Mkutano wenyewe unazungumzika kwa kiingereza sasa watanzania watafuatiliaje, kikubwa viongozi husika wapo kwenye mkutano na ndio watakaoshughulikia hiyo mipango ya nishati, hawa wengine ambao hawana mchango wowote waendelee na mambo yao tu😢😊😮
@IsmailKatope8 күн бұрын
Hiv unaongea ukiwa timamu au hamnazo kidog.?nchi kma Marekan wanapokua na mkutano wa umoja wa mataifa wanazuia baadh y maeneneo akuna raia wa kawaida kupita vp tz iliyopata ugen wa marais 20 kutoka Africa.?ikiyopata wageni rais wa bank y Dunia rais wa bank y umoja wa mataifa y EU rais wa bank y maendeleo y Africa na mawaziri kibao makamu wa marais na mawazir wa fedha wa nchi mbalimbali.?alafu atokee chawa cjui kutoka wap awe na kikao chake.?sasa napata picha kwann JPM aliwabana hawa wajinga ad wakahama nchi km wapo kwa maslah y wa tz ayo wanayoyafanya ni sahhi.?mm ningewatia ndan awatoki ad wapate uginjwa usio na jina yn mle selo wangekua wanawake wa wafungwa wenye nyege hasa wapuuzi hao
@Hkilave8 күн бұрын
Hayo unaombea yawapate wenzako kwa uwezo wa Mungu yatakupata wewe @@IsmailKatope
@PrinceHendry-hp8vv9 күн бұрын
Upuuzi tu kwani lazima tuangalie huo mkutano
@Luganoamos-jv5in9 күн бұрын
Mh Tundu lisuuu ataweka mambo sawa tu Hana baya mtoto wa singinda
@salehmdemu57229 күн бұрын
Sasa ndo kuwapa umaarufu,,
@RubenMtuwaMungu-bz8ee9 күн бұрын
Aibu kubwa sana
@GasperKapungu9 күн бұрын
Daaah.jamani tumefikia uko tena?hii mbona ni albu tena
@TomasiklistophaMwinuka8 күн бұрын
Wanalazimisha watu kuangalia mkutano wao hahaaaaa yaan wanachekesha kama serikali Haina mvuto nihaina mvuto tu
@PeterKisabo-z5g8 күн бұрын
Mhmhmh asa mkutano unausiana nn na chadema jaman mbna tumefka huko
@maryshayo578 күн бұрын
Mimi hata sielewi kwani wanazungumza kiingereza tu wangeweka mkalimani jamani sisi tuelewe yaliyojiri hiyo llugha shikamoo😊
@ZulekhaAltiwani9 күн бұрын
Tembeeeni muone mjifunze ..ugeni ktka nchi hauzuiii wenyeji kuendelea na mamboyao.
@JeremiahLukumy9 күн бұрын
Hawa sio police ni Wana CCM waliovaa sare za police.
@BorchertWilliam9 күн бұрын
Hilo liko wazi polisi ndio ccm namba moja..
@majaliwabwitonde69009 күн бұрын
Punguza ujinga wewe
@josephosborne30728 күн бұрын
Kila mtu achague lakee...wee mbona Chadema na hatukusemi?@@BorchertWilliam
@yunusimchala65699 күн бұрын
Wameambiwa wasogeze mbele acheni ukuda shule zimefingwa Kwa ajili ya ugeni Kwa nn mikutano iendelee
inahusiana Nini na mkutano unafanyikia nyumbani kwao na niwaandishi na katibu mkuu jamani
@johnsamuel72988 күн бұрын
Jitahidi Sana kwenye Maisha yako watu wasifahamu kuwa huna akili. Maana michango mingi humu ni kama familia ya Kambale wote wana ndevu 😅😅😅😅
@Mosesndahani9 күн бұрын
Chadema walikuwa wanatumia ukumbi wa mkutano wa hao wakuu wa Nchi ? Kwani kinauhusiano gani na mkutano huwo.
@atulalimpakakiereweke8 күн бұрын
Wamesha anzakuwewe seka na bado
@sirielsamweli9 күн бұрын
Hiiii ndio kuwapa umarufu chadema ss, kweliii haki iko mbinguni,
@joshuamollel69938 күн бұрын
Hivi kwanini nchi hii Haina Uhuru?? Kwakweli hii ni aibu kwa serikali yetu 😢😢
@FashoKibona9 күн бұрын
Police washughulike na wahalifu cyo wanasiasa?
@atulalimpakakiereweke8 күн бұрын
Duu
@JosephChrisant9 күн бұрын
Kheee 😂😂😂😂
@allykigatta75649 күн бұрын
kumamamaye zao...YANI TUNALAZIMISHANA KUPENDA MKUTANO WAO.....??..KILA MTU AFATILIE MKUTANO ANAOUPENDA....WASITULAZIMISHE IONEKANE KM WATU WENGI WANAPENDA NA KUFATILIA MKUTANO WAO..KIUKWELI HATUUPENDI WALA HATUFATILII LOLOOOTE....TOKA LINI KWANZA MTANZANIA AKAJUA MA,BO YA MIKUTANO KUTANO ILIYO CHINI YA HUYU BIBI....
@sethymagyo34059 күн бұрын
Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu. Yani huo mkutano wa nishati unaingiliwaje na press ya katibu mkuu wa CHADEMA. UPUMBAVU HUU
@helencyprian87458 күн бұрын
Aibu dah!
@onesmomanase8 күн бұрын
Wivu tu
@labunaabouna61229 күн бұрын
Hio nchi yaujinga dunia gani ipi kila siku polic or serekali inafanya km ujukha
@MaguguStore9 күн бұрын
Leo kuna mkutano , na Serikali ilitangaza waooo wanataka nini ni wajinga
@sethymagyo34059 күн бұрын
We kujua kusoma na kuandika tu uneshindwa unategemea ujue nani mjinga na nani ana akili. Washangilie tu form four failure wenzako kwenye ujinga wao.
@thadeipeter25929 күн бұрын
Uonevu WA Hali ya juu, mkutano WA chadema unahusiana nini n huo WA kiserikali ?
@SaumuSaidi-z2v9 күн бұрын
Kwn we uko wapi kwn serikali iko 2?
@kunyaobelela40629 күн бұрын
Hiii nchi duh
@PrinceHendry-hp8vv9 күн бұрын
Na hatuingii on line mpk waondoke
@abuubaya76149 күн бұрын
kwan huo mkutano wa mataifa unafanyikia ofisi za chadema??!
@barryrioba39349 күн бұрын
Kwahiyo Kama Kuna MKUTANO WA KIMATAIFA Ndio Tuache Kazi Zetu Zingine Zote?! Kwahiyo Leo Tusifanye Chochote Hata Kutembelea Jirani Hapana?! Hata Kwenda KANISANI AU MSIKITINI Hapana?! Eh,Eh,Eh.!!!
@NDIMUELIAS9 күн бұрын
Pameanza kuchangamka sasa
@ZulekhaAltiwani9 күн бұрын
Yaaaani kufanya hivyo ni kuwaamsha vizuri watu wajiunge chadema...kama hamfahamu cku Moja mtafaham...
@saulimmbaga.safisana95569 күн бұрын
Muda wao unahesabika
@severinantunuligwa45989 күн бұрын
Walisema mbowe alikuwa laini sana akiita maandamano watu hawaji kwa sababu ya mbowe haaminiki! Ok Sasa Leo waandishi wa habari wameshindwa kuja kwa sababu Gani! Hiyo bado hamjaseema
@RandomRealitiesRevealed9 күн бұрын
Waandi shinwalifika wengene walikua ndani wakatolewa na wa nje wakaziiliwa
@lilianchambua58399 күн бұрын
Ala Hawa hii ni fujo, kwani hawaoni kuna mkutano? Mbona ustaarabu mdogo jamani
@ikulunimahalipatakatifu76429 күн бұрын
TRUMP KAISHAFUTA USHOGA NA MISAADA, ULAYA WAKO BUSY NA VITA YA UKRAINE , MISAADA HAKUNA TENA, TUKASHIKE JEMBE TULIME ..
@SulePonda9 күн бұрын
Inchi ya kisenge sna
@SylvesterKameo9 күн бұрын
Kuahirisha mkutano wa chama kwa amri ya polisi wenye silaha na mkutano mkuu wa wakuu wa mataifa mbalimbali, vinashabihiana na kuathiriana vipi? Au intelligentsia imenusa kitu gani hapo? Ila yote heri, kinachotakiwa utii bila shuruti!
@ausonjustinian46738 күн бұрын
HIVI CHADEMA UWA MKOJE? NINYI KILA KITU UWA NI VURUGU TU. NA MNAOKOMENTI UJINGA TULI SIKU SI NI 2 TU MAMBO YAENDELEE, VURUGU YA NN??!
@selemankishema57809 күн бұрын
Piga mavirungu hao hawaoni kuna ugeni
@jonasimwanzi9 күн бұрын
Ugeni unakusaidia nini acha ujinga wewe
@selemankishema57809 күн бұрын
@jonasimwanzi huna akili
@ZakayoSanga-o5l9 күн бұрын
Ugeni hautuhusu ss fanya yako
@selemankishema57809 күн бұрын
@ZakayoSanga-o5l mko wengi huna akili
@ZakayoSanga-o5l8 күн бұрын
@selemankishema5780 ata wee mwenye azimo kabisa nii bogazii
@abelianraphili51509 күн бұрын
Kwani si mkutano wa waandishi..tu wanajua...chadema itatrend nchini kuliko mkutano wa CCM
@helencyprian87458 күн бұрын
Ndo maana yake
@tumainikibona52528 күн бұрын
Kama kipindi walipokuwa Dodoma wote tulikuwa live mlimani city,😂😂😂😂
@MasanjaNyanda-p1p9 күн бұрын
Mkutano wa wakuu wa nchi kwani unafanyikia ofisi ya chadema au vipi kama sio kwann wazuiliwe kufanya mkutano wao na zaidi ni mkutano wa ndani kuna jambo hapo polisi mjitafakari msitimike vibaya kwa maslahi ya watu.