Asante Sana Mchungaji unaeweka vizuri Mungu akubariki
@aincamo32716 жыл бұрын
Bwana ni wa kuaminika.hakika humwinua amtakaye na huwashusha wenye viburi na kuwainua wanyonge, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@sarahlussingu60296 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana....Barikiwa Pastor Mmbaga
@lacksonmwakanematv10487 жыл бұрын
Nabarikiwa sana Mchungaji na mahubiri yako mazuri yenye maonyo, Mungu akubariki Sana
@richardwillson39847 жыл бұрын
mungu akubariki sana mahubiri yako mazuri
@wordskabadi64214 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho
@sospeternyagabona62627 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kwa ujumbehuu
@maureenjovial62374 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe sana mchungaji
@priscahbosire43406 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@robartmwangomalecharnel78603 жыл бұрын
Mch, hii Chanel inapatikana kwenye ving'amuzi vyetu hapa Tanzania
@leonardmongare20173 жыл бұрын
Ukweli mimi ufuatilia mahubiri haya nikiwa Sarova shaba Isiolo kila siku kama maombi yangu kabla ya kulala.Mimi ni mwanasabato lakini nahamini kwamba wengi wako mbali sana na Mungu kiroho mbali na kimwili . naomba numbari ya pastor kwa maombi ya kiroho pamoja na familia yangu ambayo hiko mbali na mimi
@barakasaguda50916 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@happinesssospeter74127 жыл бұрын
Ubalikiwe sana pastor kweli tumemuona mungu
@EmmaMachela-yx1lp Жыл бұрын
Nime barikiwa kwamahubiri haya umeniongoa
@nintunzealphonse61546 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo hilo
@zachariaswila26317 жыл бұрын
mchungaji mungu akubariki,kweli itatuweka huru
@patrickhassan3406 жыл бұрын
nimebalikiwa sana
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
Bwana atukuzwe
@kainimichael85627 жыл бұрын
McHugh an I nisaidie isaya 18... ni nchi gani imetwaja..
@jafarisimfukwe59147 жыл бұрын
BARIKIWA PASTOR
@sae3dalsaifi2116 жыл бұрын
Mahubiri Kiswahili Tz Amen
@hassanmaganga75686 жыл бұрын
Mahubiri Kiswahili Tz thanx
@o.g.6f.m.l2845 жыл бұрын
naomba phone namber tafazari
@owagatonny655810 ай бұрын
tupe review kuhusu mchezo wa KAMARI
@dr.amos..ngailomd6 жыл бұрын
mchungali swali langu ni hili Hivi kwa wanafunzi Wa vyuo vikuu ambao hupata mkopo kwa ajili mahitaji yao ya kujikimu ambayo imepangwa kwa kila siku itumike kiasi fulan tu ,je halali kutoa zaka na sadaka kwa pesa ya mkopo
@eliamugini84945 жыл бұрын
Yes
@themessage35083 жыл бұрын
Nihalali kutoa zaka na sadaka kwasababu hicho ulicho pewa na mzazi wako au mkopo tayari imeandikwa nikipato chako.so unatoa sehemu yako
@rosemaryismail76037 жыл бұрын
asante mchungaji kwa maumbili mavuri sana.
@rehemamhagama93575 жыл бұрын
Rosemary Ismail xhha
@seenoiirene96397 жыл бұрын
Mahubiri matamu ya kutia moyo. Barikiwa Mchungaji
@izemark__63923 жыл бұрын
Nice
@federicogunze74686 жыл бұрын
It is most powerful sermon
@charlesanthony71706 жыл бұрын
Naomba namba ya simu ya Mchungaji David Mmbaga
@danielmwita1989 Жыл бұрын
Amen🙏
@davsonpeter15826 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@ebenezerykimendo70346 жыл бұрын
Uko sahihi he maswali ya online.je kipindi kipo cha maswali papo kwa papo
@gideonmkono4563 жыл бұрын
Huwa nina mizigo mingi moyoni lkn nikisikiliza nakuwa na aman sana
@mayombojuakali99396 жыл бұрын
Nawasio na uwezo wa kugoogle he watafanyaje mchungaji
@lilianlima86094 жыл бұрын
AMEEN
@methuselamasunga.11987 жыл бұрын
Majibu haya, ni sahihi kabisa kama yalivyo... Hivyo, ni muhimu kuelewa Haki kwa imani.
@charlesanthony71706 жыл бұрын
Naomba Msaada juu ya hili swali:Je,kufanya biashara ya sarafu digitali kama Bitcoin na biashara ya forex trading ni dhambi?
@charlesanthony71706 жыл бұрын
Hallelujah
@mutoniaimeolive48896 жыл бұрын
Charles Anthony jhgvhgh
@mbularose15256 жыл бұрын
Mchunganji niliskiliza mahubiri yako yakabandirisha juu maisha yangu yalikuwa gizani.sasa swali langu ni hili;je kwa nini shetani huitwa nyota ya alfajili na pia YESU huitwa nyota ya alfajili?tafadhali nifafanulie na utambarikiwa.Mimi ni Mkenya
@janethwilson93054 жыл бұрын
Naomba mwenye yuko na namba ya pastor
@rubbenndege43795 жыл бұрын
Kwan unahubir kanisa gan mara nyingi
@kusakabuga2826 жыл бұрын
Amina
@gerkombo65124 жыл бұрын
Saa saba mchana mwanaume yupo bize na poda.
@paulraphaelmagiri22107 жыл бұрын
Je Mungu ni wa jinsia gan
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
paul raphael magiri hana. Maana yeye ni Roho,sisi mwili. Jinsia ni kwa wenye mwili tu. Tunamuita Baba kwa sifa na sio jinsia