Subhanallah Wanapinga Hijja Makka Sasa Waanzisha Hija Kigoma, Waislam Kushirki Aref Nahd Akasirishwa

  Рет қаралды 9,420

QIBLATEIN ONLINE

QIBLATEIN ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 108
@kusudihalisi9537
@kusudihalisi9537 2 ай бұрын
Mimi nafikiri Imani ni mapokeo tuliyorithishwa na wazazi bila kuyafanyia utafiti wa kina.. Tukaamini bila kujua sauti ya Muumba. Sasa ujue kuwa usishindane na Usichokijua...
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 2 ай бұрын
@@kusudihalisi9537 na ukitoa hoja unaambiwa unakufuru 😁
@vipenziwaallah5814
@vipenziwaallah5814 2 ай бұрын
Ndio maana point yako umeanza na neno unafikiri. Yaani huna uhakika. Imani zote zina vyanzo, muhimu ni wewe kufanya research
@AminaMtatuu
@AminaMtatuu 2 ай бұрын
Subhanallah Allaah tuhifadhie dini yetu na kitabu chako kama ulivoahidi
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 2 ай бұрын
ALLAH Awabariki wazungumzaji wote katika clip hii akiwepo Shkh Arif nahdi kwa kukemea uovu wanaoufanya maadui wa uislamu
@JoshuaJohn-qo4in
@JoshuaJohn-qo4in 2 ай бұрын
Hija ni kigoma sio mashalik ten na mwez wa 12 tunakuja kupokea Barak na amn atakay tugusa maan hij hii n ya muumba mwenyew na muumba atashugulika na nyie
@star_onmusic
@star_onmusic 2 ай бұрын
Jiandaeni Tena tunakuja kwa kasi kubwaaa nyinyi hata mtumie akili zenu kutoa habari za kulinda dini zenu Mungu baba hana dini na tena kama ndo mmetuamsha We ongea ukimaliza bila chanzo halisi hutoboi
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 2 ай бұрын
Hao ndio wanyamwezi.
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 2 ай бұрын
Discolight😮😮😮
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 ай бұрын
Wakija wavamiwe na kuadhibiwa vikali hao.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Hasnallah waniima liwakil
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 ай бұрын
Subhanallah ati nini mbna hamwogopi mungu
@shibetajiri3485
@shibetajiri3485 Ай бұрын
kwanin msikae kwenye imani yenu
@umsoud3306
@umsoud3306 2 ай бұрын
حسبنا الله و نعم الوكيل
@bonisinkolongo3642
@bonisinkolongo3642 Ай бұрын
Tunashukuru muumba kuwatumia nyie kuitangaza hija iko kigoma waliokuwa hawajui sas wamejua,pia hao unaosema nao wanakupima tu
@muhammadmdeve2924
@muhammadmdeve2924 2 ай бұрын
Jambo limekwwnda vyema shukrani
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Allah atawahukumu
@star_onmusic
@star_onmusic 2 ай бұрын
Levo ya huyo Allah tulisha vuka kijana Hawa wanataka wawaletee Mambo ya uwalabuni kwa niaba ya dini kuikingia kifua baada ya wao kudili na kuongeza waumini wana dili na hija ya wengine ambayo haihusiani na dini Yao Muumba anakuja mwenyewe huko kigoma waambie wakae teali yeye hapigani na watu wake Ila anafanya kile Alicho kusudia na Hawa wote hawana lolote wanalinda Dini na siyo kumtangaza Muumba na maendeleo ya jamii waende maka SISI Hapo kigoma ndo hija ilipo kusudiwa majira imesha badilika mkija wote itapendeza zaidi karibuni Sana kwa Muumba wenu
@shibetajiri3485
@shibetajiri3485 Ай бұрын
HIJA KIGOMA
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 ай бұрын
Siyo waislamu hao, masheitwan hao,
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Basi waacheni na walioyaamua sasa mnapata shida gani nao kama mnajua ndio hivyo
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 2 ай бұрын
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAAJI'UUN.
@okeyhappy8387
@okeyhappy8387 Ай бұрын
Hatutaki kabisa
@shibetajiri3485
@shibetajiri3485 Ай бұрын
mim naona SAWA tu
@morryk8812
@morryk8812 2 ай бұрын
Kuna vita inaibuka pahala na mshindi anaonekana wa sisi tupo kuokota mizoga,kuna mmoja hamfahamu mwengine.
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Vita ya nn ikiwa watu kwa hiyali yao wameamua kufanya kile walichokiamini?
@AliyekombolewaHalisi
@AliyekombolewaHalisi 2 ай бұрын
Aliyeuumba ataingilia Kati Sisi tunaelewa hija IPO Kigoma
@rehemamichael6797
@rehemamichael6797 2 ай бұрын
Me ninavyo ona ifike muda Kila mmoja abaki na halali yake kama wewe muislamu kaa kwenye Imani Yako kama mkristo kaa na ukristo wako....na ANAE MUABUDU MUUMBA ABAKI NA MUUMBA MENGINE YAACHENI KILA MMOJA NA KUSUDI LAKE
@umsoud3306
@umsoud3306 2 ай бұрын
إنا لله وإنا إليه راجعون
@geitagewoma7112
@geitagewoma7112 2 ай бұрын
Innalilahi wainalilahirrajiun
@JoshuaJohn-qo4in
@JoshuaJohn-qo4in 2 ай бұрын
Mwez wa 12 tunakuja hija hali kigoma Tanzania na amn mtacho fanya maan muumba ndio atashugurik na nyie maan muumba ashindan na yoyote
@Golanh4786
@Golanh4786 2 ай бұрын
Njaa,njaa,njaaa,njaaa wametanguliza mbele matumbo yao.
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Basi wasaidie wapate chakula
@Abdallah_mussa
@Abdallah_mussa 2 ай бұрын
Acheni UJINGA, hao hawajawahi kuwachezea waislam, wala hija yao, wao wanafanya wanachokiamini na hawamlazimishi yoyote
@noelymedia6864
@noelymedia6864 2 ай бұрын
Kabisa kwsababu hawaja walataza kwenda hija ila wanaamini kuwa nawaoo hija ni kigoma
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 2 ай бұрын
@@Abdallah_mussa Acha ujinga wewe uwo wako usenge unaonesha ww huna wivu ata kwa familia yako,, soma alama za nyakat ,, uislamu bila ya upanga usenge si mama,, kwenye ukristo kumeandikwa sehem hija,, wananjama zao Awo ,,
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
​@@wamiujizacholo7413Kwani kuna mtu kakulazimisha kwenda? Ona ulivyo na matusi yaani sijui ni mungu gani huyo unayempigania na matusi mazito moyoni mwako. Kuna shida kubwa sana hapo
@SalmaMsangi-n2m
@SalmaMsangi-n2m 2 ай бұрын
Wallah kiama hiki
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Yesu yupo mlangoni kuja kuhukumu ulimwengu wote. Tuliyemookea na kumkubali tuanze kushangilia ushindi wetu
@KashthuriKashthuri-n7u
@KashthuriKashthuri-n7u 2 ай бұрын
Ndugu zangu wa kiislam, na hapa nimekusudia zaidi mashekhe, mara nyingi naona mnapingana kwa mambo ambayo kimsingi ni mitazamo ya wana vyuoni. Badala ya kuwalingania watu kuingia katika uislam na kuwafunza vitu vya msingi hii ndio hatima yake. Tangazeni DINI na sio kuzozana.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Na hilo pia kukemewa kwa Nguvu zote ni sawa kabisa. Huo ni ukafiti uliopitiliza imetoka mbali hiyo. Lengo ni kudhoofisha uislamu.
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q 2 ай бұрын
Hao nibakora wacheni wakusanyike alafu bakora pasitoke mtu alafu serekali itoe jawabu baadae.hatujali kwa ajili ya dini yetu tutailinda.
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
Sasa jaribu uone mziki wake😮
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 2 ай бұрын
Acha kupaniki binadamu
@PuzzleMc-zp2lg
@PuzzleMc-zp2lg 2 ай бұрын
Me naona sawa tu kwa sababu waarabu wamezid kutupumbaza kwahyo ukienda kuhij maka ndo utaiona pepo ? Mimi muislam ila naona sawa tu ❤mtu aliye anzisha hija kigoma nampa ruksa aendelee warabu waje juhij Tanzania 🇹🇿
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 2 ай бұрын
Wewe ni ibilisi
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 2 ай бұрын
Hakuna muislam kama wewe.
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 2 ай бұрын
Wewe huwez kua muislamu ,, kaafiri mkubwa wewe
@SAIDNYUNGU
@SAIDNYUNGU 2 ай бұрын
Wewe si muislam
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 2 ай бұрын
Wewe sio muislam, muislam wa kweli na aliyemuamini allah na mtume Muhammad, ni wajibu kuamini nguzo zote 5, so wewe umekengeuka, na huiwacha huzo 1 ya hija kwa hivyo sio muislam
@RibentCylidion-op9mx
@RibentCylidion-op9mx 2 ай бұрын
Tunakuja mwaka huu kaeni kwa umakini. Haya msemeje Hija halisi ni kigoma
@MaridadiHalisi-uk2pm
@MaridadiHalisi-uk2pm 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@star_onmusic
@star_onmusic 2 ай бұрын
Mi nakwambia hawa Kama wamejiandaa watapigana na Muumba wao live na wakae teali kupoteana wao kwa wao
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 2 ай бұрын
Bismillah 😭
@OnesmoLucas-d5d
@OnesmoLucas-d5d 2 ай бұрын
Na mwaka huu tunakuja tunawakaribisha mje mjifunze kuhusu ujio wa muumba juu ya nchi na atuna ubaya na mtu
@RibentCylidion-op9mx
@RibentCylidion-op9mx 2 ай бұрын
Hamtoboi na hija inaendelea kuwa kigoma.
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
Huyo mwarabu mwambieni apeleke ushamba wake wa kiarabu huko huko kwao this is tanzania 🇹🇿 peacefully nation mwambie haijui vizuri hii nchi hii nchi yupo asiyeonekana kwa macho anaishi hapa atanyolewa bila maji tarehe 1 December ni hija kigoma tunakuja aguse aone waje wote kutoka nchi nzima hija itafanyika kigoma asituletee ushamba wa mavurugu lasivyo watanyea debe kama wenzao huko zanzibar😂😂
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 2 ай бұрын
@@veraisaria njoo mufanye ayo mambo yenu ya kisenge alaf ndio mutajua moto wa waislamu
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
😂😂😂 tarehe 1 December tupo hapo kigoma na hakuna pua itatusogelea wakuu wao tu wamestuka wameshawakemea kifupi wameshapoteana😂😂 huo ulokole subiria
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
​@@wamiujizacholo7413moto wenu walokole mbona umezima😅😅😅 walokole bana kwaiyo mnawategemea waislam😅😅 jinga moja linalolialia kanisani
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Kwa hao wenzetu sio amani kama kwetu. Kwao ni majambia tu, mwendo kulazimishana sijui ni mungu gani huyo mpaka apiganiwe kwa majambia
@JoshuaJohn-qo4in
@JoshuaJohn-qo4in 2 ай бұрын
Uwez kushindana na muumba ata siku moja hija halis Sasa ipo kigoma Tanzania ata mpinge vp lakin hija ni kigoma Tanzania na mwezi wa 12 tunakuja ko kaeni kwa kutuliya
@saiddgsmg
@saiddgsmg 2 ай бұрын
wewe ni mpumbavu sana
@timurmauga6559
@timurmauga6559 2 ай бұрын
Ukilaza ndo tatizo la kioja hicho cha kigoma
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Uhuru wa kuabudu ndio huo. Nchi haina dini ila watu wake wana dini zao
@gumbajohn8380
@gumbajohn8380 2 ай бұрын
Mambo ndio yameanza Bado hamjasema
@Herihalisi-k5d
@Herihalisi-k5d 2 ай бұрын
Mmesamehewa bure.
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 ай бұрын
Kweli hizi zama za mwisho huko tunapoekekea ni hatari
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 ай бұрын
Arif.unapanick bure Allah ameshaahidi atainusuru dini yake mwenyewe sasa usilete sintofahamu waache watafanya wakivhoka wataacha
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 2 ай бұрын
DINI NI Nasaha. Kuambiana ni wajib. Kuamrisha. Amri ya ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA.
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 2 ай бұрын
Kukataza maovu ni jambo la lazima na tukiacha km mtazamo wako adhabu inatuhusu sote
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 2 ай бұрын
Kukataza maovu ni jambo la lazima na tukiacha km mtazamo wako adhabu inatuhusu sote
@GetrudaTadei
@GetrudaTadei 2 ай бұрын
Habari njema tanzania hija kigoma
@smadon5638
@smadon5638 2 ай бұрын
Kwa Machizi😂
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
​@@smadon5638chizi ni yule anaeamini la ngozi nyeupe ni bora kuliko lake huyo ndiyo chizi halisi lakini ana familia kama wewe😂😂
@KUSUDIHALISI-u9i
@KUSUDIHALISI-u9i 2 ай бұрын
Tunakuja mwaka huu
@kanoleausi4204
@kanoleausi4204 2 ай бұрын
Dini ni imani tu, hakuna ambayo ni sahihi kuliko nyingine. kila mmoja aachwe aamini isipokuwa asivunje sheria za jamii
@timurmauga6559
@timurmauga6559 2 ай бұрын
Kwa ushahidi upi?
@abumutwaira4892
@abumutwaira4892 2 ай бұрын
Dini imeshauzwaa
@RibentCylidion-op9mx
@RibentCylidion-op9mx 2 ай бұрын
Na mtakubali tu huku tukimpisha MUUMBA ndo aonekane yeye
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 2 ай бұрын
Hao ni mafreemason Kwanini wasifukuzwe
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 2 ай бұрын
Mihadhra ya ki isilam iruhusiwe kwani hufichuwa mengi kupitia wakina mzinge
@smadon5638
@smadon5638 2 ай бұрын
Watanzania wanavituko eti Hijja kigoma😂😂😂
@Herihalisi-k5d
@Herihalisi-k5d 2 ай бұрын
Nyamaza wewe huna unachokijua
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
Sawa haiko kigoma wewe una nauli uende arabuni au israel?😂😂😂😂 mwafrika utumwa huo kutoamini vya kwake utaondoka tu😂😂😂
@timurmauga6559
@timurmauga6559 2 ай бұрын
Hija ya makka si lazima kwa asiye na nauli, Quran imesema hivyo.
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Waache na mambo yao si wameamua wenyewe? Pilipili ipo shambani wewe inakuwashia nn?
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
​@@timurmauga6559😢😢😢 maskini tu huna hela hija maka ni ya matajiri maskini Kapuku ka wewe huendi ndiyo maana maskini tunatangaza hija sasaiko nchini mwetu povu linakutoka kulilia vya waarabu mtumwa wa akili
@JacksonLihawa-z7g
@JacksonLihawa-z7g 2 ай бұрын
😂😂 muumba chanzo halisi ni hatar mjaribu muone
@ZubidaAlmasoudi
@ZubidaAlmasoudi 2 ай бұрын
Kafir we
@ZubidaAlmasoudi
@ZubidaAlmasoudi 2 ай бұрын
Wajarub waone we mpumbav unajeur gan
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
​@@ZubidaAlmasoudikwanza mshapoteana huko bila hata ya kuwajibu mkuu wenu kawaita hawa wajinga😂😂😂😂
@uhurumpya6662
@uhurumpya6662 2 ай бұрын
KUSUDI LA MUUMBA HUWA HALIZUILIWI NI KWELI SHEHE HIJA KWELI IPO KIGOMA HAKUNA AWEZAYE KUPINGA KINACHOSABABISHA HIJA IWE KIGOMA NI KWA KUWA SAUTI ILISIKIKA HUKO" HATUJAWAHI KUPINGA HIJA YA MAKA ILA NI SAUTI IMESIKIKA KIGOMA MUBARIKIWESANA NAJUA HIYO NI HATUA LAZIMA MTAJUA TU KWELI"
@veraisaria
@veraisaria 2 ай бұрын
Hija tunakuja December 1 huko hatuna shida na mtu na shehe wako wa mkoa atataarifiwa na viongozi wengine gusa uzao yeyote muone
@DmgDigitalOnline
@DmgDigitalOnline 2 ай бұрын
Waraabu wakiona hivo wanafurahi maana biashara zao zinapiganiwa mpaka na wasiokua waarabu.
@AGM19697
@AGM19697 2 ай бұрын
Msaudi mjanja sana, kaweka mazingila ambayo ni lazima watu waende huko yeye anapiga mpunga mzito kila mwaka. Mbona washia wanamaeneo yao mengi tu ya hija nchini Iraq na hampigi kelele. Au kwasababu Iraq nao ni Waarabu?
@DmgDigitalOnline
@DmgDigitalOnline 2 ай бұрын
@@AGM19697 wafia dini ujinga tu umewajaa
@EmmanuelNganga-oc8hc
@EmmanuelNganga-oc8hc 2 ай бұрын
Wakati ukuta
@RibentCylidion-op9mx
@RibentCylidion-op9mx 2 ай бұрын
Tunakuja mwaka huu kaeni kwa umakini. Haya msemeje Hija halisi ni kigoma
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 9 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,6 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 93 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
Haya ndio Maajabu Yaliyopo katika Msikiti wa Aqaswa Palestina
33:28
OBA Online tv
Рет қаралды 17 М.
JE MAULIDI IPO KWENYE DINI | KWANI KUNA UBAYA GANI Sheikh Ali Bahero
5:18