''WEWE UMESOMEA NINI? KUANZIA LEO NAKUPANDISHA CHEO - UTAKUWA MSAIDIZI WANGU'' - MAKONDA...

  Рет қаралды 148,810

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

''WEWE UMESOMEA NINI? KUANZIA LEO NAKUPANDISHA CHEO - UTAKUWA MSAIDIZI WANGU'' - MAKONDA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 408
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@didahstan1760
@didahstan1760 22 күн бұрын
Nimetoa machoz
@ikupambuli6219
@ikupambuli6219 28 күн бұрын
Da mlio toa machozi kwa furaha juu ya huyu mtendaji gonga like hapa❤
@jaymesgigs
@jaymesgigs 27 күн бұрын
Kumbe siko peke yangu waa that is God
@SethMsigwa
@SethMsigwa 12 күн бұрын
Mm moja wapo
@adonismuganyizi226
@adonismuganyizi226 8 күн бұрын
nashwindwa kuyazuia kumwagika
@goodluckbenny123
@goodluckbenny123 Күн бұрын
yaaan daaah
@user-pe2ww6vc4y
@user-pe2ww6vc4y 29 күн бұрын
Hawa ndio vijana tunawataka kwenye ofisi za umma! very humble guy.
@kiflikhamis5205
@kiflikhamis5205 29 күн бұрын
Ni kweli
@tanzaniantraveller
@tanzaniantraveller 29 күн бұрын
Kabisa ndugu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 28 күн бұрын
Kabisa
@ngatatv1365
@ngatatv1365 25 күн бұрын
Kwakweli ila watu wamhimu awadumu man kikubwa tuwaombee tu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
Halafu alivyoulizwa wewe umesomea nini.? Dhaa alivuta pumzi akijuwa labda kakosea mahali,KUMBE NI MUNGU ANAMLETEA HABARI NJEMA.NIMEFURAHIII MNOOO😢
@user-tn3gw5qv9e
@user-tn3gw5qv9e 27 күн бұрын
Wakati wa MUNGU ni wakati SAHIHI 🙏🏾
@user-ck3sj6ni4z
@user-ck3sj6ni4z 26 күн бұрын
Mpaka machozi ya furahi ilinitoka aisee..
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 26 күн бұрын
@@user-ck3sj6ni4z hata mwenyewe,ningekuwa HAPO kwenye mkutano ningemkimbilia nimpe msimbazi mmoja akitoka HAPO akanywe supu ya kuku,Mimi napenda mafanikio ya mtu mwingine mwenye haki Kwa kweli.
@user-mr3fn1hc2y
@user-mr3fn1hc2y 12 күн бұрын
Makonda barikiwa Sana kwa kazi yako.wewe ni makufuli wa pili Mimi ni mkenya ,napenda kazi yako nakuombea mungu utakuwa raisi wa Tanzania
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 Ай бұрын
Hawa ndio wale walionyooka kazini,wanatenda haki ila wanaonekana washamba sababu hawaibi.Leo kala kitengo,hakuna cha vyeting wala nini Mungu ambariki sana
@alhajikangalawe6178
@alhajikangalawe6178 25 күн бұрын
Mungu hataacha kuwainua
@sarahmushi5011
@sarahmushi5011 22 күн бұрын
Nimefurahi mpaka machozi mimi.
@Juke995
@Juke995 Ай бұрын
Hakun kitu kizuri kama kujua kujieleza bila kupindisha maneno 🙌na kusikiliza kabla haujajibu mtendaji kichwani zimo na zimetulia
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Ай бұрын
Huyo nimkweli ndiomaana sotetumempenda angekuwamuwongo angejing'ata
@hamiszali1434
@hamiszali1434 Ай бұрын
Kasoma na kaelewa alichokisomoe,,yan huyu ni msomi
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
Yani kumsikiliza hadi raha hachoshi
@cleversalbaba-em4jf
@cleversalbaba-em4jf 29 күн бұрын
Kijana huyu nimesoma naye alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi he was very very humble haya tunayoyaona ni kweli kabisa. Hongera sana mheshimiwa John Nkini chapa kazi kijana wangu.. uwepo wa Bwana uwe nawe....❤
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
@@cleversalbaba-em4jf yupo vizuri,MUNGU AMBARIKI mnoooo
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 29 күн бұрын
Nimejisikia machozi big up mwamba wakati wa Mungu ndio sahihi
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x 29 күн бұрын
Yaani dah...
@Rehemamakuka
@Rehemamakuka Ай бұрын
Dua za wazazi tuwafanyieni wazazi mazuri ata kama mmoja katangulia huyo mmoja tusimuache hizo ni baraka za wazazi
@roseafrael75
@roseafrael75 29 күн бұрын
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
Mwamba Kala Cheo sababu Kanyooka...Big up sana kwako Mh MAKONDA...Jamaa alaliza Mgogoro kisomi na Kibusara..Big up sana
@lloydmanongi5095
@lloydmanongi5095 Ай бұрын
Ukweli ni kwamba kazi iliyoifanya kumfuatilia Tatizo la msingi la mlalamikaji na kuwa na solution na wapi limekwama Hilo tu limetosha kujua utendaji wake na ufuatiliaje wake na kitendo Cha kumuuliza amesoma nn ... Tayari alijiongeza na kuonekana kama mwanasheria lakini ni Hr imetosha kufanya mkuu wa mkoa kuona kilicho ndani ya kijana amefanya kazi bila upendeleo na Kwa umaridadi . Hongera sana kijana unastahili ❤
@golebenson4597
@golebenson4597 29 күн бұрын
Pamoja na giza lote mungu kwamwinua kijana wawatu🎉🎉🎉
@abudoeugenio6903
@abudoeugenio6903 29 күн бұрын
Daaaaahhhhh, Allah azidi kukubariki Makonda unamoyo mzuri sana.
@ammaherman3391
@ammaherman3391 29 күн бұрын
The guy is clear and very smart. he deserves it.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 29 күн бұрын
Mungu humwuinua amtakae Jamaa wala hakutarajia kama atapandishwa cheo Hongera mkuu kwa kumteua kijana mchapa kz
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Safii sana mkuu wa mkoa kwani huuyu jamaa yupo sawa kabisa ktk ufailiaji
@KhmsNsr
@KhmsNsr Ай бұрын
Kuna watu maelezo yao tu unajua hao siwala rushwa makonda una maono ya mbali sana.
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Ukweli unachelewa lakini una malipo hongera sana mtendaji
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
@fredrickmgona
@fredrickmgona 27 күн бұрын
Safii sana Kaka machozi ya furaha yanataka kunitoka kwa ajiri Kaka mungu akupe hekima zaidi
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 Ай бұрын
Mungu ni mwema
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 28 күн бұрын
Hakika❤
@hurumamushi1059
@hurumamushi1059 29 күн бұрын
Tufanye kazi Kwa haki, Mungu atakuinua tuu muda ukifika
@faustaemmanuel1390
@faustaemmanuel1390 Ай бұрын
Pale Mungu akikupangia mafanikio yako mbelen nidham na utendaji KAZI mzuri ni muhimu kwa watumishi simfaham uyu kaka lkn nmefurah sana alivosupriziwa na mkuu wa mkoa❤❤
@anoldgeofrey5192
@anoldgeofrey5192 29 күн бұрын
Mungu akaibariki kaz ya mikono yake ....
@user-ug4dg3zh1w
@user-ug4dg3zh1w Ай бұрын
Nimeangalia ii klipu nimesikia raha mpk machozi yanatoka Mungu akitaka kupa akuletei barua
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Ай бұрын
Hata mm jamani
@robertempire9542
@robertempire9542 Ай бұрын
Hakika acheni Mungu aitwe Mungu Mana akikuandia Yes hakuna wa kukushusha..
@NandiChale-sx9nn
@NandiChale-sx9nn 24 күн бұрын
Makonda mungu akubaliki sana kwa utendaji wako wa haki ulio tukuka,nakupenda sana sana
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 29 күн бұрын
Makonda utakumbukwa sana kwamoyo wako nimfano wa hayati magufuli kazi njema mungu akutangulie kwakila jambo tanzania tunaitaji viongozi kama nyie msalimie waziri mkuu pia nyie mnastahiki pongezi
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 21 күн бұрын
Kijana Yuko vzr, Makonda uko SAWA,Utakipwa na Mwenyez Mungu tu
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Kaka unaupiga mwingi sana big up..... Jamaa yuko smart sana
@isaacmunisi5559
@isaacmunisi5559 29 күн бұрын
Hakika mungu akisema anakuinua hakuna wakupinga. Hongera mkuu wamkoa mungu akulinde sn. Wapo watu wanaonea watu sn wakiwemo wenye nyumba wanazopangishia watu kumekua na uonevu wahali yajuu sn.
@israeluronu9958
@israeluronu9958 29 күн бұрын
Safi sana mtendaji! Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Kaka Amepanda cheo ❤
@B.O-ij8cm
@B.O-ij8cm 25 күн бұрын
Hongera Sana Mtendaji kwa ufuatiliaji mzuri wa matatizo ya wananchi ❤❤❤
@julianamasato5655
@julianamasato5655 Ай бұрын
kutoka mtendaji wa kijiji mpaka msaudizi wa mkuu wa mkoa ,taa ya MUNGU ikikuwakia hata uwe wapi utafikiwa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 29 күн бұрын
Umeonaeee
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 29 күн бұрын
Barikiwa sanaaaa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mchungaji Paul CHRISTIAN makonda
@user-pk9nk7ch5f
@user-pk9nk7ch5f 8 күн бұрын
Mweshimiwa mungu ikimpendeza akuinue zaidi usaidie nchi nzima,wewe unanifanya niendelee kuipenda nchi yangu kiukweli. Naamini ipo siku nchi itakua chini yako.
@user-yy6gf4my9f
@user-yy6gf4my9f 29 күн бұрын
Tena huyu jamaa atakuja kuwa mkuu wa mkoa fulani muda utaongea
@user-yy6gf4my9f
@user-yy6gf4my9f 29 күн бұрын
Kabisa yani
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
Mimi namuombea kwa Mungu,RAIS AIONE HII CLIP
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Hongera sana classmate ❤
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Mungu humtoa mtu kutoka chini na kumpandisha juuu. kumketisha pamoja na wakuu ,wenzangu na mimi wao wanapindisha tu haya endeleeni kupindisha hivyo hivyo mtap
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Makonda Mungu akubariki sana kutetea wanyonge
@athumanially906
@athumanially906 Ай бұрын
Yec ,hiii iko sawaa,kabsaa , ana uwezo mkubwa sanaa,halafu et mtendaji wa kijiji dar!! Halafu wapumbavu wengnee ndo wanakula bata
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
Inauma sana,yani natamani ningekuwa hapo nimpige ni misimbazi huyo mtendaji, yupo vizuri mnooo
@toyi7605
@toyi7605 Ай бұрын
Mungu akupe mahisha malefu katika Mku Wa Mkowa arusha
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 24 күн бұрын
Mkuu makonda chapa kazi Mungu yupo pamoja na ww maana hayeye anajua wanyonge wanavyo teseka Mungu aendelee kukulinda.
@zablonmuterian3620
@zablonmuterian3620 29 күн бұрын
Ningefurahi kumfahamu na kukutana na mtendaji aliyepandishwa cheo na kuhamia Ofisi ya Mkuu wa mkoa.Yuko vizuri Sana Sana.
@daudbutunga1190
@daudbutunga1190 29 күн бұрын
Makonda ww noma sana Cheo cha Mkuu wa Mkoa umafit na umepitliza Hyo nafasi haikufai kbsa undeserve kuwa Waziri na zaid ya Waziri Time will tell
@KNOTS-TZ
@KNOTS-TZ 27 күн бұрын
Imenisisimua jaman makonda mungu akupe maisha marefu
@SadickSued
@SadickSued 21 күн бұрын
Jamani makonda mungu ampe maisha marefu atumwe bukoba wananchi hawana msaada
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Ай бұрын
Wakati wa mungu
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Umeongea neno kubwa sana sana sana sana.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 29 күн бұрын
Kabisaa yaani ❤
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 29 күн бұрын
Wakati wa mungu ni sahihii
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 28 күн бұрын
Mheshimiwa rais ampe mkoa huyo mtendaji yupo vizuri!
@relaykimario4118
@relaykimario4118 27 күн бұрын
Duu🙏nimemfurahia jamaa anajua kunjieleza mpk kapandishwa cheo, Bg up mheshimiwa, Umemweshimisha kijana, roho wa Mungu yupo juu Yako.
@joycelaura4611
@joycelaura4611 29 күн бұрын
jaman Mungu anaona na analipa watu kwa kadri ya haja zao
@Angelmbise-dq6jn
@Angelmbise-dq6jn 8 күн бұрын
Dah n.elia jamn daha Mungu akitaka kukuinua hakuandikii barua wallah dah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@evidencemaimu1883
@evidencemaimu1883 Ай бұрын
Aiseeeeeee💗💔💔💔Mungu kamuonekania HR 5YRS as Mtendaj 😊ila amshukuru huyo BABU 😅😅KUMTAJA
@juliethmsaky4099
@juliethmsaky4099 Ай бұрын
Kabisa yaani
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima 29 күн бұрын
Nasikusote mungu anakupitisha kwenye njia nyingi apo amushukulu mungu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 29 күн бұрын
Na unajuwa huyo mzee ni malaika katumwa na MUNGU KABISA
@damaschosen
@damaschosen 27 күн бұрын
MUNGU wa mbinguni anifanyie hivi na kuzidi ameeen
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Ай бұрын
Yaaani nimejikuta narudia Rudi a hii sehemu ya nakupandisha cheo daaah jamaaa wewe unafaa kuwa president dadeki
@user-ph1pm3ud1d
@user-ph1pm3ud1d Ай бұрын
Mwenyew nmerudia mara mbili
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp Ай бұрын
Namimi kabisa
@jeskashilinde8875
@jeskashilinde8875 29 күн бұрын
Nmerudia mara tat tatu jaman🎉❤❤
@stelasanga1121
@stelasanga1121 29 күн бұрын
Hata mm had machoz yamenitoka
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 29 күн бұрын
@@user-ph1pm3ud1d Daar
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Ай бұрын
Very emotional jamani
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Ай бұрын
Jamaa kichwa sana hapindishi maneno wala hasiti kujibu kwa anachoulizwa ananyooka kwa kiswahili kizuri tunahitaji watu wa aina yake kulijenga taifa bega kwa bega na makonda
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 6 күн бұрын
Safi sana bro, ukishajitoa kuwa kiongozi ktk jamii lazima uwe mzuri ktk kumbukumbu kichwani yani siyo mpuuziaji wa mambo ovyoovyo ukiulizwa unasema mara hujui mara umesahau inatia hasira lakini huyu kaka mi smart sana kichwani kufatilia vitu anakumbuka mpaka majina ya wanajamii siyo rahisi. Hongera sana Wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Mimi HR mwenzio ambaye bado sijapata ajira nakupongeza sana . Hongera mh makonda kwa kazi nzuri yenye weredi
@georgemanase6266
@georgemanase6266 29 күн бұрын
Hii video nimeangalia zaidi ya mara mbili Mungu ni wa ajabu sanaa. Unaweza ukawa unafanya kitu bila kujua ndo njia ya kutokea. Mungu akusaidie na wewe ukutane na muujiza wako
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 29 күн бұрын
Amina MUNGU amefanya njia pasipo na njia MUNGU awalinde Shaloom
@kiyumbijustine3434
@kiyumbijustine3434 23 күн бұрын
MUNGU ni mwema siku zote 🙏🙏
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 29 күн бұрын
Hadi rahaaaaaaaaaaaa tunaiona picha ya Magufuliiiiii 🙏🙏🙏
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 27 күн бұрын
Mungu akubariki mtendaji kwa uajibikaji mzuri, mungu akuinue zaidi na kukupa hekima na busara katika uwajibikaji katika KAZI ya uma
@NeemaMzuri
@NeemaMzuri 20 күн бұрын
Wewe ni kama dr magufuli mungu akutunze sanaa
@lucykiwango2834
@lucykiwango2834 26 күн бұрын
Mungu humwinua mtu kwa wakati wake hongera baba
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l 9 күн бұрын
Mpka machozi yamenitoka, kwa furaha ya huyo kaka kubadilishiwa position. God has done to you❤, hongera mheshimiwa. Huku Dar.- es - salaam, tuko kama tumetulia mjini Ila ndio sio salaam kabisa.
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 29 күн бұрын
Huyu kijana ni mkuu wa mkoa ajaye . Nimependa jinsi makonda anavyofanya ajira zake. Wapo vijana wazuri kiutendaji lakini ndio wamefichwa huko. Nimempenda huyu kijana. Yupo smart
@kulapafrancis8138
@kulapafrancis8138 12 күн бұрын
Makonda unaupiga Mwingi sana, umeona kazi ya mtendaji wa kata, hawa watu ndo wanaotakiwa kwenye Jamii, wanafanya kazi ya MUNGU kwakweli
@user-nt6fb2ky3t
@user-nt6fb2ky3t 29 күн бұрын
Hata kama ningekuwa mimi huyu nisingemuacha..,yupo Smart kichwani na logically man👍
@athumaniamiri880
@athumaniamiri880 Ай бұрын
Mashallah
@kassangaibrahimisihaka2655
@kassangaibrahimisihaka2655 29 күн бұрын
Makonda unaeleweka vizuri sana ipo siku mimi nakutabilia utapewa nchi bila pingamizi kwani hawa wanaichi unaowasaidia ndio ukombozi wako wa kula ya uchaguzi lakini wanao kubeza hawapendi wanaichi wapate hakizao ila wadhulumiwe pasipo sababu mungu akubariki sana amini inshallah
@estivillercherish9873
@estivillercherish9873 3 күн бұрын
Mungu humwinua mnyonge kutoka mavumbini na kumketisha pamoja na wakuu
@Zuu673
@Zuu673 29 күн бұрын
Dah 😢yani nimejikuta nalia kwa furaha mungu akubariki makonda,hama kweli wakati wa mungu ni sahihi😊
@robbyman6213
@robbyman6213 21 сағат бұрын
Mungu Akiamua Kukupandiaha Hakuna Wa Kukushusha.
@edwardmwakisulu4655
@edwardmwakisulu4655 29 күн бұрын
Mtendaji safi sana, na mkuu wa mkoa upo vizurii. Binafsi nakupongeza mh : Makonda
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q Ай бұрын
Safi sana❤❤
@Hdhdj-t7j
@Hdhdj-t7j 4 күн бұрын
Waooo mh makonda 75% ya mh magufuli mungu akulinde baba ccm oyeee miaka 1000
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 29 күн бұрын
Makonda acha mungu akubaliki mkuu kwan uko poa sawa
@paulm.kaponda2300
@paulm.kaponda2300 29 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mh Makonda
@user-fl5bf7uv6z
@user-fl5bf7uv6z 16 күн бұрын
Mkuu mungu akuinue siku zote una maono ya kweli kwa mtu
@user-ce3ri5zu8q
@user-ce3ri5zu8q 27 күн бұрын
Daah kweli mungu yupo jmn wakat wa mungu ni wakat cahihi nimemkumbka phina
@user-wk9mh7wz2z
@user-wk9mh7wz2z 27 күн бұрын
Kwa nini usifike mkos wa ruvuma ,,na akatutembelea wilaya ya Tunduru jamani ,,,makonda baba ukuje na huku kwetu siku Moja jamaniiiii
@mejamiela7436
@mejamiela7436 Ай бұрын
An nmefurahi adi nahx machoz
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 20 күн бұрын
Nimetokwa na machozi, makonda nakukubali mno mungu akupe maisha marefu yasiokua na maradhi
@alhajikangalawe6178
@alhajikangalawe6178 25 күн бұрын
Duh, asanteMungu......Magufuli is alive and Mama Hon Samia Is dong right..MUNGU AWATUNZE. VIVA MAKONDA VIVA MRISHO GAMBO VIVA!!!!
@charlesmbise2344
@charlesmbise2344 29 күн бұрын
Makonda anachapa kazi pia ni mbunifu
@SadickSued
@SadickSued 21 күн бұрын
Kuna watu wanakula era za watu bukoba mjini kata bakoba wasaidie mama Samia kikund Cha Sr women
@user-mi3bi3fj3s
@user-mi3bi3fj3s 29 күн бұрын
Hongera sanaa makonda Kwa kusimamia haki za watanzania,pia na kumpa nguvu hyo kijana Kwa ajili ya utendaji wake mzuri
@rahmarama5669
@rahmarama5669 29 күн бұрын
Safi mnooooooo Mungu Huwa Hachelewi
@naligiatomaso5006
@naligiatomaso5006 Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏kweli wakati wa mungu ukifika hakika Atafanya maajab mbele zako
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 27 күн бұрын
Heko Makonda I love Tanzania will visit one day, specifically to attend one of these public hearing. I loved and hoped to come and meet Magufuli in one of his meeting unfortunately God loved him more
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 29 күн бұрын
MAKONDA kiongozi Mzuri🤝hongera....watching from MOMBASA
@JasusiKaringa
@JasusiKaringa 28 күн бұрын
Namwona Paul Makonda kwenye level ya president ila najua wenye choyo hapo sasa maana akiwa mwenezi walitengeneza majungu
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 22 күн бұрын
Amina! Mungu atukuzwe kwa yote yaliyojiri hapo
@AmosSniper
@AmosSniper 11 күн бұрын
Kujieleza vyema kembeba mtendaji, ila zaid kjana huyu umtanguliza Mungu'
@WilliamKulwa-lj1jc
@WilliamKulwa-lj1jc 28 күн бұрын
Mungu amlinde
@mussamalick1045
@mussamalick1045 29 күн бұрын
Mh Makonda ni kiongozi very talented. Sio kama wale wengine ambao hawaangalii migogoro iliyojaa huku mitaani.yaani unakuta mkuu wa mkoa ama wilaya hata wananchi wa kawaida hawamjui hadi anatenguliwa .yeye ni kula bata tu.
@goodluckbenny123
@goodluckbenny123 Күн бұрын
Kama Ipo Ipo Tu Mungu Ndo Mpaji Daah
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 29 күн бұрын
Mungu anapenda haki na hukaa pahala pa haki,tujifiche panako haki,tutapata HAKI🙏
@sein.208
@sein.208 29 күн бұрын
Masha Allah
@devisshirima6780
@devisshirima6780 26 күн бұрын
Nilichojifunza kwenye haya maisha tenda tuu haki, Mungu hachelewi wala hawahi! Kama Mh. Makonda ume mpromote huyu bwana aliyekuwa akiitafuta haki ya mtu, ninaomba kama aishivyo Mungu ninayemwamini na kumwabudu kila siku hakika hata wewe ata kupromote hutaishia kuongoza mkoa, kama aishivyo Mungu utaiongoza nchi !!!
@user-ix9kq6ke2m
@user-ix9kq6ke2m 29 күн бұрын
Mashaa Allah
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
00:45
Untitled Joker
Рет қаралды 17 МЛН
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 246 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН