No video

PENZI LA DADA WA KAZI 💞 NA KIJANA TAJIRI | MAISHA YA KELVIN KHAN, LOVELESS & VICTORIA

  Рет қаралды 200,342

DONTA TV

DONTA TV

Күн бұрын

#penziladadawakazi #dontatv #bongomovie #kelvinkhan
ILI KUPATA NAMBA ZETU ZA SIMU BONYEZA LINK HII YA INSTAGRAM KISHA UTUFOLLOW UTAPATIWA NAMBA ASANTE / kelvinkhan255

Пікірлер: 713
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 11 ай бұрын
Wakenya mmpoooo,,mmesikia kka etu Kelvin akisema twawasapirt sana 2,,,ebu mwenye anajali kukaribisha team Kelvin agonge like ya nguvu apaaa
@esthermabonge
@esthermabonge 11 ай бұрын
Nami nawapenda sana kabasha hongereni sana hendelesheni
@SophiaDenalwa-sx7yu
@SophiaDenalwa-sx7yu 11 ай бұрын
Tupo tumejaa tele wakenya
@user-lm5kd2nl1z
@user-lm5kd2nl1z 11 ай бұрын
Tuna wapenda sana❤❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 11 ай бұрын
@@SophiaDenalwa-sx7yu kabsaaa tumejaa kwenye Donta t.v.
@unclejayjay6379
@unclejayjay6379 11 ай бұрын
Bana nimejihisi furaha sana nkatamani iyo party ya tare 9 ingekua ni kenya inafanyika walai ningewai mapema sana kuliko kila mtu,
@NuruJuma-yz1eh
@NuruJuma-yz1eh 11 ай бұрын
Wakenya hoyeeeeeee.....sisi tunawapenda sana big love❤🇰🇪
@SakinaShekiyao
@SakinaShekiyao 5 күн бұрын
Brother Kelvin unajua kutufundisha jins yakuishi na Kila mtu na umetufundish kua mapenz sio biashar bal Ni maamuz ya mtu binafsi juu yakupenda anaempend❤❤❤❤❤
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 21 күн бұрын
Mnafanya vzr cn kiukweli mashahallah mungu Awabariki cn wote kiujumla nawapenda wote ❤❤❤❤❤
@user-nl5yc8qm2o
@user-nl5yc8qm2o Ай бұрын
Ninguépenda love ness n kelvin wawe wapenzi❤
@SivalinganaClara
@SivalinganaClara 7 күн бұрын
Kumbi tuna mawazo moja kweli
@denisodongo5675
@denisodongo5675 2 күн бұрын
Kazi safi Wana donta tv nafuatilia kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KhamadiOthaman
@KhamadiOthaman 11 ай бұрын
Viktoria asante nimepeda sana filamu yako pamoja na Kelvin umeonyesha ushujaa mkubwa na wewe ni zaidi ya mwanamke asante ni funzo kwa wengine
@SarahSarah-j7y
@SarahSarah-j7y Ай бұрын
Hongereni sana timu nzima ya kelvin mnafanya kazi nzuri sana jamani wap Tina , nely Braun wanachangamsha.sana yaani hapa nasubir dada wa kazi .
@Robenwetoi
@Robenwetoi 6 ай бұрын
From Kenya,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kevin you are my mentor,,,loveness and Victoria much love❤❤
@jackynyaks
@jackynyaks 11 ай бұрын
Good job kelvin na team yako mkenya but watching from saudi Arabia 🎉🎉🎉❤❤❤
@WycliffeMondole
@WycliffeMondole 3 күн бұрын
Hongera sana Mr kelvin na team yako yote.Ila hiyo kipindi ya kumi ya dada wa kazi twahisubiria sana.
@AustineSingoyi
@AustineSingoyi 11 күн бұрын
Wachaa donta tv wake moto🔥🔥🔥🔥 dada wa kazi tamu Bana yaelimisha kweli
@dorisgabriel6445
@dorisgabriel6445 5 күн бұрын
Kelvin mdogo wangu namimi nataka kuwa mmoja wapo wa team zenu
@saumuothman3588
@saumuothman3588 11 ай бұрын
Kelvin jina lako haliendani na ww me naona ungebadilisha jina lako liwe Hilo kelvin ND zuri linaendana na ww ❤
@damacklinemaragia
@damacklinemaragia 21 күн бұрын
Kazi nzuri team Kelvin n damackline kutoka Kenya watching from Saudi Arabia na wapenda sana❤❤
@anchilaachileus8765
@anchilaachileus8765 Ай бұрын
Mko vizuri 🔥🔥🔥🔥wapendwa wangu kaza Buti mko vizuri Sana mtafika mbali Sana .nakatika kazi zenu msimsahau MUNGU wenu mzidi kumuomba ili aweze kuwaongoze kwenye kazi zenu .nawapenda sana❤❤❤❤❤❤🙏🙌🙌🙌❤❤❤❤❤❤❤
@janemomanyi
@janemomanyi 11 ай бұрын
Leo nmewai mm wakwansa uku nawapenda sana 🙏🙏🙏 mungu awalinde nyote kwa helimu nzuri
@fridakibasa6682
@fridakibasa6682 6 ай бұрын
Inawezekana Smith na loveness sio mke na mume Ila ni wapenzi macho yenu yanaonesha dhahiri kabisa😅😅
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
😂😂umeona eeh😂
@RatpherAdam
@RatpherAdam 4 күн бұрын
Nakupenda mno kelvini mungu akufikishe mbali kizidi hapo ulipo
@user-lw9tq7ny9e
@user-lw9tq7ny9e 10 күн бұрын
Wakenya mpoo mesikiya kelvin alicho sema piya sisi twampenda sana karibuni Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MaryMusau-is7ke
@MaryMusau-is7ke 12 сағат бұрын
ni kweli movies zenu unifurahisha kwely nazipenda sana alafu pia mpost episode haraka haraka zikifuatana juu tunazingojeaga kwa hamu sana
@NeziaLeonard
@NeziaLeonard 5 күн бұрын
Ongeren san wote maan penye nia pana njia msikatee tamaa ilove so much❤
@Thelouismalekan
@Thelouismalekan 11 ай бұрын
Dah victoria kama sio wewe yule ninaekujua ktk movie ongeren sana nyote kwa ujumla mmefanya vizuri snaaa nimejifunza vingi sana ❤
@user-xo5ii2pw2h
@user-xo5ii2pw2h 4 ай бұрын
safi sana lovenes nawapenda sana mungu awabariki team ya kelveni welcome from USA New Mexico welcome team kelveni hoyeeeeeeeee thank very much mz
@petronillamotari1754
@petronillamotari1754 11 ай бұрын
Pongezi Sana Mr Kelvin pamoja na kikundi chako chote kwa hakika nimejifunza vitu vingi Sana kipitia hii series toka mwanzo hadi mwisho ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉congratulations once more Ila Vicky katisha Sana kwenye movie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AnnaMollel-tb7vt
@AnnaMollel-tb7vt 11 ай бұрын
Kelvin na kundi lako jamani nimefrahia sana kazi yenu Mungu awainue Kwa viwango vingine vikubwa sanaaa
@zainabsalim5494
@zainabsalim5494 5 күн бұрын
Kingine Tim nzima mko vizur Allah amilinde nakumiongoza🙏🙏
@GraceKwayu-yo4zf
@GraceKwayu-yo4zf 11 ай бұрын
Vicky nakupenda Hadi nakupenda Tena... Mungu abariki kazi ya mikono yako my dear!❤❤❤❤..
@SofiaPatrick-om8vn
@SofiaPatrick-om8vn 7 ай бұрын
Nakupenda sana kelvin endelea ivyio ivyio
@MwaJuma-x3t
@MwaJuma-x3t 2 күн бұрын
Sisi kma wakenya tunawapenda sana❤❤❤❤❤❤
@davidwamalwa9156
@davidwamalwa9156 10 ай бұрын
Wooow,Kelvin na team Yako kweli nimefurahia Movie zenyu pongezi sana, Vick pullooo Mko Vity
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 7 күн бұрын
Ndiyo wa kushukru Mungu Howakutaja anawezesha kila mwadamu 🙏
@MercyMunyy
@MercyMunyy 10 ай бұрын
Yaan nilipenda hii kipindi kuanzia mwanzo Hadi mwisho nilitaman kisiishe ila kiliisha tu❤❤I'm from Kenya thañx for this video imenifunza mengi sanaaa🙏🙏
@neemamrisho7500
@neemamrisho7500 11 ай бұрын
Alaa Vick mwandsh wa habar mzuriiii so kwahyo interview Kama milad Ayo ❤❤🎉
@QueenMishy
@QueenMishy 11 ай бұрын
Ametisha kwel❤❤🎉🎉
@FrankJRFrankjr
@FrankJRFrankjr 3 күн бұрын
Big up sana kwa kazi nzuri so kerviny pambana sana
@user-ok9oq3rg5m
@user-ok9oq3rg5m 11 ай бұрын
Ogera san kelvin tuna subir siris nyengin Kwa hamu na gamu ❤❤❤❤ from Kenya tunakukaribisha Kenya siku utakapo kuj
@VIRGINIASYOMITI
@VIRGINIASYOMITI 13 күн бұрын
Ongwleni mnafanya kazi zuri sana
@stevenolwombo9519
@stevenolwombo9519 10 ай бұрын
❤❤ kumbe Vicki uko ivo muko sawa kabisa 🇰🇪🇰🇪
@user-ne1yg2hf6y
@user-ne1yg2hf6y 8 ай бұрын
Kiukweli kelvin ww n mwanaume sai 🎉 movie zko zanipa moyo sna congratulations 👏🎊🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JustinZihalirwa-eg9xp
@JustinZihalirwa-eg9xp 4 ай бұрын
Shukrani kwenyu musiyo kuwa wakorofi kama wengine ambao wanaanza kisha wana achiyiya njiyani bila kumaliziya wasani wetu mumetufurahisha saaana kwqkweli ❤❤❤❤❤❤ mauwa yenu jameni. Siyo kama Vincent kigozi kwenye tandi , clam vélo kwenye big-boss,kicheche kwenye lamba lamba nawengine wakorofi. Musije mukawa kama hao
@DennisMarega
@DennisMarega 4 ай бұрын
Marega from kenya🇰🇪🇰🇪 nawapenda sana kwa huyo victoria
@AboabdulhakimAlfaleh-in7jo
@AboabdulhakimAlfaleh-in7jo 27 күн бұрын
wakenya hoyeeeee aki tumefurahia sana vipimdi zako hua nkifuatilia kila episode yako asante sana team donta tv tunawapenda sana
@user-ib7hp2uf9c
@user-ib7hp2uf9c 11 күн бұрын
Kelvin utaenda mbali sana, I love the way u act❤🎉 be blessed bro with ur team
@DianaMiheso
@DianaMiheso 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤ tunawapenda Sanaa wakenya kujeni
@user-nw9qv2ws9o
@user-nw9qv2ws9o 8 ай бұрын
Ongera saana bwana kelvine,move yako ni nzuri saana,naipenda toka Lubumbashi, DRC.
@user-us8iz4rp8h
@user-us8iz4rp8h 11 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 Kelvin & the team nawampenda Sana good work all the beste mashahallah be blessed
@SalumNghwalala
@SalumNghwalala 3 ай бұрын
Jmn flam hi nmeipendasana kulko zote amenifrahisha sana Victoria ,kelv,na brown asanteni sana mmetsha sana Bora muiendeleze had mia au vp👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 9 ай бұрын
Nawapenda na hongera Kwa kaz zenu mzuri
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 10 ай бұрын
Equipe DONTA TV Felicitation! From Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@esthermkambe
@esthermkambe Ай бұрын
Mm nkiwa Kenya nawapenda bure2 🥰🥰🥰 Na mwenyezi Mungu awaongoze zaidi 🙏🙏🙏 Kelvin uko juu kakaangu
@kokenye9003
@kokenye9003 5 ай бұрын
Welcome kilvin and your team kaa mm nakupenda saaana 💋💋 but pia kwa uchumula na wapenda saana
@donaldwanyonyi6856
@donaldwanyonyi6856 Ай бұрын
Naitwa Anitah natoka kenya kelvin Khan Nakupenda sana na Nina penda Movie zako sana huwa nakufwatilia Kila wakati mungu aendelee kukupa nguvu ili uendelee kutufunza mengi nawapende
@fellst4159
@fellst4159 11 ай бұрын
Hongereni san team kelvin MUNGU awalinde,kuna watu wanawaibia utaona wamepost ukikimbia gom siyo wanatuudhi san bt munafanya kazi nzuri nilipend san
@user-lt3bp5qz3y
@user-lt3bp5qz3y 3 ай бұрын
Nimewakubali sana kwakweli na nimejifunza mambo mengi sana kutoka kwenu,, hongereni sana
@cliffordluanda
@cliffordluanda 11 ай бұрын
Bro kelvin me upande wangu nakukubali sanaa bro appreciate bro upo smart sanaa najifunza vingi kupitia wew bro una swagger piah nimtu ambae upo gud
@MaggyYulempole
@MaggyYulempole 17 күн бұрын
Mungu awainue juu saaana, mm ninawafatilia saaaana na ninafiraisha sana navipindi vwenu, mm n Maggy kutoka Kenya ,,muendelee tuko nyuma yenu,,barikiwenu saana , hasa Kevin, lovenes, Tina, braon , Victoria,🙏🙏🙏🙏,
@hassanhussein3703
@hassanhussein3703 8 ай бұрын
I salute you all. One ❤ from Kenya keep going guys Best actress viki❤❤❤❤❤
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx Ай бұрын
Watching from kenya napenda sana team yako Kelvin Mungu awabariki sana pokeeni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@simonfadhili4206
@simonfadhili4206 11 ай бұрын
Victoria anajua mpaka anakera mm ningekua na uwezo ninge mzawadia kitu ila namuombea kwa mungu azidi kumuzidishia nampenda sana
@VictoriaMwigani
@VictoriaMwigani 10 ай бұрын
❤pia
@jeandedieunduwayo9302
@jeandedieunduwayo9302 11 ай бұрын
Mbona hamukusema warundi na wanyarwanda nasiye tunawapenda sanaa munatufurahisha sana
@AbduRichardfikiri
@AbduRichardfikiri 11 ай бұрын
Kiukweli natamani iendelee sana alafu Mungu akutiye nguvu kelvin
@GraceOdhiambo-bl5ub
@GraceOdhiambo-bl5ub Күн бұрын
Nashangaa sana hapo kelvin anapo kiri kwamba yeye na loveness hawana mahusiano yaki mapenzi,yaani wanafaana eti kua mke na mme mwapendeza kweli
@MwaJuma-x3t
@MwaJuma-x3t 2 күн бұрын
Tumefulai jmn mungu awabarliki❤❤❤❤❤
@MonicaMoni-l7n
@MonicaMoni-l7n 2 күн бұрын
Congratulations guys your did amazing movie ❤❤🎉🎉
@DouglasKalenge
@DouglasKalenge 4 ай бұрын
Wa Congo shabikieni donta nzima❤❤❤
@user-hf7pk2lx4v
@user-hf7pk2lx4v Ай бұрын
Good job kelvin kwa pande yangu nimejifunza mambo mengi kwa hizi filamu zako kazi nzuri much love from saudi
@unclejayjay6379
@unclejayjay6379 11 ай бұрын
Bana nyinyi watu kazi yenu imeweza sana na nimeipenda na kuikubali kabisa na nimengoja iyo kazi inakuja kwa hamu,nawapenda saana na nawaombea saana mungu awaendeleze zaidi
@user-mj4qp7sm7t
@user-mj4qp7sm7t 10 күн бұрын
I love kelvin wewe n mtu wa nguvu sana pia uyo loveness tia bidii rafiki
@BayagaWycklif-ht6jc
@BayagaWycklif-ht6jc 8 ай бұрын
Bayaga Wycklif kutoka Burundi nawafuatilia sana tena takribani movies zote, aiseee nawapenda sana!! Mungu awape maisha marefu kundi la Donta TV
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 11 ай бұрын
Sinaga tabia ya kukoment lakin nimekuwa nawafatilia sanaa napenda mnacho kifanyaa hongereni sana @Dontatv mnafanya Kazi Nzuri🎉🎉🎉
@Collokenya
@Collokenya 10 ай бұрын
Wakenya tupo, kwaza huyu kaka na mpenda kiukweli ana kitu huyu ongera sana ndungu na kuita ndugu kwa sababu unastahili🤝👍
@user-iu8tv9re5r
@user-iu8tv9re5r 9 ай бұрын
I salute Kelvin khan and the whole team of donta TV, your creativity has taught many people on the values and virtues of a woman and many more things that I personally have learnt through out penzi la Dada wa kazi. YOU HAVE MADE IT AND MAY GOD GUIDE IN EVERY STEP YOU TAKE
@Dontatv255
@Dontatv255 9 ай бұрын
Thank you
@user-iu8tv9re5r
@user-iu8tv9re5r 9 ай бұрын
@@Dontatv255 welcome wakubwa wangu wa donta TV Donta TV pamoja 🙏💝💕
@wanjamurithi-ve2pn
@wanjamurithi-ve2pn 11 ай бұрын
Tunawapenda kweli Kelvin na team yako,, karibuni kenya❤
@DorotheaKibwana
@DorotheaKibwana 10 ай бұрын
Jamn kelvin nn kimekupata apo shamvuni jamn poleh kazi nzuri sana
@user-jd3cl3sc1u
@user-jd3cl3sc1u 19 күн бұрын
Mkko vizuri endeleeni kutupa somo
@user-jy5hb8yv7z
@user-jy5hb8yv7z 12 күн бұрын
Bwana Kelvin anamukombola Steven kanumba pale Mjini Tanzanie ogera bwna kwa kazi Yako.
@user-vx7xt1rk7t
@user-vx7xt1rk7t 10 ай бұрын
Hongera sana mmetufunza mambo mengi sana kupitia dada wakazi nawapenda sana kutoka 🇰🇪❤
@rosemassay7572
@rosemassay7572 15 күн бұрын
Jamani kelvin ni mstaarabu sana jamanii
@rosemassay7572
@rosemassay7572 15 күн бұрын
Jamani huyo shemeji yangu hongera sana shem uko vizuri
@EvaYohana-yr6id
@EvaYohana-yr6id 11 ай бұрын
Jamani nawapenda sana .kazi yenu njema watumishi wa MUNGU barikiwani sana.tunatazamia vitu vizuri kutoka kwenu.
@user-ev8po4jh1v
@user-ev8po4jh1v 25 күн бұрын
Jamani kervin kumbe mjita Kaka yangu uje nikufundishe kijita angu Kaka wani😂😂😂😂
@PriscarGodrick
@PriscarGodrick 20 күн бұрын
Kelvin limekupendeza sana jina lako halisi halikupendezi hata😂😂😂😂😂
@josephineachitsa
@josephineachitsa 11 ай бұрын
Dah kelvin is my feverity yaan ananieka kwenye moods ya kupenda mtu ,keep it up kwa mafunž ya mapenzi from kenya
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 21 күн бұрын
Yn mnajua mpk mnakela ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@kassimsango2117
@kassimsango2117 3 күн бұрын
Brw mko vizuz xn nawakubali 100% kutoka kenya
@EnockSilvan-gk1mq
@EnockSilvan-gk1mq 3 ай бұрын
Hakika Kelvin ni mtu pekee🎉ambae mwenyez mungu kamjalia kipaji hakika anajua nmezipenda sana❤kazi zake
@SosoJanette
@SosoJanette 14 күн бұрын
Kevin munguu akubaliki kwenye kazi zako tuagufilia uku burundi❤
@solomonkhansolomon4864
@solomonkhansolomon4864 4 күн бұрын
🇿🇲 jambo yenu wandugu atuya rizika na movie ya dada wa kazi tunataka umuowe Loveless
@CleaGastodi-oc3yw
@CleaGastodi-oc3yw 9 күн бұрын
Kazi nzuri kelvin
@ModesterMonicah
@ModesterMonicah Күн бұрын
❤❤ wow nice si ata mtuambie mnapatikan wapi niwatembelee
@PatrickWambura-ls5zm
@PatrickWambura-ls5zm 9 күн бұрын
Jamani nataka mwendelezo wahipicha nimependa sana tena sana
@JanetKalume-zc6sv
@JanetKalume-zc6sv 13 күн бұрын
Mim n mkenya nataka kuja kuigiza n ninyi team donta mim pia nandoto y kuigiza 🙈🙈😹😹tuna wapenda San
@user-tf5fb3ji9m
@user-tf5fb3ji9m 11 сағат бұрын
Mpo vizuri sana.
@winfredmwikali6296
@winfredmwikali6296 17 күн бұрын
Wooow karibuni kenya kabisa❤❤
@kikiesther8884
@kikiesther8884 10 ай бұрын
Wow congratulations you guys your movie have taught me many things my God lead you to the high level be blessed
@user-vn4st4gp9i
@user-vn4st4gp9i 11 ай бұрын
Guys you are doing great, much support from Kenyans. Personally I have watched the full movie and it was wooow! Am looking forward to your new movie to be launched on 6th next month. I love your job guys,much blessings.
@Hunterboy.k
@Hunterboy.k 14 күн бұрын
Hunter Boy from Kenya twapenda videos zenu sana
@user-km5mk4rv3y
@user-km5mk4rv3y 5 ай бұрын
Nazipenda sana movie zako Kelvin ujawahi kukoseya❤❤❤
@ZamdaAyubu
@ZamdaAyubu 2 күн бұрын
Kelvin kadanganya yeye na lovenes ni wapenzi bahna huoni wanavo jikanyaga😂❤
@AsimaaJuma
@AsimaaJuma Ай бұрын
Nawapenda san jmn Kelvin na team yako Mungu awabariki mnatufunz weng
@user-hx1xh4nj4c
@user-hx1xh4nj4c 9 ай бұрын
Na sisi huku Bujumbura tunawapenda xaaana.nawapendaaa xana wana donta tv.Mungu awaendeleze na kazi zenu.❤❤❤
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,2 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 52 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
NDOA YANGU  💞 Love story | DONTA TV
33:55
Donta Plus
Рет қаралды 202 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
Unamkumbuka Jeff wa The game of Love? tumemkuta Kigoma
8:48
Millard Ayo
Рет қаралды 94 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
BabaJoan
Рет қаралды 235 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44