Katibu Uenezi na Itikadi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani, amemtaka mkuu wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kutumiza wajibu wake badala ya kuchanganya siasa na kazi.
Пікірлер: 2
@khatibal-zinjibari69568 ай бұрын
Kuwauwa Waislam wa Zanzibar ni ilani ya Chama Cha Mapinduzi?