Putin aiambia KOREA KUSINI ikithubutu kuisaidia silaha UKRAINE itakiona cha mtema kuni

  Рет қаралды 39,005

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 189
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Ай бұрын
Pamoja from Oman 🇴🇲
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Urusi itashinda vita. Maana marekani wamemwacha Mungu. Mungu yupo mbali na taifa la marekani. Na lazima mjue vita vyote vinaendeshwa na Mungu. Mungu yeye ndio amiri jeshi. Mkitaka kushinda vita kwanza ni kumtii Mungu. Hata kama marekani wanatechnolojia ya juu. Dunia itashangaa marekani itakavyopigwa.
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Yan Putin nampenda sana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Ahsante sana kwa habari
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Dj Smaa yuko vizuri sana hasa kwenye tasnia ya uchambuzi ,ni division zero tu hawawezi mwelewa.
@juliusejulius6704
@juliusejulius6704 Ай бұрын
mbaguzi yule hana lolote muongo tu
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 Ай бұрын
kabsa bro anajua sna pia namkubali mnoo🥊
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 Ай бұрын
​@@juliusejulius6704aca ufala wew bro njaa itakuua
@faridhamad3678
@faridhamad3678 Ай бұрын
Wewe ndo mbaguzi ​@@juliusejulius6704
@B13-AK47
@B13-AK47 Ай бұрын
​@@juliusejulius6704 chumbua wewe tukusikilize, sio kuja na kuanza kukosoa kazi za watu, get it.
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Ай бұрын
dj sma upo vzr sanaaaaaaaaaaa
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
😂😂❤❤❤❤Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN na koreakaskanzin
@viootanzania9080
@viootanzania9080 Ай бұрын
Pamoja from Dodoma
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Ай бұрын
Muda wa Marekani kutawala dunia unaenda mwisho
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Ай бұрын
tumtegemee nani anaefuata boss
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
SWaLi nzuri
@BenJohnson-es4go
@BenJohnson-es4go Ай бұрын
Hakuna siku Marekani itashuka inanguvu kubwa nyuma yake ukisoma maandiko katika biblia utaelewa vizuri
@MathewMaliva
@MathewMaliva Ай бұрын
Never ever forever
@nawafbawazir8065
@nawafbawazir8065 Ай бұрын
Uwepo wa urusi ni Amani dunia nzima
@luckkaserekadancer6832
@luckkaserekadancer6832 Ай бұрын
Mnipe like hapa kwaza mimi napenda sana Hawa ma raisi one day kupigania haki yetu Sisi ma Africa Pia kwa inji yangu Drc 😢😢🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 Ай бұрын
Kivip sasa rais wenu anatakiwa awalete wagner waingie congo kuwatoa hao maharamia
@kephasmaganga9766
@kephasmaganga9766 Ай бұрын
Upo vizuri
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Ай бұрын
Chama kubwa SNS ❤
@user-tt4yc6jq4t
@user-tt4yc6jq4t Ай бұрын
Ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoa
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Nchi anazo tembelea wote wabishi na watata hawaludi nyuma kama simu za tachi
@user-jq7dd6jo3y
@user-jq7dd6jo3y Ай бұрын
😂😂😂
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Ай бұрын
Sky is a real journalist
@maulidrehani
@maulidrehani Ай бұрын
Dj smaaa ni noma
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Urusi ni hatari sana
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM Ай бұрын
Viva Dj smaa 🎮
@OmarSalim-zi9dr
@OmarSalim-zi9dr 7 күн бұрын
Putin Hadi leo haja ipiga ukrain laiti km ni marekani kashamaliza kz na marekani ndio taifa kumba duniani
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Ай бұрын
Watu weng Dunian kumbe wanadanganywa na MOVE za Hollywood,hebu fuatilia nchi yenye teknolojia kali ni URUS na aliegundua AK 47 miaka hyooo ni URUSI
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Wekweli kicha ak47 yakuulia mbwa tuiyo auinafanya kazgan tena
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Ай бұрын
Mbumbumbu kwel hujaelewa comment mwanzikishina mboreshaj wa silaha marekani anaiga tu. HOLLYWOOD mpo wengi kimbe
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
Hujui kitu kaa kimya 😂​@@user-tq4lx9si1n
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on Ай бұрын
Nina swali kwa brother sky inachokifanya urusi ni uvamizi au ni operation ya kijeshi?
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Hili lijamaa libishi kinoma. Viva putin
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 Ай бұрын
Mbona anatishia watoto apige marekani
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Ай бұрын
1 vs 30 country,sasa kuungana na korea vilio
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Ай бұрын
Kenya vipi maana Ruto yupo speed sana 😂😂😂
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Ай бұрын
God bless russia
@AmaniMbalai-qn4yg
@AmaniMbalai-qn4yg Ай бұрын
Mbn marekani kawapa Ukraine siraha
@STEVEN-f6g
@STEVEN-f6g Ай бұрын
Kumekucha!!!
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Ай бұрын
🔥🔥🔥👏👏👏🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@asrymohd6690
@asrymohd6690 Ай бұрын
Sma Dj pekee duniani anaechambua mambo ya kisiasa na kivita kwa Tanzania wewe ni lukuyet iliyojificha ukifariki ndio utasikia kukusifia
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Mambo yananoga
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
Putin zimimine silah ndio ndio
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Ай бұрын
Ss sky unamuuliza chawa swali km hili unategemea uchambuzi au uchawa
@visionstudios6804
@visionstudios6804 Ай бұрын
Bado amjasema unatetea mapapai 😅
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Ай бұрын
Acha uruss Awatandike hao masoga
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Mamahako hanatombwa wima halafu hahoshi
@Josephkamau12
@Josephkamau12 Ай бұрын
​@@user-tq4lx9si1n unatetea shoga wenzio😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@user-tq4lx9si1nurusi kiboko ya mashoga kama ww
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 Ай бұрын
KAKA SKY ume slow sanaaa kwenye Makala 360 huku tuko wengi sanaa usitusahau. Kama na wewe Upo huku (Makala 360) gonga like or react hapa.
@ivoalfred5278
@ivoalfred5278 Ай бұрын
Dj Smaa anampenda sana Putin
@geomangi6123
@geomangi6123 Ай бұрын
kabisa umeiona hiyo kumbe lakini kiukweli vita putin imemlemea ameanza kutapa tapa majinkafika shingoni
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
jamani jinga lingine hili hapa​😂😂😂@@geomangi6123
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@geomangi6123mashoga mmekutana mnajadiliana uchoko 🖕
@Plus255studios
@Plus255studios Ай бұрын
ICC wapo kimyaaa kama vile Putin hatembei.😅
@WazirBoy-fe5ew
@WazirBoy-fe5ew Ай бұрын
Putin kichwa ameshawa calculate wa west akili zao
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Ай бұрын
Putin ni mtu Mmoja ambae ana akili nyingi sana na maarifa na ushawishi mkubwa sana na anazifahamu vita vizuri mno ziwe na kiuchumi au vita vya silaha jamaa ana akili na mbinu za kupumbana na vikwazo vyote kuipiga urusi ya Putin ni ngumu sana Wala kushuka kiuchumi ni ngumu sana labda Putin afe🙌🙌🧍
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl Ай бұрын
Urusi Wakaye mbali, Atasiwataki, Niwanyangany ya Aridhi
@abuukamanda.s.mkenga6687
@abuukamanda.s.mkenga6687 Ай бұрын
Na hao wa Korea kusin utakt silaha wataytegemea kumpa ukreyn n hizo za kupewa na markan
@davidsika5292
@davidsika5292 Ай бұрын
Kuna kitu watu hawaelewi kuhusu USA na Roma kwa akina papa ...ukisoma ufunuo 13 na 18 utaelewa kuwa akina putin na kiduku Wanatwanga maji kwenye kinu haya mambo wanaelewa watu wachache duniani
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇷🇺🇷🇺🇰🇵🇰🇵🇰🇵👏
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm Ай бұрын
Mpige huyo kibaraka ya kishetani wa marekani
@AbsalomVlady
@AbsalomVlady Ай бұрын
Uzur hayo ni maoni yenu bahat mbaya watu wanaamin ndo ukwel, mnaongelea vitu ambavyo ni top secrets as if mnaongelea maisha ya mwijaku 😂😂....vitu ambavyo ni siri kubwa za nchi na majeshi nyie mnachukulia kma mnaongelea migahawa ya shishi food dah...
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Ай бұрын
wanachukulia vitu very simple et kuna makala nimeiandaa inakila kitu duuuh😀😀
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Mashoga hawawezi kuelewa hii channel
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 Ай бұрын
Upo sahihi sana
@IrPop-lm8wq
@IrPop-lm8wq Ай бұрын
Russian hawaogopi kupewa silaha Ukraine, bali wanasikitika kuwapiga Ndugu zao wa Ukraine, Mashoga hawana mbele Wala nyuma kote wamejawa na wadudu, wadudu hao hawana huruma Wala ubinadamu, ndio maana Wana peleka Silaha Ukraine, Ndugu wawili wamewagawa,sasa wanawapiganisha.Lakini wamesahau kama Kuna Mungu (Allah) ANAWAONA..
@SimfukweKaemba
@SimfukweKaemba Ай бұрын
Kila siku unasema kuna makala kwa urefu
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Ай бұрын
Hivi marekani anaweza pigana yeye mwenyewe bila msaada wa NATO na urusi ?
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Yeye peke ake hawezi na hata nato haiwez kupigana na urusi
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Ай бұрын
Tulioona meza ka jeneza tujuane hapa😂😂😂🙌🙌🙌🎖️✨🪖✍️
@JoelFortunatus-du8ww
@JoelFortunatus-du8ww Ай бұрын
Kwa mungano huo walio saiana nikiashilia tosha kuwa tuko kalibuni kuviona vita vya amagedoni au vita vya maangamizi vya umati vya atomic 💣au nuclear ☢️☢️☢️☢️
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 Ай бұрын
Ndugu wageni waalikwa naona kumeanza kumechangamka
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Putin atawakung'uta hawa manyang'au mpaka wataogopa kuvaivamia nchi nyingine hasa Africa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Acha upumbavu Kama mppuuzi putin
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
@@joshuaswai8203 Ndani ya Africa tunawahujumu kama wewe ni mojawapo ya sababu tuko nyuma tunaitaji kuwatokomeza watu kama wewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
​@@hbdinaputin hana uwezo huo
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
​​@@joshuaswai8203we unao
@hbdina
@hbdina Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz kama hauwezi kuona mpaka sasa hivi sioni ajabu kwanini Waafrica wengi hawana akili ya kuona mambo ya mbeleni sababu mojawapo ya umasikini wetu
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s Ай бұрын
South kijesh yuko vizur sana we smaa chambua uharisia siyo kishabiki
@abdalahngozi5455
@abdalahngozi5455 Ай бұрын
Uhalisia ni kwamba south Korea kijeshi hawako vzur kama north Korea ndo mana anatumiwa na US. Mbinu ya western ni zile zile kuungana na walio dhaifu kumpiga alie imara ili kuwatawala wote. Hapo smaa hana haja kukujib
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
@@abdalahngozi5455 north hana kambi yakijeshi ya nchi yoyote nyengine kutoka nje, south ana kambi yakijeshi ya marekani, analindwa na us 6th fleet na kiasi kikubwa anategemea silaha kutoka marekani... north anatengeneza silaha zake mwenyewe na lizo bakiza kutoka kwa soviet sasa kama south yuko vizuri kama unavyo ema basi aondoe majeshi yakigeni yote abaki mwenyewe tuone
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@djsma255ww mtu makin ila hao mashoga hawawezi kukuelewa
@vintz338
@vintz338 Ай бұрын
North Korea ni hatar Sana kama isingekua USA wangeshapigwa kitambo Sana na north Korea
@munezeroolivier411
@munezeroolivier411 Ай бұрын
Slava Dj sma
@MaulidiMrisho-uj1tb
@MaulidiMrisho-uj1tb Ай бұрын
Maelezo yake sijaelewa kati ya North Korea and South Korea
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Mkwara wa chura kwenye Maji. Mbona alisema hivyo kwa Inchi za Ulaya na Marekani kiko wapi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Mashoga washapelekewa nyambiz
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Uyo mweu anapgwa kilasik
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
mashoga Ukraine wanapigwa kila siku
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op Ай бұрын
Smaa wendio rais wa wachambuzi
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s Ай бұрын
Smaa uchambuz wako ni wakuegemea upande mmoja ndo tatzo lako mzee
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Ай бұрын
uwezo wa kuchambua anao mzuri ila kashachagua upande
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
ukitaka upande wa pili nenda cnn n bbc
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Ай бұрын
Unafanya biashara tu hao watu Wana fanya biashara co vita hakuna vita vita ipi uwezo upi ulaya Kila kitu ninyi wandishi vigeu geu wakipigwa kidogo tu mnageuza maneno ,biashara tu
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Tatizo hutumii akili kwenye kufata maelezo wanacho adisia , umetoka nchii jiran uwelewa nimdogo sana 😂😂
@ErickMwashambo
@ErickMwashambo Ай бұрын
Tz +255 Russia forever
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Putin afe
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Ай бұрын
Unaamini ujinga huo yani putini amuonye us Sungura kukaba tembo
@user-ul7jc8ll4n
@user-ul7jc8ll4n Ай бұрын
Subiri MUDA UTAONGEA,LAITI ZINGEKUWA NCHI ZA AFRICA AU ASIA WAZO LAKO NO SAWA LKN UNAE MCHUKIA ANAITWA MJOMBA PUTIN UJUE!!,
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
​@@user-ul7jc8ll4nus mashoga tu hawana kitu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Marekani dhaifu mnyonge
@JacksonLukumayi
@JacksonLukumayi Ай бұрын
Putin kiboko Yao sasa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Kiboko yao na wakati vita nchini ukraine vinamchachia
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzvina mchachia wapi ngoja uone atakupiga bomb la matako ili akili ziwakae sawa
@JacksonLukumayi
@JacksonLukumayi Ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz wew mpumbafu tu, vita ni akili wew, kwani wafikiri Putin alishindwa ukrain, tumia akili wewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@aishaarusha894 kwa sababu kazoea kukupiga kwako hilo bomba na ndio maana kila ukikaa unawaza bomba tu.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@JacksonLukumayi sasa kama vita ni akili mbona hadi sasa huyo putin wako kashindwa kushinda vita huko ukraine hadi sasa unaingia mwaka wa tatu huu.
@AyubuIssa-np3vc
@AyubuIssa-np3vc Ай бұрын
Tatizo vyombo Vingi vyahabali avichambui Habari kihaki vipo kutafuta komenti na lek kilahabari nilazima ziegemee upende waputini nakusifia tu upuuzi
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo Ай бұрын
😀😀
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Sasa si uende bbc uko choko ww 🖕
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz Ай бұрын
Sma na putin utadhan marekani ni njombr😂😂😂 sawa ss tunaangalia
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 Ай бұрын
Marekani mashoga
@aboubakarkam6419
@aboubakarkam6419 Ай бұрын
Aaaah sma kwa hii umezingua umarekan itabak kua juu katık mambo meng
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr Ай бұрын
Kwakuwa mwanaume wako yupo marekani sio
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Ай бұрын
Tujiulize toka dunia imezaliwa usa alikuwa anatawala yeye walio kuwepo na kuanguka na yeye kwisha
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
Ottoman Empire, Mongolian Empire, USSR, Roman Empire ni baadh ya Madola yaliokua makuubw lkn yamepotea Amerika mda eke utafika km c sas bs sio mbali
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 Ай бұрын
Utawala wa kumwaga damu huwa haukai Muda mrefu ,,umekaa sana miaka 75 ...ko marekan ndo mwisho wake.
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Haitakuwa milele... na kwa matokeo yanayoenda nadhani wapo kwenye muongo wa mwisho kuiongoza Dunia....
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 Ай бұрын
The so called DJ Smaa always talk rubbish 😂
@djsma255
@djsma255 Ай бұрын
yet u always come to listen.....🤣🤣🤣
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl Ай бұрын
Hakunasiku west tutarudinyuma, musahauhilo, Na hakunasiku Urusi watashinda .
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
KAMA URUSI WAPO VIZURI KIJESHI WANAOGOPA NINI UKRAINE KUPEWA SILAA 😂😂
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Na kama marekani yupo vizuri anaogopa Nini Pakistan kuuza ujuzi wa nyuklia kwa vikund vya kigaidi😂
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Ай бұрын
jinga lingine hili hapa😂😂😂 mijitu ambayo ubongo umeganda kabisa
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
@@PAULNYANDILE Mimi siwezi kuzidiwa ufahamu na wewe, Rais wa Ukraine anazunguka uku na uku, akiomba silaa aendelee kupiga na Urusi, Aya putin wenu yeye anazunguaka kuzuia silaa, Sasa nani kashidwa apo kama kweli wewe akili yako imeyeyuka?
@MWAJUMAKIZA-gb8us
@MWAJUMAKIZA-gb8us Ай бұрын
Hilo ndo swala la msingi!
@MWAJUMAKIZA-gb8us
@MWAJUMAKIZA-gb8us Ай бұрын
wana SNS tangazeni habari za kila pande , mqpungufu na mazuri ya kila MMOJA. Ila matangazo yenu yanaegemea tu UPANDE MMOJA! Huu ni upungufu wa stadi za utangazaji au watu wanao analyse siasa za vita au vita! Poleni ila naamini waswahili na waafrika hivyo ndivyo walipo!
@babazungu3180
@babazungu3180 Ай бұрын
Kwanin hawapigani tu kila siku maneno tu
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Фишки FORD F-150. Часть 2
0:54
Fresh Маркетплейс
Рет қаралды 902 М.
Bike trick and Bro's aura...
0:11
Banza Edits
Рет қаралды 7 МЛН
Rollover Crash💥 (Inside View) #gopro #crash
0:23
tomhansenmedia
Рет қаралды 6 МЛН
Rollover Crash💥 (Inside View) #gopro #crash
0:23
tomhansenmedia
Рет қаралды 6 МЛН