Pt1_USHUHUDA WA MARIAM BINTI MCHAWI ALIYEKUWA AMEANDALIWA NA BABA YAKE KUWA MALKIA WA WACHAWI DODOMA

  Рет қаралды 19,896

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 44
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Eee Mungu 😭😭🙏🙏 wangu ulie hai tunusuru na hizi nguvu za giza ,Kuzimu na roho za kishetani ,haribu ,Bomoa,vunjavunja,vuruga ngome zao zote katika jina la yesu.
@kmwendemusic5379
@kmwendemusic5379 3 жыл бұрын
Ashukuriwe Bwana Yesu kwa kukuokoa.. Sasa tumikia Yesu zaidi ya vile ulitumikia shetani umudharalishe alivyokudharalisha pia,
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka Jacktan,hizi shuhuda zimeinua imani kiwango kingine, nimeona kwamba hakuna uchawi hata kidogo,ukiwa ndani ya Yesu kristo maombo yote yako sawa sawa
@joyblessing191
@joyblessing191 3 жыл бұрын
Yesu wangu Nafunika watoto wangu na familia yangu na Damu yako. Nilinde na kila roho ya mapepo na wachawi...
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Amen watching from 🇰🇪
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana jacktan kwa ushuhuda unazo endea kutuletea pia ashukuliwe MUNGU yeye ambae amemuokoa huyo binti ktk kifungo Cha uchawi naomba YESU tuponye na guvu za giza
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 2 жыл бұрын
Blessed forever
@estasage498
@estasage498 3 жыл бұрын
I like her. Anajuwa kujieleza and she is truthful
@langistany6811
@langistany6811 3 жыл бұрын
Shalom, Bwana Aku Bariki Ndugu jaktan Msafiri, Kazi mzuri kweli kweli, Nina omba maswali yako kwa Dada huo yawe very technical, yaani naomba umswali kwa namna ambao ata wa Hongoza wa Kristu ktk kuhomba ili ku bomoa hizo kazi za shetani, kwa mfano ktk hivyo vikao, wakristo waweza fanya nini ili kuvuruga kabisa vikao hivyo? Hizo kafara wakristo waweza helekeza je mahombi ili ku komesha vitu kama hivyo. Naomba Mashali ya hende ktk mlengo huo. Aksante.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Anen, asante sana
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Nguvu za wachawi zishindwe kwa jina la Yesu, nawafunika watoto wangu kwa jina la Yesu christo
@gracewelschemeyer665
@gracewelschemeyer665 3 жыл бұрын
Amen
@winfridadeo1518
@winfridadeo1518 Жыл бұрын
Mungu atuteteee kwa kweli duh, ubarikiwe Kaka jactan mungu anatubadilisha kupitia hizi shuhuda
@aprilking8250
@aprilking8250 3 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@rebeccagikonyo5648
@rebeccagikonyo5648 2 жыл бұрын
Mungu waisreali have mercy upon your people.
@piusmtwale7690
@piusmtwale7690 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana jacktan kwa kutuletea shuhuda za kuokoa nafsi zetu yesu akubarki
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@mushialfa1685
@mushialfa1685 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz j can l xx mbojxmhx Xn
@anneafrica939
@anneafrica939 3 жыл бұрын
Duuh Bwana YESU tusaidie watu wako
@deodatusmaliti7790
@deodatusmaliti7790 3 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana huu, asante
@naomijohn7275
@naomijohn7275 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Weww mbona sahivi siyo mchawi tena umeacha bora uwendeleye tu na kazi yako ya kichawi nzur sana
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 3 жыл бұрын
Mtu wa Shetani wewe! Ushindwe katika jina la Yesu.
@aminaally4163
@aminaally4163 3 жыл бұрын
Mungu anaokoa
@salomefabian9474
@salomefabian9474 3 жыл бұрын
Rufiji ipo Mkoa wa Pwani sio Mtwara.
@saida5091
@saida5091 3 жыл бұрын
Je anaweza kumgusa huyo baba kule kwenye Bonde au haiwezekani?
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Ukiwa mchawi itakuwa raha dunia akhera shida bass
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Huyo baba ako alikuwa aliwe nyama yeye mshenzi huo atakiona kiyama huku duniani amepata mali gani au pesa nyingi au nyumba nyingi sana ataingiya motoni huyo babako
@nanadarey2482
@nanadarey2482 3 жыл бұрын
Mingus no mwema
@flower952
@flower952 3 жыл бұрын
Y
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Unakunjwa uchafu huo dam siyo nzur usaha
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Hee mtihani huo
@jeniphaledaschali4594
@jeniphaledaschali4594 3 жыл бұрын
Nipo naangalia kutoka tanga
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Yupo mamko mkubwa au amekufa au yupo hai
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Heee mtihani huo
@mrsnzilomgisha2687
@mrsnzilomgisha2687 3 жыл бұрын
Mtangazaji punguza maswali unatukosesha uhondo bana. Maana unakatisha maongezi kukujibu anakuwa anahama kipengele. Mfano swala la kukoroga uji kalisema muda na wewe unakuja kuuliza tena mbele.
@piusmtwale7690
@piusmtwale7690 3 жыл бұрын
Kazi yako MUNGU aiwekee mkono hisonge mbele
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 3 жыл бұрын
Ni swali tu Yani huyu nabii hawezi kuongea kiswahili ama hailewi kiswahili??99% ya wagongo wanaelewa kiswahili
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Mbona haina sauuuut
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Siyo kweli,kagua kifaa chako
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 51 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН