Somo muhimu sana.. nanashkiru kupata Mwanga na ufafanuzi mzuri juu ya swala hili
@catrinavon8937 Жыл бұрын
Kwaimani damu ya YESU imefuta kila kitu kilichowekwa kwenye mfumo wangu wa damu na nimepona naamini🙏🏽 nashukuru mungu wangu kwa msamaha wako na upendo kwangu .amina
@salomonchristian1128 Жыл бұрын
Mungu amzidishiye mtumishi wake, tunabarikiwa sana hata tukiwa mbali
@sharonzuberi555 Жыл бұрын
A found my father 🙏
@esthermliga4875 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri kabisa!!!! Nmebarikiwa mno
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana pastor, mafundisho yako ,yanafungua sana
@yama_virginhairthequeen1065 Жыл бұрын
Nikweli kabisa haya mafunzo km unamapepo km mm kusikiliza tu nikupambana😖
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Amen Amen pastor mungu akubariki. Somo zuri lkn ni fupi natamani uwndeleee.
@joycesanga6951 Жыл бұрын
Amina baba ni kweli kabisa kwenye ufahamu huu ndani yake kuna suluhu.
@suzanakisanga3027 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen amen amen
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
Amina Amina Amina
@philipmarani6032 Жыл бұрын
Feel very blessed. Amen🙏
@anitandossi2542 Жыл бұрын
Ameen..am blessed
@agnessvicent6591 Жыл бұрын
Amen
@carolinewairimu224 Жыл бұрын
Thanks for the insight
@vedastogwido5311 Жыл бұрын
Ameen🙏
@yohanasimtenda748 Жыл бұрын
Ameen.somo zuri.
@Muhotani1 Жыл бұрын
Waiting
@jonathanimuli203 Жыл бұрын
Ni past jonathani kutoka Kenya naomba no ya Baba sun Bellar pliz
@lydiamatandiko8035 Жыл бұрын
C'EST la parole
@papyprosper8922 Жыл бұрын
Somo nzuri sana kabisa lakini wengine tupo nyuma ya Tanzania 🇹🇿 tunaombeni number zenu ao tupate pointment tuje asante ao tunawezaje kufanya Communication?Asante sana
@ciciandjojo7701 Жыл бұрын
Shalom mchungaji sunbella! Kwanini unafunga videos kama leo nilikuwa niko iwenye somo; maombi na maombezi ghafla ikawa private. Sasa sisi ambao hatuko hapo inakuwaje kufuatilia somo jamani ?