YUKO WAPI MLINZI WA MAGUFULI?

  Рет қаралды 9,910

Champion tv

Champion tv

Ай бұрын

Wakati enzi za utawala wa Rais DK John Pombe Magufuli katika timu ya walinzi nyuma yake alisimama mtu mmoja makini sana, mtu ambaye mbali na kutoongea chochote kile lakini alipendwa na kujizolea umaarufu mkubwa nchini. Mtu huyu alisifika kwa umakini wake na sura ya kibantu iliyoonekana kuwa makini na kazi yake.

Пікірлер: 9
@mgenifilm
@mgenifilm Ай бұрын
Pamoja san mkuu
@poyomakomba5634
@poyomakomba5634 20 күн бұрын
aishi sn mwamba huyu!!
@SalehKatto
@SalehKatto 16 күн бұрын
Karudi kwao
@poyomakomba5634
@poyomakomba5634 20 күн бұрын
jamaa nilimpenda sn huyo alikuwa anajua kazi yake haswaaa
@mrenjoyfootball8403
@mrenjoyfootball8403 Ай бұрын
Good job
@leonarddamian
@leonarddamian Ай бұрын
Siyo mlinzi ni mpambe
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 Ай бұрын
Ufala surA inawatia kiwewe acheni ujinga ila kwakuwa mnatakaka views ok ila mnafanya ushambA
@flaviankitowa5439
@flaviankitowa5439 Ай бұрын
Natamani kumuona lakini siamini kama ataonekana tena
@chrismzia
@chrismzia Ай бұрын
Yupo mbona,nimtu sipo sana hanamakuu na mtuu
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 46 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 111 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 588 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 46 МЛН