@@issaadinaniissa6487 kwahiyo maalshababu ni wahuni au waislamu pia
@victorterry2276 ай бұрын
Shukrani Miradi Ayo kwa kutusapoti sisi waislam katika hili insha-allah Allah akulipe na akujalie ya heri na akuepushe na yashari
@rashiditembo15746 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu DC wangu,na akutangulie katika majukumu yako ya Kila siku.
@jojomdosi-ip4rg6 ай бұрын
Kiongozi mwenyezimungu hakujalie hakupe maisha marefu hakupe hulizi wa kutosha kwa kutusitili Aameen ya rabb
@KONDOBANNAHMUSIC6 ай бұрын
Huyu DC hapo ata akifa Leo ghafla PEPONI anaenda
@KONDOBANNAHMUSIC6 ай бұрын
@@jojomdosi-ip4rgkabisa yani sikutegemea aseeeee kama angerudi kwa staili hiyo huyu BANA mi namuombea aseeee ni mtu mwema
@kilogreek40506 ай бұрын
Huyu sheikh muelevu sana msikilivu mungu Awabariki viongozi wote na sheikh wangu ❤❤❤
@sufianijuma55686 ай бұрын
Kwel,Allah amesema kwel ktk Quruan ,Mnaweza mkachukia jambo likawa heri yenu na mnaweza mkapenda jambo likawa shari yenu,Allah tuzidishie subra Waislam na hekma na busara kwan aman kwetu ndo tulio usiwa na mtukufu wa daraja.Allah iongeze nchi yetu muongoze Dc Magot aijue haki na aifuate,Amyn Amyn Amyn.bila kusahau Mpe Hekima na Busara Rais wetu Samiya Suluhu Hassan❤Amyn Amyn Amyn
@YohanaThadeo-ki2qg6 ай бұрын
Samia
@RamaahMtulivu6 ай бұрын
Wallah DC Allah akupe maisha malefu na akuonyeshe haki aamin. Sheykh Allah akulipe Kila kheiri liwe kwako kwa jitihada zako fidunia walikhera aamin.
@masoudrashidmohammed41246 ай бұрын
AL hamdulillah namshukuru Allah juzi niliandika comment yng nikasema simlaumu mkuu wa wilaya ktk hili ila nnao walaumu ni matajiri wa kiislamu wapo tyr kutoa mamilioni ya mapesa ktk mipira na baadhi ya mambo ya kipuuzi yasiokua na faida . Sasa kiongozi Magoti hapa umeqapiga pini kubwa sana sasa baada kiongozi wng kutoa cement 150 + 150 sehemu nyengine tutawaona wanaafiki matajiri sasaiv kujitokeza. Mungu akubariki Hon Magoti
@Allybinamour6 ай бұрын
Kwa hapa DC umekua kiongozi unaepaswa kua mfano wakuigwa. alhamdulillah kiongozi wewe allah akubarik. asante DC kwa kazi nzur mashallah
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
SI mnatuita makafir,haya kafiri kawasaidia Kwa hekima ti
@Allybinamour6 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 kufanya wema hakuondoi dini ya mtu, na wala si makosa kumsifia kafiir anapofanya jambo la maslah kama hili. na huo ndio uadilifu.
@trophywilson72116 ай бұрын
@@AllybinamourNa Wewe kafiruna pia
@SuleimanKhdija6 ай бұрын
Mashallah Mungu akubariki ulipo towa hicho Mungu azidishe kingine Baada ya dhiki ni faraja Mungu atujaalie subra katik wakati mgumu huwezi juwa nilip litakacho fwata Allahul mustaan
@bashiruhassani10174 ай бұрын
DC magot ww n Mt wapekee sana mungu akujalie pale ulipo toa mungu akuongezee🙏🙏
@KhatibSalehKhatib4 ай бұрын
Dah kwakweli DC Allah akufanyie wepesi umefanya Jambo zuri mnoo na Allah atakulipa malipo yanayostahiki
@CharlesMwakaligita5 ай бұрын
Mi ni mchungaji nawapongeza sana sheikh kwa unyenyekevu ambao umezaa mema hayo. Viongozi wa dini tujifunze mema, toka kwa mtu yoyote mwenye karama hizo. Mmbarikiwe sana Kisarawe na Dc wenu.
@ZuberJafar6 ай бұрын
Takibir takibir anaye mtaka DC aendre n moyo huuu weka laik nyingi kwenye komenti yangu alhu akibal mungu anasababu kufanya k2
@fettyrashid90426 ай бұрын
Allah akujaalie DC Magoti, Lakini pia Ustaadh alikuwa na hekima kwa clip ya kwanza majibu yalikuwa mazuri na pia alikwa msikivu sana Allah atamjaalia Ustaadh wetu❤
@jeffmwambe76576 ай бұрын
Asante sana DC huo ndo uongozi na utu maana rengo ni zuri ivyo tuna shukuru kwa saport yako.
@SwalahaHusseini6 ай бұрын
Maashaallah. Allah akupe zawasi ya kuingia katika uislamu na akufishe ukiwa katika imani sahihi .
@azzaalhabsi15056 ай бұрын
Tunashukuru sana mkuu wa wilaya kwa hicho ulicho toa.mungu akulipe kila lenye heri na wewe pamoja na familia yako awafanyie wepesi kwa kila jambo.ubarikiwe sana🙏
@hamidashaban12036 ай бұрын
Allah akubariki DC magoti Allah azidi kukuongoza katika njia iliyonyooka na hiyo sadaka Yako iwe ni nyumba Yako yakuishi akhera.
@OfficialA836406 ай бұрын
Kuna watu walitafsir vibaya sana leo sura zao wataweka wapi Dc kawaumbua vibaya mno Alhamdulillah Allah afanye wepesi In'shaallah
@burhaanmamboleo35516 ай бұрын
Na ni sura mbaya kweli...na hao hao uliowaita wametafsiri vibaya sauti zao ndy zimefanya huyo jamaa yako akajikosha.....huwezi sema mazingira yale ni mabovu kuliko mahala pa kulala nguruwe....sisi tumesoma shule mbovu vyoo vibovu tena za serikali hakuna aliezivamia usiku wala kuzifunga na hata leo shule za namna hiyo zipo...bado alichokifanya hakijafunika uvundo alioufanya ..
@KomboHawa6 ай бұрын
Tunaomba namba ya kutuma michango japo kidogo jambo la kheri Hilo,hongera MKUU WA Wilaya Kwa Moyo Mkuu
@fahadfaraj64746 ай бұрын
Namba c zimetajwa Skiza vizuri basi
@husna345626 ай бұрын
Mashallah
@winfordmwangonda53756 ай бұрын
Hamna kidogo mbele ya kuchangia msikiti, chochote ulicho nacho ni kikubwa mno mbela ya Allah
@trophywilson72116 ай бұрын
@@winfordmwangonda5375siyo msikiti ni majengo
@SalmaSamiry6 ай бұрын
Mashaallah allahumma barik mwenyezi mungu awajaalie awape maisha marefu awaepushe na hasadi za walimwengu ameen ameen ameen yaa Allah 🙏
@abuushakiraddausiy86666 ай бұрын
Maaashaalllllah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah..........hongeraaa sannaaaa mungu akufanyie wepes....kwajuhudikuuubwaaa ulizofanya mkuu wa wiliyaa...
@chikujuma186 ай бұрын
❤❤❤❤ mashallah mwenyezi mungu ampe maisha marefu na afya njema inshallah
@SaadIssa-c9o6 ай бұрын
Umeupiga mwingi sana DC kwa kuonesha mfano kwa viongozi wengine ,mungu akubariki sana!!Inshallah jengo litakamilika kwa uwezo wake ALLAH S.W .INNAH BAADA USRI YUSRA🎉🎉🎉
@chusseboywcb28086 ай бұрын
Mama Samia hili Jambo nilaheri sio mnasapiti mpira tu Jambo la mungu mnaacha nyuma mnasafirisha paka mashabiki naomba mlione nahili la mungu muweke akiba duniani na ahera💪💪💪💪💪
@issarashid77076 ай бұрын
Mungu akusimamie katika kazi zako ..Kwa hakika huo ndio mfano mzur
Allahuakbar shekh Allah hatakuacha peke yako na malengo ulio weka yata timia tu kwa uwezo wake ndugu zangu waislam na wale wote tunao amini uwepo wa mungu tuchanga usidharau hela hata buku tuma kwa maana buku kwa watu milioni ni bilioni jambo linaenda nuia sadaka yako tuma huenda na wew ikawa ndo sababu ya kufunguliwa matatizo yako.
@MichaelKingazi-wm7xj6 ай бұрын
Ni Dc mfanowa kuigwa, the best Dc.
@saeedmagoda96516 ай бұрын
Mtangazaji Mungu akubariki kaka unajua kuriport hongera sana kwa taarifa yako
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
asantesana mkuuwa wilaya munguakujaliye kwaupendowako akuogezeumrimrefu akuhfadhiwewe na familiyayako
@RahimaMct-ik8mr6 ай бұрын
Allahu akbar DC mungu Allah akuhifadhi❤❤❤
@AboubakarRashid6 ай бұрын
Masha Allah tunahtaj viongoz kama wey mungu akupe afya
@allyjumakukulo49726 ай бұрын
Masha Allah allah akuongoze na akufanyie wepes upate neema ya uislam
@AbdulmalikFredrick6 ай бұрын
Mashalahaa Alha akufanyiewepesi kwenye uongoziwako Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani ujawaikuniangusha una tupa viongozi makini sana awakulupuki na kupenda laisi wangu Samia
Mama msikivu na mtendaji. Mwenyezi Mungu amuongoze kwa hili liwe jepesi Insha Allah
@HappyGreenHat-um6ky6 ай бұрын
DC Mungu akusimamiye kwa hili
@ashiaabdul8876 ай бұрын
Masha Allah DC Allah akufanyie wepesi katika utendaji wako wa kazi .
@yasirsaid84646 ай бұрын
MAA SHAA ALLAH ALLAH Awabariki wote
@RazakAbarola6 ай бұрын
Mashaallah Allah haitupi Qura'an alishaahidi
@abdulkarimabdallah95366 ай бұрын
Allah akulinde ktk uongoz wko mku wa wilaya yakisarawe wewe nikiongoz wakuigwa ktk uongoz
@lukumanisharifu6 ай бұрын
Safi sana DC huo ndio uungwana mungu akupe Imani sabiti
@allymwinyi9706 ай бұрын
Ahsante sana Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. MUNGU akubariki. Tunakuombea MUNGU kwa wema ulioifanyia Madrasa hiyo. Tunaamini huku fanya lile zuio kwa utashi wako, ila kwa utekelezaji wa majukumu yako ya kuangalia maslahi ya baadae ya watoto hao. Tunamwomba MUNGU akuinue kupitia Raisi mwenye huruma kwa watu wa makundi, rangi na dini zote na na hata huruma kwa watu waakundi maalum. Mama yetu Dkt SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU anakupenda, wananchi wote wanakupenda. Kuna watu hawakuona Kam unaweza. Kwa Rehma na Huruma ya MUNGU amempa jicho Raisi wetu kukuteua na sisi tunaona. MUNGU akulinde na akulipe heri nyingi. Amin.
@NoorLheyNoorLhey6 ай бұрын
masha allah kajitahifi mkuwamkowa.naselekari yetuwendwa
@zaituniNkupa6 ай бұрын
Hongera mkuu wa wilaya umefanya jambo jema mno. Mungu akubaruki
@YasminaMkali6 ай бұрын
Mashaallah! Mashaallah! Alhamdulillah!❤❤❤
@HassanJaphari-rx7jy6 ай бұрын
MashaAllah. Hongera sana Dc Petro magoti kwa moyo wako mkunjufu nakuombea kwa Allah akusimamie katika majukumu yako ya kazi inshaAllah. Ameen
@stevenmanase81626 ай бұрын
Watu walianza kumdhihaki mh petrol sisi wakristo hatuna baya kazi kazi kwenu sasa ona hata milioni16 mnashindwa kuchangishana mnaomba kwa rais mmekalia kuwa ita watu makafili tuu
@mayaniphilipo92566 ай бұрын
Hongera Sana Mheshimiwa Nimependa Ulivyorejea Mwanzo Ulinishangaza Kwa Lugha Zako Ila Hakuna Aliyekamilika Allah Atusamehe, Atuongoze Na Atufanyie Wepesi Kwenye Harakati Zetu BIG UP DC
@shabanimbiaji6 ай бұрын
SUBIRI NA WEWE MUDA SI MREFU ALLAH ATAKUPA MAKIPO YAKO,,,,SUBHANNALLAH
@StewadKizenganya-sk6sg6 ай бұрын
ALHAMNDULILAh ,mungu anawaongoza watu kwanafsi zetu huku mwili ukitumikishwa
@SirahShabani6 ай бұрын
Mashaallah ❤
@fahamimiraji23386 ай бұрын
Allah alifanyie wepesi inshaallah
@SmilingBirdwingButterfly-yq5qt6 ай бұрын
Mashaa Allahu Allah awalipe wt walowezeshwa na Allah kuchangia tunaomba namba ya
@LovelyOmbreSky-pu4jt6 ай бұрын
Asante sana mkuu huu ndiyo uwongozi mungu akulipe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe6 ай бұрын
DC Asante Sana..🙏🙏🙏
@hamidashaban12036 ай бұрын
Allah akudumishe katika uongozi .na akujaalie katika njia sahihi.
@SophiaAthumani-ri4lu6 ай бұрын
Asante DC hakika umefanya vema kulichukulia jambo hilo kwa uzito,Sadaka yako ikawe kheri kwa watoto wetu.
@HanifaOman-oo4pl6 ай бұрын
Maashaallah. Allah akutoe kwenyegiza akuoete kwenyemwanga yaraby. Mjaalie huyo baba atukiewitowako. Amyn
@gmelectronics19976 ай бұрын
Taqabal Minah wa aminkum JAMIYAHTUL muslimunah..kila apangalo mungu hua lina kheri kubwa
@SuleimanIbrahim-lp7qs6 ай бұрын
Asante sasa R C mungu akulinde kwaulichokifanya
@AbediMzava6 ай бұрын
Allah awalipe wote shekh na dc
@Oman-p8x6 ай бұрын
Maashaallah nimefirahi sana
@khalfanabeid59986 ай бұрын
Allah ampe maisha marefu na anyanyue uchumi wa nchi yetu kupitia hili. Amin.
@awadhmchaki65676 ай бұрын
Alhamdulillah waliopeleka fitna chuo kidhalilike Alhamdulillah chuo kinajengwa ama kweli Allah anahekma ktk hili . mjinyonge na kamasi. Mmesaidia chuo kiimarike.
@AbuujureyjKhaniy6 ай бұрын
Usimjaji mtu kwa muonekan wake hakik Dc umekuwa mwema na umetend haki mungu akutangulie Shekh uwaz na ukweli wake mungu kamfungulia upande mwengine hakika ukweli ni baraka nyoote Allah akutangulie
@aishakambenga61916 ай бұрын
Mungu Akubariki Inshallah 🙏🏾🙏🏾
@StAr-yu3vz6 ай бұрын
Asante sana muheshiwa 🙏🙏
@farajichilumba51146 ай бұрын
Allah hakadirii shari Mashallah
@hanifamziray2776 ай бұрын
Allah akubariki ujenzi utausha kwa uwezo wa wake
@FekiHappy6 ай бұрын
Mungu akujalie sana kuona tatizo na kulitatua sio kuhukumu haijawahi tokea hili ungeeishia tu sehemu
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Huyu Mkuu wa Wilaya nimemkubali mapema sana japo Mimi niko Kigoma. Big up DC Petro Magoti
@kamarhelo6 ай бұрын
Kwaio ulijua ukiwa nae mkoa moja ndo utamjua vizuri au
@adambakari92766 ай бұрын
Unajua kwann kafanya hvyo huyu kafungia madrasa na waislamu wamekuja juu hapo anajisafisha juz tena katangaza wauza mkaa na pikpik wakamatwe fain milion 1 na vijana wengi wa kisarawe ndo kaz yko
@EddahBure-te7ft6 ай бұрын
Na mm nilitaka nishanga yaani kw Maneno yale yakuwaambia watoto waende shule wakasome wapate kuajiriwa kwa kweli ningeshangaa sana kuona uislam ungekaa kimya 😅@@adambakari9276
@w40586 ай бұрын
Tupatieni namba ya kuchangia
@AishaIssa-l4q6 ай бұрын
Mwenyezi mungu akujakie ds magoti Kwa moyo waupendo allah akulipe kheri ww na timu yako inshaallah
@fatmamansour27646 ай бұрын
Alhamdulillah kheri hutokana na tumbo la shari
@HarunaFursana6 ай бұрын
Naomba mimi niko mbali mnipe namba niagize kidogo insha Alllah
@ScopionScopion-zj9cd6 ай бұрын
mungu akubaliki sadaka hii itaish miaka na miaka hongera sana unafaa kuigwa
@LabiloWabikongo6 ай бұрын
mashaallah
@stevenmanase81626 ай бұрын
Kesho tuu mnanza kuwaita makafili alaa kumbe kafili anaweza kuwa lulu hivi waisilamu wote leoa wanapompongeza
@MohamedAhmada-ie7ke6 ай бұрын
@@stevenmanase8162uyo kiongozi yupo apo kwa ajili ya wananchi
@ScopionScopion-zj9cd6 ай бұрын
kwaiy kwa sababu katoa sadaka Ndio ukafili wake umeisha ukafili haundolew Nasadak Na hata kafili akifanya jema anastahili kushukuliwa japokua ukafili wake upo pale pale mpaka asilim
@AbdulmalikFredrick6 ай бұрын
Shekh wangu Alha akufanyiewepesi kwenye ujenzi uo
@ismailkiwawas59826 ай бұрын
Shukran Sana DC jaah bless 👍👍
@SophiaKamgunda6 ай бұрын
Alhamdulillah Allah awajazie kher hilo nijambo labaraka
@lordenoughforme44176 ай бұрын
Mm nimemkashifu sana kwa vedio ya kwanza kufunga madrada.nasasa nampongeza
@Lidyakagondi-h9b6 ай бұрын
Mungu akujaalie kher mkuu
@fahamimiraji23386 ай бұрын
Inshaallah tupeni namba ya kutumia pesa lau hata kidogo
@fatumasaid98826 ай бұрын
Mashalaah mashalaaah peter magot kwa hilo umengusaaa
@nasrasalumu70056 ай бұрын
DC wewe ni mfano wakuigwa kabisa mungu akuongoze hivyo hivyo kiongozi wangu mkuu wa wilaya safi kabisa na shekhe mungu akulipe kwa hekma wewe muelewa na msikivu na wewe mungu akuongoze hivyo hivyo na akujaalie mwisho mwema inshallah
@abdulkarimabdallah95366 ай бұрын
Allah atie nuru ya uislam ktk kifua chako mkuu wa wilaya bora kuwahi kutokea
@KulthumRashidmusa6 ай бұрын
Mashallah.nimefurahi.sana
@NaziaMudi6 ай бұрын
Wanafiqi saana awa baada yakuaambia watoto kwamba elim ya dini aina maana wasome wawe madaktari na viongozi wakubwa serikalini leo tena 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 innalillahi wainna ilayhi raj'uun allah awape ufaham wakuitambua hakki
@user-latent6 ай бұрын
Saf mkuu wa wilaya🎉
@FelisterNdaka-g9r6 ай бұрын
Mungu akubar8ki
@ChidyKenny-dc1ue6 ай бұрын
Mungu amzidishie dc
@femidayahaya48826 ай бұрын
Mheshimiwa Petro Magoti ubarikiwe sana. Mungu azidi kukufungulia na akujaalie afya njema.
@maryamabdallah31406 ай бұрын
Siku zile nilijisikia vibaya lakini lengo lako lilikuwa jema kabisa...Mungu akutunze DC
@WardaDonyi6 ай бұрын
Hakika DC Magoti were ni kiongozi bora sana. ALLAH akubariki ulipotoa
@AthanaseKiyoja6 ай бұрын
DC.umeanza vizuri sana umetengeneza taswira njema kwa Taifa.Nakuomba,Mungu akulinde usitamke neno lenye kuwashiria kuwa unatumika kisiasa.Mwingine angetamka,jina la Samia mara mama kaupiga mwingi.Ccm waoga mno kwenye uchaguzi,Tunajua wameanza kampeni mapema,nashukru umejitahidi kuificha hali hiyo .Shekh ndiyo kaboronga ameanza na mama yake tayari.Rais hana.hela bali Serikali ndiyo yenye.hela.
@abdulmagido54446 ай бұрын
Big up Doto Magoti Allah akuhifadhi
@GdFf-ik2eo6 ай бұрын
Allahu akbar Mungu akupe hidaya mkuu Shukran sn
@Kuminamoja19956 ай бұрын
M'mungu mkubwa kumbe hii ndo ilikua maanayake? Sasa bakwata kazi kwenu innsha'allah 🤲🤲
@ancytarimo11036 ай бұрын
Hakika huyu Shehe ni mnyenyekevu sana . Mwenyezi Mungu atakuinua kwa hilo.