"PESA HAINA THAMANI KULIKO UHAI wa MWANANGU -ARUDI NYUMBANI TU" - BABA wa MTOTO ALIYEPOTELEA IRAQ...

  Рет қаралды 7,920

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Huyu baba maashaallah. Allah akulipe heri unampenda mwanao sana niwachache wazaI kama huyo baba. Anamoyona mwanae naanajitambua nibaba mwenye uchungu na mtotowake
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Ай бұрын
Asaidiwe jamani huyu baba😢😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Subuhanallah. Allah akuifadhi kwahurumawake naakufariji kwahuwomtihani. Alokuanao. Baba ni mwemahuyu kwa mwanae anahuruma kazeeka naanakaa na wajukuuzake. Wemtoto rudi hukouliko unamsumbua baba yakokitakukutakituhuko ujute
@user-kd7ey2mu7p
@user-kd7ey2mu7p Ай бұрын
Pole mzee wetu najua unaumia kikubwa arud kweli mzee aurud aanze upya
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x Ай бұрын
Subhana Allah 😊
@FatmaChezo
@FatmaChezo Ай бұрын
Mzazi anampenda mtotowake jamani, huyudada arudi tujaman maumivu anayopitia huyubaba nimakubwa
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Ай бұрын
Da zaliam msaidie mzee mtoto wake arudi
@zaichaulembo3313
@zaichaulembo3313 Ай бұрын
Nimempenda bule uyu baba😢 anabusala san
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Ай бұрын
Mzee mtu wa mana kabisa
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 Ай бұрын
Nasema hv arud tanzania🇹🇿nchi ya watu hyo jmn sim bak tu huku unamtesa mzee jmn 😢😢
@user-gg4xj1yt3r
@user-gg4xj1yt3r Ай бұрын
Naomba namba zako dada Zari niko uku ilaq nikupe ukweli ili baba atulie
@user-wg1mm4xj7k
@user-wg1mm4xj7k 27 күн бұрын
Kabisa mpe ukweli makosa sio ya maagenti Mimi mwenyewe Niko uku na ofisi Moja na uyo mwanae
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Ай бұрын
Mzee wetu unabusala saaaana Mungu akupe mwisho mwema 🤲🏼❣️🌹😊
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Mashaallah baba mtu na nusu wallah m/mungu azid kukupa afya njema maana unapambana aswaaa
@RichardMakoko
@RichardMakoko Ай бұрын
Baba pole kma mzazi unaejali wanaume wengi hawatunzi watoto walahawjali kuhusu watoto wanaozaa na wenza wao, ushari wangu kwako kma mzazi swara lautaftaji kunakupata na kukosa hilotunapaswa kulitambua airimradi nimzima tumuombee huyu mtz mwenzetu amesubutu kutoka nakujipambania ameuvaa uhusika wababa namaa na ukizingati nimtumzima anaejitambua hebutumpe nafasi yake kma mpambanaji akifanikiwa baba umefanikiwa na tz pia imefanikiwa na ukizingatia kikwetukwetu ajira bado sana maisha nipopote Mzee hata kma akirudi bado kutakuwa nachangamoto2 hdikufika huko kunamsoto alioupitia na kwenyemafanikio Kuna changmotopia litakalomkuta bado nimwenzetu pia tutanglia namna yakufanya
@habibabarker1644
@habibabarker1644 Ай бұрын
Rudi nyumbani ndugu yangu Mungu atakupa hapahapa Tanzania jitahidi kuomba Mungu
@mtumwamalikmtumwamalik1304
@mtumwamalikmtumwamalik1304 Ай бұрын
Bora arud tu binti huyo aje atafute omani baba kashaona mbali huyo
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Jaman Nchi za kiarabu kwenye unafuu ni Oman tu kwingine majanga. Km vp arudi bora aje Oman atapata hitaji lake na atasomesha wanawe
@SiabaFadhili
@SiabaFadhili Ай бұрын
Mmh huko Oman pia majanga kibao nchi ambayo ina afadhali ngalau kidogo ni Bahrain kidogo wana utu
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
@@SiabaFadhili Ukija na akili ya kazi utabadili nyumba hd utapata kwenye unafuu lkn ukija na akili yakushikiwa utajuta
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Oman tupo miaka na miaka tupo na tunaendelea kuwepo TumejengA tumesomeshA na biashara zinaendelea Ukijua umekuja kufatA nini UtafanikiwA lakini ukija kudanga ndio utadangiwA
@zainabuabdulahi5012
@zainabuabdulahi5012 Ай бұрын
Waaa jamani watanzania na mkorogo waaa ! Tujipende vile tulivyoumbwa.
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Ай бұрын
Subhanallah.
@RukiaJuma-ph2rj
@RukiaJuma-ph2rj Ай бұрын
Allah akbar inasikitisha kwa hakika
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx Ай бұрын
We binti rudi kwa baba yako
@user-jz1ee9cg2z
@user-jz1ee9cg2z Ай бұрын
@@faridaally-jp1gx 😂😂😂
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t Ай бұрын
Mzee nakwambia ata angetumiwa Ela angeitapka😂😂
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Ай бұрын
Mzee kasema wawili wako nje ya ndoano😂😂 pole mzee wangu mawanao atarudi.
@asias8724
@asias8724 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu anajua zaidi ila angekuja Oman miezi yote hiyo kidogo angesaidia familia japo kidogo Oman ukifika siku hiyo unakuja kuchukuliwa kwa ajenti tofauti na Iraq kuna rafiki yangu dada yake hivo lakini yule si mtanzania tunakaa nae Oman nyumba moja
@joharishabani760
@joharishabani760 Ай бұрын
Mbona hujamuombea pesa kwa wadau uyo baba anahitaji msaada
@glorymungure7740
@glorymungure7740 Ай бұрын
Uyu baba anaumia sana jamani
@hadijahadija4699
@hadijahadija4699 Ай бұрын
Yani.huyu.baba.anamsimamo.sana.nikweli.bora.arudi😊
@OmanSinaw-mi7gp
@OmanSinaw-mi7gp Ай бұрын
Salama muonee uluma Baba ludi nyumban
@user-nm7yp3wm9t
@user-nm7yp3wm9t Ай бұрын
Arudi aje omani maisha ya mnje ya kazi simazur
@juliethfrancis6170
@juliethfrancis6170 Ай бұрын
Mungu jamani ni mwema watoto wa 5
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Aje nyumbani ajipange upya
@hamisaally968
@hamisaally968 Ай бұрын
Uyo kurudi itakuwa ngumu waulizeni hao maagentii gharama zao ndo uyo dada atarudiii vinginevyo labda serikali iingilie kati na yakiendelea hivi atakosa kabisaa mawasiliano nae
@MaryNdondole
@MaryNdondole Ай бұрын
Mwambie mimi niko salama
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Baba km imeshindikana salma kurud tareh 10 / 11 / bac muombee dua apate kz afanye ili ahudumie familiya na ww pia muombea dua tu ndio kilicho baki
@annahpeter7441
@annahpeter7441 Ай бұрын
Pôle baba
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t Ай бұрын
Ctaki namtaka yeye arud apa...na hyo Ela ntatamani kuitapka 😂inachekesha na inaumiza kiukweli ...ila mashaaalah baba una misimamo mikali.
@AminaVJ
@AminaVJ 29 күн бұрын
Inachekesha huu msemo wa baba ctaki namtaka yy arud apa😂
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
Salma anafanana na baba ake
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n Ай бұрын
Bint ulikataa muendelezo.Ndio kwanza story inaanza.😂😂😂.Usicheze na Global. Kubali yaishe.
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Ай бұрын
Jamani😅
@OmanSinaw-mi7gp
@OmanSinaw-mi7gp Ай бұрын
Salama ludi nyumban kanzi nyingi utapata seemu nyege msikilize Baba ni Baba uone uluma anatabika kupambania lud nyumban kwaza uje kupata nalala ya mzazi
@Byme6434
@Byme6434 Ай бұрын
Kwa Uzoefu Mie Wa chi hizi Huyu Haiwezekani akaa mda Miezi yote hiyo bila Ya kazi Umechekewa miezi mitatu Lakini miezi nane Bado hajapata Angemsikiliza Baba yake Arudi Aje Ajipange Atapata nchi nyengine
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Ай бұрын
Kakimbia ulezi huyo salma ni mjinga sana
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Ай бұрын
🎉🎉🎉
@gracemsaki1561
@gracemsaki1561 Ай бұрын
Zariamu niinee uruma kuhusu rozi na farida niaje jmn jmn
@user-lu8mb6qr6d
@user-lu8mb6qr6d Ай бұрын
Salma Rudi ukifika huku Mimi nitakuoa.achana na ao.baba Ako anapata tabu sana ludi mama pls.ludi.
@mwajumamwajuma55
@mwajumamwajuma55 Ай бұрын
Aya shemeji
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j Ай бұрын
Maskin anatia huruma jamani mama samia kipenzi cha watu anapenda kusaidia watu amsadie huyu mzee atengeneze nyumba yke na mzazi akiw hataki ujue kuna kitu nikweli arudishwe tu
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Kwani huyu babu hana mke?
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k Ай бұрын
Yupo kwenye mtihani dada etu anaongea sio kwa amli yake anaamlishwa na yt hivyo vitisho anavyopewa anahitaji msaada arudi nyumban Kikubwa kumuomba Mungu aweke wepesi
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Ай бұрын
Huyo babu mnamsumbua nyie wqndish muacheni
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x Ай бұрын
Kaa kimya kama huyui tbamani Ya wazazi hivi kama baba hakufika kwa waandship waandshi wangejuaje kama anamatatizo Tulia kaa kimyap
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Yani kama anakua salima bola aludi mzazi moyo wake haujakunjuka arudi atafute za oman mungu atasaidia inshalaah
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Ай бұрын
Asiwasumbuwe huyo
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 Ай бұрын
😢😢jmn uku tunalipwa how dada akil hana
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Ай бұрын
Sasa unaambiwa hafanyi kazi kalundikwa ndani analipwa nn usimtoe mtu akili sikiliza uelewe
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Ай бұрын
Sasa kama mwanae anataka abaki afanye kazi huko Sasa si amwache afanye kazi ampe Baraka zake afanikiwe mwanae inaweza kuwa atapata kazi na akafanikiwa.
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Umemaliza afanye tu kz ili aihudumie familiya yake
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo Ай бұрын
Kinachooo muuma baba yake today Amendoka Sasa ni miezi 8 yuko oficin hajatuma hataa Mia Mala akamatwe Mala kakaaa police miezi 2 ko baba ana wasiwasi
@kadilamore802
@kadilamore802 Ай бұрын
Kazi za uarabuni nisawa na kifo nusu waaulize wakenya..bora uuze mandazi tanzania
@kadilamore802
@kadilamore802 Ай бұрын
​@@ruqaiamohammed345kazi gani za waarabu ni sawa na nusu kifo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
@@kadilamore802 tulia tukupashe hujui chochote
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Iyo ishu ya mababa mtihanikilakona kama mm nishasahau kama wanangu wana baba napambana mwenyewekilakitu nahata hawamjui babayao
@fatumahamadi1379
@fatumahamadi1379 Ай бұрын
Pole My ALLAH atakupa Faraja inaumiza sana kulea wtt peke yko
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Ай бұрын
Pole sana sisi wanaume bana😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
@@deonicemollel4205 Asante namshukuru Mungu kwani nilipofikia sihaba. Nipo Oman huku namafanikiyo nimepata Allhamdulillah
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl pambana mami
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
@@fatumahamadi1379 Amyn yarabiaalamyn.
@bas2823
@bas2823 Ай бұрын
WALLAHI HARAM KUMFANYIA UBAYA KAMA HUO! HUKO IRAKI HAWANA IMANI ZA ROHO ZAO!?😢! HUYO MOHAMMED HANA WATOTO YEYE!? HANA IMANI!?? HUYO!?😢!?
@RahmaHamad-x9f
@RahmaHamad-x9f Ай бұрын
Usimlaumu muhamed kosa ni la binti yake uyo muhamed namjua vizur dada zatu wakija huku wanajiharibu wenywe
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 82 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН