No video

Piki piki inayopunguza gharama na safi kwa mazingira

  Рет қаралды 17,216

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi wameiona kama rafiki mkubwa wa Mazingira kutokana na ukweli kwamba pikipiki hii haina mlio na haitoi moshi kabisa.
Dereva Boda boda mmoja nchini Tanzania kwa jina la Anthony Kapinga amekuwa kivutio kwa wengi hasa baada ya kuanza kutumia Boda boda isiyotumia mafuta kwa muda wa mwezi mmoja sasa.
Kijana huyu anatupa sifa halisi za pikipiki hiyo huku akiisifu kuwa imemuingizia kipato kikubwa kwa muda huu mchache alioitumia.
Habari kamili na mwandishi wetu @frankmavura
#bbcswahili #Ajira #Tanzania #Mazingira

Пікірлер: 22
@savege-zh8yk
@savege-zh8yk 2 жыл бұрын
Battery ikifa njo utajiuliza kwa nini Tikitiki iwa ina maji mengi
@dazbilioneaofficial3751
@dazbilioneaofficial3751 2 жыл бұрын
Bei gani hiyooo?
@khayratmassoud8459
@khayratmassoud8459 2 жыл бұрын
Zinapatikana wapi na nishilingi ngapi
@kidaorji.commwanzamwanza4587
@kidaorji.commwanzamwanza4587 2 жыл бұрын
Inabei gan hiyo machine
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 2 жыл бұрын
INAITWAJE NA NI BEI GANI...??
@fundijumakimbaru7622
@fundijumakimbaru7622 Жыл бұрын
Aiko sawa ukitakasafari kwamashariti kunaraa gani umepata tatizo upande basi wakati pikipik nyengine unaingia Sheri safari mafuta yakiisha unaingia Sheri gata dakika tano ushamariza kirakitu ukikwama mafuta unasaidiwa inaenderea nasafari iyo manzingira kama mtoto wa geti
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 2 жыл бұрын
Ina speed lakini haina kasi ???
@christophermassawe708
@christophermassawe708 2 жыл бұрын
inauzwa shingapo
@jr7clipz409
@jr7clipz409 2 жыл бұрын
Unauzwa bei gani na inapatikana wp
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
Anauzwa tena?
@malakimathias9244
@malakimathias9244 2 жыл бұрын
Inauzwa shi ngapi
@khalfanharuna5155
@khalfanharuna5155 Жыл бұрын
Naipata wapi kwa bei gani na gharama kiadi gani naomba namba ya mawasoliano nijue naipata wapi kwa dar
@KodramHamis
@KodramHamis Ай бұрын
Ina uzwa shingi ngapi
@BURUDIKA
@BURUDIKA Жыл бұрын
Naipataje
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 2 жыл бұрын
Inapatikana wapi
@kuruthumsalim9374
@kuruthumsalim9374 Жыл бұрын
Naihitaji naipataje
@fadhilikilembe9892
@fadhilikilembe9892 4 ай бұрын
umewah kuimilk
@HalfaSaid-vl6ki
@HalfaSaid-vl6ki 8 ай бұрын
Mnapatka wap ?
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 жыл бұрын
Bbc izi pkpk zinauzwa shingap na wap znaptikana
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 жыл бұрын
Inauzwa shingapi mkuu
@jacksonmhongole9727
@jacksonmhongole9727 2 жыл бұрын
VIP kuhusu Bei yake
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Zipo tofauti kuanzia 1m mpaka 4m
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 676 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 784 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 676 М.