No video

WATU WAWILI WAFARIKI KWA AJALI YA GARI NJOMBE, DEREVA ALIKUWA KASI, ZAGONGANA USO KWA USO

  Рет қаралды 52,801

Millard Ayo

Millard Ayo

Ай бұрын

Пікірлер: 85
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 Ай бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَPoleni sana madereva tujitahidi kumuomba mungu na kuzidisha umakini 😢😢
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Ай бұрын
Dah😭😭😭😭aisee yarabi mungu 2epushe na ajali mungu wangu!! Marehemu pumzka kwa Aman!!
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Ameen
@user-qi5cv5gz6l
@user-qi5cv5gz6l Ай бұрын
Na ninyi police taarifa zote mnazo hapo kwann mnamshikilia mtu ambaye hana makosa,
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
Wakati mwingine muwe mnaacha upumbavu. Kwahiyo aachiwe tu kwa maelezo hayo ya mdomon.
@user-qi5cv5gz6l
@user-qi5cv5gz6l Ай бұрын
@@josephatmakaranga we vipi mzee kiswahili unakielewa kweli, kuna kwenda kituoni kuandika taarifa na kuna kushikiliwa sijui unaelewa hizo tofauti, afuuu, we ndo police au
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w Ай бұрын
Kumshikilia ni hatua za kisheria tu maana watu kupoteaza maisha hata kama makosa ni yao sio kitu kidogo.
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
@@user-zw9mi8fn3w asante nadhan huyo mchangiaji wa hapo juu atakua ameelew, maana pamoja na kudhan anakielew Kiswahili lakin hakielew kwa upana wake na ktk miktadha tofaut tofaut.
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
@@user-qi5cv5gz6l lakini pia unapozungumzia polisi ufikirie pia na Sheria kwa sabab polisi hawafanyi hivyo tu kwa matakwa yao wenyew bali kwa misingi ya Sheria.
@JailosLuhanga
@JailosLuhanga Ай бұрын
Pole sana kwa familia iliyopoteza wapendwa wao.
@oscarrobben228
@oscarrobben228 Ай бұрын
Tumepoa
@Gaudensiamuganga
@Gaudensiamuganga Ай бұрын
Uwiii 😭😭😭😭Pumziken kwa Amani, mdg wangu Emmanueli sasa nimeamini Umepatwa na kifo kibaya sanaa, Tutakukumbka kwa mengi Ulikuwa kijana mdg, nyenyekevu na mwenye kupenda ibadaa Mbele yetu nyuma yako 💔
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Poleni sana wafiwa
@latwibujuma
@latwibujuma Ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi raj uun yaani kila siku ajali watu wanakufa kila siku tumuombe Allah atupee mwisho mwema daah abilia kumbe ni wambahala mwenzangu Mungu amsamehe madhambi yake makubwa na madogo 😭😭😭
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x Ай бұрын
😢MUNGU NIPE ULINZI WA HALI YA JUU AMEEN
@user-zw9mi8fn3w
@user-zw9mi8fn3w Ай бұрын
Sio akupe , muombe
@TinaMzava
@TinaMzava Ай бұрын
Mungu tupe mwisho mwema
@SliviajohnsimbaMarium
@SliviajohnsimbaMarium Ай бұрын
Poleni sana munqu azilaze roho za Mareham maala pema peponi.
@imrannuhu2784
@imrannuhu2784 Ай бұрын
Pumzika kwa aman dam yangu mfanyakazi mwenzangu ulininunulia maji na ukanitania kumbe ulikua unaniaga rest IP power rasta
@AliMohamed-bp5ji
@AliMohamed-bp5ji Ай бұрын
Inshaallah, mwenye izmuungu awajaaliemakazi mema, huko aakhera, aaa min. Pole wafiwa.
@FatumahUbwa
@FatumahUbwa Ай бұрын
😢😢duh mambo haya ewe ALLAH tuepushe na haya ndugu wa marehem poleni kwakweli
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
mwenye gari ndo basi tena madereva wa IT nawajua vizuri kabeti kabetishwa
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 Ай бұрын
Mtihani sana huu
@MudathirJamal
@MudathirJamal Ай бұрын
Watakufa sana madera wengi wamagari madogo wanatabia hizo saana kuovertake hata gari 3 na zaidi kinachowakuta mara nyingi nikifo wanachokisababisha wenyewe
@meshackwegga
@meshackwegga Ай бұрын
daaah pole kwa ndugu waliopoteza wapendwa wao
@oscarrobben228
@oscarrobben228 Ай бұрын
Tumepoa
@user-ke2he9ni3u
@user-ke2he9ni3u Ай бұрын
Daah Bahalun Siamin Kuwa Umeenda Bro
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Poleni sana
@ulimbagakapange8172
@ulimbagakapange8172 Ай бұрын
Mwanangu Emma mtoto wa dadaangu kweli umetuumiza babaangu
@pyerinajilatu2884
@pyerinajilatu2884 Ай бұрын
Poleni sana
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Poleni sana wafiwa 😭
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli Ай бұрын
Kiukweli inauma sana hata huku wamekufa wawli abilia na dreva
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Poleni sana
@linusmulokozi9347
@linusmulokozi9347 Ай бұрын
Pole sana
@muzikimtamumtakatifu897
@muzikimtamumtakatifu897 Ай бұрын
Dereva wa lori aachiliwe
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Ай бұрын
Duuh, ila walioshuhudia tukio wangehojiwa wangesema ukweli.
@selemansaid9295
@selemansaid9295 Ай бұрын
Ukwel gan unaoutaka? Ushaambiwa chanzo ni wrong overtake na Bado ujaelewa
@user-xh3bp4il8j
@user-xh3bp4il8j Ай бұрын
Yaani 😂😂😂 ​@@selemansaid9295
@tinachaka
@tinachaka Ай бұрын
Kiswahili kigum kwake
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw Ай бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family
@lymsannouncement2321
@lymsannouncement2321 Ай бұрын
Jaman si tuendeshe TU pole pole jaman
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 29 күн бұрын
Hapo wanging'ombe kuna shida
@MsJuniormjunyhandsomeboy
@MsJuniormjunyhandsomeboy Ай бұрын
ilnalilahi wania illaha rajuun😭😭
@TABIA-o4t
@TABIA-o4t 27 күн бұрын
🎉
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 Ай бұрын
dah pore sana tumepoteza nguvu kazi ya taifa 😢😢😢
@richytarimo4656
@richytarimo4656 Ай бұрын
bado watu wanapanda gar za IT
@LovenessAnthony-o2f
@LovenessAnthony-o2f 27 күн бұрын
Jmn 😭😭😭
@mariam-pu4kg
@mariam-pu4kg Ай бұрын
Yarabby, mola.wangu wantu wanakufa kila siku
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Sasa mnamshikilia na ushasema kaingiliwa jamani sasa angepaa ili amkwepe mzembe au hizi sheria nyingine bunge badilisheni sasa
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Nafikiri wanamuhoji ili kuweka sawa namna na taratibu za kiusalama ila ataachiwa kama leseni anayo
@josephatmakaranga
@josephatmakaranga Ай бұрын
Asante, ila kuna haja kubwa ya kusambazwa elimu kuhusu mambo ya usalama kwa wananchi maana naona wengi bado wana mitazamo hasi kwa polisi.
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Ай бұрын
daah rest in peace
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Ай бұрын
😪😪😪😪😪 mungu azilaze mahali pema peponi 🙏🙏🙏🙏
@pendo8082
@pendo8082 Ай бұрын
Sasa huyu wa gari ndogo kwann alikua Andover take😢
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Ай бұрын
Dereva wa lori mnamshikilia kwa kosa gani? Polisi wa Tanzania bwanah!!
@user-cn8ol6ro5z
@user-cn8ol6ro5z Ай бұрын
Honda shato
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Ай бұрын
Duh R.I.P WAPENDWA WOTE.
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Ай бұрын
poleni sana familiy mungu awatie nguvu
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Ай бұрын
😭😭😭😭
@danielandrew9892
@danielandrew9892 Ай бұрын
Wa IT ni kawaida yao
@AliMohamed-bp5ji
@AliMohamed-bp5ji Ай бұрын
Kutoka Kenya, 001. Huyu dereva, wahileo semitrela chonde chonde muoneni huruma, mumuachie.
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi Ай бұрын
Poleni waloli hunamatatizo niuzembe wagari ndogo
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
😢 haya magari siyo imara kabisa board yake ni nyepesi
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Ай бұрын
Nchi ngumu sana hii,yani kamanda mkubwa kama huyu anaongea hadharani kuwa,dereva wa lory tunamshikilia. Hivi kweli kuna haja ya kumshikulia na kuiendelea kumpotezea mtu muda,badala ya kumsaidia aendelee na shughuli zake mnamkwamisha tena.
@franciseliya3876
@franciseliya3876 Ай бұрын
Sasa mnamshikilia yy hana makosa ni gafra tuu
@magesakhamis4808
@magesakhamis4808 Ай бұрын
.wenye gari (IT) bafo anasubiri gari yake😢
@CuteGee-ni7oz
@CuteGee-ni7oz Ай бұрын
R.i.p kakaang baharunii💔😥😭😭
@leokamil6284
@leokamil6284 11 күн бұрын
Poleni sana
@samwelmwinyi1893
@samwelmwinyi1893 Ай бұрын
Polen sana Ndg. Jamaa wa waliopoteza maisha! Maomb yangu haya! BWANA NAOMBA NIFUNGULIE FAHAM ZANGU ILI NIWEZE KUHESABU SIKU ZANGU NILALAPO NILALE KWA MATUMAINI, UJAPO KABLA SIKU ZANGU HAZIJAFIKA NAOMBA NIWE MIONGONI MWAO WATAKAO KURAKI KULE MBINGUNI😢😢😢
@LeonardKasanjala
@LeonardKasanjala Ай бұрын
Duuh
@faa9842
@faa9842 Ай бұрын
Hii gari kama imesagwa na blenda
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Ай бұрын
Madereva wa IT wameanza tena kujisahau wanaleta tabia za boda boda ku-overtake kushoto. Polisi ongezeni udhiti wa hao jamaa msiwasahau madereva wa bajaji pia wapo wahuni wengi japo si wote lakini ni jambo linajulikana wazi
@magesakhamis4808
@magesakhamis4808 Ай бұрын
Bajaji 99% wahuni
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 Ай бұрын
Sio 99 tu 101​@@magesakhamis4808
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Rlp
@Yeshuahamashia12345
@Yeshuahamashia12345 Ай бұрын
Njoo ujionee Maajabu hawa wachungaji wa siku hizi 😂😂😂 kzbin.infop4L6_JwQmxQ?si=yMiR502CnEk__7oE
@ericraphael9653
@ericraphael9653 Ай бұрын
Unajuwa siku zote aliyekufa ana aki uyu mwenye Loli akuaendesha udeleva wa kujiami angeweza kuhepusha ajali na yeye arikuwa na mwendo kasi
@user-qi5cv5gz6l
@user-qi5cv5gz6l Ай бұрын
Better ukanyamaza,
@selemansaid9295
@selemansaid9295 Ай бұрын
Angejiami kwa kuingia kwenye nyumba za watu akauwe wasio na hatia? Lori itawezaje kukimbia kuwa na speed ikiwa inapanda mlima ikiwa na mzigo? Akili kichwan mtu Wang
@erickmloge1052
@erickmloge1052 Ай бұрын
Gari ndogo alikuwa na makosa hatukatai ila dereva wa Lorry angetoa kushoto(nnje ya mstari wa njano) kumsaidia amalize overtaking yake kuepusha vifo maana hiyo barabara ni pana tunaijua zinapita gari nne bila kugusana​ @selemansaid9295
@staritsolutioncenter7100
@staritsolutioncenter7100 Ай бұрын
Unaweza ukatoa kushoto na ukafuatwa tena
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Ай бұрын
​@@erickmloge1052Kama nawewe ni dereva napendekeza unyang'anywe leseni ya udereva mara moja!
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 1 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
KINGWENDU KAPAKIZA ABILIA JINI  KAZI YA BODA BODA NGUMU
7:37
Kibibi Comedy
Рет қаралды 4,2 МЛН
AJARI MBAYA YATOKEA MUDA HUU |MAENEO YA TEMEKE
5:23
DTV
Рет қаралды 51 М.
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН