DIMBANI | BONDIA MFAUME MFAUME YUPO TAYARI KUZICHAPA NA HASSAN MWAKINYO / AAHDI KUUA ULINGONI

  Рет қаралды 45,540

TV3 TANZANIA

TV3 TANZANIA

2 жыл бұрын

Kwa story Zaidi tufuatilie kupitia Mitandao :
►Twitter / tv3tanzania
►Instagram / tv3tanzania
►Facebook / tv3tanzania
►TikTok / tv3tanzania

Пікірлер: 180
@sirmnyoroka7511
@sirmnyoroka7511 2 жыл бұрын
Hongera Sana mfaume Kwa hekima ulizojaliwa maana Tambo hazipo kwenye lugha za matusi m/mungu akujalie
@abdihemed580
@abdihemed580 2 жыл бұрын
Umeona ya mwakinyo kutoa povu lake la moyon hilaa mmesahau maneno kibao yalitoka kwenu kumponda na kumzarau mwakinyo kafanya vizur kumtusi uyoo nisie muelewa
@mussabinford9872
@mussabinford9872 2 жыл бұрын
Anafanan na Ahmed ally kdg uyu mfaume
@kawezaseleman5794
@kawezaseleman5794 2 жыл бұрын
Mdogo wangu nimekuelewa sana mfaume
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 2 жыл бұрын
Akuombe msamaha tu lakini kwa ulingo mwakinyo ni levo ya juu atakuua kabisa kwanza huna afya ya kupigana na mwakinyo
@hafidhali815
@hafidhali815 2 жыл бұрын
Ngumi hazipo ivyo we boya
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" unamjua may weather wewe bondia namba moja duniani,hassani mwakinyo ni bondia gani sasa,mwakinyo kiduku atamchana chana akubali uone
@dinopaul2618
@dinopaul2618 2 жыл бұрын
Mfaume aliwahi kumvunja bondia taya asante
@samsonmaiko6089
@samsonmaiko6089 2 жыл бұрын
Kaka Naku kubali Sanaa!!! Ila mwakinyo humuwezi maishaaa!!!!
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Mwakinyo Kikukuu Mguuni anamuogopa mfaume mfaume, mfaume mfaume Ni Hatari brooo ameshammvunja fuvu Mohamed matumla so fikiria Kwanza kuhusu Hilo, Kama Mwakinyo Ni mzuri SASA Anaogopa Nini Mbona kuna kijana mmoja mtanga sijui Yule Mwakinyo alipiga Nae sparring na Mwakinyo alimpiga na Akasema nilikuwa nampa Adabu cos Alikuwa Anaongea Sana
@FrankMuge-rc1nv
@FrankMuge-rc1nv 11 ай бұрын
Mfaume bado kindagate xana kwa mwakinyo
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Жыл бұрын
The Golden boy mfaume, mfaume 💓💓💓💓💓
@masudimillanzi994
@masudimillanzi994 2 жыл бұрын
Mwakinyo anatamba xana ila kiukweli mfaume umuwez mwakinyo mapambano kibao unabebwa xana apah bongo
@michaelyona2479
@michaelyona2479 2 жыл бұрын
Piga mwakinyo anadharau sana , Kuna watu wapo mtaaa wanapiga gumi kinoma ni vile hawaja mulikwa tu, alikaataaa kwa twaaha kiduku akikataa na hili yeye ndo wakike.
@madiwarongomba6
@madiwarongomba6 2 жыл бұрын
Ngumi sio ugomvi na Zina sheria yake Kama levo inaruhusu wapigane lakini tujiulize yupo nafasi yangapi kwenye nafasi za mabondia huyu mfaume
@madodofamily5906
@madodofamily5906 2 жыл бұрын
Hapo mfalume mfalume unafeli mwakinyo huwezi fanya maisha mengine tu Yani hapo bongo. Hakuna wa kumpinga wewe we Endeleanga tu na Taarabu yako ya kizadhamo nilikua nakukubali San Ila kwasasa noshakukataa Alifu niongeze na kusema hivi Mfalume mfalume wee Akili hnaxo kabisa mwakinyo huwezi MWACHE to Aitwe mwakinyo Basi
@ezekiakyando5944
@ezekiakyando5944 2 жыл бұрын
Mwakinyo si daraja uvuke kirahisi kama unavyofikiri.
@champion11537
@champion11537 2 жыл бұрын
mbona hasan anakimbia,amajua kitAh
@mambadumejr4801
@mambadumejr4801 2 жыл бұрын
Achen maneno mabondia wa Tanzania fanyani mazoezi pigen kazi
@kamalhankhamis4374
@kamalhankhamis4374 Жыл бұрын
Nakukubali Mfaume
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 2 жыл бұрын
Oyaa champion wa town akijichanganya mng'oe meno ya nyuma yote
@asilaally4660
@asilaally4660 2 жыл бұрын
Mwakinyo humuwez
@abdallaabeid3587
@abdallaabeid3587 2 жыл бұрын
Hongera kaka umeongea point na huo ndo mchezo unavyotakiwa uwe. Mmoja akikosea mwengine asikosee nyote ni mabondia wetu Ila mambo mengine so mazuri kwa nyinyi kujibizana hivyo
@sharifuanuary4816
@sharifuanuary4816 2 жыл бұрын
Mfaume the best Tanzanian
@frankhaule8570
@frankhaule8570 2 жыл бұрын
Ngumi nkat ya nguzo za hip-hop Sasa mnavyoanza Taarabu ndo nashndwa kuwaelewa
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 2 жыл бұрын
Mfaume leo umeongea vizuri sana sema huku mwisho ndio umeharibu kidogo.....ukumbuke chanzo cha kutoelewana kwenu ni pamoja na ww mwenyewe kutompa Mwakinyo heshima yake tangia mapema jambo ambalo limemkwaza sana! Lengo la kuomba na spaa na ww kitaani ni kuonyeshana tu nani mwamba lkn vigezo vya kupanga ring rasmi hauna kwa sasa hivi dhidi ya mwakinyo....sisemi kwamba huwezi kumpiga make kwenye ring lolote linaweza kutokea ila maoni yangu nafikiri muheshimiane mpendane mshirikiane ili ndondi nchini zikue zaidi lkn hata mpeane michongo lkn mkiendekeza bifu zisizokuwa na kuchwa wala miguu tutarudi nyuma sana.
@tondicharlessanga6902
@tondicharlessanga6902 Жыл бұрын
We fala 2 huna loloteeeeee
@banzmozes8099
@banzmozes8099 23 күн бұрын
Hapana kwakuvimba kule tafuta Kaz nyingine
@carentemu9141
@carentemu9141 2 жыл бұрын
Njaaa hiyo
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Nyie mbona hamuendi nje? Mwenzenu Mwakinyo anazichapa nje Sana.
@ijsound5149
@ijsound5149 2 жыл бұрын
Hizi kiki mnatupigisha story maboya nn ww na mwakinyo lenu moja vichwa maji
@jacksonngusi4767
@jacksonngusi4767 2 жыл бұрын
Mwakinyo akuwez Yan
@user-nn5ut6uc1l
@user-nn5ut6uc1l Жыл бұрын
Atakuu wayule mwakinyo noma
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 жыл бұрын
Wew na wenzako jitafuteni mna wivu Sana na Champez..Mwakinyo sio level yenu mkaushieni mtengeneze records zenu na ninyi na sio kumtaka taka TU kat sio saizi yenu
@kamugishaernest6227
@kamugishaernest6227 2 жыл бұрын
Yani wanadamu bhana yani mwanadamu anataka aonekane kupitia mgongo wa mwingine.. wewe kwa Mwankinyo huwezi kumaliza naye atakuua labda kwa kuwa unajua kukimbia kimbia kama kuku
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 жыл бұрын
Huyu mwanariadha KBS...
@halimahmwalimu-fo9ri
@halimahmwalimu-fo9ri 10 ай бұрын
Mfaume kunakitu kimekuuma kutoka kwamwakinyo kwanza auna ngumi nzito unacheza shootu pialali umempiga kichwa chapombe
@ahmedawadh2460
@ahmedawadh2460 2 жыл бұрын
Nzigo uwekwe mezani...
@user-rc8fx6li8t
@user-rc8fx6li8t 10 ай бұрын
Namikweli huwezi kusheza box kwenye t
@aminangombe8815
@aminangombe8815 Жыл бұрын
Akuwezi kaka acha nae,,, ety awezi kupoteza jina lake kwa ela ndogo .. mbona Babu tale alisema ataje ela anayotaka likaogopa
@selemanigogo4669
@selemanigogo4669 2 жыл бұрын
Yan mabondia wabongo hata mkizurumiwa sawa watu Mana ubondia wenu malipo sifa
@twintangastone9489
@twintangastone9489 Жыл бұрын
Wewe ni wakupigana na mwakinyoo kweliii aaaaa wapi
@Africa822
@Africa822 2 жыл бұрын
Hili game ata shinda mwakinyo kwa point
@truelovepawanza2046
@truelovepawanza2046 2 жыл бұрын
Mfaume amalizi game
@michaelgodfrey5717
@michaelgodfrey5717 2 жыл бұрын
wemfaume mfaume hauna ngumi kwanza hata usipewe gem hauna lolote
@abasichibe4116
@abasichibe4116 2 жыл бұрын
Mfaume huna maajabu broo ila una maneno mengi sana ndio yanakufanya watu wakujue we nani ila hata rekodi zako hazisisimui bora hata Dullah Mbabe anaweza kuongea kitu watatnzania tukamuelewa coz rekodi zake zinasisimua mzee na kingine mwakinyo ametafsiri maana ya kukuita mtoto wa kike mzee ni maneno ya kisport sizani kama kuna tatizo hapo na ukilinganisha tambo ma majigambo ndio yanaleta motisha kwenye boxer.
@tumuhadam8963
@tumuhadam8963 2 жыл бұрын
Wewe ni wakike
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 2 жыл бұрын
Mama yko ni wa kiume
@nasibusaid4080
@nasibusaid4080 2 жыл бұрын
Hao kwichikwichi unaowaita kumbuka uliwagopa ukajidai umaumia bega
@mchinadizainabushi8905
@mchinadizainabushi8905 Жыл бұрын
Nikweli mapigano nimoyo
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Жыл бұрын
Acha unafika mfaume We ndio wa kwanza kumuita muimba tarabu mwenzako
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
mwakinyo hawez kurndelea kwa sababu hız 1. Hana Adamu displin 2. kujıona wakat bado Mike Tyson alkuwa mtııfu mpka mwısho aliiheshm wanaboxer wezake n.k
@musakihama7205
@musakihama7205 2 жыл бұрын
Uko sawa Ila Kuna kunguni humu wanakomenti ukimya.
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 жыл бұрын
Kabisa
@twintangastone9489
@twintangastone9489 Жыл бұрын
Ety bondia mzur zaidi yake
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Жыл бұрын
Yule hana akili achana nae mfaume nakukubali achan na mtu anae poteza viatu uwanja wa ndege
@mchinadizainabushi8905
@mchinadizainabushi8905 Жыл бұрын
Uko makini sana kwenye boc
@Ram_1893
@Ram_1893 2 жыл бұрын
Endelea kujisifu kisha na yeye aendelee kutengeneza heshima kwenye masumbwi pamoja na pesa
@strikerforce4949
@strikerforce4949 2 жыл бұрын
Mfaume akiamua anaweza mvunja jamaa fuvu. Punch yake ni hatari. Alikuwa amuue Mohammed Matumla mpaka leo atumsikii. Mwakinyo punguza shobo sio kila chaka la kuvamia
@Rastamuslim
@Rastamuslim 2 жыл бұрын
Kwa bongo akuna kama mfaume anajua kucheza ngumi yani mchezo anaujua ao wengine wanatapa tapa tuu wapate ugal
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 жыл бұрын
Huyu ndio bondia lkn TUACHE dharau mwakinyo si type yake, mwakinyo yupo mbali sana, mfaume huwa wa vituko tuko tu kukimbia hovyo afu Kuna pambano last Dec 2020 ,,alibebwa vibaya mno kapigwa af anapewa ushindi ambao ht mtanzania unaona aibu KBS. Hatukatai ni mzuri lkn bado kwa mwakinyo,, hta Tony rashid bado atamsumbua au ndio type yake.
@bennysady469
@bennysady469 2 жыл бұрын
Mwakinyo mwoga njee unapewa mabondia wachovu
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 2 жыл бұрын
Msio jua ngumi niwaambie tu mwakinyo hana uwezo wa kumpiga mfaume hivo
@lama6310
@lama6310 2 жыл бұрын
Bongo mabondia watakuja na kuondoka Ila hamna bondia Kama Mfaume..Duniani Kote hamna Mtu alishawaikumpiga mtu akampasua Fuvuu .. .
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
Kila siku anakimbia ulaya anachukua hela anapigwa
@mashalahwajimwaga1012
@mashalahwajimwaga1012 2 жыл бұрын
Hivi ndg mnajua tusijifanye kama walevi unauhakika mfaume azichape na KIMBUGA BOY kweli au ugoro ndo unasumbua kwa sasa acheni bangi za chooni ifike mahala mheshimu mtu kwani kupambana mapambano mengi ndo kushinda au kama wakati umekuruka achana nao mfaume ngumi hajui hata kidogo mabondia tz ni 2 tu MWAKI NA KIDUNDA hawa wengine wapo na kiwango cha kawaida sana
@jamesngadaya2791
@jamesngadaya2791 2 жыл бұрын
Hiv sparing anazotak mwakinyo bila kuandaa ring hua anatk nn
@cricwambali1352
@cricwambali1352 2 жыл бұрын
Anajua akicheza na wao kwa ling atawapa brand so anajua anacho kifanya
@mahamudunangalapa1920
@mahamudunangalapa1920 2 жыл бұрын
Mbona munaeneza chuki kwenye mchezo wa ngumi
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 2 жыл бұрын
jipange broo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Achachuki mzee wewe pumzika
@swalehsaid1531
@swalehsaid1531 2 жыл бұрын
Kisha nikapambane na mwakinyo
@khalidrashid8581
@khalidrashid8581 2 жыл бұрын
Mfaume hamuwez Mwakinyo
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 2 жыл бұрын
Tatizo si kumuweza ,mwakinyo sifs nyingi Hana adabu
@alkamkamili8553
@alkamkamili8553 2 жыл бұрын
Mfaume jitafakari kwanza acha wivu kaombe Mapambano na mabondiya wa manzese km nimzur mbna levo yk haufikii miaka yote
@cmb6342
@cmb6342 2 жыл бұрын
Kaka mwakinyo atakuumiza tulia wew
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Жыл бұрын
Atapoteza viatu uwanja wa ndege
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Kumbe Mfaume alishagongwa KO Mbaya na mstaafu wa ndondi Joshua Clottery mwenye miaka 43!! Sasa anajilinganisha vipi na Mwakinyo? Ameletewa kuchikuchi otahe amtumie Kama daraja ili naye awe na nyota nne Kama Mwakinyo pia ameshindwa na akachezea kichapo yeye!!Mfaume bado Sana!!
@manlematz821
@manlematz821 2 жыл бұрын
Ww boya tu
@shabansalum9283
@shabansalum9283 Жыл бұрын
Mabondia wa manzese bwana
@jayznkovich8993
@jayznkovich8993 2 жыл бұрын
Mfaume unajuwa bro lakin uyo wa tanga mchumba 2
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 2 жыл бұрын
Aliteleza tu kidogo binaadam co malaika
@sharifuanuary4816
@sharifuanuary4816 2 жыл бұрын
Number moja zaidi ya kimwakinyo
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 2 жыл бұрын
Safi mfaume
@lama6310
@lama6310 2 жыл бұрын
😂
@albanomgaya6122
@albanomgaya6122 2 жыл бұрын
Ww kwa mwakinyo bado sana bana acha
@omarymgaza2059
@omarymgaza2059 2 жыл бұрын
Tatizo lenu mna wivu wa maendeleo mpeni heshima hata Kama Ana mapungufu yake na si kumchukia halafu wewe sikuelewagi kabisa naona Kama mtu wa taarabu tu maneno meng Kaz hatuioni sijui hizo sifa unazo pewa zinatoka wp
@madodofamily5906
@madodofamily5906 2 жыл бұрын
Huyo c mzaramo bwahna Hana maajabu yoyote bhwaha Aende kule
@josephchristianmhema5734
@josephchristianmhema5734 2 жыл бұрын
Huyo mwakinyo hana kitu hajui ngumi huyo uchampion wa utopoloni
@zahirrajab7713
@zahirrajab7713 2 жыл бұрын
Choko wewe acha chuki mwakinyoo humuwez ata kutoa tumboo ilooo kuma wewe
@shabansalum9283
@shabansalum9283 2 жыл бұрын
Pigana namabondia wa manzese mlogane vizuli
@abdihemed580
@abdihemed580 2 жыл бұрын
Alafu mwakinyo akutaka kupigana n we kamua kukuoa povu tu Kama ngumi unaziweza mbn atuoni mapambano yako unakaaaa miezi kibaoo alafu unakuja tupigiaa kelelee tu
@jumambaraka988
@jumambaraka988 2 жыл бұрын
Mpendane msilete chuki sio vizuri
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.nikuelewa
@carentemu9141
@carentemu9141 2 жыл бұрын
Unakituwewe
@andrewmfuko6109
@andrewmfuko6109 Жыл бұрын
Juzi tu umezingua umempiga kichwa jamaa,inatokea ndio lkn round ya kwanza! Ulichoka saa ngapi? Au ndo profesional? Tunaomba urudi kwenye kazi ili upate heshima. Kiduku unaona anavohastle? Fanya vile tafadhari,kiduku ashaachana na habari za Mwakinyo
@abdihemed580
@abdihemed580 2 жыл бұрын
We mfahume na dula mzaramu na kiduku mnakazi ya kumtaka mwakinyo amuwazi kufanya majambu Kama mwakinyo mjajulijana kimaraifa mnakazi kumuonea mafanikio pambaneni kimataifa muweze kupaaa so mwakinyo kanitukana nyiee mmemtukana marangapiiii mmemzarau marangapi
@hamadeddymaclayz
@hamadeddymaclayz 2 жыл бұрын
Mwakinyo muoga sana yule choko
@jaswabe_tz
@jaswabe_tz 2 жыл бұрын
Mfaume mwenyewe mweupe
@jacksonngusi4767
@jacksonngusi4767 2 жыл бұрын
Bondia muaga yure akuwez mfaume
@waheedhamad4558
@waheedhamad4558 2 жыл бұрын
Hz ni chuki t m naona lkn na mwakinyo apunguze kdg majigambo
@chikusobo4670
@chikusobo4670 2 жыл бұрын
Mwakinyo ajui ngum achesi namakuchi kuch wak sikuogop atamm kidik ukatae mufaum nae umukatae una akil ata dulanae unamuogopa amuna kit ww kilicho bakia uchez nakina Kira's naata kufunda tw
@swalehsaid1531
@swalehsaid1531 2 жыл бұрын
Faume mm nataka pambano na wewe je upo tayari mm ni mkenya
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 2 жыл бұрын
Nyie wote ni wehu mwakinyo umaarufu kautafuta Kwa shida na gharama hajapewa na wahuni mtaani hata nyie nendeni ulaya mkautafute
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Жыл бұрын
Ww ndo chupi kabisa
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 2 жыл бұрын
Ongelea yako , tafuta riziki yako achana na Mwakinyo hakuna unacholingana naye , kwanza we mswahili tu
@al-islammuongozo5635
@al-islammuongozo5635 2 жыл бұрын
Sawa Wewe Mmarekani!!!naoma umekuja kuona mlima Kilimanjaro
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 2 жыл бұрын
@@al-islammuongozo5635 Wewe naye toa tu maoni yako sio kujibia yangu ,inakuhusu Nini, au kazi yako kujibia media jibu wote Sasa walio changia , mbona unataka kunipangia Cha kuongea ulishasikia kwenye media tunapangiana ? Wote tumemsikia na tunamfahamu we kazi kwako kuchangia chochote unachoona Sasa unanifatilia mchango wangu unanipangia yaani , samahani Sana fuata yako
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 2 жыл бұрын
@@al-islammuongozo5635 kwanza kwa akili yako huyo mlevi mwenzio niwa kumlinganisha ma Mwakinyo mtu mwenye malengo yake na akili yake sawa hategemei machawa wamsifie
@al-islammuongozo5635
@al-islammuongozo5635 2 жыл бұрын
@@elizabethmajaliwa5189 Sawa me mlevi we sister wa kanisa gani vile???
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 2 жыл бұрын
@@al-islammuongozo5635 hata cjui kwani inakuhusu Nini Wewe
@abuushaakir9582
@abuushaakir9582 2 жыл бұрын
Mwakinyoo Hana nidhamuu hata kidogo kuita wenzake watoto wakike hii sii sawa. .mpuuzienii mwakinyoo nimtu limbukeni sanaaa ...maskinii wengii wakioata nimalimbukeni wamali kila mtu hunuona churatuu akipata...mwakinyoo aache majivuno maysha sio nyoofutuu akumbuke Kuna Kona ..mpimbavuu Kama Nini kanikeraa nlikua shabiki wake alkini kwahilii apite kushoto ...
@madodofamily5906
@madodofamily5906 2 жыл бұрын
Nenda huko na wewe huja Jambo yoyote fanya uchunguzi kwanza ukiambiwa mwanao mwinzi wacha kubisha to
@abuushaakir9582
@abuushaakir9582 2 жыл бұрын
Usimteteee mjinga akifanya ujingaa mwakinyoo limbukeni sana
@ramadhanirashidi1821
@ramadhanirashidi1821 Жыл бұрын
Peleka usenge wako mbele
@matymatiku7352
@matymatiku7352 2 жыл бұрын
Mwakinyo hana ishu apigane na wavuta ugolo 2 ngumi awachie nyie
@bigmketotvonline9085
@bigmketotvonline9085 2 жыл бұрын
Nawe ngumi zako mpk upigane na mwakinyo pandisha uzito upiganie ubingwa sio mihogo yako
@husseinkisuni3688
@husseinkisuni3688 2 жыл бұрын
Mwakinyo choko tyuu achanen nae
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 2 жыл бұрын
Mm nishabiki wa mwakinyo ,,,,,,,Ila kwasasa mwakinyo anavikauli vya dharau saaana,,,,,alianza kumtukana matumla watu wakamshauli akaomba ladhi,,,,akaja akawatukana mabondia woote akidai wanaletewa ndizi,,,,,,na saiv anamwita mwenzie mtoto wakike.....,,,,,,,,,Kweli hivi watu mnaona kawaida tuu,,,,,ndio mfaume hawezi kumpga mwakinyo Ila kauli hizo sio poa aise Mungu anaweza kumshusha huyu
@madodofamily5906
@madodofamily5906 2 жыл бұрын
Mjombaa fanya uchunguzi kwanza ukiambiwa mwanao mwinzi wacha kubisha Hawa mabodia wa bongo Wana hila wewe Sasa Kama huyo mbeba matofali Ni wakumtaka mzee baba mwakinyo kweli WAACHE ushabenga wao huo bwana weee
@coolruler6820
@coolruler6820 2 жыл бұрын
Mtu anatukanwa kutokana na choko choko zake,,,,,hivi mtu uko form 4 halafu mtu anakuletea mtihani wa chekechea,,,,,lazima umtukane. Pamoja na yote huyu dogo hawezi kusimama na Hassan,,,mara ngapi tumeona kaenda nje kapigwa kama mbwa koko,,akirudi ni kujitetea tuu
@christianmaganga2659
@christianmaganga2659 2 жыл бұрын
Tafuta mapambano makubwa ukapigane nje
@abdallahabbdy4097
@abdallahabbdy4097 2 жыл бұрын
Mtu havuti mabangi,fegi,mapombe kazi yake kusoma qur an madrasa ku swali mazoezi sana yupo top 10 duniani umri wake wa form five kwann akae kimya sasa asifiwe na nan mnataka … champez one mo time
@issahamis581
@issahamis581 2 жыл бұрын
madem
@azizintalla7348
@azizintalla7348 2 жыл бұрын
acha kelele wewe mwakinyo unamjua au unaona tuh wenzako wanavo teswa unaona kawaida acha uje ufikiwe wewe
@lama6310
@lama6310 2 жыл бұрын
Mbna yeye amuombe sparring
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 жыл бұрын
Huwez kuwa mzuri zaid ya mwakinyo ngumi zako bado kwa level ya mwakinyo.
@jumanzige9644
@jumanzige9644 2 жыл бұрын
mwakinyo kwa sasa hawezi kuombwa tu pambano akakubali, yule muwekee pesa na uwe kwenye level aliyo yeye sio hivyo mnavyotaka nyie, aje mumpige nondo apate ulemavu mjisifu, wengi mwakinyo wamemjua kimataifa sio ndani ya bongo na ukumbuke anshilia mkanda gani sasa na wewe una mkanda gani, nani dunia inamtambua kati yenu? mimi binafs hata sikuelewi yani , mwakinyo ndio matumla wa sasa, kairudisha ngumi kwenye hadhi yake.
@sirizawa3360
@sirizawa3360 2 жыл бұрын
Sio pambano ni mazoezi ya kupimana ya kawaida
@deniskyangala3400
@deniskyangala3400 2 жыл бұрын
Mwakinyo anashikilia mkanda gani kwani?
@jumanzige9644
@jumanzige9644 2 жыл бұрын
@@deniskyangala3400 wa suruali
@witneyjerry1293
@witneyjerry1293 2 жыл бұрын
@@jumanzige9644 🤣🤣🤣🤣
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 2 жыл бұрын
@@jumanzige9644 Alishavuliwa mikanda huyo shoga mwenzio
@kingkong1506
@kingkong1506 2 жыл бұрын
Unaongea sana maneno ya kike ulipigana nje ukawa unajiangusha aa kwenda zako
@allymakata1208
@allymakata1208 2 жыл бұрын
Ww hizo ngumi umejifunza wap kupign na mwakinyo au unatak kufa mfaume ww mtupu tuh Kama huyo kiduk wako
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 11 ай бұрын
Mwakinyo muoga sana hana lolote
@kamugishaernest6227
@kamugishaernest6227 2 жыл бұрын
Mfaume humuwezi Mwankinyo hata kidogo yani wewe utakunya ulingoni kabisa kama sio kujamba 2.
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 жыл бұрын
Sasa wee bom dia na Profesional bingwa wako upi sasa
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Mfaume unasema umepigana mapambano mengi kuliko Mwakinyo je, umeshinda mangapi? Boxrec yako inatia kinyaa umepigwa Sana tengeneza rekodi kwanza wacha Mwakinyo sio wa levo yako.Kama ametaka sparing kwenye tiles kwanini umekataa? Ulimuonea huruma ya Nini? Kwani sparing kwenye majimu yenu mnaweka ringi? Na umefanya vizuri kukataa ungekubali angekuzimisha sakafuni. Una kinyota kimoja na nusu chako unajilinganisha na champion mwenye nyota nne!! Unajitambua kweli? Punguza maneno ndio maana mwenzie amekuota mtoto wa kike
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 2 жыл бұрын
Tatizo mwakinyo sifs nyingi Hana adabu
@zubedamuhamed1873
@zubedamuhamed1873 2 жыл бұрын
😃sasa kama mwakinyo alipigwa ko mbaya na ramadhan kaoneka anaweza vep kumkalisha mfaume 😐tatizo mnakalilishwa kuwa jamaa ni bondia bora kampiga nani au hao walevi anaoletewa
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
@@zubedamuhamed1873Mnaweweseka Sana! Sasa hiyo KO mbaya amepigwa na Mfaume? Je, Mwakinyo amepiga wangapi hizo KO Mbaya!. Walipo rudiana huyo Kaoneka alikalishwa round ya kwanza sekunde ya nane Hilo hulijui? Mwakinyo ni bigwa Kama Mfaume anamtaka atafute promota agombee mkanda wa Mwakinyo ili yeye autetee. Tafuteni vigezo vya kucheza na Champion Mwakinyo sio kuuza sura mitandaoni. Mtu anashinda kwa KO hadi Uingereza Leo mnajilinganisha naye! Hivi mnajitambua kweli? Mmezoea kubebwa tu mkipigwa mnafunga ma POP mikononi ili mudanganye kuwa wakate mnapigana mikono ilikuwa imevunjika!!
@festonkandonga85
@festonkandonga85 2 жыл бұрын
Mwakinyo sifa nyingi na mapambano niliyoyaona mengi ya hapa nyumbani kapigana na walevi tuuuu na kubebwa kwingiiii
@lama6310
@lama6310 2 жыл бұрын
Achaa ujingaaa ww,.kuwa na akilii.Hujui Boxing kazi Ni kuongea upuuzi humu,,Kama yeye ana nyota nne na anajiamini professional mbona aombe sparring😌.alaf Mfaume kuwa na Record mbaya Ni kwa sabab anakutana na mabondia hatari ..kumbuka wote walikuwa nyota mbili, Mwakinyo kambatisha Yule mzungu ndo akapandaa.mpaka nyota nne..
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 48 МЛН
PATRICK ALLOTEY VS EMMANUEL  ALLOTEY
9:08
WISDOM BOXING GYM
Рет қаралды 17 М.
Эмилиано Мартинес 🤯 #мартинес
0:23
Rash Foot
Рет қаралды 483 М.
Настоящая чемпионка
0:24
Story-Bytes
Рет қаралды 784 М.
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 1,2 МЛН