Paul nawe Mungu akubariki akupe kila hitaji. Uliombalo kwa Mungu uishi milele na familia yako kwa kweli unaijua Biblia Mungu akubariki🎉💕🙏🏾
@kingofjungle5104 ай бұрын
Hata mimi nampenda Paul
@tomisomutua254 ай бұрын
Amen
@rehemashariff31195 ай бұрын
Ameeeeeen hakika huu ni ukweli Yesu ndiye njia iliyo nyoka
@CadetYuma4 ай бұрын
Mungu awe Nawel sikuzote za maisha yako.
@LaizaLaiza-oj9uw5 ай бұрын
Kabisa yesu niuzima wa milelele
@jumamnyonge21484 ай бұрын
Sikuli ukisema hivyo iyo nikumpinga yesu direct Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndiyo huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliyemtuma
@jumamnyonge21484 ай бұрын
Yesu anamtukuza Mungu wewe na ndacha mnamtukuza yesu Ukifa tu na hiyo Imani Mutoni
@jumamnyonge21484 ай бұрын
Mathayo 7:21 Si Kila mtu aniambiaye Bwana Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni bali ni yeye afanyaye mapenzi ya baba yangu aliye mbinguni 7:22 wengi wataniambia siku Ile Bwana Bwana hatukufanya unabii Kwa Jina lako na kwa jina lako kutoa pepo Na Kwa Jina lako kufanya miujiza mingi 7:23 Ndipo nitawaambia dhahiri Sikuwajua nyinyi kamwe ondokeni kwangu ninyi mtendao maovu
@jumamnyonge21484 ай бұрын
Yesu hawatambui wacheni kujipendekeza kwake
@claverirambona60685 ай бұрын
Ndacha Mungu akubaliki
@RossaRutasha5 ай бұрын
Tena uko na msomaji mzuri Paul waambiee Mungu awabariki sana
@RobatiSiplian5 ай бұрын
Mangy akubaliki sana
@BakulikiraMushengezi5 ай бұрын
Ubarikiwe baba.
@mwambakibucheche11194 ай бұрын
Yesu ni Bwana
@innocentndikumana89283 ай бұрын
mashallah uwislam nuru allihamdullilah ❤❤❤❤
@RossaRutasha5 ай бұрын
Kwa kweli pr Ndacha Mungu akubariki waeleze hao hawajui kitu wanawafata waarabu hata hawajamuona
@hassanjuma27725 ай бұрын
Wewe hujui hata unasemaje nn nikuulize jee wewe unaamini kuwa yesu aliuwawa na viumbe ambao yeye amewaumba na kumpandisha msalabani Jee ulikuwepo siku kinafanyika hicho kitendo au Kama ulivyouliza na wewe ulimuona au unafata maji tu Kama kaa ureda?
@athmanidi73884 ай бұрын
Tafadhali Ndugu Yangu kwa Mkiristo Yesu NI Mungu tafadhali
Wakiristo Yesu NI Mungu kwenu Ama Mwana WA Mungu.?
@ramadhanchenga46064 ай бұрын
Waislamu hoi
@JosphatChemase2 ай бұрын
The plain truth. Pastor ndacha.
@junicnamuwenge69575 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙋🙋💃💃🇸🇦🇸🇦🇺🇬🇺🇬
@mwoso5 ай бұрын
Hapo injili ya yesu kristo iliingia kabisa maskioni mwa watu! Ubarikiwe mwalimu Ndacha.🙏
@ruthhamisi29025 ай бұрын
Yesu ndio njia na kweli na uzima. Nakupenda yesu
@hassanjuma27725 ай бұрын
Kwa hio tumkanyage au ni barabarani tupitishe gari?
@ruthhamisi29024 ай бұрын
@@hassanjuma2772 utafahamu 2
@hamisahtuman55955 ай бұрын
Paulo Msomaji uko vizr
@richardodoyo75585 ай бұрын
Ngeraa mtumshi wa MUNGU kutangaza injili ya YESU KIRITO AMNAAA
@SimonRiikah4 ай бұрын
MUNGU akurinde mwalimu ndacha kwa mafundisho
@DakorTrony4 ай бұрын
Muhammad
@PhilipOboki20 күн бұрын
Ndacha wape neno hao waislamu waokoke
@ShilohPraise045 ай бұрын
Ndacha tunakutaka Burundi
@everlynewanyama5 ай бұрын
Kuna muislamu apo ady nmemuhurumia😂😂😂😂😂Ndacha kiboko yao tangaza injili ady kieleweke ❤
@rukiakadzo80535 ай бұрын
😂😂😂😂 Hana lolote 😂😂😂
@jamesmukindia37975 ай бұрын
I love pst dacha
@hassanjuma27725 ай бұрын
Hee vp kwani ushayafata maneno ya papa?
@ArmandMananira4 ай бұрын
Amen,
@KhamisiJuma-xd7ilАй бұрын
Ndacha anabwabwanya tu hana elim ya mungu waislamu hawana wasiwasi wapo kwenye dini ya hakhi
@salumdjumabizmana01103 ай бұрын
wallah kwa yule anaefuata mihadhara hawezi kuwa mkristo hata kidogo . namshkuru Mwenyezi MUNGU kunifanya muislam. ukristo sio njia wala sio dini
@wacekebbro3 ай бұрын
siwezi fuata mchawa mohammed
@HillaryKhamalishi5 ай бұрын
Yesu ndiye wa kufuuatwa wala hakuna mwingine
@FaithJohn-b8x2 ай бұрын
Ndacha Mungu akupe nguvu na hekima,lazima habari ya malaika watatu ihubiriwe ili iwe ushuhuda kwa watu wote
@erickagwe88415 ай бұрын
Jina la Bwana Yesu lisifiwe kwa ulimwengu wote
@ShakurAKBAR5 ай бұрын
ALLAH AKBAR Uislamu ndio dini ya haki mtajaribu namna zote na vyovyote muwezavyo ila mjuwe hiyo dini inalindwa na pekee Muumba kwa hiyo haiwezi kuanguka iatabaki imara na Nakiri kuwa Muhammad (S.A.W) Ameteuliwa na ALLAH ili kuifundisha
@costantineevarist51105 ай бұрын
Uislam wa wa kikatoriki
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Mhammad (s. a. w) aliye teuliwa na mungu yupi yule alie baka kitoto cha miaka 6 au? 😂😂😂😂😂
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Na kwanini allah hasikii kiswahili chako anasikia kiarabu?
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Pole sana na hiyo dini yako ya kulithi ya ukafiri kutoka uarabuni
@PeterMagoye3 ай бұрын
Sasa dini ya majini nayo unajivunia nayo na amri za kiislam ni za kiajabu
@PendoGakumbi5 ай бұрын
Kimeumana! Wale wa am proud to be muslam. Mko wap
@rukiakadzo80535 ай бұрын
Am proud to be a Muslim ❤
@danielobeboex-marine91862 ай бұрын
Ukweli unauma u christo ndi dini aliye na maskio na askie
@FredizMhagama5 ай бұрын
Mmh wenye dini wamelishwa matango pori na mudy
@HenryMsika2 ай бұрын
Ukweli unama waisilamu ludini kwayesu
@CelestinoCasimiro4 ай бұрын
Armani iwe nawe chee
@CelestinoCasimiro4 ай бұрын
Wewe ndacha yeso ni wawa zilaeri tu pekeyao
@MohamedMeja5 ай бұрын
Ndachaa ni fujoo tu hana moja ajualo
@qerysir44105 ай бұрын
wew kaoshe matako maana hapo ndipo akili zako zilipo
@Majiifande4 ай бұрын
Ndacha amehubiri ukweli , kufa na kuzikwa kaburini ni kumfuata Muhammad? Hii ni hoja mufilisi ,haina andiko wala uthibitisho
@ruthhamisi29025 ай бұрын
Injili inaeleweka mwenye masikio na asikie
@FrankEdson-l2o4 ай бұрын
Waislam sijui kwanini wanafata dini yanamna hii.
@wilsonkantabula17155 ай бұрын
Mwamed ni mfuasi wa Yesu. Waislamu wameamriwa kumkiri masih kwa kinywa Chao. Kwenye Quran.
@khammadjeffa5155 ай бұрын
Wewe kazi yako ni kujenga hoja tu.
@RITAChepngetich3 ай бұрын
I think iyo mti unayesema si mti halisi ni wewe na mimi kama hauna matunda masuri mungu atavuna nni fungukeni akili pamoja na roho senu nyinyi waislamu mnaelewa kimwili
@SalhiyaAwadh5 ай бұрын
Mnajua wakristo tatizo sio kumkubali yesu na kumsifu tu kufata vitendo vyake mujuwe hakuna muslam anomkataa yesu mwenyezi mungu kaleta manabii wengi tu akiwemo yesu yaani issa ilikufata njia ya mwenyezimungu anayoitaka tumjuwe mola mmoja tuu wa kuwabudiwa na namna ya kumuabudu kumsujudia na kumuoba yeye tu yesu alikua anasujudu kama anasujudu alikua anamsujudia nani kama yeye ni mungu tatizo la wakristo mnamchukia mtume muhammad bure muhammad kaletwa ili kukutoweni katika shirki kumwita yesu mtoto wa mungu au wengine wana sema mungu wengine utatu maana nyinyi wenyewe hamjielewi yesu mtume kama mitume iliopita nyinyi wakristo hamtafakari au mnajisemea tu mnafanya mchezo na utukufu wa mungu kama ni kigezo chenu kua ati yesu kamfufua mtu au kazaliwa bila ya baba huo ndio uwezo wa mungu akitaka jambo lake liwe husema kuwa na likawa na kutumia viumbe vyake kufanya miujiza hebuni kaeni ufikiri sawasawa wakristo vitabu vya mwenyezi vinavyo eleweka ni ijil zabur taurat quran bibilia imetuka wapi usituletee sijui bibili imo taurati sijui imo ijili tunataka vitabu vya mwenyezi mungu vinyojulikana hichi ni kitabu ni ----- kutoka kwa mwenyezi mungu wakristo hamna kama unamfata yesu hebu basi tuonesheni kitabu chake na wallahi mkiwa nayo ijili au zaburi au taurat kamili ikiwa kama quran kitabu kamili basi wakrito nyote utakua wailam
@bustedislam35784 ай бұрын
Yesu alisema ukimwamini kama yeye ni mwana wa Mungu ubatizwe. Je, wewe unayemkubali ulisha batizwa?
@RamadhaniAbuswai4 ай бұрын
Alafu tofautisha manabii wengine na yesu kwasababu yeye yukojuu ya vitu vyote
@bustedislam35784 ай бұрын
@@RamadhaniAbuswai Yesu yuko tafauti na wengine. Yeye alimuita Mungu baba yake, alitumwa na Mungu kama mwanawe, ni mtakatifu na hakufanya dhambi, alitoka kwa Mungu na alirudi huko, alikuja kwa jina la baba yake Mungu na anahaki ya kuitwa hilo jina Mungu, ata hukumu walio hai na walio kufa, yaani marehemu Muhammad atahukumiwa na Yesu, alisamehe dhambi za watu...
Mbinguni ataenda kwa ndege au kwann mm Nina uhakika kuwa atalala ardhini kawa kina Musa Ibrahim yakub na wengine wewee kamau napinga Pinga tu lkni Hilo ndio ukweli wenyewe umekuja kwa udongo utarudi kwa udongo
@BanyangaMohammed5 ай бұрын
Sule utateteya mtume? Simtume ajiteteye?
@ruthhamisi29025 ай бұрын
injili ya yesu kristo lazima isikiwe na kila mtu,dunia yote ili siku ya mwisho ukiulizwa usipate cha kujitetea na Mungu mwenyewe.. Mimi namfuata yesu kristo daima
@obedkalinga97045 ай бұрын
Eti macca ni katikati ya dunia, akili za waislam zinawatosha wenyewe sijui anatumia kigezo kipi maana tuliosoma geografia kama muhimili wa dunia ni macca
@@SwidikiKabemba mbona abake mtoto mdogo mshenzi Sana yeye
@SwidikiKabemba3 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr kutusi usiomtambua yaonesha ushenzi kamili.kwanza wewe ni murongo waajabu kusema miaka6 ,jazba yauongo inaacha unasahau namna walikupashaka
@eliyandondole5 ай бұрын
Mchungaji ndacha wewe hatari sana bado wagumu tu kuokoka
@DakorTrony4 ай бұрын
Quran ni ya waharabu hata imeandikwa kiarabu
@thekingdragon83584 ай бұрын
NA BIBILIA IMETOKA WAPI
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Waislamu ni makafiri wanafuata kafiri mwenzao mhammad aliekuja kupinga na kupotosha njia ya Mungu wa kweli ya ukiristo iliyotangulia
@rukiakadzo80535 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@smadon56385 ай бұрын
Nyie Wakristo ndo munaabudu Binadamu Yesu,eti Mungu du😂
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
@@smadon5638bora sisi wakiristo tu Muabudu yesu mwana wa Mungu aliye hai ambae yuko mbinguni na siku ya khiama atakuja kuwahukumu nyie makafiri pamoja na mhammad wenu kwasababu nyie makafiri mmemuasi Mungu wa kweli muumba mbingu na ardhi Jehova mnaabudu jiwe la uarabuni misikiti yote imeekekezwa saudiarabia nyie waislamu mnaposali mnatazama saudiarabia ndo Mungu wenu aliko na hilo jiwe haliskii kiswahili linaskia kiarabu 🤣🤣🤣🤣
@Juniorjacob-le1rr4 ай бұрын
Muhammad ni kafiri
@rukiakadzo80534 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr hivi tayari ama una jingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wilsonkantabula17155 ай бұрын
Quran inasema yesu atakuja kuhumu wapinga kristo. Mpinga kristo ni nani?
@KhamisiJuma-xd7ilАй бұрын
Hivi amjiulizi yesu alikuwa anafundisha nini? Soma yohana 13 ,5 utaona yesu anafundisha kutawadha na tawadha maana yake ni kunawa kabla ya kusali ndivyo wanavyo fanya waislamu
@mrjulius58405 ай бұрын
Kumbe MUHAMAD ALIROGWA ? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hassanjuma27725 ай бұрын
Kuna vitu vinahitaji elimu Pana Sasa tungelikuwa sote tunachukulia Kama elimu yako basi ingelikuwa tabu kwa mfano muhammadi alirogwa na yesu alichukuliwa nashetani hivi vitu vinahitaji elimu ,na siku zote neno usilo na elimu nalo usilitamke
@Juniorjacob-le1rr4 ай бұрын
Hahahahaha
@Juniorjacob-le1rr4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SwidikiKabemba3 ай бұрын
@@mrjulius5840 ndio muhammadi alirogwa lakini hakuroga kama vile Yesu aliroga mti usizaematunda
@saidira7264 ай бұрын
Sasa kwa nini wewe ndacha na wenzako mnakuja kutetea alie kuwa hai? Ipo siku mate yatakukauka
@ZuhuraAbdulrehman5 ай бұрын
Sasa km yesu ni mungu mbona asulubiwe wakristo karibuni kwenye uislamu
@ramadhanmahongole92935 ай бұрын
Hahaha kwisha habari zenu waislam kwanza waislamu ni makafiri mana wamekuja nyuma ukiristo ulitangulia ndipo. waislamu wakaja nyuma kupinga na kupotosha njia ya kweli ya Mungu ya ukiristo
@hassanjuma27725 ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293hebu tuelimishe nn ukristo uliotangulia ili tuelimike maana hakuna ukiristo Kuna kristo ,na kristo ni jina la mtoto wa mariamu Sasa Kama wewe ndo umepata dini Hilo jina lake sawa ,
@ZuhuraAbdulrehman5 ай бұрын
Ndacha hujui lolote wewe
@smadon56385 ай бұрын
Yesu alitumwa kwa Wayahudi Makabila 12 ya Waisraeli,hakutumwa kwa Wafrika 😂😂
@bustedislam35784 ай бұрын
Hii ni hoja ya anayemfwata marehemu Muhammad aliyerogwa...
@Juniorjacob-le1rr4 ай бұрын
@@bustedislam3578 marehemu tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bustedislam35784 ай бұрын
@@Juniorjacob-le1rr Marehemu kabisa kabisa. Aliyekufa ni marehemu. Na waislamu wanapashwa kumswaliya ili waone kama Mungu wao anaweza kumrehemu. Ni hatari