>> kzbin.info/www/bejne/aoHNpnWmnqt8p7c