No video

EXCLUSIVE:MJUE SIMBA wa VITA "NAPE NNAUYE" MAISHA YAKE/KUTUMBULIWA/MKOSI wa SIASA/VITA na MAKONDA

  Рет қаралды 26,138

SAN TZ MEDIA

SAN TZ MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 16 күн бұрын
mzee Moses Nauye ndiye alikuwa mwamba zaidi
@bonifacecredo3287
@bonifacecredo3287 Ай бұрын
Huyu msimulizi mwongo mwaka 2002 chuo cha mwalimu Nyerere kilikuwa hakitoi shahada. Shahada ya kwanza mwalimu Nyerere ktolewa ilikuwa 2009
@user-ds2qr6fx6c
@user-ds2qr6fx6c 5 ай бұрын
Wamekula batahaoo awaijul shida haooo
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
😂😂😂
@KAY254
@KAY254 20 күн бұрын
Picha ya Kenyatta na Mwanawe Uhuru inani kwenye historia ya Waziri Nape?
@ibbyikh1788
@ibbyikh1788 5 ай бұрын
Nape mpigaji tuh Mbunge wa Mtama akuna chochote alichowafanyia wanamtama,
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Lakini situmeona alivyojenga barabara na hata kutatua changamoto y maji "mama" Au binadamu tumesahau?!!
@hashimposho-ju6nz
@hashimposho-ju6nz Ай бұрын
Hakuna lolote alilofanya amekuwa mbunge mzigo
@hashimposho-ju6nz
@hashimposho-ju6nz Ай бұрын
Barabara ya kwenda wapi ameijenga
@user-og4je1xu2d
@user-og4je1xu2d Ай бұрын
Itakuwa ni simba wa vita kwako
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Nape hajasoma. Mitihani yote alishindwa. Elimu yake ya kuunga unga., mukimuita musomi munadanganya watanzania. Chou cha Bangalore ni chuo kisichokuwa na sifa, yaani ni cha chini kabisa. . Watu wanapata nafasi za uwaziri kwa majina ya wazazi wawo. Hili ni group la hatari limeishika Tanzania kama mali yawo, na wengine wote ni washamba.
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Ай бұрын
Simba wa Ufisadi na wizi wa Kura huyu ..!! Acheni kumpaka rangi
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 17 күн бұрын
Simba wa vita kivipi???
@user13375
@user13375 2 ай бұрын
Simba gani ,amefanya nini tz😮😮😮
@gabjoni4306
@gabjoni4306 5 ай бұрын
Simba wa vita Makonda Marafiki wakubwa na Nape😀
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Sio January makamba na Aliyekuwa CEO wa Cloud's Media Marehemu Ruge muttahaba
@mwinyimohamed3116
@mwinyimohamed3116 Ай бұрын
mh:waandishi wa habari ktkblog za youtube wanatuandikia habari ambazo si sahihi kuanzia kichwa cha habari hususani za michezo haswa usajili nk sasa ukiangalia tu maana yake wao wameingiza pesa je wewe waridhika na hili? au sheria zinaruhusu wananchi waibiwe kwa njia hii? tunakuachiawewe mwenye dhamana asante
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 5 ай бұрын
Simba wa vita gan sasa? Mbona mnawapaisha watu ambao hawana impact ktk nchi yetu? Hebu tokeni hapa
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Kumbe Nape Hana Impact katika nchi mkuu? Sorry ila tuliitaji uijue Historia yake Tu mkuu🙏🙏
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 4 ай бұрын
Yeye kwake ana impact sisi watanzania halisi tunajua impact ya Nape labda hawa warundi waliojipachika utanzania kienyeji..!​@@Santzmedia
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
@@Santzmedia ana historia gan nzuri? Ya kumtukana marehemu lowasa au! Unaweza kuijenga heshima halafu ukaibomoa kwa cku moja! Ukiona mtu anapingana na aliyemteua akimtumbua ujue huyo hana impact kwa nchi! Nappe alivyotumbuliwa na Magu alifanya nn? C alikuwa na genge linalomtukana rais? Kwa mdomo wake aliwahi sema tunaye rais mshamba sasa huyo ni mtu wa kumsifia?
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Waandishi chawa
@Santzmedia
@Santzmedia Ай бұрын
😢😢😢
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Mbona hao ndugu zake huwa hawaonekani,hao wa mke mkubwa, maana Nape ni wa mke mdogo
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Pengine kaisha wazika. Ni mtu hatari sana
@danmulenga-g8v
@danmulenga-g8v 14 күн бұрын
Muuza madawa huyo
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Ай бұрын
NAPE MDOGOWANGU KUWA NASUBIRA HAKUNAKITU KISICHOKUWA NA MWISHO WEWE MTOTO WA CHAMA CCM NAPE USIMFUTISHE MAKABA
@Ambeniwatano
@Ambeniwatano 5 ай бұрын
Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = 🤭🤭🤭🤭🤭
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Hivi izi Hesabu mpaka Leo zipo😟
@superangeltv4615
@superangeltv4615 Ай бұрын
Dogo sema ww msimuliaji ni tm msoga
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Hivi maelezo haya huwa yana faida gani ?afadhali hata historia ya NYERERE aliyekomboa TANGANYIKA toka UTAWALA wa KIKOLONI ? Huyu ana kipi cha kuigwa au chenye manufaa?
@Santzmedia
@Santzmedia 2 ай бұрын
🤐
@frankjohn8706
@frankjohn8706 4 ай бұрын
SIMBA WA VITA NIMJUAE MIMI HAJATOKEA MWINGINE NA TABIA YAKE HAKUNA ALIENAYO HUYU ALIKUEPO AKIITWA SIMBA WA VITA MH HAYAT RASHID MFAUME KAWAWA FULLSTOP
@Santzmedia
@Santzmedia 4 ай бұрын
Uyu wa sasa tumuitaje kama wewe unaukataa usajiri wake?
@albertjames6845
@albertjames6845 3 ай бұрын
Kwani amekufa? Mbona sielewi
@Santzmedia
@Santzmedia 3 ай бұрын
Wewe ukiskia Makala ya mtu Basi Amekufa si ndio!!?
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 ай бұрын
Nape na ngulu nchemba are the weasy ministry in exelence president Samia sluu Hasan leadership this are not ministry you can dipend on them the are good member on ccm wich they can cover position of this two people ngulu nchemba and nape nauye forget about wait education we talk about creat minister not who hide behind Samia sluu Hasan names
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 5 ай бұрын
Vita gani😂
@Santzmedia
@Santzmedia 5 ай бұрын
Fuatilia mpaka mwisho Makala hii ,Utafahamu 😀
@kenedyndunguru9068
@kenedyndunguru9068 Ай бұрын
mwandish we n mkuu--ndugu yake fucken unamjua simba weee fuck ue again
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf Ай бұрын
Hana lolote mshamba tuu
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 118 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,3 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 34 МЛН
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Wasafi Media
Рет қаралды 86 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 118 МЛН