No video

PROMOTA ALIYEANDAA PAMBANO LA MWAKINYO AJA NA MAPYA/"NI MUONGO TULIMLIPA PESA YOTE".

  Рет қаралды 2,828

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Kampuni ya PAF Promotion kupitia mkurugenzi wake Karigo Godson Karigo wamejibu madai ya Bondia Hassan Mwakinyo kwa vielelezo mara baada ya kuvunjika kwa pambano lake siku ya Tarehe 29 mwezi September ambapo ilibidi acheze na Bondia Julius Indongo kutoka Kenya.
Awali ilitokea sintofahamu mara baada ya Bondia Hassan Mwakinyo kutangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba hatocheza pambano lake dhidi ya Indongo kwa sababu alizozitaja kama mmomonyoko wa makubaliano kati yake na Promota wake.

Пікірлер: 8
@ramadhanmrisho2597
@ramadhanmrisho2597 11 ай бұрын
kuna tofauti kubwa sana kati ya msimamo na kiburi usipotafakari unaweza kuviringanisha
@homesmartrecords3512
@homesmartrecords3512 11 ай бұрын
Hata nimimi kwakweli nisingepigana atakama nikazi ugomvi wakifamilia nimgumu sana
@habibukassam9702
@habibukassam9702 11 ай бұрын
Mzee ulibugi hassani mwakinyo ni shoga
@awesuhambal1348
@awesuhambal1348 11 ай бұрын
Musimzingue kubadili jina la mpiganaji ni tatizo, tena usitueleze ujinga wewe mezee
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 11 ай бұрын
❤sasa mzee hilioni hilo kuwa ni tatizo lakini pia hujawahi kuona mtu akupewa sumu?
@victorburser1717
@victorburser1717 11 ай бұрын
Mzee anasema hakupewa sababu mbona mie nimesikia sababu kapewa
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 11 ай бұрын
❤huyu mzee kiukweli ni mbabaifu na niukweli alikua na lengo la kumchafua mwakinyo au kumshusha mwakinyo hata ukiangalia baada ya pambano watu ambao walionyesha wazi kuchukua mafanikio ya mwakinyo walikuwepo na walimzihaki akiwemo mfaume mfaume na japo lake
@abubakarmjonathani324
@abubakarmjonathani324 11 ай бұрын
Kwaio mwakinyo ni muongo
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 6 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 47 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 2,7 М.
Marimayam | Episode 368 - The #MeToo controversy | Mazhavil Manorama
20:07
Mazhavil Manorama
Рет қаралды 2,4 МЛН
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 59 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 6 МЛН