PROF. TIBAIJUKA ATANGAZA KUNG’ATUKA UBUNGE “MUNGU HAWEZI KUWA UPANDE WA DHAMBI”

  Рет қаралды 31,598

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 47
@peaceladyjoseph6969
@peaceladyjoseph6969 5 жыл бұрын
Nakupendaga sana mama angu tibaijuka ,unaongeaga so straight and u think more
@robertuscharles274
@robertuscharles274 4 жыл бұрын
Thankful my mother For your Spoken Is good
@robertuscharles274
@robertuscharles274 4 жыл бұрын
I give whole Respect my Fighter........
@salminasalim5630
@salminasalim5630 5 жыл бұрын
Professor Tibaijuka. MMungu akubariki sana, umefanya kazi mzuri sana na umewanufaisha sana jamii, mtetezi sana wa wanyonge jamani usingefanya maamuzi ya kustaaf, ila ungechaguliwa ukawa spika Wa bunge ungesaidia maana binge letu mmmm. MMungu akubariki sana
@mrholela7906
@mrholela7906 5 жыл бұрын
Hela Mboga mboga...Mungu atupe nguvu kiukweli
@evansbuberwa1235
@evansbuberwa1235 4 жыл бұрын
Asante mama
@edwigaupendo
@edwigaupendo 5 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti....kungatuka....haki nimecheka kweli....huyu mama ananipa raha sana anavoongea...2020 ANANGATUKA
@fitinaelias421
@fitinaelias421 5 жыл бұрын
Ni kweli japo ni jambo la kawaida sana...hiyo ni athari ya lugha mama kuna baadhi ya maneno ni mtihani kutamkwa kwa usahihi na baadhi ya makabila.
@salminasalim5630
@salminasalim5630 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Prof we ni mfano Wa kuigwa hata Rweikiza angeiga mfano wako ingependeza sana ameongiza BK vijijini kata ya Mikoni maji shida sana na maji ni mhimu sana kwa matumizi ya bin Adam lakini kwa sasa huko mpaka watu wana share na ng'ombe .anakunywa na anatia kinyesi chake watu wanachota. Alivyoacha amefanya Karamagi ndio hivyohivyo MMungu ambariki Mh Nazir Karamagi pamoja na wewe Prof wetu
@hoseakaponya5070
@hoseakaponya5070 5 жыл бұрын
Mama shikamoo! Nakupenda Sana'a kwa msimsimamo wako wa kibusara
@anatorydesdery4654
@anatorydesdery4654 5 жыл бұрын
Mama Tibaijuka anangatuka tu hang'atuki ,Hahahahahahahah
@mishaelmisana1973
@mishaelmisana1973 5 жыл бұрын
Hko vizuri mama
@josephlugome3838
@josephlugome3838 5 жыл бұрын
Umeongeaaa point sana mamangu
@beberulambegu660
@beberulambegu660 5 жыл бұрын
Mzee wa HATIA safi sana
@abdulrahimbanury1620
@abdulrahimbanury1620 5 жыл бұрын
Safi sana profesa pekee ninaemkubali TANZANIA najua huwezi kupendwa na wote ila wachache wanoelewa👍👍👍 jitahidi unapostaaf tuekee mtu sahihi wakutuletea maendeleo Muleba nakama hayupo basi endelea miaka 10 bado michache
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Hawezi sahau Escrow huyoo!! hayo mengine anatuzuga tuu...."vile vipesa vya mboga!!". Tunaomba uturudishie pesa zetu we mama!zitakuchoma moto jehanamu.
@baltzrluus3287
@baltzrluus3287 5 жыл бұрын
nachokumbuka kwake ni ile kauli " unavyozidi kupanua ndivyo watu wanazidi kutamani"
@ummyomary3423
@ummyomary3423 5 жыл бұрын
baltzr luus 😂😂
@mremagitero5668
@mremagitero5668 5 жыл бұрын
Kwl mama
@josephnjeno2582
@josephnjeno2582 5 жыл бұрын
Nawaamini sana ayo tv na nawafatilia mnayumbishwa na nini tena au mna wasi wasi gani au mna kiugani mnataka nn hii interview mbona mliitoa mda tu vipi tena leo sisi ni wafuasi wenu chochote kipya kikitoka kwenu tunacho leo hii imekaaje tena jmn mbn mmenisikitisha
@aminabugembe3708
@aminabugembe3708 5 жыл бұрын
Wahaya bhana ng'a ishawashinda ng'atuka '' Ngatuka"
@selemankishema5780
@selemankishema5780 5 жыл бұрын
iweee!!!
@giftmkumbwa1331
@giftmkumbwa1331 5 жыл бұрын
Namkubali sana mama huyuuu
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 5 жыл бұрын
byee mama
@masachihorticultureunitcol711
@masachihorticultureunitcol711 5 жыл бұрын
Kafara wapatikane basi tuu. Tabaijuka alikuwa kafara ya Escrow
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Nenda tu mali ulizonazo zinakutosha,kapumnzike
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 5 жыл бұрын
Alizoiba sio alizonazo
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Pamoja na kashifa zake lakini huwa anaongea na kushauri vitu vizuri km mawazo yake yakifanyiwa kazi yatazaa matunda
@stevenalbert1777
@stevenalbert1777 5 жыл бұрын
Nimekuelewa na Nina uhakika mwenye kukusikiliza bila muhemuko amekuelewa kabisa mama
@user-nk5nq2ox2n
@user-nk5nq2ox2n 5 жыл бұрын
Nimerudi T3NA play.google.com/store/apps/details?id=com.utamuwakubwatu.app pakua/download app hii ya UTAMU WAKUBWA TU18+ kupitia link hii uweze KUpata 1.VIDEO za kikubwa ZA KIBONGO & MBELE @MALAYA WAPO FREE 2.AFYA KUHUSU MAPENZI 3.DARASA ZA MAPENZI 4.STYLE konki ZA KITANDANI 5.SMS ZA KUMVUTA KARIBU MPENZI WAKO 6.DAWA ZA KUONGEZA MAUMBILE KE&ME free 7.JIFUNZE STYLE ZA KUPATA MIMBA HARAKA 8.JINSI YA KUSUGUA KINEMBE VIZURI 9.mtambue mpenzi wako kama anakusaliti 10.DAKTARI BINGWA WA MAPENZI N.k UPDATE NEW VERSION KMA TAYARI ULISHADOWNLOAD KUNA VINGI VIMEONGEZEKA ILI KUBORESHA APP YETU Pakua sasa playstore search (Utamu wakubwa tu) au download kupitia link hii watu 100+ WA mwanzo zawadi nono zitawahusu DM for more info..😍 APPS IPO TRENDING#1 DUNIANI Unasubili nini download Leo PIA UKISHARE zawadi itakuhusu
@njombenyumbani2030
@njombenyumbani2030 5 жыл бұрын
Mama umri umeenda kalee wajukuu
@MWEGOHA
@MWEGOHA 5 жыл бұрын
Bora usepe na vichenji vyako vya mboga, umejimilikisha maelfu ya ardhi yanatosha nenda salama bibi, wasalimie Bukoba
@messiasulley3944
@messiasulley3944 5 жыл бұрын
Yuko mbali San financially,
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Kweli kala pesa nyingi sana za ardhi huyu mm akapumnzike tu
@paulinamon9087
@paulinamon9087 5 жыл бұрын
Mbona mama ulirudisha fedha za escrow? Ulizipokea kwasbb gani? NENO " Hela za mboga " hazikuwa ni baki ambayo ulishindwa kui-account for? Ilikuwa ni 10m/-. Hatujasahau. We nenda tu umeshiba!
@kudukaemmanuel3174
@kudukaemmanuel3174 5 жыл бұрын
Sio milini 10 ni bilioni 5
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 5 жыл бұрын
Ndio hawahawa ccm/ chadema acha akale hela ya mboga si anayo bado tena imejaa jikoni
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 жыл бұрын
Hela ya mboga anazo hadi kufa hana shida tena na ubunge.......alichokitafuta amekipata. Ni muda wa kukaa kivulini na kula mboga
@safaritvhome5374
@safaritvhome5374 5 жыл бұрын
Hahahahaha....Anasema kungatuka badala ya kung'atuka...wahaya bhnaa
@samwelieliasy9653
@samwelieliasy9653 5 жыл бұрын
Ushazeeka ww
@samwelieliasy9653
@samwelieliasy9653 5 жыл бұрын
Nakuheshimu 2 kapumzike
@ahmadsimba2143
@ahmadsimba2143 5 жыл бұрын
Ki,jizi" hik Kimama yan Kifisad kinoma, Yan President JOHN, ana Kaz Kuongoz Wez yan,, Aendelee2 Miak1OO
@NonoNono-qp3zu
@NonoNono-qp3zu 5 жыл бұрын
Hiki kibibi kimeshachuma sana pesa,,, na kweli upumzike
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 5 жыл бұрын
Unang'atuka ama muda kikatiba unaisha??
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 жыл бұрын
Tony hakuna muda maalum kikatiba. Akipenda anaweza kuendelea.
@nemohos4885
@nemohos4885 5 жыл бұрын
hahaha kwaiyo anaongea na mungu? muulize basi kwanini mungu aliuwa watu millioni 1.25 wakati shetani aliuwa watu 12.
@freeforec4852
@freeforec4852 5 жыл бұрын
hahaaaa akili za kupewa bhana😅😅😅 ni shida tupu. tangu historia ya dunia kuwepo wamekufa wa2 wangap? Mungu alileta uhai, Mungu huchukua uhai. na mm nikuulize Mungu kaumba wangap na shetan kaumba wangap?
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 12 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 52 МЛН
Masses Storm Kware Dumpsite As Recovery Efforts Stretch Into Day 3!
3:30
Session 2: Intrinsic Value - Foundation
11:32
Aswath Damodaran
Рет қаралды 740 М.
Modi Meets Indian Diaspora In Moscow #modi #modiinrussia #russia #putin
2:21:17