Picha za Jumba la kifahari la Spika wa Bunge Dk Tulia zawa gumzo!

  Рет қаралды 20,046

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

8 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 47
@user-bm9hh4ku4d
@user-bm9hh4ku4d 3 ай бұрын
Kwa kweli. Big up Sana mweshimiwa
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 8 ай бұрын
Jamani eeeer!! Hiyo nyimba ni ya serikali ambapo mbunge kulinga a na wadhifa alonao kitaifa anapaswa kukaa hapo, msijesema kaupiga mwingi!!
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 8 ай бұрын
Ukiwa ndani ya serikali ujue tayari upo nusu pepo
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 8 ай бұрын
Kumbukeni ana mme
@LucyKulaya-bj5ow
@LucyKulaya-bj5ow 8 ай бұрын
Je watoto?
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 8 ай бұрын
@@LucyKulaya-bj5ow wawili wa kiume
@youngzubelyzubely2288
@youngzubelyzubely2288 8 ай бұрын
😂😂😂😂 bonge la point. Wengi walisahau aisee hyo kuwa na mme
@Fgldesigns
@Fgldesigns 8 ай бұрын
Ni yake hawajasema ya mumewe
@issazalala4907
@issazalala4907 8 ай бұрын
Hela zetu hizoo😂
@brytonmbilinyi4560
@brytonmbilinyi4560 8 ай бұрын
majizi hoo wanamaliza nchiyetu tutakutana mbele yasafai
@Fgldesigns
@Fgldesigns 8 ай бұрын
Haya bhana kuleni maisha sisi tuko kuwasindikiza. 😊😊😊
@rasvegas8991
@rasvegas8991 8 ай бұрын
Sio anamiliki mwanamke Kwan sianamwanaume
@Burner_Acc
@Burner_Acc 8 ай бұрын
Nyumba ya serikali hiyo kama Ikulu tu zote ni mali za JMT wabongo punguzeni makasiriko
@SebastianOlleny-nw1wh
@SebastianOlleny-nw1wh 8 ай бұрын
Nyumba ipi area E maeneo ya flamingo nyumba ina cctv za kutosha na nyumba ni kali balaaaa
@comics3437
@comics3437 8 ай бұрын
Impressive
@user-ww9gd8pb7o
@user-ww9gd8pb7o 8 ай бұрын
Hongera mama tulia, I’m proud of you.
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 8 ай бұрын
BIG house 🏠
@chariedecute8200
@chariedecute8200 8 ай бұрын
Nyumba ya ndoto zangu.🥺
@kiatu
@kiatu 8 ай бұрын
Nilidhani 43 ni umri wako kumbe ni dakika, basi comment yangu naibana 😀
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 8 ай бұрын
Pesa zetu hizo😢
@SabastianAbhiathan
@SabastianAbhiathan 8 ай бұрын
Hakuna hongera hapo wanyonge pesa zitu ndo zimetumika.. wakati bibi anakufa shamba kwa kukosa huduma bora japo za elfu 30 tu😢
@mohdkhamis2914
@mohdkhamis2914 8 ай бұрын
mfano ungelikua wewe spika isingelikaa kwenye ilo jumba?
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 8 ай бұрын
Kumbe ndio maana wanatuletea utani na kejeli kwenye Haki za Watanzania sababu wao wanaisha maisha kama wapo peponi!
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 8 ай бұрын
Kuleni bata napesa za wananchi ila wote mtazama kwenye mavumbi na mungu anawangojea ma mmbwa nyie
@sponsor7882
@sponsor7882 8 ай бұрын
Hela zetu izo
@erastoshehoza1602
@erastoshehoza1602 8 ай бұрын
Zifate
@jesitinakiwale8676
@jesitinakiwale8676 8 ай бұрын
Mchawi pesa
@seangraceswt8037
@seangraceswt8037 8 ай бұрын
Duh😂
@florencemeza6540
@florencemeza6540 8 ай бұрын
Ndo wanakula mema ya nchi,
@onanarosse9657
@onanarosse9657 8 ай бұрын
Hongera mheshimiwa nice house🔥🔥
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 8 ай бұрын
Wezi hao
@malakisomwe5641
@malakisomwe5641 8 ай бұрын
Inch inapigwa sana acha wajenge
@erastoshehoza1602
@erastoshehoza1602 8 ай бұрын
Kaibe na wewe
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 8 ай бұрын
Kwani halipwi si anafanya kazi
@saidthuwein2645
@saidthuwein2645 8 ай бұрын
Kwa vyeo alivyokuwa navyo i think ni nyumba ya kawaida tu kumilikiwa na mtu kama yeye...tupunguze kucomplicate majamboz
@user-cz2co3bc3g
@user-cz2co3bc3g 8 ай бұрын
Nyumba ya mumu wake
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
@@user-cz2co3bc3g mumu au sio
@bongomastory791
@bongomastory791 8 ай бұрын
Nyumba ya serikali hiyo
@josephmabula9658
@josephmabula9658 8 ай бұрын
Hii nyumba ya bunge,,hata ndugai alikuwa anaishi hapo
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 8 ай бұрын
Yote 9 ku 10 kumbukeni kua haikua rahisi wao kufika hapo walipo wali pambana pia mengi magumu wali pitia hivyo hata mie naww twaweza kufika hapo kwama penzi yamungu inshallah hivyo tupambane sana tufikie malengo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 8 ай бұрын
Mh spk Hongera kwanza Kwa kuchaguliwa kuwa KIONGOZI wa mabunge duniani kote,jambo la pili Hongera Kwa mjengo mama upo vizuri sana ,wakati wengine wanalewea na kutumia pesa zao ktk matumizi mabaya wewe uliwekeza kwenye mambo ya maana mungu akubariki lkn nakuomba SIMAMA na wanyonge mungu atakufunulia zaidi ok.❤❤
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 8 ай бұрын
Nyumba ya serikali maalum kwaajili ya spika kama ikulu tu vile wanavyopishana
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 8 ай бұрын
Nyumba ya serikali sio yake binafsi
@hopechidera
@hopechidera 8 ай бұрын
Me nadhani ni nyumba ya serikali ajili ya spika wa inchi na sio yake binafsi...
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 8 ай бұрын
Wakwaza mimi
@user-vg5oy7kj4b
@user-vg5oy7kj4b 8 ай бұрын
Wez tu
@erastoshehoza1602
@erastoshehoza1602 8 ай бұрын
Na wewe iba😂
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 29 МЛН
Meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Tanzania yazama Taiwan
4:34
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 12 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН