Ubarikiwe pastor mbaga. Ww ni combo cha BWANA. Umekuwa m baraka mkubwa sana kwa ajili ya BWANA
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen! Mungu atukuzwe
@user-ix1ep4vx3h8 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu mafundisho yko huwa yananipa nguvu sana nayasikiliza kuanzia saa 6mpaka saa 11 huwezi amini nisaidie nimfikie mungu
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Mungu akubariki
@rutinginyaneysam.50878 ай бұрын
Asante but ukiandika Mungu andika kwa herufi kubwa, sio m ndogo
@bamag-0218 ай бұрын
Asante kwa hubiri pr, Mungu akutie nguvu zaidi. Mtuombee na sisi nimekuja kusoma India baada ya Mungu kujibu maomba yangu kunipa kibari kusoma huku . Changamoto ni kufanya ibada siku ya sabato, hawajatupa ruhusa , maana ktk mwez ni jmosi mbili tu ndio ziko free, zingine mbili ni masomo. Tuko 8, tunaomba mtuombee watupe kibali cha ibada ya sabato
@macfadyneminja8 ай бұрын
Asanten sana Bwana Yesu.Asante Pastor Mbaga na team Yote. Asante Mahubiri TV. Asante kwa kugusa maisha yetu kila wakati. Mbariiwe na Bwana Amen kutoka Morogoro
@savelistaleonard64488 ай бұрын
Mungu n mwema wakati wote.Pamoja na yote ametufundisha kusema""Nayaweza Mambo yote katika yeye anitiae nguvu"""...Uwepo wako katika kutumika kwa Bwana...,kuna wagusa wengi sana kiroho Mungu azidi kukubariki mtumishi.
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@user-sz4pe3dt8s8 ай бұрын
Asante mutumishi wa Mungu nakufwata kilamara kwa nshi ya Congo nimebarikiwa sana n'a mahubiri Mungu wetu akujaze n'a Roho mtakatifu
@luciashayo98968 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji nimefunguliwa na mafundisho unayotia yehoa mungu wetu apewe sifa
@MildredShinali8 ай бұрын
Amina acha tujitie moyo na kubwa na imani ya kupigana na changamoto
@user-rf3zz1lb6l7 ай бұрын
Nimeinuliwa sana pastor barikiwa zaidi in Jesus Name Amen Amen
@user-qp8kp6ri9j3 ай бұрын
Asante sana kwaku tuondoa ndani ya shimo.
@benaharuna-bo1sf8 ай бұрын
Asant yesu maan tunakuelew kuptia mtumish wak
@elizabethvelma2667 ай бұрын
Thanks!
@veronicapeter-iz2qu8 ай бұрын
Amina ubalikiwe mtumishi
@blessedtumaini5168 ай бұрын
Mungu Baba unirehemu nilipoingia mwenyewe kwa taabu naomba Unitoe unitakase nifae kwa utumishi wako katika jina la Yesu Kristo Amina.
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@veronicawilsonmbwambo10548 ай бұрын
Amin
@olphanyamweya31547 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 hakika nimebarikiwa asantii
@happymsemwa-rk7fd8 ай бұрын
Ubarikiwe sana Pr Mmbaga yaan hili somo utadhani uliandaa kwa ajili yangu nmebarikiwa sana sasa nipo huru ktk Kristo
@antipascann27978 ай бұрын
Yote kwa yote pastor u are good storyteller! Mungu azidi kukutumia
@mussacharles53114 ай бұрын
Nabarikiwa sana kupitia wewe mchungaji.
@angelinamagambo87338 ай бұрын
Amina
@Brain-tx8fx8 ай бұрын
Amina sana ubalikiwe sana mchungaji
@marysalome79547 ай бұрын
Amen
@user-jh8il3mi4m8 ай бұрын
Mungu wangu uturehemu bwana bila wewe atuwezi
@JacklineMoti8 ай бұрын
God is good all the time & all the time God is good Ameen 🙏🙏
@shaniachanceline27513 ай бұрын
Amina mubarikiwe Sana ❤❤❤❤❤❤❤
@user-dv4ch3sy8l8 ай бұрын
Amen be blessed more and more Man of God im so blessed with ur powerful word wja roho asiti kukuweka ktk kiwango cha juu
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@edinahmasea16038 ай бұрын
Asante sana pastor barikiwa. Amen and Amen
@casiphaabdi38968 ай бұрын
Amen naamini mungu wangu anipe moyo mwepesi wa utoaji
@BarnabasJonas-nv4ig8 ай бұрын
AMINA
@nicolepierre79388 ай бұрын
Amen 🙏
@kabalizasekanabomarko60638 ай бұрын
Mahubiri aya, yananifungua akili sana, kila aiku nikikusikuya tu. Na jengwa sana na Mungu za Mungu. Nasikiya furaha sana ndani yangu na nguvu nyingi sana. Nakufwata kutoka sweden. Mungu akuzidishiye nguvu. David MMbaga
@kaninimuindi64708 ай бұрын
Amen mutumishi umenifuza mengi sana mungu azidi kukutumia huedelee na kutusaidia
@EmmanuelNaftali8 ай бұрын
Asante kwa NENO LA MUNGU.
@gerwaldalwena98297 ай бұрын
Asante sana, nimebarikiwa sana
@user-dk3xi4pz7o3 ай бұрын
Shukurani sans Amina
@LukasSoso-bn4ch8 ай бұрын
Kumbe EE BWANA YESU nisaidie
@user-kr5iv5lp2m8 ай бұрын
Mungu akubariki pastor nimepona dam zilikua zinatoka mfululizo ila zimekata, naomba nijibiwe na maombi yangu mengine naamini imekua
@user-xn3vq1gq3p8 ай бұрын
Mungu wetu kweli ni mwenye rehema sana kwetu
@laridistrict47108 ай бұрын
God bless you pastor am Blessed niombee mungu kwa neema yake anivushe salama
@aidaa82538 ай бұрын
AMEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@user-kc6lr3pq2c7 ай бұрын
Ameeen
@josianeniyonkuru57968 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@PatriceNkwabi8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho ya neno la MUNGU ubarikiwe
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@Lucy-nw4bn8 ай бұрын
Amen amen, pastor niambie niweze kurudi kanisani
@NellySakwa8 ай бұрын
Nakushukuru sana mchunganji kwa mafundisho mazuri ❤❤
@janethfwamba85618 ай бұрын
Amina baba na mm nimmoja wao ninamsongo mnoo
@eustina08 ай бұрын
Aminaa Mungu akubariki sana akupe maisha marefu
@user-gs1ld5vd6e8 ай бұрын
Ameen, nabarikiwa na huduma yako ombi langu kwa MUNGU akupe maisha marefu wafaidike wengi
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@PendoOscar8 ай бұрын
Mwenyezi mungu awalinde amen
@abigaelmwadena22628 ай бұрын
Ameen ameen barikiwa San kw somo zuri
@everinemasoka69238 ай бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana mchungaji wetu
@user-ds5gv5fw6h8 ай бұрын
Blessed is the servant
@zirhumanafiston1168 ай бұрын
Amina 🇨🇩
@elizabethmukama93068 ай бұрын
AMEN, BARIKIWA SANA PR
@user-iv9yc8hl7n8 ай бұрын
Mungu akubariki pastor Mbaga
@bungayamayo73778 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@MARIE-iy4bx8 ай бұрын
Nabarikiwa sana najifunza mengi hadi sayansi
@user-os3vo4sm2n8 ай бұрын
God bless you
@NeemaMbusiye8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@user-ds5gv5fw6h8 ай бұрын
Mungu ni mwema wakati wote
@user-rv6xv7yf8n8 ай бұрын
Mchungaji mungu akubariku sana
@calebmakori8 ай бұрын
amen.
@thobiasmwinuka28698 ай бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu kwa roho mtakatifu ameen
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@user-bx5nc8ge6r8 ай бұрын
Sifa kwa bwana ❤🙏🙏
@julianawairimu8018 ай бұрын
Amina,Amina Amina.
@MilabakasiliMilaba3 ай бұрын
Niombee na mm Niko taifani sana nitakufatilia sana KZbin
@MSM3748 ай бұрын
Mgumu sana huu wakati for sure
@user-bg9ce5sw4z7 ай бұрын
Mung ni mwema Kila wakat!
@immaculeekayange37848 ай бұрын
Kweli Mungu ni mwema kila wati, nashukuru sana kwa hili somo. Kwangu lina ni leta ku tubu mbele ya Mungu wangu sababu mimi nime jikuta ku sababisha mengi ninayo pitiya. Nakubali ku rudiya Mungu wangu kwa ku mutolea zaka n'a sadaka. Naelewa kwamba bila Mungu mimi si kitu. Barikiwa sana muchungaji
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Amen
@user-xn3vq1gq3p8 ай бұрын
Nikweli majaribu ni muhimu na lazima kwetu
@RebeccaObadia-km7kx8 ай бұрын
Nikungojea
@irentirop63048 ай бұрын
Amen Amen 🙏🙌
@elizaJemtai-jm2bj8 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@user-cf3kl5bo5y8 ай бұрын
Mimi naitwa Manase Benjamin naishi Uganda ,ilamimi ni mkimbizi kutoka Congo , nahitaji muombee inchi ya Congo. Nilitafuta namna naweza ku wasiliana na mtumishi , haikuwezekana , Ila ntajaribu tena .ningependa nipate number ya mtumishi ya WhatsApp.
@nanguniMtaita-hz4zt8 ай бұрын
Mchungaji, wewe ni wetu watanganyika wote. Kwanini huu ni mwaka.wangu wa Ishirini na tano Kihonda S.D.A. Church hujafika kutupa hubiri lako. Tumekumis ukweli tunakukaribisha kwa mikono na miguu yoote uje kwetu.
@anyandwilekajange8 ай бұрын
Nimeguswa sana na mafundisho yako , Mungu aendelee kukutumia .😂😂
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Asante sana Mtumishi
@Joycependopendo-dv2tb8 ай бұрын
Amen nimejifunza kitu kwenye hili somo la Leo Kuna jambo kumbe nijisabishia mwenyewe bt kwenye hili somo nimejifunza
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Mungu akurehem
@Joycependopendo-dv2tb8 ай бұрын
Amen
@Joycependopendo-dv2tb8 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Amen pastor mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri
@elietuyizere41296 ай бұрын
nisaidiye namber ya Mchungaji naomba
@MSM3748 ай бұрын
Malazi magumu kweli
@MSM3748 ай бұрын
Eti unatema mate hahaha
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
😁
@estermgata96178 ай бұрын
Pastor Mmbaga Mimi ni Mhanga wa mahubiri yako. Ila Kauli yako ya kusema ROMAN CATHOLIC NI WARUMI WA DUNIA YOTE. Hiyo umewadanganya wanakilolo. Historia ya ROMAN CATHOLIC na hata SDA inajulikana vizuri kabisa. ROMAN Catholics are Christians. They Christians because they follow Christ in their practice. SDA are followers of Ellen White and Bates. This is the main difference.
@user-to2qo6on7r8 ай бұрын
Hapana,SDA si wafuasi wa Ellen White Bali ni wafuasi wa Kristo(Imani ya Kristo Yaani isiyoyumbishwa na msingi wake umjengwa katika kumtegemea MUNGU) Mafundisho ya SDA yatokana na maandiko matakatifu(BIBLIA)pamoja na ushuhuda wa Yesu Kristo(ROHO YA UNABII) ambapo katika hiyo roho ya Unabii ndipo tunawakuta manabii wote na vitabu walivyovuviwa kuandika ikiwa ni pamoja na vile vyaEllen White.
@estermgata96178 ай бұрын
@user-to2qo6on7r Go and read the history of SDA and how it came about in . Go and read how they gave a wrong prophetic message of the end of the world. Then, enlighten yourself when the prophetic message did not come to fulfill what did they do. I have learned not to disrespect other religious affiliations. Telling ROMAN CATHOLICS in Kilolo that they follow UNIVERSAL ROMAN CULTURE OR TRADITIONS is misleading and wrong. I hope they will inform themselves what they believe. I hope they have strong faith and have knowledge of what they follow. Misleading about what other denominations do and follow is not something new to SDA. Mostly, they always spread false information about other faith and credited themselves they are the true followers. Of course superficially it might look so, but if you dig down - your history of how this church came about and their fundamental beliefs and their documents they follow, you will realize a lot of flaws. Just like other religious affiliations, SDA has lots of flaws. To me don't spend your time discrediting other religious groups. Preach what is right so that people will turn to SDA because of the true message from God, but not by giving misleading information about other religious affiliations. In 1990s, I was in one of the University in Tz. I was saying with an SDA. The pope John Paul the second, was scheduled to come to TZ. My SDA roommate warned me not to go to Jangwani, Dar es Salam, and that she was going to pray so that when the pope kneel down on arrival, lightning would happen and kill everyone. I went to Jangwani to attend the pope conference, and we all came safe. My call to anybody, preach the world of God, proclaim the truth, but do not confuse people with misleading information and untruthful messages
@estermgata96178 ай бұрын
Sala ya kila mkatoliki ni hii: EE MUNGU MWEMA, UMBARIKI BABA MTAKATIFU, ASKOFU NA MAPADRI, WAKUBWA, WAALIMU NA JAMAA. UWAFADHILI MARAFIKI NA ADUI ZETU, UWAONGOZE WALE WASIOKUJUA BADO AU WASIOITII INJILI. UWARUDISHE WAKOSEFU. UWASAIDIE WAGONJWA NA WANAOZIMIA. UWAHURUMIE WALE WANATESWA TOHORA. UWAPE HERI YA MILELE AMINA