Niliwahi kumwambia mume wangu asante kwakuwa najua unahangaika ili sisi tuishi vizuri halooo alinambia unaona kama umesema kitu cha kawaida ila umeongea kitu kikubwa mno, sikuwahi muelewa sasa leo nimeelewa kutokana na alicjoongea Dr.
@DativJoa4 ай бұрын
kuna wengine ukiwadifia nakuwashukuru ndo wanakufharau ma kufikiri bila wao maisha huna. wana vimba kichwa wanaanza kusimanga. inategemea na mtazamo wa mtu na mazingira aliyokulia
@emmyshekalaghe25265 ай бұрын
🎉yaani duh Mimi nimepita sana kaka pekee kati ya dada sita,Kama unanisema Mimi Now Nina miaka 21 ,haikuwa rahisi
@RehemaKatundu4 ай бұрын
Baba umesomea wapi? naomba tengeneza kipindi cha wanaoolewa wajue wanetu wa kiume wanatupenda wazazi wao wasitutenganishe kisa wao ni lazima wajue ni haki yetu kuwafurahia wanetu Asante.
@alexandersylivester28984 ай бұрын
Dr mafundisho yako yamenifunza mambo mengi kuna changamoto moja iliwai kunisibu sana wakwe zangu kuwa na sauti ndani ya ndoa yangu yaan mwanamke anawasikiliza wazazi wake kuliko Mme wake
@alexandersylivester28984 ай бұрын
Mnashuli vp kuhusiana na changamoto hii ndoa nyingi mwanaume anavuliwa kiti(nafasi) ndoa nyingi zimevunjika zimekosa aman kwa sababu ya baba kuchukuliwa nafasi yake kwenye ndoa
@dayana5513story6 ай бұрын
Hapo kwenye appreciation ndo kaz wanawake wengi wanaamini wao ndo wanadeserve vitu vzuri,