am always happy to hear the best speech of very diplomatic leader Mr jakaya kikwete
@lechachamaro53127 жыл бұрын
ilove ur speach mr president jakaya bay away u talk in majort May God blessing u
@mathayomwashambwa12387 ай бұрын
Smart English spoken by our retired president Jakaya kikwete
@justinempemba5981Ай бұрын
Good speach
@mbonekemwampasi25094 ай бұрын
Hongera kiongozi wetu,ila hapo umetaja Tanganyika na Zanzibar na tunasherekea miaka 50 ya Tanganyika, sasa Tanganyika mbona haipo na haitajwi?
@TheZepporah13 жыл бұрын
english ni lugha ya kaimataifa na sioni sababu ya Raisi wetu wa Tanzania kuzungumza kizungu kama anakijua,ili kuwezesha na kuraisisha mambo...well-done Mr president...amejitahidi sana na ametoa meseji ya nguvu na kuomba msaada wa hali ya juu kuhusu materorist na waharamia wa kuteka nyara meli na hatima za watoto na mengineyo...safi sana mkuu...pamoja tutafika tuu...hayo mambo ya muungano aliyongelea mie ahata siyajui ila najua Tanganyika na zanzibar ni kitu kimoja kinaitwa Tanzania au????
@samwelkayanda912111 жыл бұрын
Muungano ni muhimu sana kwa wazanzibar na si watanganyika
@agneserasto98066 жыл бұрын
Asante jakaya wape hao wapinzani
@mpwatilenauli53026 жыл бұрын
Clear
@setharusha12 жыл бұрын
ndio maana nimekuuliza tufanyeje ili tatizo liwe limekwisha?
@fotomaker200513 жыл бұрын
How can you say 'successful hijacking' while you hate hijacking?!!!!
@raybirry38164 жыл бұрын
I noticed that too!
@mrfroasty13 жыл бұрын
I smell greediness in this speech, union of 2 nation but you are celebrating 50 of independence of Tanganyika?.Something spooky here!
@tannarashid212311 жыл бұрын
Tatizo la muungano wa Tanzania kwa maoni yangu ni kama ifuatavyo; Kutokuwepo kwa kazi zanzibar
@juliuskivuyo53847 жыл бұрын
Nice speech
@brawnkiss506010 жыл бұрын
Safi sana
@SWATY6313 жыл бұрын
Ni kweli inatakiwa iwe Tanzania baada ya muungano wa tanganyika na Zanzibar 1961, hapo presdaa kachemka kusema eti tunajiandaa kusheherekea miaka 50 ya muungano wa TANGANYIKA' hii ilizikwa mwaka1961.. Anyway hii si lugha yetu jamani ililetwa na meli huku kwetu. Yetu ni kiswahili. Hongera Kikwete kwa kujiandaa vyema though you were very speed that makes you to misspell some of words like " In manye major" instead of many major Economies! increasing food and Fuel practices, Instead prices etc..
@simbadirectory12 жыл бұрын
Kila siku kuomba omba misaada tu!! mmemsikia Raisi wa Irani?
@hassanilikwena459612 жыл бұрын
naona watu ambao muna tupa maoni yenu angalieni vizuri kisha ndio muna weza kutuma maoni yenu
@SimbaM2kufu11 жыл бұрын
Zanzibar ikijitoa kwenye muungano itakua kama Somalia. Kitakua kituo cha magaidi wa kiislamu. Mademu wa kizanzibari walio zowea uhuru wa Tanzania watakoma. Hakuna vimini wala elimu ya juu kwa wanawake. Katika serelkali za kiislamu wanawake hawana thamani. Hakuna cha muhimu Zanzibar.
@iddiali80575 жыл бұрын
Da km huna chakusema kaa kimya.
@setharusha12 жыл бұрын
Watu wengine wankua wanaongea matope matupu, kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea maneno ya kuhusu lugha ya kiswahili kwa waliowengi hawafahamu kiswahili. Swala la zanziba kua free hakuna hakuna alie mlazimisha karume wakwanza kuungana. sisi tunaotoka eneo la Tanganyika hatuoni umuhimu wowote wakuungana na Zanzibar. kakisiwa kadogo kama nncha ya kinyesi ndio tutapigia zogo. mimi napiga kura yangu kua muungano ufe na urudi uliko toka. na wahamiaji kutoka Zanzibar warudi kwao watokako.
@roseanajophrey70483 жыл бұрын
Safi jk
@setharusha12 жыл бұрын
Nilivosema mwanzo ndio naona kua uzuri wakumaliza tatizo. iwapo unadhani sio sababu zakumaliza tatizo, nipe muono wako wakumaliza tatizo liliopo.
@LesiJama3 ай бұрын
Speechwise your owner
@prosperbiseko325111 жыл бұрын
Pumbavuuuuuuuu wazanzibar wavivu mko Kama wanawake kulalama tu hata muungano ukivunjika hamtaendelea wabaguzi wakubwa hamna uwezo wowote kazi kiula ulojo pumbavuuuuuuuu .
@iddiali80575 жыл бұрын
Daa usitutukane. Hata Mwalimu Nyerere hakufanya hivyo
@boniphacelusato Жыл бұрын
Prosper Biseko, haya uliyoyaandika hapa hayafanani na Wewe. S vizuri kutukana watu. Pia kumbuka Wazanzibar ni ndugu zetu.
@setharusha12 жыл бұрын
Kaka, ili tumalize tufanyeje?
@lgf72973 жыл бұрын
Hotuba hii ndiyo ilijenga Darala la Mto Malagarasi huku wasaliti wetu wake day WB kuzuia Missana ili mabinti wetu wazae na wanyonyeshe darasani Tabora Girls.
@071776116512 жыл бұрын
kaka bado utakuwa hujamaliza tatizo
@mubamohamed697510 жыл бұрын
Huo ni ujumbe wa Afrika kupitia kwa Mh.Pres. wenyechuki inendelea kula kwenu.
@akiliiddtuliza4185 жыл бұрын
JK the good orator
@TheHighfly5812 жыл бұрын
MR PRESIDENT YOU NEED TO STEP DOWN YOUR THE WORSE PRESIDENT I NEVER SEE PLEASE GO I WITNESS MYSELF WHEN WAS THERE U SHOULD BE KICKY OUT THAT OFFICE.
@dalz_z11 жыл бұрын
Nyie wote munaongea upumbavu tu!
@mrfroasty13 жыл бұрын
Aibu tupu kuzungumza kiswanglish, tujifunze kuheshimu mila na tamaduni zetu.Sisi ni waswahili hivyo tujivunie na kuacha kujichanganya na lugha za kikoloni!
@chucky002713 жыл бұрын
Colonist...Tanzania is neoColonoial state. Free Zanzibar from Tagannyikan Colonist..........Free Zanzibar from this Colonial State.