No video

MIRIAM LUKINDO MAUKI - ALIVYOKUTANA NA MUMEWE CHRIS MAUKI/ALIKUWA NA BAISKELI TU

  Рет қаралды 45,711

Chumvi Ya Dunia

Chumvi Ya Dunia

Күн бұрын

The Sound of Gospel is a radio and Online Program brought by SirMbezi, Mfinanga In Association with Bethel Radio going live every Tuesday at 2PM On bethel Radio and later on In this You tube Channel.
Executive Producers - SirMbezi & Ignas Yonah (Bethel Radio)
Presenter - Gadielson Charles Mfinanga
Cameras - Edward Fanuel, SirMbezi
Studio Set Up - Ignas Yona/Bethel Radio
Photography - SirMbezi
Editing - Sirmbezi,

Пікірлер: 70
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
Asante sana kwa hizi interview za waimbaji... Mungu akubariki ndugu .you deserve more subscribers . Can't wait for Martha baraka
@victoriakhatibu2288
@victoriakhatibu2288 11 ай бұрын
Miriam unaakili sana najifunza kutoka kwako,pia unamjua Mungu kikweli kweli inshort unajitambua sana
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 2 жыл бұрын
Waaaaa blikiweni kwel had mmefanana Kama Kaka na dada hongera mungu azid kuwabaliki na kuwalinde napenda Sana mafunzo ya Dr Chris mauki ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@josephinesakaya2616
@josephinesakaya2616 3 жыл бұрын
Dada Mariam umenibariki kwa maelezo yako hasa hiyo ya kutulia miaka 4 Na kuacha kila kitu na kwenda kwa mume wako na nguo 10 😍🥰🥰🥰
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 3 жыл бұрын
Hongera nyingi kwa dada Miriam,yaani ana vitu vikubwa sana,na vizito sana, pia hongera nyingi kwa Mr Mfinanga,maana uko viwango vikubwa sana kwenye kuhojiana na mtu hadi mtu anasikia kuenjoy kuendelea kuwqqngalia, Mungu Akupeleke haja za moyo wako Masihi wa Bwana
@mecktemba8937
@mecktemba8937 3 жыл бұрын
Yuko vizuri sana huyu Dada... Ni wa tofauti sana...huyu sio msanii wa nyimbo za injili,ni muimbaji wa nyimbo za injili
@NEEMASULLE-o3j
@NEEMASULLE-o3j Ай бұрын
Ahsantee mamangu nahitaji maombi yako niwe na familia nzuri kama wewe
@elishasomb7152
@elishasomb7152 4 жыл бұрын
Hongera sana Miriam Lukindo kufikisha miaka 20 ya huduma ya Uimbaji. Kweli Mungu wa Mbingu na Nchi azidi kukupa mafunuo zaidi ktk kumtumikia.
@rehemamwasomola4362
@rehemamwasomola4362 2 жыл бұрын
Miriam ni muda mrefu kwa mara ya mwisho tumeonana Baraza Majengo Moshi.Hongera sana Ubarikiwe.Natuma from Mbeya
@claramkisi5268
@claramkisi5268 3 жыл бұрын
Nmeipenda iyo ya Dr Chris kukulipa mshahara WA kulea watoto mbarikiwe kwa ndoa njema ndoa nzr n mchakato hongera sana madam
@ndolilehaule1158
@ndolilehaule1158 3 жыл бұрын
Malezi ya watoto ni sadaka na ktk ukristo ni sehemu ya sala na tunapata neema kupitia hiyo hatupaswi kilipwa kama wanawake
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 3 ай бұрын
​@@ndolilehaule1158 ni kumtia moyo na kuonesha unajali. kama unaweza mlipe tu. mazoezi jamani, nami nilipatwa hivo. nilikua napita tu kwa mazoezi naomba nikusalimie
@carolinejohn347
@carolinejohn347 3 жыл бұрын
Woooooow napenda vile mnaishi wapendwa.....ndoa yenu ni mfano wa kuigwa kwakwel
@glorymwazyunga641
@glorymwazyunga641 9 ай бұрын
Hongera sana Miriam! Huduma iko hai naamini na Yesu yu hai ndani yako. Nilikufahamu live ulivyokuja UDSM hadi sasa naamini ni Yesu amekutendea/amefanya!
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Hongera Miriam wa Mauki. Nakupenda dada sana. Wish to meet
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 жыл бұрын
Amina hii family naipenda sanaaaa Mungu azidi kuwabariki
@marthauisso5803
@marthauisso5803 Жыл бұрын
Hongereni sana my dia najua unaweza kwenda kwenye right place na ikawa chungu kwani baadhi ya wanaume wana jipretend wakati wa uchumba, mkishaoana baasi
@odethamathias9103
@odethamathias9103 3 жыл бұрын
Natamani ma binti woooote wajifunze hapa
@mgurefanuel5581
@mgurefanuel5581 Жыл бұрын
God bless you soumach..... ROHO MTAKATIFU TUSAIDIE 🙏
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Asante kwaushuhuda tunajifunza sana
@glorymwazyunga641
@glorymwazyunga641 9 ай бұрын
Kujifunza kwa YESU, I like that
@womanoffaith2001
@womanoffaith2001 3 жыл бұрын
I love your voice Miriam lukindo..
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
MUNGU Akubariki sana MIRIAMU LUKINDO
@mercypeledawson1622
@mercypeledawson1622 3 жыл бұрын
Be blessed my role model I love your lifestyle God bless you 🙌🏻
@officialalama1092
@officialalama1092 2 жыл бұрын
This is powerful gospel 👏🏾🙌🏾
@dapriccy3574
@dapriccy3574 2 жыл бұрын
Mungu awabariki binafsi nawakubar Sana Chris & Miriam
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
MUNGU anikutanishe na Mume sahh hongera kwa huduma
@rehemamwasomola4362
@rehemamwasomola4362 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MIRIAM LUKINDO NAKUMBUKA WIMBO WAKO AMEN AMEN AIMENAAA ENDELEA KUNYENYEKEA BEST I LOVE YOU SO MUCH KARIBU MBEYA
@rehemarehema294
@rehemarehema294 Жыл бұрын
Umenifunza neno kushuka unahekima sana dada
@victoriabulambo2029
@victoriabulambo2029 3 жыл бұрын
Dada miriam ongera kwa wito nakupenda buleee
@glorymwazyunga641
@glorymwazyunga641 9 ай бұрын
Huyu ni Yesu amefanya hakika hata kwangu!
@pendosalu9660
@pendosalu9660 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Dada Miriam, nakufurahia
@celestinebenson8183
@celestinebenson8183 3 жыл бұрын
Wow amazing....
@glorymwazyunga641
@glorymwazyunga641 9 ай бұрын
Nimependa sana maelezo yako ulivyo break hiyo relation ya kwanza ambaye si sahihi. Mungu ni mwaminifu kama wimbo wako. Maana mabinti wengi mmmmh! Mungu atusaidie
@angelurioh5383
@angelurioh5383 10 ай бұрын
❤❤ nakupenda
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 3 жыл бұрын
God bless you sister.
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Nimefurahii mbarikiwe
@evangelistenockmwakapalila125
@evangelistenockmwakapalila125 2 жыл бұрын
Nasikitika kwanini nimechelewa kukujua madam Miliam Lukindo
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Nimekupenda Miriam
@glorymwazyunga641
@glorymwazyunga641 9 ай бұрын
Unyenyekevu ni jambo la muhimu sana
@pendosalehe8941
@pendosalehe8941 Жыл бұрын
So powerful
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 жыл бұрын
Nimekuelewa zaidi yaufahamu
@elfeletycalory2074
@elfeletycalory2074 3 жыл бұрын
Barikiwa sana aunt
@HosianaBuuta
@HosianaBuuta Жыл бұрын
Safi sana
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 3 жыл бұрын
Daah, dada Miriam una kitu mungu amekubarikia na wish mungu anipatie mke Kama wewe maaana dàahh Hawa wa dada wengine sijui Wana kwama wapi japo sio wote ila laiti km wangeijua dhamani yao hakika wangekuwa wake Bora sana, kiukweli mungu tu atusaidie maana Hali sio shwari.
@rhodasaid3262
@rhodasaid3262 2 жыл бұрын
Kama Bwana alivyokutendea kwa kukupa ndoa tamu, nami naomba anikumbuke cku moja niwe na ndoa tamu nizidi kumtukuza milele Amen!
@user-nx5sn9hu7f
@user-nx5sn9hu7f 7 ай бұрын
Unatakiwa kuwa mume mwema ili upate mke mwema na wewe unishushe uanaume uuweke pembeni uangalie kilichowaunganisha
@estherwilliam5125
@estherwilliam5125 3 жыл бұрын
Mtangazaji acha izo yeah yeah na kama unajibu
@songweairport7602
@songweairport7602 3 жыл бұрын
YOUR CORRECT...But nimemfuatilia katika vipindi vingi naona Mtumishi kazoea sana hicho kipokezi... but ni vizuri akakipunguza kama sio kuacha kabisa...ol in ol Tunakupenda sanaaa
@JacquelineJanuary-ll8oz
@JacquelineJanuary-ll8oz 12 күн бұрын
😂😂
@oliversanga1498
@oliversanga1498 3 жыл бұрын
Asante Mrs Mauki
@carolynammon9185
@carolynammon9185 3 жыл бұрын
Your the best 💑 ever Nimejifunza ever
@skyluu
@skyluu 3 жыл бұрын
Ni mrembo sana
@mariamayoob8734
@mariamayoob8734 3 жыл бұрын
Wawooo Bless
@neemahamza1116
@neemahamza1116 3 жыл бұрын
yaaaaani nimeelewa kuliko kiasiiiiiii
@rachelchalz3615
@rachelchalz3615 6 ай бұрын
Nmejifunzaa hekima na busara kutoka kwakoo
@floramajor3381
@floramajor3381 3 жыл бұрын
Napenda hiki kipindi
@pendosalehe8941
@pendosalehe8941 Жыл бұрын
Kweli mume umepata dada
@moragwalysbert
@moragwalysbert Жыл бұрын
Nafikiri Mme wake ndio kapata Mke ❤
@user-re7ep6tv9s
@user-re7ep6tv9s Жыл бұрын
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 2 жыл бұрын
Kidgo Kama Elizabeth Michael (LULU)
@jackjacklin3310
@jackjacklin3310 3 жыл бұрын
Ameen
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 3 жыл бұрын
Mimi nasikia tuu ndoa ninzuri ila kwangu mungu kanitenga kaniacha kanitupa hanisikii ...naona kwangu yupo likizo tena kalala ...naumia sana kuhusu matendo yamume wangu najuta sijui sidhani sielewi najuta tuu
@sele2507
@sele2507 3 жыл бұрын
Ni wakati tu,unapita Mungu atakusaidia
@agnesnoelina2465
@agnesnoelina2465 3 жыл бұрын
Pole sana endelea kumuomba Mungu mambo yatakuwa sawa
@immajuzo2440
@immajuzo2440 3 жыл бұрын
Pole Mungu atakukumbuka jitamkie baraka na kumuombea tu
@evancekimath7405
@evancekimath7405 3 жыл бұрын
Pole sana, maisha yanamabonde na milima, mwombe Mwenyez Mungu atakusaidia, Usikate tamaa,usimkufuru Mwenyez Mungu,hata wengine pia kuna wanayoyapitia katika ndoa zao ila uvumilivu ndio unaowasaidia, Imagine unamwacha mume wako unaenda kwa mwingine unakuta mambo nimabaya kuliko hata mume wako wa awali au unaishi single mother maisha yanakua magumu kuliko kawaida, ISHI PAMOJA ,SALI SANA,REKEBISHANENI.
@kissageorge3987
@kissageorge3987 Жыл бұрын
Jaman pole sn mpendwa kweli kabisa ndoa za sasa.hivi ni pasua kichwa mwenzetu amempata na wakumpa hela za uzazu kweli hongeta mno kwakwe ikiwapndeza watengeneze semina ya wanandoa ili wengi wetu tupone
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Maneno matamu hayo kama mume huko mbele atakumbuka mliko toka hakika
CHRIS MAUKI- UKITAKA KUFANIKIWA MTUNZE MKEO (FULL VIDEO)
36:54
Tacmen Group
Рет қаралды 67 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
MIRIAM LUKINDO  ALIVYOKUTANA NA MUME WAKE DR. CHRIS MAUKI.
40:23
Miriam Lukindo - Umenikumbuka (Live Music Video)
9:45
Miriam Lukindo
Рет қаралды 22 М.
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН