No video

PRE SEASON: Kocha Simba afunguka anavyoisuka safu yake ya ushambuliaji

  Рет қаралды 51,140

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

SIMBA MISRI: Kutoka Ismailia nchini Misri, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids leo amefunguka juu ya siku mbili alizokaa na kikosi cha timu hiyo na kugusia jinsi atakavyotengeneza safu kali ya ushambuliaji itakayofunga magoli ya kutosha….
Haya ni maandalizi ya ‘mnyama’ Simba SC kuelekea msimu ujao……
#SimbaSC #SimbaMisri #SimbaPreSeason #Preseason #FadluDavids

Пікірлер: 41
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Safi sana kila mtu atengeneze team yake kisha tukutane uwanjani dakika 90' ziamue 🎉🎉🎉
@iddiramadhan
@iddiramadhan Ай бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club katika maandalizi Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@patrickleonard7504
@patrickleonard7504 Ай бұрын
The good thing of this coach is confident and so young,i can see a brigth future on him..
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Ай бұрын
Simba nguvu moja like hapa❤
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Ай бұрын
We need to score to win the game. Hapo kocha nimekukubali sana
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Ай бұрын
Yes, usipofunga ujue utadraw, usipofunga na ukaruhusu Goli ujue utashindwa mechi. Dawa ni kufunga 🔥
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 Ай бұрын
Tumekuelewa kocha❤❤❤❤❤
@AbdallahJambia-fo1tn
@AbdallahJambia-fo1tn Ай бұрын
Kocha la ball❤❤
@MarryEliud
@MarryEliud Ай бұрын
simba damdamu
@zakariamartin3980
@zakariamartin3980 Ай бұрын
Simba nguvu moj❤
@zalinaseif4430
@zalinaseif4430 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@DadeSaide-qr7ti
@DadeSaide-qr7ti Ай бұрын
Wabango munazingua tatizo munajua Sana utasikia kocha afai acheni izo Waze
@BubuallyMwakipesile-br8dc
@BubuallyMwakipesile-br8dc Ай бұрын
Wabongo amnajema jamani kilakitu mnakosoatu duu hayenibwana
@user-vx9dk9sy2r
@user-vx9dk9sy2r Ай бұрын
Kocha anaongea ushindi 🇹🇿nimependa
@zalinaseif4430
@zalinaseif4430 Ай бұрын
🦁🦁🦁😩🦁❤❤❤
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s Ай бұрын
mnyama simbaaa 😊😅
@SalimSaid-gs4dv
@SalimSaid-gs4dv Ай бұрын
Ubaya Ubwelaaa😂😂😂
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 Ай бұрын
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
@binzubeirnasheed4088
@binzubeirnasheed4088 Ай бұрын
Kocha yupoo vzuri kwenye kujitetea
@Innocentnyika-ml5tr
@Innocentnyika-ml5tr Ай бұрын
Daa simple English usipoelewa apo bas nenda cuba we need to score its impact is to win
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l Ай бұрын
nguvu moja kocha la boly
@selemonsalvatory4414
@selemonsalvatory4414 Ай бұрын
Mwanzo nilikua namuona kama mwarabu mbona ghafla amekua chotara
@SamsonSaruni-s3g
@SamsonSaruni-s3g Ай бұрын
🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Ай бұрын
Nime muona onana hau siuoni vizuri kumamaee 😢😢😢😢😢
@marcolullanga6639
@marcolullanga6639 Ай бұрын
Kuweka kambi nje ni gharama kama huna uwezo wa kumudu gharama huwezi kufikiria jambo hili.
@eddyology7304
@eddyology7304 Ай бұрын
Fadluball
@user-zg8mi7ce3m
@user-zg8mi7ce3m Ай бұрын
Waende hata Mbinguni, hayo ni Maamuzi ya Simba. Hao Yanga waache wabaki ila mwisho Makjndi😂😂😂😂
@DadeSaide-qr7ti
@DadeSaide-qr7ti Ай бұрын
Sumba nguvu Mona.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
Team na viongozi wa Simba wana ubongo wa kuku pre season badala ya kupeleka team Tukuyu au sumbawanga mnapeleka team nje vipi huo uwanja mtarudi nao huku ?
@Juliusmashauri114
@Juliusmashauri114 Ай бұрын
Tengeneza timu yako uipeleke tukuyu 😂😂
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Ай бұрын
@@Juliusmashauri114 😂😂😂😂😂😂😂
@venancemartin6734
@venancemartin6734 Ай бұрын
Bora hata wao ubongo wa kuku, lakini Wewe una ubongo wa Kondoo maana viongozi wa Simba sc wanakuzidi kila kitu, jifunze kwa watu waliofanikiwa kiazi wewe.
@flova7022
@flova7022 Ай бұрын
Hii nkiwa bana
@sangaelly8548
@sangaelly8548 Ай бұрын
Unaakili za kuku wewe
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 43 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [27]
18:55
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 13 М.
YUKO WAPI MLINZI WA MAGUFULI?
2:37
Champion tv
Рет қаралды 11 М.
BANGI NIBANGUE
15:27
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 181 М.
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 23/08/2024
49:35
Azam TV
Рет қаралды 6 М.