No video

QORAN SI KITABU CHA MUNGU: BUKAVU CONGO (NDACHA VS UPANGA WA RADI)

  Рет қаралды 16,682

WARNING OF LAST DAYS

WARNING OF LAST DAYS

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@ziadayasin711
@ziadayasin711 6 күн бұрын
Subuhnllah huu ni msiba yaani ndacha anavoulizwa na anavojibu ni tofauti jamani subuhnllah namshukuru Allah mimi kuwa muislmu Allahmdulillah uwisilmu ndo dini ya haki ❤❤❤
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 14 күн бұрын
Uwislam nuru allihamdullilah ❤❤❤
@AugustinMunaba
@AugustinMunaba Ай бұрын
Ndacha Mungu azidi kukubariki, akujaze nguvu ya kuwambiya ukweli
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 14 күн бұрын
kukuwa mukristo nikukosa akiri kama bibiriya nikitabu ca mungu kinaweza kumutukana mungu kweri 🤔🤔
@NimoJama-iw6tg
@NimoJama-iw6tg Ай бұрын
My brother's keep you hard work ma nsha
@PhilipobonifacSado
@PhilipobonifacSado Ай бұрын
Jibu yesu ndo kila kitu kwisha
@SmS-pR
@SmS-pR Ай бұрын
Roho wa Mungu amekuongoza kusema vile❤❤
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 28 күн бұрын
Unauwakika
@SamuelKatana-v9d
@SamuelKatana-v9d 20 күн бұрын
Quràn n riwaya sio kitabu cha Mungu. God bless you Ndacha
@user-fd7ln3tc5l
@user-fd7ln3tc5l 3 күн бұрын
Ndacha ashindwa kutoa andiko bibilia ni kitabu cha mungu. Maskini
@SamuelmuneneMuthoni
@SamuelmuneneMuthoni 28 күн бұрын
May the almighty Lord be with you ndacha
@AlainKakudji
@AlainKakudji Ай бұрын
Nakupenda Sana mchungaji Mungu akubariki karibu kwetu Congo ila fika na Tanganyika Kabalo.
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Pole wee humjuwi ndacha ninani kama vile uku tuna muelewa
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 18 күн бұрын
Quran ni kitabu cha M , Mungu ambacho Aya zake huanza na Kwa jina la Mwenye enzi Mungu.
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Ай бұрын
Kzi nzuri sna shekh wtu ndacha hauna elimu ni ubishi tu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Dr sule wa Congo 🇨🇩 masha'allah Masheikh wetu
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Ndacha mungu akubaliki
@SamuelOllonde-qg8px
@SamuelOllonde-qg8px 4 күн бұрын
Hakika Qurani si kitabu cha Mungu
@mzaliwaseif7079
@mzaliwaseif7079 Ай бұрын
Boya sana ndacha
@jumaciza461
@jumaciza461 Ай бұрын
Asante sana ustadh
@emanuelkitiku690
@emanuelkitiku690 Ай бұрын
Quran ni ya majini
@georgeobegi3687
@georgeobegi3687 Ай бұрын
Ndacha ubarikiwe sana
@user-nm2pr1xz6u
@user-nm2pr1xz6u Ай бұрын
Waislam wako sawa
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Waslam auwajibu swali kweli Niko Moçambique.
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 24 күн бұрын
HAKIKA KUA MUISLAMU NI NEEMA KUBWA SANA
@davidlintari8504
@davidlintari8504 Ай бұрын
Waislamu, Muhammad na alla ni wajumbe wa shaitani , fuateni kristu muokoke.
@ibraheemqassim3018
@ibraheemqassim3018 22 күн бұрын
Kristu ni nani
@RITAChepngetich
@RITAChepngetich 4 күн бұрын
​@@ibraheemqassim3018kristo Ni yesu kama ujui😢
@SamsonKinyua-yr6lz
@SamsonKinyua-yr6lz Ай бұрын
Pst dacha aki MUNGU akulide unatuelimisha sana
@user-lw1wh9hf9i
@user-lw1wh9hf9i Ай бұрын
Nyie ndacha atawanyoosheni tu
@franciskabila8136
@franciskabila8136 Ай бұрын
Ndacha ni mwalimu mkamilifu
@SurprisedClownfish-ks3fn
@SurprisedClownfish-ks3fn Ай бұрын
Mi naona hawa wenzetu waislamu wanahitaji wafanyiwe kimatendo kama alivyofanya Eliya na mungu baal....yakwamba naijulikane kati ya mungu wa eliya na baal yupi anauwezo wakutenda ndo hawa watahamia ukristo juu kujibu kwake sioni kama bi doctor...
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky Ай бұрын
Hamna kitu ndacha anafanya isipokua kupotosha watu, Hoja za wakristo ukizungumzia jambo Moja lazima jengine ujisahaulishe. Kaanza tu kasema Quran ni hadithi haifai,hivi niambie mahadithi yalio jaa kwenye bibilia na mabarua ndio yafae.endeleeni kuburuzwa mukimpa kichwa mutakutana jahannam🤣
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Na anawapoteza kweli
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Yeremia 50:6 Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea wachungaji wao wamewapoteza wamewapotosha milimani wamekwenda Toka mlima hata kilima wamesahau mahali Pao pa kumpumzika
@user-fd7ln3tc5l
@user-fd7ln3tc5l 3 күн бұрын
Hakuna kitabu cha mungu kinacho itwa bibilia
@SamuelmuneneMuthoni
@SamuelmuneneMuthoni 28 күн бұрын
Kwanza rida aiiii hiyo ni ya wamama😅
@KeleLesi
@KeleLesi Ай бұрын
😂wakristo ovyo
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur Ай бұрын
Quran ni kitabu cha majin,bibilia ndilo muongozo kamili,na yesu ndie njia kweli na uzima.
@user-wh1dn4ib4e
@user-wh1dn4ib4e 29 күн бұрын
Waaisilamu somemeni jaamani nanamuna ya kujibu Bado jifunzeni elimu
@clewis520
@clewis520 Ай бұрын
….Yesu alizaliwa kwa njina gani?
@scolamusa1226
@scolamusa1226 Ай бұрын
Hawaitikagiho wameshindwa lakini hawakubali manenomengi tu
@AbdoulMubarackakim
@AbdoulMubarackakim 27 күн бұрын
Ndacha Hakuna kitu ni mwongo mwenye akili amesikiya Hakuna kukazana mu dini
@aslamjamal511
@aslamjamal511 Ай бұрын
Ndacha kwa viraka ajambo
@user-vt6dg6kf2l
@user-vt6dg6kf2l Ай бұрын
Wee dacha Acha mijadala ya bibilia Kwa kuraan,Wala kw chochote kile. Mungu hataki na Chunga laana ya mungu. Amini bibilia tu Acha mijadala ya bblia kabixa
@josephineobure3420
@josephineobure3420 Ай бұрын
Pastor Ndacha barikiwa sana kwa kazi unayoifanya 🙏🙌🙌 kutetea ukweli
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Ukweli Gani ndacha mwenyewe hamuabudu Mungu ila kajificha nyuma ya yesu
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Uyo ndacha atapeleka wakristo wengi babaya kama vile shetani alisema ataenda na wengi Motoni
@GraceSambula
@GraceSambula Ай бұрын
Pastor NDACHA awa waisilam unawabereka kanisani
@SmS-pR
@SmS-pR Ай бұрын
Umesoma vibaya Zaburi 78:65
@GraceSambula
@GraceSambula Ай бұрын
Amen
@BaruMasimango-zo2se
@BaruMasimango-zo2se Ай бұрын
Ndacha unadisumbuwa saana Qur'an ndo kitabu peke cha kufata
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Isaiya 56:10 Walizi wake ni vipofu wote pia hawana maarifa wote ni mbwa walio bubu hawawezi kulia huota ndoto hulala hupenda usingizi 56:10 Naam mbwa hao Wana choyo sana hawashibi kamwe na hao ni wachungaji wasioweza kifahamu neno wote pia wamegeuka upande wazifuata njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Hiyi ndiyo sababu ndacha yuko congo mara Tanzania Kwa faida zake juu hafundishi njia za yesu alikuwa akimtukuza Mungu ila yeye anamtukuza Mungu Sasa uyo Anajuwa neno kweli ama yuko njia zake
@aslamjamal511
@aslamjamal511 Ай бұрын
Huyu ndio kaeda shimuni kabissaaaaa
@scolamusa1226
@scolamusa1226 Ай бұрын
23:15
@user-vt6dg6kf2l
@user-vt6dg6kf2l Ай бұрын
Uislam hautuusu sisi wakristo , waachie mijala wao kw wao
@SamuelmuneneMuthoni
@SamuelmuneneMuthoni 28 күн бұрын
Bible is the word of God but quran ni kitabu ya majini
@user-ry9gi9rx6y
@user-ry9gi9rx6y Ай бұрын
Jibu limejibiwa tatizo nikiswahili ndo kinazingua ili uelewe jibu.
@jonathangithinji2652
@jonathangithinji2652 Ай бұрын
hakuna majibu makelele ndio mingi na mbwembwe 😂😂😂
@aslamjamal511
@aslamjamal511 Ай бұрын
Hajibu alicho uliza
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Ай бұрын
Hawa walimu wa kiislamu,Hawajibu sawa sawa na maswali,Wanawadanganya waislaam wenzao wanajua ukweli uko wapi?
@GraceSambula
@GraceSambula Ай бұрын
Pastor waambe waisilam ukweli
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 Ай бұрын
Quran si kitabu cha Mungu ni ANDIKO au maneno yenu??
@briankipkoech958
@briankipkoech958 Ай бұрын
Waislamu wapenda vurugu jamani
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d Ай бұрын
Wakristo akili zao zimefyetuka maskini wee ni kupiga makofi tu hawazingatii chochote
@user-bd3me7fz7v
@user-bd3me7fz7v Ай бұрын
Fujo tu hakuna kingine chochote kile amini masia pekeake
@HerculesPaulin-zg7pj
@HerculesPaulin-zg7pj 10 күн бұрын
Alafu Kwa yote hakuna mutu ana ni uwa kama Dr sule wa Kongo,ana zaraulisha sana jina ya Dr sule wa tz Kwa maswali matatu ame pewa hata moja haijubiwe lakini ana fanya kelele isiyo kuwa na mafaa yoyote,Ina bidi kuji andaa kabisa kabla wewe kuenda ku jibu maswali Kwa muhadalo Kwani Ina onekana mudahalo si ya level yako
@godfreytheophil4649
@godfreytheophil4649 Ай бұрын
Hio mada ni ya ajabu sana mtategemea mpate jibu hapo? Sasa Quran Iko kwa upande wa u Islam na Biblia Iko kwa wakristo .unategemea mkristo aikane Biblia asema Quran ndio Iko sawa?
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Kuruan ni propaganda
@J4UPro
@J4UPro Ай бұрын
Nitakufa nikiwa Muislam
@africatoeuropechurchtv8856
@africatoeuropechurchtv8856 Ай бұрын
Wapo wanaoapa kufa wakafiri
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Pole
@user-mf4km2gi9l
@user-mf4km2gi9l Ай бұрын
Yani ndacha anachangiwa Hela za Bure kutalii tu hana chchte anaunga unga tu maneno
@briankipkoech958
@briankipkoech958 Ай бұрын
Njoo kwenye mdahalo
DR.SULLE ALIVYOPIGWA NA HOJA NZITO NA PST NDACHA
32:54
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 8 М.
August 5, 2024
7:08
Ssenyondo Adam
Рет қаралды 95
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 36 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 6 МЛН
YUPI WA KUFUATA KATI YA YESU NA MUHAMMAD: BUKAVU CONGO
1:43:34
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 23 М.
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 5 М.
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MUNGU WA BIBLIA // BUKAVU, DR CONGO
31:55
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 7 М.
Mwalimu Dancha Amefika
51:58
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 35 М.
JE BIBLIA ILIHARIBIWA NA WAZUNGU?  MAJIBU KWA ISAYA BENSONY
25:46
PASTOR KYABASHASA
Рет қаралды 2,5 М.
UWEZO WA NDACHA KATIKA KUJIBU MASWALI YA HAINA YA MTEGO  KATISHA ZAIDI
13:38
MCH.NDACHA AMLIPUA PASTOR MACKENZIE NA NABII EZEKIEL
22:40
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 31 М.
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 36 МЛН