Mungu aweze kunitangulia kwa kila jambo na afungue milango yote iliyofungwa.niweze kupenya katika Jina la Yesu.Mamangu akapate uponyaji kupitia maombi ya nyimbo zako.Amen.barikiwa
@gaspargiddson50603 жыл бұрын
Be blessed man of God kaka paul
@mitchelnjeri70233 жыл бұрын
Amennñ nasikia kubarikiwa mtumishi na nyimbo zako
@vailleth3 жыл бұрын
OOH Lord.was waiting for long from My real brother Mwangosi
@barakakapele4213 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi🙏
@AfroLofiSafariGrooves3 жыл бұрын
Wewe ni mtakatifu bwana
@sheilamtuweta67693 жыл бұрын
Amen naskia kuguswa
@msuyafadhili23 жыл бұрын
Amen mtumishi. Ila kuna nyimbo zako nilizisikia kwenye kongamano la 13 juzi Dodoma. Hizo nyimbo nimezipenda sana, kuna moja inaitwa bado nakuamini Bwana na nyingine unaweza Yesu. Je naweza kuzipata wapi? Me nipo Arusha
@jessicamashauri32093 жыл бұрын
i remember dat night "usiku wa ibada" my heart is overwheled with joy kwl Yesu ni mzuri mrembo anaupamba mioyo iliyoharibika , iliyoumia na kupoteza tumaini