Mtoa ushuhuda tumempata... naona ana kipaji cha utangazaji. Mtafutoeni kazi ya utangazaji kwenye radio za kikristo. Mungu akubariki kwa kushiriki nasi ushuhuda wa maisha yako
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Kdgo niseme hiv haaaaah
@edwardsinkonde98789 ай бұрын
Alikua Dj
@lucyndare49659 ай бұрын
Kweli huyu ni mtangazaji tosha
@sarifusteven46349 ай бұрын
Bwana Yesu kristo ni mwaminifuu sana
@mutabirwakashasha54289 ай бұрын
Yesu Kristo asifiwe milele, Yesu anatupenda sana watu wake. Yesu naomba usiniache ninapopita katika yote
@MaryMichaelMaryMichael-i7o9 ай бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax n promover ❤the power of testimony ❤
@alinamark26409 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu
@EreneBitanga9 ай бұрын
Amen 🙏
@lydiakaysundays61749 ай бұрын
Kwani msha nitangulia na vile nilikua nimetegea hii testimony❤❤but am following Hadi mwisho
@hadijajuma37739 ай бұрын
MUNGU anatisha.
@josephmutemi74949 ай бұрын
Amen
@reachelchemtai26049 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote shatani ni muwaji baba wa uongo Dunia zima asente Sana jactan Msafiri
@ipyanadanny99599 ай бұрын
Ameni
@MeckitilidaTushabe-or9hu8 ай бұрын
Mbona sauti kama ya mtumishi wa Mungu josephat gwajima. Barikiwa mno. Naiona kesho yako ni njema tena iliyo tukuka
@MeckitilidaTushabe-or9hu9 ай бұрын
Promover tv Mungu azidi kuwa bariki sana
@PromovertvTz9 ай бұрын
Amen
@NURU-YA-BWANA-TV9 ай бұрын
Umepitia magumu sana sana.nilichokupendea uko mkweli na muwazi sana kwenye mambo uliyoyapitia,Hongera kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kujieleza.pole kwa uliyoyapitia.
@janethmwihumbo12899 ай бұрын
Mungu awabariki sana sana kwa muendelezo
@queenesther26399 ай бұрын
Mmmmh ni BwanaYesuKristo tu aliyetufilia anatujali Sana watu wake angekuwa mwanadamu ameshatukatia TAMAA
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Ubarikiwe sana chililo
@shofarministry26699 ай бұрын
😂😂😂 mimi nioshe mbwaa? Mpaka machozi yananitoka 😅 aah Hallelujah nimecheka sana
@RubenMtuwaMungu-bz8ee9 ай бұрын
Mwili hauokokagi, bali mwili hudhibitiwa kwa maombi mengi na mifungo kwa msaada wa Roho mtakatifu aliye ndani yako.
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Hyu kwakwel kma Baba wa ufufuo wanafanana Sana yaan ktk uongeaji
@annkim26909 ай бұрын
Yani Bishop wangu husema watu ambao Mungu amewafanyia miujiza ndio wao hurudi nyuma
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Aki nmecheka sana ktk huu ushuhuda MCHUNGAJI upo vzr ktk kuongea
@johnbosconiyibigira78119 ай бұрын
❤
@MeckitilidaTushabe-or9hu8 ай бұрын
Kwakweli 😂😂😂 kilichonichekesha nikumuogesha Mbwa. Ila barikiwa sana
@resaltnekesa97029 ай бұрын
Huyu ni mtangazaji mchungaji, atafutiwe kazi kwenye stesheni za kikristu asaidike