Assallam aleikum mashekhe wetu nimefurahi sana kuwaona tena mlikuwa kimya sana lakini Alhamdullillah nilijuwa labda iddi mlipumzika karibuni tena❤❤
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@wakawakakhamis9558 Жыл бұрын
Mashallah allah awabarik na awalipe pepo kwa sote
@aburaasmedia3682 Жыл бұрын
MashaAllah safi sana
@BashirAli-kd2se Жыл бұрын
MashaAllah kazi mzuri
@omaromar-j9d8d Жыл бұрын
Mashallah kazi mzuri munafanya jaaza yenu kwa Allah inshallah
@jacksonmwafongo1917 Жыл бұрын
Kazi njema mashehe we Allah awabariki Kwa kazi kubwa ya kifumdisha watu wa mjuwe mungu mmoja asante
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy masheikh wate Allahy Awapenguvu Zakufundisha maneno ya mungu
@hamisijm8437 Жыл бұрын
Masha allahy masheikh kwa mafundisho bora
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Rahman Allah awa hifadhi yaarab na awape nguvu, afya muendelee kuitangaza dini ya haqi. Allahumma Ameen yaarabil Aalamiin..Nawa penda kwa ajili ya Allah
@LilyKangethe-hw2bw Жыл бұрын
Islamu raha,tena dini ya haki 😊❤❤❤
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
MashaAllah mafundisho Yako sawa💞💞💞💞💞
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
Ukristo ni balaa tupu,ikifikia Mungu anakufa kama binaadamu tu,izo siku tatu mungu wa wakristo kafa sjui nani alikua akicontrol dunia
@NathanielNathan-m4o11 ай бұрын
Si Allah anaomba tu kama binadamu.Quran 33:56 na hadith ya Al mufrad nambari 645.Je Allah anaomba yule Mungu watu wote huomba?
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
huku kwetu Kuna mchungaji mmjoa ameshasema tatizo la wakristo linaanza pale wanaposomewa biblia kanisani ma bahati mbaya wenyewe ni wavivu wa kisoma wakajifunza
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Aslkm waambie jinsi ya kutumia maji ni vipi
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@fatumaali8241 Жыл бұрын
Wafunze ustadh maana wachungaji wao wanataka tu sadaka.
@barasasilali9600 Жыл бұрын
MashaAllah
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah
@mohameddeeqhalane9420 Жыл бұрын
Jazakumulah kher
@husseinguracha9045 Жыл бұрын
Mashalla
@kadiriosmam Жыл бұрын
Asalam aleikum warakhmatullah missed you brothers welcome
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh we are back alhamdulillah