Kitila acha uhuni shilika lolote lilianzishwa kwa lengo la kuleta faida lazima yalete faida sema tu ukweli hayo mashirika unayoyatetea ndoa mnakopigia hela huko
@jeremiahblazio4781Сағат бұрын
Ningekuwa mshauri wa serikali ningeishauri serikari mtu yeyote anaejiita profesa asiajiriwe serikalini ili akaoneshe uprofesa wake mtaani, profesa kweli unaajiwa hilo nitatizo sasa ona kitila anachofanya tena kwakujiamini kabisa hadi aibu
@BavaBava-lz8vfСағат бұрын
Mm sijataka ata kusikiliza upuuzi kwa hiyo mashirka yapo ya hasara professor bure kabisa
@BavaBava-lz8vfСағат бұрын
Tunaongozwa na waduanz wa Tanzania,,, akili ndogo inaongoza akili kubwa tuamke wasirud tena bungen vilaza kama hawa