Msemaji wa Jeshi la Israel akiri kuwa HAMAS haiwezi kumalizwa, kauli yake yamkasirisha NETANYAHU

  Рет қаралды 22,834

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 195
@KampangaKampanga
@KampangaKampanga 3 ай бұрын
Hakika Dj Sma Wallahi mungu kakubariki, hebu funguwa channel nyingine yakuwa unatupa mafunzo mimi wakwanza ntakuwa nalipia ili nasi tuje kuwa msaada kwa wengine baadae.
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 ай бұрын
Haswaaa👌Dj smaa nimwalim mzuri hakika
@kasabalibraryseason4018
@kasabalibraryseason4018 3 ай бұрын
Zama za mwisho Vita kila mahali🥹🥺🤔😭😭😭watu kuuwana siio shida tena watoto na wanawake ndo wamekuwa wahanga.ila Allah Yeye ndo mjuzi wa kila jambo🙏🏻🙏🏻
@allahisone6386
@allahisone6386 3 ай бұрын
AKILI KUBWA SANA KBS UPEW ULINZ WAKUTOSHAAA
@alihamisi8440
@alihamisi8440 3 ай бұрын
Hayo wameyajua juzi na Jana ,mbna mtume Muhammad s,a,w alishayatabiri miaka 1400 iliopita.na mwishowe inshaallah HAMAS wataibuka na ushindi.
@hansiselemani8025
@hansiselemani8025 3 ай бұрын
Mh kweli au wengne maamuma
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
​@@hansiselemani8025itajulikama siku ikitimia maana sio kama wametajwa Hamas ila kama unafkiria kwa akili utajua kua ndio hawa hawa, maana ata kwenye Qur'an wana ambiwa Israel kua wataleta ufisadi na kuuwa watu, ila kuna jeshi kali kwa vita halita shindwa na litawaingilia mbaka majumbani mwao
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
Ushindi wa Hamas itakuwa nini?
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 3 ай бұрын
​@@johannesssamsonambogo4125Ugali na mlenda
@User-mo9ox
@User-mo9ox 3 ай бұрын
​Mungu atawanyang' Anya waisrael ardhi takatifu na watapewa wapalestina na hii ni kutokana na kushindwa kutii maagizo waliyo pewa kwenye injili na kumkana yesu​@@johannesssamsonambogo4125
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 3 ай бұрын
Ahsante Dj sma maneno yako ndio ndio yanaendelea kudhihirika sasa
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 3 ай бұрын
DJ sma ukweli ukiusimamia ndo vizur leo evidence wanaipata waliokua wanapinga
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 3 ай бұрын
Pamoja forom Oman 🇴🇲
@hamisiprinsi5240
@hamisiprinsi5240 3 ай бұрын
{ إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ يُنفِقُونَ أَمۡوَٰلَهُمۡ لِيَصُدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِۚ فَسَيُنفِقُونَهَا ثُمَّ تَكُونُ عَلَيۡهِمۡ حَسۡرَةٗ ثُمَّ يُغۡلَبُونَۗ وَٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ إِلَىٰ جَهَنَّمَ يُحۡشَرُونَ } [Surah Al-Anfāl: 36] Ali Muhsin Al-Barwani: Hakika wale walio kufuru hutoa mali yao ili kuzuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Basi watayatoa, kisha yatakuwa juu yao majuto, na kisha watashindwa. Na wale walio kufuru watakusanywa kwenye Jahannam.
@pro_the_dj
@pro_the_dj 3 ай бұрын
Nawafatilia sana
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 ай бұрын
Warudi kusini mwa Lebanon wakamalizwe
@alexdougly82
@alexdougly82 3 ай бұрын
Brother Sky and DJ Sma kindly tupeni detsils kuhusu issue ya raisi wa Senegal kukutana raisi wa Ufaransa wakati alishaanza kuweka sera za kuwaondoa. So many people provoking about this matter so kindly just say something on this.
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 ай бұрын
Yule rais wasenegal nimnafiki tu nyau yule
@alexdougly82
@alexdougly82 3 ай бұрын
So disappointed
@AbdallaBarisa
@AbdallaBarisa 3 ай бұрын
Israel masenge Sana wanafikiria Hamas nikama wao masenge.. Hamas wko strong 😂
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 3 ай бұрын
Hii vta ina history ndef haiwez isha mpaka yesu arudi ispokuw watapigana na watapumzika ila hii vita haita kwisha
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
Taifa teule wanarudi kwao poland 😢😢😢😢😢
@asrymohd6690
@asrymohd6690 3 ай бұрын
sky watupe wachambuzi wote ila Dj sma noma mara ya kwanza kuongelea ishu ya Israel aliongea leo yaleyale
@AbdallahNassor-p2n
@AbdallahNassor-p2n 3 ай бұрын
Allah anasema ivi aoo mayahudi watauwa watu kusudi lkn Allah kasema pia kua aoo mayahudi sio washindi jeshi la allah ndio litakaloshinda vita iyo zidi ya mayahudi
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 3 ай бұрын
Utakuwa unapaka rangi upepo ndugu ilo ni taifaaa la MUNGU Israel
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 3 ай бұрын
Palestine itakuepo Leo na kesho
@j4amas5
@j4amas5 3 ай бұрын
@@FrankMushi-cs5js Mungu kakosa mataifa hadi achague taifa la mashoga ndo liwe taifa lake?
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 ай бұрын
@@FrankMushi-cs5jsTaifa la Mungu 😢😅😅😅😅wale ni wa polande wanasaidiwa na inchi za ulaya na marekani
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 3 ай бұрын
​​@@FrankMushi-cs5jstaifa la mungu na ushoga wapi na wapi na mungu gan uyo unachekesh kweli ww 😂 naon bdo ubongo wako unatokota propaganda na ujinga pole san
@henryking6070
@henryking6070 3 ай бұрын
😂😂😂wameanza kukutana na mizimu ya wapalestina wasiyo kuwa na hatiya, na bado watasema sana
@wadantz123
@wadantz123 3 ай бұрын
😂😂😂😂kwakweli
@hawahussein137
@hawahussein137 3 ай бұрын
Allah ndiye mjuzi wa Kila kitu Free palestine
@mudub0etz
@mudub0etz 3 ай бұрын
Mdhamin(USA) kabanwa na Urusi. Ko mwaka uuuhhh israel n umu t.😂 Fully kujipigia
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 ай бұрын
IDF hawawezi wanachoweza wao ni kuua raia wasio na hatia
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 3 ай бұрын
Tumia hakili kama hao wanaenda ua raia mbona wasijitokeze kulinda raia wao na wapambane nao😅😅hao kujiotea wakaue Israel warudi kujificha wawache raia wauliwe😅😅hiyo ndio werevu
@BimkubwaMohd-ef6hr
@BimkubwaMohd-ef6hr 3 ай бұрын
​@@Aminaamina-us5yj kam huelewi pita kushoto ustuletee nuksi hebu jiulize kwann Jeshi la. Linatupa mabomu ovyo kam wanawez kuwakabil hamas Ana kwa Ana Alipaswa aende uso kwa uso kam mrusi. Anavyopigan Ana kw ana na Ukraine na wasaidiz wake
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga
@thabitsalim7914
@thabitsalim7914 3 ай бұрын
@@Aminaamina-us5yj Sheria ya vita. linapopigana jeshi la nchi moja na jeshi la nchi nyengine au linapopigana jeshi na kundi fulani, inatakiwa udili na wale wahusika tu sio vyenginevyo. Na ikithibitika unaua kwa makusudi watu wasio na hatia unapewa kesi ya uhalifu wa kivita katika Mahakama kuu. Unauaje wanawake na watoto, kama kweli wewe ni Mwanaume.
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 3 ай бұрын
@@thabitsalim7914 oh kumbe hamas waliua wanajeshi tu na kuwateka mate mateka wanajeshi wa Israel 🤣😅😆😃😀
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Kamwe huwezi kummaliza adui mwenye Mafunzo na anayetumia Silaha vyema kama wewe!!! Ukijaribu kumshinda anajilipua mpe wote ..mshindi atatoka wapi???
@mausubrah6153
@mausubrah6153 3 ай бұрын
InshaAllah watashinda tu ata km wata kufa na ss tupo nao
@festohaule9716
@festohaule9716 3 ай бұрын
Wamekomboa mateka 4..na kipoteza askari 8 majeruhi 31 faida ipo wapi Sasa!!!!!!
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 3 ай бұрын
Israel kwisha
@issazalala4907
@issazalala4907 3 ай бұрын
Yani huyu dem nyau anapenda kuuawatu mshenzi mgungu ana kusubilia akupe haki Yako mshenzi
@Williamstozzo
@Williamstozzo 3 ай бұрын
Brother sky ,,, Daniel hagari alizungumzia hamas as ideology not as persons
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 3 ай бұрын
Hamas nyoosha wafiranaji mpka waelewe
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 3 ай бұрын
😂
@StanleyLusinde-cs6ir
@StanleyLusinde-cs6ir 3 ай бұрын
Watase.! Hawajasema mbn bado.!
@ZANAMBER
@ZANAMBER 3 ай бұрын
Ukaidi wa Israeli ndio maana babu zao wakageuzwa masokwe na manyani
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga wadhaifu
@NoelNjementi
@NoelNjementi 3 ай бұрын
Angetudanganya kwenye chaneri yake angesema mkuu wamajeshi waisrae kumbe nimsemaji wajesh la Israel
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 3 ай бұрын
Machozi ya wapalestine iwaache Bure
@Williamstozzo
@Williamstozzo 3 ай бұрын
Tatizo mnapata taarifa za CNN, BBC,aljazeera hizo media
@Williamstozzo
@Williamstozzo 3 ай бұрын
Dj sama israel so dhaifu,,hakuna nchi hata moja duniani inapigana na kutoa taarifa kwa raia
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
Hagary ndio alietoa mlio km Hamas haiwezekani kuangushwa lkn Pia kalichelewesha Hilo kulitangaza coz liko waazi kila ukiangali ktk uwanja wa vita utaona vifaru vyao vinachomwa lkn na wanajeshi na magari kuangamizwa Kazi yao kuuwa wanawakke na watoto na kubomoa majumba Leo ndio katema ndoano
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 3 ай бұрын
Sasa si wanajificha kama kweli wako ngangari si wajitokeze live wapigane Israel inasema hivyo juu ya kutowapata wanajificha 😅na kuacha raia wauawe 😅😅
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
@@Aminaamina-us5yjwamechanganyikiwa😆😆😆
@thabitsalim7914
@thabitsalim7914 3 ай бұрын
Kujificha ni moja kati ya mbinu ya vita, Vita ni kuviziana na mwisho kuibuka mshindi na sio kujitokeza uwanhani ukatangaaza njoo tupigane. Kama wewe ni Jasiri na unapigana na mtu anayejificha unatakiwa utumie mbinu zako za kivita kuweza kumfichuwa na sio kuwauwa wengine wasiohusika (Wasio na hatia)
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 3 ай бұрын
@@thabitsalim7914 exactly na hakuna hata taifa moja litakaloigana likaacha kujificha.coz ni moja kuu miongoni mwa mbinu ya vita.kabisa.
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 3 ай бұрын
@@MohammedBwanga unachekesha wewe sasa wana defend nini hao hamas ujifiche uache watu wako wauwawe mbona hao Israel hawajifichi na ata hao hamas wakienda ua Israel inatoka na kusaidia watu wao na kufunga mipaka
@moohazuume
@moohazuume 3 ай бұрын
Wnao kupinga Smaa hawajui mambo wapo wapo tuu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 ай бұрын
Uwo ndo ukweli japo unauma
@lcn_vol
@lcn_vol 3 ай бұрын
Nimeona kuwa wote mmepigwa nyundo ya kichwa na hamjui kuwa watu tunacheza chess ni mtego huo jiongezen
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 3 ай бұрын
alfu kikubwa nikwamba kila familia inazalisha zaidi ya Hamas 20 iDf ni wachumba2
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 ай бұрын
Mama akifirwa atasaidia kuongeza hiya idadi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@vincentcharles4385ww baba ako na mama ako na ww wote mnafirwa
@eveliusreveliantv5985
@eveliusreveliantv5985 3 ай бұрын
Africa inamengi ya kuongelewa na yenye facts and evidence.... but kila siku mnatuletea habari za umbea....majadiriano ayalengi kuleta suruhisho mnaishia kushabikia tu....ata ninyi yawezekana mnatumia matukio ya vita kujiingizia kipato.....fanyeni majadiliano ya kuleta amani...mnawasifia hamasi wakati laia wao wanateseka...ubora wa jeshi ni kulinda watu....tutafuteni suruhisho watu Palestine wanateseka jamani 😢😢😢
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
Ww ukuongelea ya Africa inatosha....hakuna anae kuzuia
@hassanshariff4802
@hassanshariff4802 3 ай бұрын
Bro uko very slow kwa update hii news ilikuwa morning 11
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 3 ай бұрын
Hata mimi nikizani hivyo lakini kwa tz lazima atakuwa ana majukumu mengine tofauti na hii ama anahitaji kuconfirm kazi na kuangalia vyanzo mbalimbali vya kuaminika vinasemaje ,ukwel ni kwamba hachlw ila wewe unahamasa na unafatilia hiz habar kwa ukaribu zaidi kuna watu ndio kwanzaa wanazani hii ni hot news
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
KWANI KUNA SEHEMU IMEANDIKWA NI BREAKING NEWS?..... AU KUNA KITU KINAZUIA KULETA TARIFA ZA MWAKA JANA ? JE KAMA WW UMEONA INAMANISHA KILA MTU AMEONA? AI UNADHANI WATU WANAFANYA KAZI YA COPY N PASTE?
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 3 ай бұрын
​@@djsma255basi kaka tusamehe bure sisi tunaipenda hii channel yetu na tunafatilia channel zingine abroad kama times of india,aljazeera,crux,kule wanatoa hotnews sasa tunavutiwa sabb maelezo unayotoa haupindshi habar unasimamia ukweli tunatamani habari ikitoka tuipate kwa uchambuzi kutoka kwako umetuhamasisha tuifatilie siasa ya dunia
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 3 ай бұрын
DJ sma hayupo slow, anataka kupeana tarifa yenye uhakika. Bila shaka alikuwa anahakikisha ukweli wa tarifa
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 3 ай бұрын
Kiufupi nikiyosikia na kuambiwa kuhus israel ni uwongo mtakatifu inaonekan israel wanaweza kupigwa na wamama wana kikundi wa vikoba😂😅
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 3 ай бұрын
😂😂,,😂😂😂
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga wadhaifu
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 ай бұрын
Bado hawajasema mpaka waseme
@ditmanndunguru9734
@ditmanndunguru9734 3 ай бұрын
Ukisema Israel haiwezi vita ya aridhini sio kweli,tazama vita ilipoanza na ilipo sasa,aliyeweza kufanikiwa katika vita ya ardhini ni yule aliyekamata eneo lako na kufanya anavyotaka tazama hamasi ilipokua na hapa sasa walikua na ngome ngap katika maeneo yao je zile ngome zipo ?
@suleim505
@suleim505 3 ай бұрын
Acha ulofa, kama ushindi ni kuvunja ngome mpaka sasa viongozi wenyewe ndio wanakiri walishashindwa lakini wanafosi, usiwe kama nyau ambae ndiyo sababu ya hasara kubwa kwa waisrael...
@ditmanndunguru9734
@ditmanndunguru9734 3 ай бұрын
@@suleim505 mtu kaweza kuingia ndani mwako na kukaa na kukupangia hakuna kuingizwa misaada mbaka anavyopenda yeye na bado kakurudisha nyuma kimapigano kutoka Gaza mbaka huko mnapopaita Rafah halafu bado unaita zaifu 😂
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@ditmanndunguru9734kweli kabisa Israel mashoga wadhaifu 🖕
@Williamstozzo
@Williamstozzo 3 ай бұрын
Wapalestina wanateseka kwasababu ya ushabiki na na kutumiwa na Arab countries,,,no arab country hata muslim who open their border to help palestine,,,hata egypt,jordan, Qatar hata uturuki yenyewe
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 3 ай бұрын
Hivi Djsmaa huwezi kusema au kutumia kauli ya kwamba Hamas wanajificha au kujichanganya na raia wa kawaida? Hivi leo hii Russia inaweza kumpiga Hamas licha ya kuwa bora katika kila kitu? Guys vita vinavyohusisha wanamgambo wasiokuwa na eneo maalumu au vazi maalumu ni vigumu kupigana nao unless otherwise uwamalize wote raia. Mfano ni pale Ukraine leo hii Russia inapambana na Ukraine face to face kwa maana ya Ukraine inajulikana wapi ilipo lkn kama wanajeshi wa Ukraine wangejichanga na raia wa Ukraine basi Russia isingeweza kufanya chochote na badala yake wangeishia kulaumiwa tu.
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
Ndio mana kuna jitu kinaitwa rules of engagement! Uliona marekani kivyo kuwa anapambana iraq au alivyo kuwa anapamban dhidi ya takiban afghanistan? Je aliua wa afghanistan wote au alikuwa anafanya door to door sweep na kuzingatia rules of engagement? Japo kuna nyakayu alivunja hizo shria....
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 3 ай бұрын
Putin hata ukijigeuza panya lazima atakujua tu
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 3 ай бұрын
Sma ni pro anti west kaka, mashabik wake wamekaza fuzu...1994 marekani yenyewe ilikimbia vita ya wanamigambo wa somalia, je somalia ni bora kuliko marekan?
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 ай бұрын
Kama ameshindwa kuwatambua ndo intelligence failure yenyewe hiyo
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 3 ай бұрын
@@husseinmassawa7186 Ndugu yangu sikia nikueleze jambo hapa, ebu acha kuchanganya mahaba ulionayo dhidi ya Hamas ati kisa tu anaewashughulikia ni Israel. Ipo hiviii Hamas hawana eneo maalumu kwamba hapa ndio eneo lao ikumbukwe wale ni wanamgambo wanaopigania maslahi ya kudai ardhi yao na kuwa na Taifa lao guru kwa maana ya Palestina. Kwahiyo kinachotokea ndio kama tunavyoona kwamba Hamas ni raia wa ki Palestina ambao ni wakeleketwa dhidi ya wale wanaodai kuwakandimiza katika kudai haki yao. Kwahiyo hao ni raia wa kipalestina wanaojiunga na kundi la Hamas na kuwa wanamgambo ambao pia wanashughulizao kama raia wa Ki Palestina wameoa wanawatoto wajenga etc. kwahiyo wanapoamua kufanya ambush dhidi ya adui yao mkuu ambae ni Taifa la Israel ndio maana hupeleka mashambulizi ya mabomu kule Israel au kuwateka Raia wa Israel kwa minajili ya kuachiwa ardhi yao. Sasa watu wa namna hii ni vigumu kupambana nao sababu wanajichanganya na raia wa kawaida na makazi yao yapo ndani ya Raia ndio maana Israel anapowafanyia ambush Hamas basi lawama huwarudia Israel kwa kulaumiwa kuuwa Raia wasiokuwa na hatia na moja kati ya sababu kubwa ni kwa Hamas kujichanganya na Raia period. Kwahiyo huyu DJ Sma Anaposema eti Israel sio wazuri ardhini anamaanisha nini? unawezaje kusema Israel ni wadhaifu ardhini na wakati hata wao Israel hawajui adui yao ni kajificha wapi na ndio maana alikuwa analipua mpaka hospital pamoja na makazi ya kiraia na hiyo ni kwamujibu wa vyombo vya kiintelejensia yao. Ninaposema hata Russia hawezi kuwamaliza Hamas maana yake ndio hiyo sasa kwamba hao Hamas ni ngumu kuwabaini kwamba ni akina nani na kila kukicha raia wa kipalestina wapya wanajiunga na kundi hilo la Hamas sasa kwa style hii unawezaje kuwamaliza? Kwahiyo punguzeni ushabiki mandazi kwenye vita au mgogoro kama hamjui nini kiini cha wao kushindwa kukaa meza moja kuyatatua matatizo hayo. Hamas kama ni kidume kweli na anataka battle la face to face na Israel basi kusingekuwa na kundi kama hilo tena. kwanza hawana hadhi ya kupigana na Israel kama ambavyo Israel haina hadhi ya kupigana na Russia na hii ni fact sio opinion ndugu.
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 3 ай бұрын
Wewe aujawai hata kusikia vita vya siku 6 ambapo Israeli ilishambilia nchi 7 za kiarabu kwa wakati moja
@djsma255
@djsma255 3 ай бұрын
mwaka gani na leo tuko mwaka gani...
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
YANI MNATOA HABARI KIASI KWAMBA MSIKILIZAJI ANAJUA MNAUNGA MKONO UPANDE FLANI 😂😂
@JeremiahElfadhili
@JeremiahElfadhili 3 ай бұрын
Bora hata wewe umesema hii media itapoteza watu siku zijazo utaona tu kwa sababu ya huyo DJ anaonekana kabisa yuko upande gani hamasi imepigwa mpaka basi eneo lipo kama jalala leo unakuja kusemaje? Ni vituko huyo DJ yani hafai hafai kabisa ni mdini wa hali ya juu
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
@@JeremiahElfadhili Eti Israel ni dhaifu sijui amelewa, yani anaongea vitu avieleweki, Yani Israel inapigana vita ngumu kama iyo bado watu wanachulia poa, Yani Adui asipo shika silaa unajua ni raia wa kawaida anenda a anashambulia kwa nyuma alaf anakimbia alaf bdo mtangazaji anasema jeshi la Israel ni dhaifu, Kweli Uislam ni kama kirusi cha Ukimwi kikikuingia hakina dawa, Yani unashabikia kitu ambacho ata wewe unajua akiwezekani 😀😀😀
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 3 ай бұрын
Shida hao wanaopigwa, hawatoi taarifa wanapigana kimya kimya, wao wenyewe ndo watoaji taarifa kuwa wamefeli, asa unataka waongee nini wakina dj sma
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@JeremiahElfadhilimashoga ndo wataondoka wataenda bbc cnn ila vidume tutabaki na hii channel
@NoelNjementi
@NoelNjementi 3 ай бұрын
Smahaa apunguze kulopoka lopoka kama mropokaji yore wairani nawatu wake warokufa kwenye edikopta apo tusingekuwa makini
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Mbona hufahamiki ndugu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 3 ай бұрын
Najua jambo moja mungu wao co wenu atawasaidia kwani yeye huwa anajitokeza mahali pasipokuwa nanjia kuwasaidia
@Allymzaki
@Allymzaki 3 ай бұрын
Jeshi linashindwa mgambo hakuna jeshi hapo.na mabwanazao nyuma.
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo 3 ай бұрын
hao sio mgambo kama unaowajua wewe
@tayga2031
@tayga2031 3 ай бұрын
Mzee unajuwa hao ni mgambo wa tz
@Allymzaki
@Allymzaki 3 ай бұрын
@@tayga2031 hapa panaitajika elimu kdg. Ila kwa kifupi mgambo ni mgambo. Mgambo sio wa tz na jeshi sio. La tz mgambo bora zaidi ya wa tz na jeshi bora zaidi ya la tz hii mbona aihitaji ata elimu kujua.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga tu wadhaifu
@princejames7438
@princejames7438 3 ай бұрын
Yaaan hiyo inaitwa njoo kichwa kichwa uone moto hiyo ni mipango ya kukuleta karibu we hata hauoni adui Yako ukitaka kummaliza vizur mlete karibu tumia akili ww
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Kweli kabisa Israel mashoga wadhaifu
@princejames7438
@princejames7438 3 ай бұрын
Huyo anaye chambua nadhan hajui kitu anacho kisema Israel ikiamua kufanya msako ni sekunde tuy
@suleim505
@suleim505 3 ай бұрын
wanaoelewa na wasimamizi wenyewe wao ndio wanaelewa nini wanamanisha kusema walishashindwa: adi mtu mtu anajiuzulu nafasiyake wewe bado king'ang'anizi tu kama ruba🤠 unafinywa apoapo unapogandia.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Ww choko Israel mashoga tu wadhaifu
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 3 ай бұрын
Habari zinakela sababu hamjui vita pumbavu waondoe raia alafu wabaki hao hamas uone kitakachotokea inaleta ugumu sababu ya kujichanganya na watu na watoto
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga tu
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 3 ай бұрын
Dalili za mpasuko zili muua ibrahm rais wa irani😂 sasa huu wasasa ngoja tusubiri unamuua nani maana nyie Akiri za wa izilaer hamuwezi kuzierewa mkiwa na akiri ndogo😢. Wanapigana vita baridi na vita ya moto kwa wakati mmoja🙏
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Kweli kabisa Israel mashoga wadhaifu
@ditmanndunguru9734
@ditmanndunguru9734 3 ай бұрын
Israel sio zaifu, pia hamasi wanavaa kiraia na hawana makao maalumu hivyo Israel inalazimika kuingia zaidi kwenye makazi ya watu na wanao uawa niwote kwa pamoja raia na hamasi kwakua wao wamejichanganya kwa raia.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel mashoga wadhaifu
@AwadAbedalla
@AwadAbedalla 15 күн бұрын
🇪🇸🇪🇸🤔🤔👍👍👍👍🇯🇴🇯🇴🇯🇴👍👍👍👍🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴❤️❤️❤️
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Mashoga Israel washalaniwa wanatapatapa tu
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 3 ай бұрын
Wnajeshi 70,000 wamekuwa walemavu na maelfu wameuwawa israhell wanajesh wanakwisha yani mwisho wao kama vile Ukraine wanajeshi wote wameuwawa wengine wamekuwa walemavu waliobaki wachache sasa wanaomba waafrica wakaungane nao wakapigane na urusi kivipi😂😂😂
@yohana1242
@yohana1242 3 ай бұрын
Israeli mabwabwa
@barackbrysonramsey
@barackbrysonramsey 3 ай бұрын
Propaganda tu. Vita ina maarifa sana wajichanganye tena wakapige kule israel
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 3 ай бұрын
Wewe mchambuzi umekunyua gongo
@KajokaTanzania
@KajokaTanzania 3 ай бұрын
Source ni Aljazera 😀😀😀 Hao na Hamas ni damu damu.
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
Hata HT ya India wamesema hvhvo nasio kwa Maandish ila kwa Video
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 3 ай бұрын
Source ni combo cha Israel chenyewe.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 ай бұрын
Yaani wamekaza mafuvu,toka lini aljazeera akamsupport Israel
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@vincentcharles4385Israel mashoga wadhaifu
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 3 ай бұрын
hamasi wanapata sapoti kutoka nchi za saudia na hata wapiganaji wengi wanakodi kama ilivyo kwa vikundi vingine kama islamic state,au kile kikundi kilichokuwa kinapigana urusi chini ya pregozin
@j4amas5
@j4amas5 3 ай бұрын
Uthibitisho?
@Awatee
@Awatee 3 ай бұрын
Saudia ipi iyo unayoisemea 🙄
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 3 ай бұрын
Nchi z Saudia ndy zip
@prettynayally2177
@prettynayally2177 3 ай бұрын
Saud na Israel ndo wanasapotiana wq unaogea n unaota ama 😊
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 3 ай бұрын
Hahah shida iko wapi kama wanakodi wapiganaji ata israel si anasaidiwa na waume zake alofunga nao ndoa
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
WEWE DJ NI MPUMBAVU, UNAZANI ALICHOKIONGEA HAGARI SISI ATUJASIKIA AU UNAZANI WOTE HATUJUI MAANA YA IDEOLOGY? IDEOLOGY NI HITIKADI SIYO NGUVU YA KIJESHI WEWE WADANGANYE WAISLAM WENZIO WANAOPENDA KUFARIJIWA BILA KUJUA UKWELI HALISI 😂😂😂
@e11said23
@e11said23 3 ай бұрын
Hebu toa ukweli wako tuone kila kitu kipo wazi sasa
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
@@e11said23 ISRAEL ILISEMA WAZI ITAONDOA UTAWALA WA HAMAS NA KUIONDOLEA SILAA GAZA NA KUHAKIKISHA GAZA HAITAKUA TISHIO KWA KWA ISRAEL NA KURUDISHA MATEKA WAKE WOTE, ALIKICHOKISEMA DANIEL HAGARI MSEMAJI WA JESHI LA ISRAEL DEFENSE FOREVER NI KWAAJILI YA WAANDISHI WA HABARI WA OVYO KAMA UYO DJ WENU ASIYE JUA MAANA HALISI YA GOALS ALIZOSEMA NETANYAU KUHUSU HAMAS, YANI HAMAS NI KUNDI LA ITIKADI ZA KIISLAM LINAONGOZWA KWA MISINGI YA KIDINI SIYO JESHI LA NCHI FLANI KWAMBA ZILE ITIKADI ZIPO KWENYE MIOYO YA WATU, MFANO MTU ASEME TUONDOE WAISLAM DUNIANI NIKITU AMBACHO AKIWEZEKANI UNAWEZA KUVUNJA MISIKITINI YOTE DUNIANI LAKINI HUWEZI KUONDOA ITIKADI YA DINI KWENYE MIOYO YA WATU, WATAABUDU ATA CHOONI, SASA ISRAEL INACHOFANYA NIKUITOA HAMAS KWENYE NGUVU ZA KIJESHI AIMAANISHI HAMAS WATAKUFA WOTE ILA AWATAKUWA NA NGUVU YA KIJESHI MAANA LENGO NI KUWAONDOA KIJESHI, NA ISRAEL INAPIGANA VITA NGUMU SANA YANI ADUI AJULIKANI KIJANA ASIPOBEBA SILAA UJUI KAMA NI ADUI AU RAIA MAANA AWANA JEZI LA KUWATAMBULISHA, AKIFIKA MBELE ANAJIFICHA ANASHAMBULIA ANAKIMBIA, ALAFU MTANGAZAJI ANASEMA ISRAEL NI WADHAIFU SASA UCHAMBUZI GANI UO WA OVYOO
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 ай бұрын
@@e11said23 au badilisheni jina la media hiitwe, Hamas and Russia media 😀😀😀
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@johannesssamsonambogo4125ww choko unaumia nenda bbc uko 🖕
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 3 ай бұрын
Katili ni alie chokozwa au alie chokoza au mlitaka islaeli mwanzo walipovamiwa na hamasi wange nyanaza?ndo mseme co makatili?ungumzieni vita co kuwanyoshea vidole islaeli.wao walichozwa na hii nda matunda ya uchokoz
@Mtaki_Zakayo
@Mtaki_Zakayo 3 ай бұрын
huyu jamaa kashachagua upande then anavunga et fact and logic
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 ай бұрын
Hiyo ardhi ardhi ni yapaletina hao mashoga waisrael wezi tu na hawatokaa Kwa aman hapo
@JamalKanani
@JamalKanani 3 ай бұрын
Israel ndo walianza tangu march 2023 lkn wapalestina wakaa wakapanga ndo wakajibu na wao walioanza waisrael tena ilikuwq mwezi wa ramadhani wakaua watu msikitini wewe umeanza kufatilia October 7 ndomaana
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 ай бұрын
Wajinga wengi wanazani Israeli ni ardhi ya wapalestina Lkn biblia ndio jibu sahihi linaloweza kukuonyesha mipaka halisi ya nchi ya Israel inaanzia wapi na inaishia wapi Ndio maana waisrael CK zote wanapigana wakiwa kwenye nchi Yao halosi YOSHUA 1:1-7,
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
​@@charlesboniphace2249bibilia imeandikwa na mashoga
@PhenixSwahiliGaming12112
@PhenixSwahiliGaming12112 3 ай бұрын
Oneni JINI lilivyotatua kesi ya WANANDOA kzbin.info/www/bejne/pJ20qWeHgtx_la8si=IQzgOqV7uOKGobns
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 3 ай бұрын
tanzanians we stand with israel
@B13-AK47
@B13-AK47 3 ай бұрын
Nawasiwasi wewe sio mtanzani, sisi watanzania halisi hatuegenei upande wowote, get it.
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n 3 ай бұрын
Peke yako😅
@khalfanfahd7613
@khalfanfahd7613 3 ай бұрын
Don't say tanzanians,say you stand with them
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 3 ай бұрын
PEKE YAKO!
@idrisakasuwi7865
@idrisakasuwi7865 3 ай бұрын
kichwa maji kwel wew
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 3 ай бұрын
Unasema Israel ni dhaifu wakati imewai kushinda vita vyake viote aina akili wewe mchambuzi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
kweli kabisa Israel mashoga wadhaifu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 3 ай бұрын
Yaani mtangazaji ni kumamako,unatoa taarifa Al Jazeera unafikiri hao supporters wa Israel,basi hii media ni ya kipuuzi,wewe na na wanaokusupport ni mashoga,hamna evidence na takataka mnaongea,sijui mnaongea mkiwa mmepakatwa bila virahinishi
@BizzBoy-g4o
@BizzBoy-g4o 3 ай бұрын
Mtoto wa haramu hachaguagi tusi
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
😂😂😂ina wauma wayahudi magapiz kula chuma icho Israel kashindwa vita mwez wa 9 huu unaisha tna hamas wana kwambia ata asilimia 10 hawaja pungua
@HamisiLisu
@HamisiLisu 3 ай бұрын
😂😂 Hamas tutokomezee mashoga maanina
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Israel ndo mashoga wakubwa duniani choko ww 🖕
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 3 ай бұрын
Vidume ndo wanamuelewa ila nyiny mashoga hamuez kumuelewa
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Physics Club September 23, 2024
1:06:29
Yale Physics
Рет қаралды 4,4 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 619 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН