Mwabukusi - Hatuwezi Kumshinikiza Rais, Maandamano Yafutwe Kisheria

  Рет қаралды 18,859

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

#ijuesheria #section4wakilitv #mwabukusi #maandamano
Amesema hayo wakati wa mahojiano maalum na mtangazaji Chief Odemba pamoja na John Marwa (Jambo TV) makao makuu ya TLS Mikocheni jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Septemba 2024.

Пікірлер: 61
@mossessimon2493
@mossessimon2493 5 сағат бұрын
Mwabukusi unajua 👏 👏.
@HOSEAHALLAN-tt3gx
@HOSEAHALLAN-tt3gx 2 сағат бұрын
Asante kaka viogozi wa sasa vituko
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 6 сағат бұрын
Hamna kumwomba hapa! Amefeli mtihani.
@salumsimai642
@salumsimai642 3 сағат бұрын
Ww msahihishaji uo mtihani kafanye ww Sasa uongozi sio kitu kidogo yawezekana ww ukipewa yaweza kua shida kuliko yy
@allymambo9198
@allymambo9198 Сағат бұрын
We need such kind of you leader to bring changes for future generations
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani Сағат бұрын
Huyu jamaa mungu ambariki sana uwa hataki unafiki kwenye haki za watu na kutetea taifa👈👈
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 7 сағат бұрын
Unapaswa kuwa rais wa nchi siyo tls
@LAWIMISSO
@LAWIMISSO 3 сағат бұрын
Fact🎉🎉
@johngibson3089
@johngibson3089 Сағат бұрын
Kabisa. Mwabukisi chukua form kupitia chama chako cha siasa, nakuambia unang'oa urais 2025
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 5 сағат бұрын
Ccm imeharibu sana. Jeshi la police baada ya kuona hawakubarki wanatumia vyombo vya dola kutisha watu
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo 2 сағат бұрын
Huyu Mwabukusi ana spirit ya urais ndani yake
@kwisa4899
@kwisa4899 7 сағат бұрын
Huyu akupigiwa kura,alilithi ofice
@barakanatus5676
@barakanatus5676 2 сағат бұрын
Mwabukusi rais ajaye
@johngibson3089
@johngibson3089 2 сағат бұрын
Mwabukusi naomba uchukue form ya urais wa tanzania mwakani. Watanzania wengi watakuunga mkono ili ufute hizi zama. Think of it bro.
@bagaileshabani3179
@bagaileshabani3179 Сағат бұрын
Raisi wangu ajaye
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani Сағат бұрын
Hao hao police ukipata kesi wanasema mbona wote hao wanakulalamikia ww kwanini wasilalamikie mwengine lakini kwa wao hawakubari watu wote wanalalamikia jeshi la police lakini wamejitoa ufahamu
@jacksonkoisi6189
@jacksonkoisi6189 4 сағат бұрын
Mimi sijawai.kukuelewa ila sasa nimekuelewa kwanza unaheshima safi sana usilasimishe rais Nenda maakamani.kweli uyu ni mwana Sheria
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 сағат бұрын
Hata hapo hujamuelewa
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 3 сағат бұрын
Hapo umemwelewa nini?
@AmriMzeru
@AmriMzeru 57 минут бұрын
Huyu mwanasheria wa wapi,maandamano ni haki lakini polisi ikiona kua Kuna viashiria vya ujinai kwenye maandamano vinahaki ya kuzuia ili kuepuka jinai ambayo itatokea
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 3 сағат бұрын
Mh. Mwambukusi mimi kwa uelewa wangu mdogo kama Rais hakubaliani nanyi na analazimisha polisi ndio wafanye uchunguzi wakati haohao polisi ndio wanao tuhumiwa basi yeye ni muhusika namba moja kwasababu anajua yeye ndio amewatuma kwahiyo majibu yatatoka anayo yataka.
@salumsimai642
@salumsimai642 3 сағат бұрын
Wakati anawatuma ulikuepo ww kama huna lakuongea fumba karo lako ww
@wiliammhone
@wiliammhone 5 сағат бұрын
Haiwezekani. Kama uko kwenyekundi la wezi huwezi kumtaja mwizi. Labda ubanwe saaanaaa.
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 2 сағат бұрын
Naukiziwia watu wasishindikize kupatikana walio potea tafsiri yake unajua walipo
@PererLukumay
@PererLukumay Сағат бұрын
Hiyo.ni.kazi.ya.police.kulinda.usalama
@lazaromshamu3521
@lazaromshamu3521 4 сағат бұрын
Mheshimiwa mwabukusi kweli wazazi wako hawakutupa pesa kukusomesha aisee, elimu yako unaitumia kwa manufaa ya wengi tusio jua, umekua daraja kwa wananchi, tunakushukuru kwa hilo
@LAWIMISSO
@LAWIMISSO 3 сағат бұрын
🎉
@musamusa6213
@musamusa6213 5 сағат бұрын
Mimi naona ili hii nchi isije kumwaga damu kama hapo Kenya bola shelia ya maandamo ifutwe
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 3 сағат бұрын
Nanda shule
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 3 сағат бұрын
Kwani yanayomwagika ni maji siyo damu eti? Kwako ni watu wa Kenya tu wenye damu?
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 2 сағат бұрын
Mubwa wewe tena kenge mukubwa jinga wewe
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 2 сағат бұрын
NAIYONA NIA NJEMA YA WATANZANIA KUPATA KATIBA MPYAA . KAZI IENDELEE
@MejjatScott-mf2vi
@MejjatScott-mf2vi 6 сағат бұрын
Mwabukuzi bwana!,sio kwamba Rais anaona tume haina maana ila wewe unaweza kushinikizwa na nduguzako kuunda tume ya kumchunguza mkeo kama anatembea namwenyumba wakati mkeo keshakudhibitishia kuwa nikawaida yake na anampenda japo hajakuacha?
@SleyoumSaid-i1z
@SleyoumSaid-i1z 7 сағат бұрын
Tutajie nchi iliyokua Haina matokeo hayo usemayo
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 7 сағат бұрын
Edgar anamshuku mtekaji anaishia kulalamika tu na TLS mpo . Kwa nini msimsaidie Edgar kisheria akamshtaki huyo anayemshuku mahakamani?
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 7 сағат бұрын
Tayari kesi yake amepeleka mahakamani , akidai fidia ya Tsh Billion 5
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 4 сағат бұрын
Huyo hayuko current,
@alfredbee7967
@alfredbee7967 4 сағат бұрын
R4 za mama ni pamoja na marufuku ya maandamano nawazaga kila😢 uchwao cpatagi jibu eti kati ya mama na jpm nani dicteta?
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 7 сағат бұрын
Jamani mama aliwaruhusu walifanya maandano kiroho safi. Shida ya chama chetu hiki viongozi wetu wanamaneno kauri chonganishi. Ndo kilichowaponza
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo 7 сағат бұрын
Mtu asiambiwe ukweli sio? Watu hawapendi kuambiwa ukwel, kauli gan chonganish walitoa?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 сағат бұрын
Yani umesema ukweli mtupu maandamano tumesha fanya mara nyingi hakukua na matatizo bali maneno na vitosho wanazo toa viongozi wa chadema ndo chanzo cha yote hayo
@emanuelpeter2489
@emanuelpeter2489 7 сағат бұрын
Kwan mdomo ndio sheria kuvurugika na kutumia nguvu
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 сағат бұрын
@@emanuelpeter2489 Hakuna nguvu yoyote iliyotumika nguvu zilikwa wakati wa mjomba jana hakuna hata mtu moja alyejeruhiwa polisi walifanya kazi yao kistarabu sana hebu tuache kulalamika jamani Tanzania ya 2017 na ya leo haifanani kabisa
@pueblo148
@pueblo148 7 сағат бұрын
Kilaza
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 сағат бұрын
Raisi yamemshinda. Anaranyiwa kazi na mapolisi na hii ni mbaya. Tunaendeshwa na jeshi la polisi si Raisi Samia.
@EMANUELMUSHI-kk4df
@EMANUELMUSHI-kk4df 6 сағат бұрын
Huyu jamaa aje kua raisi tu, ingetokea fursa ya ugombea binafsi ningempa kura mapema tu
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 6 сағат бұрын
Huyu nae kapewa mlungula? Mbona sasa simuelewi?
@partsonchundwa2287
@partsonchundwa2287 6 сағат бұрын
Wewe ndo humuelewi
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 5 сағат бұрын
Fungua macho utaona km humuelewi
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 7 сағат бұрын
Rais hajapigiwa kura na WATANZANIA amerithi kiti.
@makamesaid9137
@makamesaid9137 2 сағат бұрын
Kama shida ni kura 2025 tutampigia na atashinda uchaguzi na atakuwa Rais tena kwa miaka 5 ijayo.
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj 5 сағат бұрын
Tz hipo salama. Kutafuta taarifa za uharifu si za polisi tu bali na sisi Raia tunawajibu wakulindana na kutafuta wahovu. Siyo kulalamikia Polisi wetu wanaofanya kazi ngumu ktk mazingira magumu
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x 4 сағат бұрын
Mheshimiwa na huyu slaha na kitabu chake slicho kiandika kuhusu haya mauaji anastahili kutupa ushirikiano
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 86 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 50 МЛН
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Comparison of the Most Painful Punishments
15:42
ECHOES
Рет қаралды 1,8 МЛН
How to Get Clients for Free Using YouTube (Complete Masterclass)
1:10:14
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44