No video

PAULA AFANYA MAAMUZI MAGUMU KWA MAMA YAKE 'KAJALA', HARMONIZE ADAIWA KUWA CHANZO

  Рет қаралды 119,409

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 222
@Bullah_tz
@Bullah_tz 2 жыл бұрын
*Bwana paula yuko sawa yaan mtu alitembea na mama ake na bado akamtaka na paula mwenyewe afu bado mama anamsamehe dauhh*
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 жыл бұрын
Wakati baba yake analalamikia tabia zao walimu ona bwege acha wapambane sasa, kama mama kama mtoto
@jessykadaraja2691
@jessykadaraja2691 2 жыл бұрын
I think it is an opportunity for Paula and her mother to open up a reality show and we will be more than happy to follow it.
@denicegabriel6616
@denicegabriel6616 2 жыл бұрын
Mtoto hawez mpangia mama ake m2 wa kuwa nae asiumize kichwa🤣🤣🤣
@blackman6379
@blackman6379 2 жыл бұрын
That’s her Mom’s relationship , Paula should get married where she wants 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️not to interrupt her Mom’s relationship
@kellybreezytz2491
@kellybreezytz2491 2 жыл бұрын
Usikute paula ndio anaitaka nafasi ya kuwa Mom Konde 😂
@malichanda3146
@malichanda3146 2 жыл бұрын
Atakuwa anamtaka konge mana aliuona mjegeju 😆😆😆
@officialbossy2767
@officialbossy2767 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂uzuri mungu anakuona
@frankmasamaki9640
@frankmasamaki9640 2 жыл бұрын
Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥💥 ________________ Karibuni
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 2 жыл бұрын
Paula atabaki kuwa mtoto wa kajala analeta ubabe mbele ya mama akee,hata akimu unfollow BADO atabaki kuwa mama akee hawezi kumbadilisha,alichokifanya mama akee ni kutafuta furaha yake,anaweza akapewa pesa nyingi huko alikokua lkn akakosa furaha.kingine kajala jinsi anavyomlea MWANAE ndo hayo matunda yake sasa mtoto anampanda kichwani mpk inafika kipindi wananuniana hawasemeshani!!!!utandawazi na kumdekeza mtoto kuta mcost kajala sanaaa.mi naamini ata monalisa wanagombanaga na MWANAE lkn huwezi kuskia mitandaoni sio kwamba wao wapumbafu. Naskia hasira sana.kifupi mi nawapenda kajala na bamo basiiii mengine watajijuaa
@nataliakenny9499
@nataliakenny9499 2 жыл бұрын
Paula nae alidanganywa na rayvanny ndomaana yoote yakatokea na vdio akavujisha lkn msamaha ni kitu kizuri sasna kwann watu wanaumia hamornise kusamehewa na kajala wakt wanapendana ?? Watu wanalala na ndg wa dam au ata daddy zao lkn mwisho wa sku yanaisha,,,Sasa Paula anajivalisha utupu mbele ya harmoo Sasa angefanyaje na yeye ni rijali 😃 mi naona hamna ubaya wowote
@yusuphcharles1497
@yusuphcharles1497 2 жыл бұрын
Acha wayamaliza family jamani Hapa duniani hakuna aliyekamilika
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Paula tulia mamaako alimiss muhogo wa harmo 😜
@hajimuhammed4442
@hajimuhammed4442 2 жыл бұрын
Ndoivi Sasa anamaindi kama kama mhogo anapewa yeye amuache tu mamaake ale muhogo
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Yeye yanamuhusu nini atoke hapa mtoto mdogo mambo makubwa
@selinaemanuel1877
@selinaemanuel1877 2 жыл бұрын
🤣🤣
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Poula una tia Aibu sana , sasa mama yako unataka awe na Nani? Au unataka kumtafutia mwanaume wa Kuwa nae mmmmmh Shem on youu Poula Aibu sana.
@Lifewith07tv
@Lifewith07tv 2 жыл бұрын
Sio mbaya
@salomeabel6721
@salomeabel6721 2 жыл бұрын
Akwende zake uko uyo Paul yake yanamshida mama yake alimwacha afanye anachokita ,kujitegemea tu awez amwache mama yake amtafutie maisha ' mapenz ayaingiliwi
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Pole sana Poula yako yanakushinda mmmmmh!aibu sana
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Poula Wewe ni mtoto mdogo sana uwezi kuingilia mapenzi ya mama yako Maana siyo heshima kabisaaa
@aishaomary4498
@aishaomary4498 2 жыл бұрын
Mmh yupo sahihi hivi baba amtake mtoto na amtumie uume afu bado umuite baba kweli
@johamussa1413
@johamussa1413 2 жыл бұрын
hpn paul yuko saw kbc
@d1w4n1dmoko9
@d1w4n1dmoko9 2 жыл бұрын
Sas jmn kosa la paula ni nn mama hana akili je mtot angetembea na harmo kipindikile mngemuinaje mtt yupo saw kabisa
@annalubango9899
@annalubango9899 2 жыл бұрын
Kama.mamake aliyemzaa hana akili akatafute mama mwingine amzae upya paula.anania.raha ya mamake ipo wapi akwede
@annalubango9899
@annalubango9899 2 жыл бұрын
Kama.mamake aliyemzaa hana akili akatafute mama mwingine amzae upya paula.anania.raha ya mamake ipo wapi akwede
@twaine40
@twaine40 2 жыл бұрын
Una uhakika gani? Mind your own business yasiyokuhusu yasikupe pressure, watz munapenda sana kuifuatilia maisha ya mtu
@annalubango9899
@annalubango9899 2 жыл бұрын
Ugeanza wewe kukupita yasokuhusu.hata mimi nigepita tu lakini hayakuhusu ila ukasema mama hana hakili.
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@angelinahassani3097
@angelinahassani3097 2 жыл бұрын
Mama anuniwi acha ubwege Paula mtt usiekuwa na akil uwezi kumpangia mama yako mwanaume wakuwa nae pia kingine wewe ndio ulikuwa unacherewesha kumbe msamaha kukubaliwa ata mama yako kumbe alikuwa anampenda konde Ila wewe tu ndio ulikuwa ttz acha mama ako apate muhogo wa mmakonde bwana
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
Waheshimu Baba na Mama yako upate miaka mingi na heri(success), Duniani. Amri hii ya Mungu haijabainisha endapo kakufanyia vibaya basi usimuheshimu, Bali Kwa Hali zozote zile, maadam ni mzazi wako. Huyu mtoto analotafuta Kwa mzazi wake atalipa. Huwezi mchagulia mama yako Mume.
@dayanandama8873
@dayanandama8873 2 жыл бұрын
Cdhani kama vitabu vya dini vinaongelea kuheshimu mzazi anakuhitaji kimwili au baba wa kambo wacojiheshimu
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 2 жыл бұрын
Mwambieni Paula hawezi kuingilia mapenzi ya mama yake ikumbukwe ,yeye alimwambia asipokuwa na uhusiano na Rayvanny atakufa kwa nn na yy asimurusu mama yake kama alivyo achwa yy
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 2 жыл бұрын
Paula hauna adab huwezi kumchagulia mama yako mwanaume wakuwa nae
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 жыл бұрын
Mmmmmmh yangu macho wasanii bhana mnamaigiz kesho tu mnaachana tushawazoea na Harmon hizo pesa unazochezea ipo siku utalia cjui umelogwa
@mbawalamakomae5094
@mbawalamakomae5094 2 жыл бұрын
Mtoto anaadabu anamchagulia mama mume htareeeeeee xnaaa
@stellachalamila7455
@stellachalamila7455 2 жыл бұрын
Wewe unge weza kushea mwanaume namtoto wako au nyie niwachawi
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 2 жыл бұрын
Huu ni ujinga wa kutupoteza maboya sisi! Juzi tu walikuwa zenji woote mama mtu na mtoto na mmakonde🥤🤗🤗🤗
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 2 жыл бұрын
Paula yupo sahihi huyu mama Hana akili mtt amekwakwambia huyu baba hafai amenifunulia utupu wake na kakuonyesha ushaidi wewe mama bado unamludia huyu baba kweli
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Haha safi mtu na mama ake top in town
@johnmike6059
@johnmike6059 2 жыл бұрын
Uyo mama ajielew kajawa tamaa za anasa tu
@eunicethoya6021
@eunicethoya6021 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Paula a nafikiria 2 dude akiingia chumbani kwake kule mama yuala raha yeye yuaumia na hisia
@ntabyoetienne2508
@ntabyoetienne2508 2 жыл бұрын
Hiyo ni mipango yawo wote wa tatu,paula akatae RANGE ROVER 3 nani atakataa wewe subutu iyo wamepanga tu
@sniper93999
@sniper93999 2 жыл бұрын
Hizi comment wanaomlaumu Paula ni mashabiki wa Harmoniz na wanao muunga mkono Paula n watu wa Diamond 😂kwaiyo cjickii kucomment chochote kwangu lolote sawa
@simbaasad5811
@simbaasad5811 2 жыл бұрын
Now I can believe the news@millardAyo. You never lie in your reports
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 жыл бұрын
Pole Sana Paula... Rayvanny ndio huyoooooo amekuaja....
@jolinkimaro9939
@jolinkimaro9939 2 жыл бұрын
familia ya uzinzi ni uzinzi tuu. hili hata kwa mwanae utalikuta tupeane muda. vinginevyo abadilike
@37thstreetradioandtv
@37thstreetradioandtv 2 жыл бұрын
Big fan from KENYA
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 жыл бұрын
Kwani we Paula unamtaka hamo!! Mbona wivu mwingi!!
@nyandwiniyera5535
@nyandwiniyera5535 2 жыл бұрын
Paula atulie tu mbona yy alivyo kua anatoka na Mume wamutu mama yake alikua bele kwabele kumusimamia mwanae kwakila kitu jamani paula tulia bibie ww uweke masomo mbele huwezi kushidana na mumazi wako hata iweje mama atabakia kua mama mm sio tatizo ama kosa mama yako aliyo fanya ww kubaliana nayo kama yy alivyo kubalia na ww kipindi ulivyo kua kwenye mahusiona na ray Mume wa fayhma..
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 2 жыл бұрын
Kidole mama kido
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Kidole mama kidooo
@nellyflo9736
@nellyflo9736 2 жыл бұрын
Paula respect your mum decision.kwani utamuoa,😂😂💔
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 жыл бұрын
Paula mwache mama yko hawe na furaha utafanyaje ataukinunua ni mama yko usishindane naye ni mama
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 жыл бұрын
Paula awe na adabu kwa wazazi wake(mama yake mzazi na baba wa kambo
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 жыл бұрын
Umenichekesha😂😂😂😂😂
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 2 жыл бұрын
Huyu mtt anampangia mamaake maisha ww ndy chanzo hata mama ako akaachana na harmo mtt inackilza sana watu hata ukifuta bado atabak kuwa mama tu hakunaga mama wawil
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 lakini baba wako wawili
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 2 жыл бұрын
Mtoto atakiwi kukuchagulia maisho anatakiwa akubali matokeo yoyote kwake ni baba
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
WW PAULA HEBU TULIA USIMUINGILIA MAMA YAKO WW MTOTO
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Hamnaga mambo ya kuongelea maendeleo? . Kila siku hayo hayo
@islabocco478
@islabocco478 2 жыл бұрын
Kajala atajuta.hata mm ningea kua paul nisinge kubali yani mwanaume amuonyeshe mdudu ambao huo huo anamuingiza mama mtu Alf nitulie tu
@munirahassan6313
@munirahassan6313 2 жыл бұрын
Paul nyupo saw mama amezingua sana
@islabocco478
@islabocco478 2 жыл бұрын
@@munirahassan6313 kinoma Alf Kuna mafala wanamtetea kajala
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 жыл бұрын
Hivi kajala anafanya shuguli gani? Nakumbuka huyu dada alikuwaga kumbukumbu primary school
@stellachalamila7455
@stellachalamila7455 2 жыл бұрын
Hata ningekuwa Mimi ninge fanyahiyio
@editz5430
@editz5430 2 жыл бұрын
ndoman ww sio iVo... msenge
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 2 жыл бұрын
Script tu hzo movie bado inaendelea
@shazceo6853
@shazceo6853 2 жыл бұрын
Ebuuu bwana atulie kdg tujivunie sisi K❤️H
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
Wewe huna kazi ya kufaya kweda kupoteza muda kuzgumzia life zawatu yiyi wandishi wa Habari mbona mbatia aibu mkuwa kama mashoga
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Ukikosa Akili kitu kibaya sana....
@filberthabashi2870
@filberthabashi2870 2 жыл бұрын
Mwache mamake apate raha, maama hizo raha wwe huwez mpa, wwe pewa na rayvany,
@angesignolinx5829
@angesignolinx5829 2 жыл бұрын
Kabisa🥰🥰
@edwardcosmas6359
@edwardcosmas6359 2 жыл бұрын
Rayvanny nae 😃😃😃😃
@mutavijeniffer8895
@mutavijeniffer8895 2 жыл бұрын
Mtoto yupo såhihi jamani, mama yake mzazi anamdhalilisha, Ana kila haki ya kukasirika. Atabaki kuwa mamake, ila kwa sasa Ana haki ya kukusirika, mama anajidhalilisha jamani🚮🚮🚮🚮🚮
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 жыл бұрын
Wote ni 🚮
@hamelzakaria2439
@hamelzakaria2439 2 жыл бұрын
Ukidakwa si hatupo
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Paula anataka dudu ya babaake🤣🤣🤣🤣🤣
@malichanda3146
@malichanda3146 2 жыл бұрын
Kabisa 😆😆😆
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@malichanda3146 😂😂😂
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@fralex_1276
@fralex_1276 2 жыл бұрын
No comment
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 жыл бұрын
Huyu paula anamcontrol mamake mtoto mjinga snaa huyu😄😄😄Paula fata furaha yako ilipo mtoto umzae mwenyewe kisha akupande kichwa uwongo
@bwiseleloesse6808
@bwiseleloesse6808 2 жыл бұрын
Bumbafu zako kabisa wewe
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 жыл бұрын
@@bwiseleloesse6808 Na zako pumbu ziko wapi😄😄😄
@bwiseleloesse6808
@bwiseleloesse6808 2 жыл бұрын
@@zennahmtoto1867 hivi kwa nini wa Tanzania wengi hamunaga akili nashindwaga sana kuelewa
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 жыл бұрын
@@bwiseleloesse6808 Alo kwambie mm mtanzania nani😄😄🤗
@bwiseleloesse6808
@bwiseleloesse6808 2 жыл бұрын
@@zennahmtoto1867 unafikiria paula ni mjinga kama yake,ni mambo ya aibu sana
@leahchalresi5632
@leahchalresi5632 2 жыл бұрын
Mm naomba Kama kweli wameludiana nibola wafunge ndoa tuu
@samielmbay8495
@samielmbay8495 2 жыл бұрын
poa Kaka yangu
@shimadosun
@shimadosun 2 жыл бұрын
💥💥
@crownprince3956
@crownprince3956 2 жыл бұрын
Team wcb huyo mapenzi ya wazazi hayaingiliwi Kama yeye alivyokuwa na rayvanny Kumbe inaumaaaaa😂
@zainabufeka87
@zainabufeka87 2 жыл бұрын
Huyo paula fara tuu anaingilia vip mapenz yamama yake niutovu wananidham
@stellachalamila7455
@stellachalamila7455 2 жыл бұрын
Muchawi mkubwa wewe
@crownprince3956
@crownprince3956 2 жыл бұрын
@@stellachalamila7455 mchawi mwenyew na Paula wako asiyejielewa
@freelancer6368
@freelancer6368 2 жыл бұрын
Team wcb tunaingilia wapi kwenye huu uchafu wenu
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@tariqbutt9516
@tariqbutt9516 2 жыл бұрын
Waswahili husema Ushuzi wa ngomani haukawii kupita
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 жыл бұрын
Huyo Paula Hajielewi,tena akae kimya anampangiaje mama yake mapenzi,
@mwajabummbaga6302
@mwajabummbaga6302 2 жыл бұрын
Kwahiyo na nyie mmeshakua kama page za umbea,mnakeraa,wamesha rudiana,na paula kashamfollow mama ake,na mm ake ameshamfollow paula
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 2 жыл бұрын
Kama hajakubaliana waludiane bac itakuwa anamtaka yy uyo Harmo
@surehaaman8112
@surehaaman8112 2 жыл бұрын
Basi mtoto alitembea Nate kweli msibishe Wenda walilala wote
@protas6108
@protas6108 2 жыл бұрын
Kaona range 2 kapagawa nazo anatamani angekuwa yeye ila kwani vanny amnunulii ndinga kalikali kama harmo anavyofanya kwa kajala
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Hii ndio taabu ya kuzaa mtoto mmoja
@tariqbutt9516
@tariqbutt9516 2 жыл бұрын
Ushuzi Wa ngomani haukawii kupita
@ladykimnan902
@ladykimnan902 2 жыл бұрын
Mmmmh sisi niwatazamaji wahili limove😎
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 жыл бұрын
Acheni machawa waongee sio wakiteleza mnawaita mafala, Na sio kila kitu uongee nipo na briana unaniuliza kajala una punguza utamu.
@freelancer6368
@freelancer6368 2 жыл бұрын
Naingiza beat hapa😂😂😂
@daimondelfina5689
@daimondelfina5689 2 жыл бұрын
Paula yuko sahihi
@ilovejesus666
@ilovejesus666 2 жыл бұрын
Huo ni ulimbukeni
@shaniashani7026
@shaniashani7026 2 жыл бұрын
Mtoto msimtukane yupo sahii2 angetembea na huyo bwana asinge sema ikaja julikana badae mngemuonaje simngesema mtoto mbaya huyu kuna kesi nyingi sana mnaziona za wababa wa kambo kutembea na watoto wa wanawake zao mbona tunakuwaga tunalaumu watoto mbona ukusema hapo wapowanao bebeshwa mimba na wana ambukizwa magonjwa kwa mzazi huyu hakupaswa bwana kurudiana nae mtoto mmoja utaishi mbari nae umfraishe bwana anenepe mtoto akonde mmh
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
Ww uliwai kumsikia popote Paula akiongea kuwa alitaka kuliwa na harmonize?? Munapenda sana propaganda guys
@shaniashani7026
@shaniashani7026 2 жыл бұрын
@@omarymohamed9834 Wesamahani sana babu vipi unatazama mitandao sana sindio mbona haukuwai kwenda polisi hama mitanda yote ilokuwa ikizungumzia swala hili la baba kumtaka mtoto vipi uniwakie mimi tafadhari sana tena ushindwe
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
@@omarymohamed9834 we acha ujinga ungekuwa we demu sijui ungeongea huo ujinga
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 we hakili hauna. Ungekuwa we mwanaume ungekubali mtoto amkataze mama ake kuwa na ww
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
@@shaniashani7026 we polisi ulienda?? Na unajuwa kilichowapeleka polisi ni nn?? Au ndo fuatilia sana drama
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
MTANGAZAJI MBONA USISEME WEWE UNA TOKA NA ANTI EZEKIEL KUNA VIDEO NILIONA.
@edigamwagala2133
@edigamwagala2133 2 жыл бұрын
Ushezi mtupuuuuu!!!
@meshakimwantimwa537
@meshakimwantimwa537 2 жыл бұрын
Sasa kinachomfanya achukie ni nini anawivu hadi kwa mama yake , au alitaka aombwe yeye msamaha na aolewe yeye
@eunicethoya6021
@eunicethoya6021 2 жыл бұрын
Si harmo kaomba msamaha Kote kwa mama kwa mtoto akahakikisha haitatokea tena"am sorry my daughter" hakuna mkamilifu duniani Paula aelewe hilo
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Hamo anatakiwa atoke na Paula
@MikiGermany210
@MikiGermany210 2 жыл бұрын
Wanawake tunawaheshimu ila akili zenu mnazijua wenyewe
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Poula nikushauri kitu tulia endelea na Mambo Yako Maana sikio halizidi kichwa ☺️Wewe ni mtoto tu acha Mambo ya kipumbavu
@bwiseleloesse6808
@bwiseleloesse6808 2 жыл бұрын
Hauna akili wewe
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Naomba nikukumbushe kuwa mama ni mama tu hata kama Kilema , kichwa hatabaki kuwa mama tu, acha kuingilia mahusiano wewe ni mtoto mdogo sana Tulia fanya mambo yako
@jrm9448
@jrm9448 2 жыл бұрын
Maigizo tu. Mama na mtoto kula yao inategemea nyuchi zao. Hii yote ni kiki tu ya kuhalalisha mzunguko wa umalaya wao. Safari Harmonize asicheleweshe apige mimba wote wawili fasta.
@mwanzaboy1548
@mwanzaboy1548 2 жыл бұрын
Acheni usenge kua mnatuletea habali zakifala
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 жыл бұрын
ihii inanipa picha kwamba wasanii wa kike wataishia kuchezewa tu Harmo nafikili uyo sio mwanamke wa ndoto zake kajara anatakiwa kuwa na mume bola anakua kama mtoto mdogo dah
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 2 жыл бұрын
Kajala anampenda sana.mwanae watu waache kuingilia tofouti zao wataelewana tu
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 2 жыл бұрын
Hakuna tofauti wanatuzingua tu! Lao. Moja
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 жыл бұрын
Paula Yuko Sawa .. Ana Haki Ya Kummaindi Bi Mkubwa ,na Hii Inaonesha Ni Kiasi Gani Kajala Kakua Kiakili ,Lazima Awe Soource Ya Kumtoa Ujinga & Ndumba 😅Alizopewa Mppk Kuwa Mpuuzi Kiasi Hiko ,Siku Zote usiongozwe Na Tamaa & Hisia ...ongozwa Na Akilli kwanza ,Kwa Akili Ya Kawaida Unaweza Kumsamehe Mtu Aliyetaka Kumla Mwanao ?? ...Mwanao Unamtambulishaje Baba Yake Aliyewah Kumtongoza Na Kumtumia Mambo Ya Hovyooo ...Very Stupid Mother
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
Ww hyo ni siri yao we unaudhibitisho gan kuwa alitaka kumla mwanae. Paula anawivu
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 2 жыл бұрын
@@omarymohamed9834 huna akili kijana acha ushabiki mavi
@twaine40
@twaine40 2 жыл бұрын
Dada povu lakutoka hivyo kwani ulikua wataka @harmonize akufuate wewe Nini? Punguza jazba na ujipe shuhuli in short hayakuhusu fuatilia tu kinachoendelea
@chizashungu8364
@chizashungu8364 2 жыл бұрын
@Einstein mboje, Upo sahihi yule mama ni hovyo,inaonyesha jinsi gani akili zake ni matope.Paula kama kweli anataka kuwa salama aachane kabisa na Huyo mama ni hatari kubwa kwa her sanity.Huyo mama amekuwa robot.......na inavyoonyesha yupo tayari kwa lolote as long as kuna harufu ya hela.Paula go back to your daddy,let that mama go down on her own.
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai 😄😄😄😄
@micmac7035
@micmac7035 2 жыл бұрын
Mama kama mwanae Acheni utoto
@nelimajoy5412
@nelimajoy5412 2 жыл бұрын
A jealous daughter is a dangerous daughter,Paula arudi Kwa babake mzazi coz hakuna siku baba wa kambo atakua baba mzazi Kwa mtoto wa kike ambaye hakumzaa,,,if she can't be happy for her mum iyo ni wivu au alitaka monize mwanzo bt he chose her mom,it's a wicked world bt it is what it is,ameomba msamaha kasamehewa maana duniani hakuna aliyekamilika,angekuwa under 18 ndio tungesema harmo mbwaaaaaa lakini she's old enough to stay away from the step dad
@silyvya2408
@silyvya2408 2 жыл бұрын
Mama ni mama hata akifanya nisichopenda
@kebibasherry3117
@kebibasherry3117 2 жыл бұрын
Back to tz😂😂
@reginaedward4883
@reginaedward4883 2 жыл бұрын
Ukilima avocado,utahervest avocado, you can't harvest mchicha, mtoto umleavyo? Carry your own cross
@neemamassawe1946
@neemamassawe1946 2 жыл бұрын
Poula una tia Aibu sana unamuonea mama yako wivu! Badala ya kumuacha mama yako awe na furaha 😆Wewe Ndiyo shida kwenye mahusiano ya mama yako
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kunywa soda nakuja kulipa
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
Kwa hiyo ingekuwa wewe ungekubali bwana wako atake kumtomba mtoto wako nyie ndo unaochangia bwana na watoto wenu
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 wewe unaushaidi gan?? Unajuwa watanzania weng wanapenda sana drama aisee
@lallysaidsaid7219
@lallysaidsaid7219 2 жыл бұрын
Kweli anawivu anamchagulia mama mwanaume
@SwahiliFilmTz
@SwahiliFilmTz 2 жыл бұрын
VPN YA KUTUMIA INTERNET BURE 👇 . kzbin.info/www/bejne/aZm5ZJ5qqLqJd8k
@double8boy802
@double8boy802 2 жыл бұрын
Kajala karemba kidogo kama vile kinondoni hajaona kitu,ila pipi moja tu chupi limetupwa chini
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Huyo Paula anakuwa na wivu wa nini?ye
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
Huyo mtoto ni malaya anamtaka harmonize itakuwa
@stellachalamila7455
@stellachalamila7455 2 жыл бұрын
Huna akiliwewe
@omarymohamed9834
@omarymohamed9834 2 жыл бұрын
@@stellachalamila7455 me akili za nini we mbwa. Akili kuwa nazo wewe😅😅 na ww ingilia mahusiano ya wazazi wako
@zaitunifamao7777
@zaitunifamao7777 2 жыл бұрын
Let her concetrate on her studies and leave the elders be.
@mirajimsomaketi941
@mirajimsomaketi941 2 жыл бұрын
Real??
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Vidox nawe mbea sikuhizi mhh ila nawapenda wakweli tu kuliko wengine wote
@mautopolo
@mautopolo 2 жыл бұрын
Mtoto ana wivu Kwa mamake
@azizasuleiman1041
@azizasuleiman1041 2 жыл бұрын
Huyu mtto hana heshima tena sio wa kuoa kabisa haheshimu wazazi ataheshimu wazazi wa mume mtto ana mdomo wa kiburi hafai kuwa mke kafanya la mana vanyboy engewadhalilisha wazee wa ravyan ana mdomo mchafu
@blackamerica7086
@blackamerica7086 2 жыл бұрын
Au dogo alimpenda harmonise 😹😹😹 paula tulia nyege sio saizi yako
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
SHERIA IBADILISHWE KONDE BOY ALAZIMISHWE AWAOE WOTE
@catrinavampire8547
@catrinavampire8547 2 жыл бұрын
Sasa anakaa kwa nani ahame na nyumba sasa
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 73 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 27 МЛН
ZUCHU AMCHEZESHA RAIS SAMIA WIMBO WAKE WA NARINGA KIZIMKAZI FESTIVAL
8:20