PASTOR MGOGO AMLILIA MAKONDA KWA USHUJAA WAKE | SUMU ALIYOPEWA ...

  Рет қаралды 12,471

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@EmmanuelMatogolo-l2y
@EmmanuelMatogolo-l2y 2 ай бұрын
Mungu awatumie malaka wake wamsaidie na wamponye popote alipo Paul Makonda
@AnethMushi-c3e
@AnethMushi-c3e 2 ай бұрын
Makonda yupo kwenye MFUNGO anaongea na kumuomba Mungu wake mfumgo wa siku 40 wala tusiwe na waswas Anaongea na Mungu wake
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 2 ай бұрын
Mfumo wa serikali ya CCM wanaogopa sana mabaki ya Magufulification. Yeyote anayejitokeza wanawatisha kwa kigezo Cha kukiuka za binadamu ama wanammaliza faster.
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz 2 ай бұрын
Huyu akifa ndiyo sasa kutaonyesha ni kwanini wazelendo tu itabidi iwe vita baridi siyo kwa sumu tena live live au kimya kimya kwa sababu tunitafuta hiyo chupa ya sumu inayogharimu maisha ya watu nakumbuka mheshimiwa mangula ili mkosakosa kwa hiyo lazima tuandae kauli mbiu tokomeza sumu
@FelixMkini
@FelixMkini 2 ай бұрын
Makonda Yuko wapi?busara yangu Naomba mamlaka SIMENI MSEME ALIPO ili tahatuki itoweke
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Hivi angekua nduguyo ungesema kujikomba Komba Kila afanyae kazi vzuri hupewa heshima yake Hala au wewe ndiye ulimkosa uenezi ukampata kwenye ukuu wa mkoa dhambi itakuotea maisha mile ogopa nafsi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Upo sahihi yaani kama watakuwa wamemdhuru au kumuua wajue wanatafuta mabaya kwa watu wasifikiri watz wote ni nguruwe.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 ай бұрын
Viongozi wa CCM wengi ni wahalifu walio kivamia chama.
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Hawawezi wako wenye wivu
@peternyamasiriri5450
@peternyamasiriri5450 2 ай бұрын
Serekali inashikwa na kigugumizi gani? Kueleza wananchi kiongozi wao alipo au kuna nini?
@KisakaMvungi
@KisakaMvungi 2 ай бұрын
Acheni kujikombakomba kuwa Makonda ni mchapa kaz sana Kila mtu ana haki ya kuishi na kuwa huru hata kama ni mkulima wanaopotea nchi hii ni wengi
@JamesMduma
@JamesMduma 2 ай бұрын
Wewe acha ujinga huo uhuru unaipata wapi au huoni walioko juu wanavowaonea walioko chini makonda anafungua kichwa walioko chini au na wewe ni bepari Nini?
@JamesMduma
@JamesMduma 2 ай бұрын
Maana hii nchi sasahiv wamesharudi wanyima Amani utasikia mtu anasema unanijua Mimi ni Nani kwa Marehemu haikuepo bhana na wewe ni mmoja wa mabeberu walafi wa madaraka watu wananyimwa haki zao makonda kaziridisha alafu unaongea ropo ropo tu achana na makonda ni levo nyingine kama wewe ni kiongozi tuambie unaongoza Nini labda kama ni kiongozi wa kuchunga ng'ombe hapo takuelewa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 ай бұрын
@KisakaMvungi upo kwenye genge la kumhujumu Makonda? Umeshiriki kumpoteza? Mbona unalazimisha watu wanaojua umuhimu wake wawe wapuuzi kama wewe?
MWANAMKE USITAFUTE DADA WA KAZI MREMBO KULIKO WEWE UTAJUTA "PASTOR MGOGO
27:50
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 147 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 35 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 32 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
KUNA WATU WATAFIKA MBINGUNI NA JEHANAMU WAKIWA WAMECHOKA SANA "PASTOR MGOGO
24:55
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 35 МЛН