Unamkumbuka Jeff wa The game of Love? tumemkuta Kigoma

  Рет қаралды 95,140

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Ni moja kati ya Waigizaji wa miongoni mwa movie zilizotamba sana kipindi cha nyuma kuanzia mwaka 2006 - 2009, AyoTV na Millardayo.com zimemkuta Jeff Kigoma na kufunguka.

Пікірлер: 232
@omarsalim57
@omarsalim57 2 жыл бұрын
Hongera sana Jeff. Mpaka leo naitazama the game of love naipenda sana. Kwa upande wa kilimo umeongea sana 👍
@bintinoorjelle9653
@bintinoorjelle9653 5 жыл бұрын
Ah jamani Joel napenda veronica na the game of love ahh yaani ziko freesh sana alafu hio nyibo ulio iimba naipenda sana keep it up love love...😘😘
@jaydon3361
@jaydon3361 5 жыл бұрын
Dah mara ya mwisho nilikua nae Dar kigogo tulikua kambi tunaandaa movie na Mstapha Nditi, ilikua 2014. Nimekukumbuka bro
@lobemwamba8656
@lobemwamba8656 5 жыл бұрын
Kama unamkubali jeff gonga like
@abelaernest9905
@abelaernest9905 4 жыл бұрын
Amenenepa
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 жыл бұрын
Anajua kujieleza 😙
@kayambavitalis8700
@kayambavitalis8700 5 жыл бұрын
Huyu Jeff anajua kujieleza hadi sio vizuri hongera sana kaka mungu akubariki
@rickrossmatendobutuyu9563
@rickrossmatendobutuyu9563 5 жыл бұрын
nakubali camera za Millard ayo za kwanza Tz kama unakubaliana namimi weka like hapa
@lobemwamba8656
@lobemwamba8656 5 жыл бұрын
Kama unamuona amenenepa gonga like apa
@saidiibrahim31
@saidiibrahim31 5 жыл бұрын
Mtangazaji ongeza juhudi bado kidogo.
@pendosammy5984
@pendosammy5984 5 жыл бұрын
Umumbea
@pendosammy5984
@pendosammy5984 5 жыл бұрын
Nakkumbuka veronica Jeff akiuza maji n mkokotoni
@sumaiyamihrma7852
@sumaiyamihrma7852 5 жыл бұрын
Kwanza nilimsahau
@mariamathumani2868
@mariamathumani2868 5 жыл бұрын
Umetisha
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Anajua, anajua had anajua tena Nakupenda Jeff upo Makin mwenye Kaz zako big up, rud bwana tumekumiss mnooo❣️❣️❣️❤️👌❤️
@suzzybalondani8471
@suzzybalondani8471 4 жыл бұрын
Mr. Jeff rudi tena kwenye fasi yaku cheza movie, maana tumeku miss muno😘👌🏾
@owennicholous9706
@owennicholous9706 Жыл бұрын
Daah! Huyu jamaa namkubali sana kiukweli, na mm nimeanza kumfahamu kuanzia film hiyo ya The Game of Love,,,hongera sana Jeff Kwa kaz nzuri ulizowahi kufanya,,ww ni legend brother❤
@gundoanimal6750
@gundoanimal6750 5 жыл бұрын
Kitambo sanaaa...the game ov luv..jeff..blandina..joan..linah..betii mgaboniela..andrew...daaah waaat a movie
@lilianfelekeni7771
@lilianfelekeni7771 4 жыл бұрын
THE GAME is my favorite movie 💖, I'm still watching it until now 2020, From USA. Ututiliye movies zako zingine tuzione pls
@saidbanga
@saidbanga 5 жыл бұрын
Millard hongera sana kwa kufukua vitu maana duh nimekumbuka mbali sana.. nilishamsahau kabisa...!!
@azizalydiaaziza6051
@azizalydiaaziza6051 5 жыл бұрын
umenenepa sana jamani ila sura ileile na sauti ilele 😘 rudi kwenye game ila napenda ukiigiza na Odama🔥🔥🔥🔥
@bennytenson6226
@bennytenson6226 5 жыл бұрын
Daaah! Jeff wa the game of love. Kitambo kwel
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 5 жыл бұрын
The game off love Mm hainiishi utamu Kila nikiangalia naona Kama ndio new version movie
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
filamu ya the game of love ilitamba mbele ya akina kanumba enzi hizo bongo movie kweli.
@julius795841
@julius795841 Жыл бұрын
Maskini Jeff wetu......much love from kenya
@samirayusuf3717
@samirayusuf3717 5 жыл бұрын
Nakumbuka yukoapi jamani Jeff miss u rudi
@sarahwawuda7638
@sarahwawuda7638 5 жыл бұрын
Veronica niliipenda sana hiyo movie
@wemakalam3233
@wemakalam3233 5 жыл бұрын
Duuh jeff nakukubali balaa the game of love ilikuwa fireee.
@leahjoram7693
@leahjoram7693 5 жыл бұрын
Alafu Ile alicheza ya Veronica, duh naipenda sana. Game of love
@gracemwakatika773
@gracemwakatika773 5 жыл бұрын
duh Jefu nimekumbuka mbali Sana fanya mrudi ulingon mlihiti sana jaman na team yako yote
@metabishephraim7662
@metabishephraim7662 4 жыл бұрын
Legend never Dies long live Maskini Jeffu.
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 5 жыл бұрын
uyu jamaa nilimuona stendi mpya kigoma majuz juz yupo peace
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 жыл бұрын
My hooney my sweet iiii the game of loveee respects San wakongwe we2♥️♥️♥️♥️
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym 2 ай бұрын
Woow masha,Allah iyo movie naikubali sana is the best
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
waa.nilimmiss
@julessalumu8836
@julessalumu8836 5 жыл бұрын
huyo jamaa ni nomaaa balaa
@josephseleman7780
@josephseleman7780 5 жыл бұрын
huyu jamaa namkubali sana
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 5 жыл бұрын
Zaman saana weka Mziki mpya tukuone tunapenda kukuona umetisha saaana
@yussufabdalla9377
@yussufabdalla9377 5 жыл бұрын
Walijitahidi sana kufanya movie zilizo kua na uhalisia hongera kwao gonga like km unawakubali wakongwe
@photoshoptv4156
@photoshoptv4156 5 жыл бұрын
Kweli kila kitu na wakati wake
@winniemwasenga
@winniemwasenga 5 жыл бұрын
Duh the game of love ilikuwa ni best movie aloo huyu kaka arudi tena kwa game
@lovenessibrahimu6730
@lovenessibrahimu6730 3 жыл бұрын
Umeona Eeeeh Hiiiii Movie Ilikuwa Balaaaa Nikiwa Primary Mpk Leo Nakumbuka
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 2 жыл бұрын
Love from Burundi miss u Jeff
@benardmartine244
@benardmartine244 5 жыл бұрын
Msukumaji Wa Toroli
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Kweli kabsa,hata mm nilibeba huo msemo Mali utaipata shambani nikaanza kuwekeza bush ndani ya miaka 2 nmeweza kununua km heka 10 za miti ambayo baada ya miaka 5 au 7 ijayo navuna.Na heka 1 si chini ya Mil.4 mara 10 ntakua na kiinua mgongo cha Mwl. kwa sera ya ss ya mifuko ya jamii
@anaananik5016
@anaananik5016 5 жыл бұрын
Abby Adams unaweza kuenieleza kwa kina unapata wapi biashara baada ya kupanda
@anaananik5016
@anaananik5016 5 жыл бұрын
Abby Adams I mean wapi utapata mauzo
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Abdirahman Awess Mkuu biashara ya miti ipo mda wote cha msingi iwe imekomaa iwe na miaka takribani 13 hadi 15.Biashara ya mbao ni kubwa sn maana sekta ya ujenzi inakua kwa kasi sn,cha msingi uwe mvumilivu pia miti ni asset ya mda mrefu hata km unakufa leo(siombei iwe hivyo) watoto watafaidi
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Kuna namna 2 za kuuza.1 unapasua mbao we mwenyewe na kuwauzia wafanyabiashara wakubwa .2 au unauza miti yote ikiwa shambani wanapasua wao ila kwa ufupi soko lipo na hata km linayumba sio km mahindi
@anaananik5016
@anaananik5016 5 жыл бұрын
Abby Adams yeah hapo nimeelewa but nataka biashara ya mazao alafu na solo... Kama nikivuna soko nitapata wapi
@helenekisesa8471
@helenekisesa8471 5 жыл бұрын
Nikweli Jeff tuna ku miss sana
@theearth5581
@theearth5581 5 жыл бұрын
Miss you a lot brother
@danielkioko9415
@danielkioko9415 2 жыл бұрын
Jambo Jeff,,we msanii wangu akh qq actions,,kma the game of love na kina blantina,, Joann,,linah,,,,bro akh
@gitu4me
@gitu4me 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 5 жыл бұрын
Game of love enzi zile na Jennifer kyaka❤
@godfreymtwanga6929
@godfreymtwanga6929 5 жыл бұрын
Nakukubali sana jeff
@chishemabhebhe6967
@chishemabhebhe6967 5 жыл бұрын
Kigoma Boys........kama unamkubali jamaa Jeff angusha Malike apaa kushoto..........!
@eliphasethobias1133
@eliphasethobias1133 3 ай бұрын
Namkumbuka kwenye the game of love Akiwa na linah,brandina nk
@occupeparjesus6768
@occupeparjesus6768 4 жыл бұрын
Apa ndo amekua handsome sasa 😂😂😂
@mussaruhamba9225
@mussaruhamba9225 5 жыл бұрын
Home boy kabisa yaan mzee john memba nampata vyema sana yupo kibingo karibu na shule ya sekondari mwandiga lakini pia mzee john memba amewatoa vijana wengi wa kigoma kwenye umahiri wa mpira wa miguu Hongera sana kaka ama hakika umesema kweli "kama mnaitaka mali mtaipata shambani" Na sio mjini
@radhiahussein5930
@radhiahussein5930 5 жыл бұрын
Daah jeff alitikisa tz
@elizayongolo5943
@elizayongolo5943 5 жыл бұрын
Tamu sana muvie zako
@mejubaraza9415
@mejubaraza9415 5 жыл бұрын
Nakukumbuka sana
@josephkazungukombe8688
@josephkazungukombe8688 3 жыл бұрын
Safi sana nakukubali jeff
@youngxhadah7951
@youngxhadah7951 5 жыл бұрын
kaka naomba nikuandikie au nikupe story iliokamilika kama unauwezo wakuicheza yaan namaanisha gharama....
@shedrackjacksonkaboza4348
@shedrackjacksonkaboza4348 2 жыл бұрын
Ilikuwa movie kali xnaaa
@renavisiontv9625
@renavisiontv9625 5 жыл бұрын
The game of love,,,pale Jeff anatemewa mate usoni huwa pananikosha sanna😂
@amosrhushenge5895
@amosrhushenge5895 4 жыл бұрын
Koja huyo tunamkubali saana Congo. anakuwaga na maongezi mazuri kabisa. Namutakiya maisha marefu.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
Juzi nimetoka kuiangalia 😂 leo nimeona interview Daah 😂
@theblessedone7526
@theblessedone7526 8 ай бұрын
Warudi kwenye game bana❤❤❤❤
@lifeasjohan8416
@lifeasjohan8416 5 жыл бұрын
We miss him na team yake nzima ya kina blandina rudi Jameni kwenye game tena
@joankunambi9992
@joankunambi9992 5 жыл бұрын
Jamani kaka Jeff , nimefurahi kukuona
@tresorlusolo8916
@tresorlusolo8916 2 жыл бұрын
MILLARDAYO VIPI TULETEE MR CHUMA AMEPOTEA SANA ....
@TahirAli-i9o
@TahirAli-i9o 6 ай бұрын
Mm Leo niliangalia film ya the game of love part zote mbili kabla hii interview
@victoriamushi9862
@victoriamushi9862 5 жыл бұрын
Duuh! Veronica naikubal sana hii muv
@mathewshedrack4833
@mathewshedrack4833 5 жыл бұрын
Kumbe ww wa kigoma asee kigoma kunavipaji sna
@kasimrajabu2068
@kasimrajabu2068 5 жыл бұрын
Nice
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk 3 ай бұрын
Jaman Jeff I miss you napenda tabasam lake
@julessalumu8836
@julessalumu8836 5 жыл бұрын
hivi Mack yupo wapi hadi sasa kipindi hicho riama mdogo sanaa
@richardmussa1342
@richardmussa1342 8 ай бұрын
Jeff kajieleza vizuri had interviewer kakosa maswali kaanza kurudia maswali
@aminamol266
@aminamol266 5 жыл бұрын
da'ah hakuna mtu mwembamba. Jeff umenenepa! !
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 5 жыл бұрын
Amekua bonge sasa hivi jamani Rudi basi tumewamiss
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Et alikuwa anafanya vizuri aah alifanya vizuri movies 1 tu kaz the game of Love zngn akalale
@Ecamaenda
@Ecamaenda 7 ай бұрын
Jamaha alikua fresh sana
@ishimwekoney1828
@ishimwekoney1828 5 жыл бұрын
Yooo namkumbukaaaa ♥♥♥♥ hapa rwanda tunampenda sana!
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
The game of love naikubali sana ilikuwa kali ad ikapitiliza
@emmyjuma6329
@emmyjuma6329 3 жыл бұрын
Jamani jeff wangu💖❤
@yinzabuhilya4760
@yinzabuhilya4760 5 жыл бұрын
daah kweel game of love bonge la movie
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 4 жыл бұрын
Mapenzi ya blandina, Tina, Joan na yule Lina kwenye the game of love yanamnenepesha Jeff... wallahy
@gundoanimal6750
@gundoanimal6750 5 жыл бұрын
Alicheza pia movie ya VERONICA...akiwa na jenifer kyaka-odama...jamaa alikua fundi
@stevenshonza76
@stevenshonza76 5 жыл бұрын
Kama unaamin kanenepa gonga like hapa
@patrishadickson3365
@patrishadickson3365 5 жыл бұрын
kumbe Jeff ni mlundi
@kigorofanikwarara6774
@kigorofanikwarara6774 4 жыл бұрын
Wasanii wa zaman wapo juu
@user-yc8pc5kc2h
@user-yc8pc5kc2h 6 ай бұрын
Hongera sana Jeffu
@emmanuelkapaya1131
@emmanuelkapaya1131 5 жыл бұрын
Dah! Namkubali sana huyu jamaa
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 9 ай бұрын
Bado interviw imeminywa. Jeff anamambo mengi sana ya kuongea apewe masaa 2
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
Ni kweli hio sinema ilitamba Africa
@zubedamrombo8792
@zubedamrombo8792 5 жыл бұрын
nakukubal sn Jeff
@fikiriramadhani7715
@fikiriramadhani7715 5 жыл бұрын
Kwenye Veronica na The game of love umetisha sijutii mb zangu kuzirudia rudia
@bugramsafi9873
@bugramsafi9873 10 ай бұрын
Tunamkubali sana
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Vizurisan kumuleta huyu Rafikisana🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@emanuelkatembo2921
@emanuelkatembo2921 3 жыл бұрын
yani uwezi amini jana2 nilikuwa naangalia iyo move duuuuuuuuu
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 2 жыл бұрын
Jaman kigoma kuna Watu!
@kinara2542
@kinara2542 3 жыл бұрын
The handsome boy......io tym alikuwa anakaa mtoto
@AroBamze-xt6ip
@AroBamze-xt6ip 5 ай бұрын
Nakupenda nakwitandi
@mwanaidithabit7948
@mwanaidithabit7948 5 жыл бұрын
Mic u sana jefff daah kitambo
@diomedenshemezimana4920
@diomedenshemezimana4920 2 жыл бұрын
Inaonekana amefanikiwa na Sanaa maana kanenepa
@sheikhmussaalaadabiysheikh4147
@sheikhmussaalaadabiysheikh4147 5 жыл бұрын
jamon blandina yukowap
@frankjully5457
@frankjully5457 5 жыл бұрын
yupo nenda insta andika blandina the game
@mariakomba1646
@mariakomba1646 3 жыл бұрын
Kwa wahenga Kama pia ulimuona wimbo wa msondo ngoma gonga like
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Atwambie Wale Mada wakowapi kama blandina. Tina.joani maki. Lina. Awape salamu zetu Burundi bado tunawapenda🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🎧🎧🎧
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Wale Mada👈👈👈👈👈
@ndayizeyefredina-ni8uf
@ndayizeyefredina-ni8uf Жыл бұрын
Wale Madada
@abdulabdallah4350
@abdulabdallah4350 4 жыл бұрын
The game of love hii movie ni nzuri hakuna. Baraza la sanaa Tanzania wafanyieni kitu hawa jamaa ndo walitengeneza misingi ya sanaa
@tamikapeter9854
@tamikapeter9854 3 жыл бұрын
Kabisaa ani ilistaahili tuzo
@noreenmillicient8101
@noreenmillicient8101 4 жыл бұрын
Anakula mzuri bana duu,,,kabadilika
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 91 М.
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 37 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН